Пікірлер
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 4 минут бұрын
My leader
@bny3595
@bny3595 8 минут бұрын
Wewe ndo ulizingua ....hukufata utaratibu wa kuleta vitu kutoka nje
@stephenkilalacharles1981
@stephenkilalacharles1981 Сағат бұрын
Fact man of God.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Сағат бұрын
makonda Nakuona mbali mno
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Сағат бұрын
Wanasiasa acheni kufanyakazi namna hii, sasa hapo Madam Eliza kosa lake lipi? Amesema andiko kalituma kwa mkuu wake na mkuu wake kadhibitisha kupokea. Halafu unamhukumu Eliza, sio fair kabisa!
@maharagendondo
@maharagendondo 3 сағат бұрын
MAMA, UKIGUNDUA FUKUZA TU, WANYONGE HATUNA HAKI POPOTE PALE UWENDAPO
@maharagendondo
@maharagendondo 3 сағат бұрын
MAMA,HIYO MBONA IPO SIKU NYINGI MAMA WATU BADO HAWAJAPUNGUZA, TZ YETU MBONA INAPESA NYINGI TU ZINALIWA TU,
@user-kz8ng3fq9z
@user-kz8ng3fq9z 3 сағат бұрын
Mama punguza huruma hawa watu hawaendi bila mjeledi
@edwinmwembe4238
@edwinmwembe4238 4 сағат бұрын
kitunda atuna uduma ya maji
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 8 сағат бұрын
AWA mama mnawapatia kazi ira nimtiani mama wanamabo mengi wanaorewa mnomno hawawezi naona Kama komedi
@ziadaissa-oq2kh
@ziadaissa-oq2kh 9 сағат бұрын
Je kupata konrol no tunalipia? Jaman rushw ipo wazir
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 11 сағат бұрын
MAMA HAYO NDIO MAMBO YANAFANYIKA TANZANIA NA WOTE MNAJUA WATUMISHI WA SERIKALI WENGI WEZI. KIKUBWA NI KUTUNGA SHERIA KALI YA WALAJI KUWAFUNGA NA HATA KUNYONGWA.
@hollymore4904
@hollymore4904 14 сағат бұрын
Hahaa... Watu wa Ambulance mchongo huu apo🚑
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 18 сағат бұрын
Mama kaz ya kuongoza nchi huiwez achia ngaz hii nchi inahtaj watu wenye maamuz magum
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 18 сағат бұрын
Hakuna mtu ambaye hana mapubgufu ila kila mtu anaona mapungufu ya mweziwe ni mabaya sana . Nasema haya kumpa Makonda maua yake ni mtu mwenye uthubutu wa kutenda hongera yake sana
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 19 сағат бұрын
HUYO ELIZA AMEANDAA MRADI, AMEPELEKA KWA INJINIA, VIFAA HAVINAJA. SASA KOSA LAKE NI LIPI? MAANA HUYO INJINIA NDIYE WA KUWAJIBISHWA.
@GregoryMgimwa
@GregoryMgimwa 20 сағат бұрын
Duu hii ni hatari Rais wetu tunakuombea pambana nao hao
@GregoryMgimwa
@GregoryMgimwa 20 сағат бұрын
Duu hii ni hatari Rais wetu tunakuombea pambana nao hao
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 20 сағат бұрын
Rais Samia siyo mbaya shida ni wasaidizi wake ndiyo pasua kichwa wanamuangusha hii nchi inatakiwa tupate watu kama Makonda na Majaliwa
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 20 сағат бұрын
Jafo ni kiongozi mzuri kama ataendelea kujisimamia kama Makonda
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 20 сағат бұрын
Viongozi wengi wa serikali wanatakiwa wawe kama huyu Aweso na Makonda ndiyo nchi itaenda wabongo hawataki kubembelezwa
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 21 сағат бұрын
Hahaha ha kazi ya Uraisi mtoto wa like haimusitahili😂🤣🤣🤣🤣
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 21 сағат бұрын
Ivi ndio inatkiwa hawa watu wakiwa ofisini wanazalau sana yani ivi inapendeza sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 22 сағат бұрын
Tatizo la mama mpole sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 22 сағат бұрын
😂😂😂😂
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 22 сағат бұрын
Mitano tena mama. I love mama❤❤
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 22 сағат бұрын
Pepeta😂😂
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 22 сағат бұрын
❤❤❤❤
@user-tr3bi1ry6t
@user-tr3bi1ry6t Күн бұрын
Hii imeenda
@twisilemwabukusi4981
@twisilemwabukusi4981 Күн бұрын
Alikuwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi aliyo nayo Abdallah Ulega leo aliyekuwa Naibu wake.
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Күн бұрын
Tuko pamoja mpina tulio kuchagua hatuna mashaka na wewe. Muda wako upo mpka utakapo kuwa rais wa nchi hii
@AzizaMengwa-wg5ik
@AzizaMengwa-wg5ik Күн бұрын
Yaaani soma albadil mama
@NeemaThomas-bt1df
@NeemaThomas-bt1df Күн бұрын
Awesu Monduli juu hatuna maji kuanzia nizaliwe Hadi Leo Nina miaka36 sijaona maji ya bomba zaidi ya mito machafu yanayotoka kila mahali kwann huna huruma na watu wa Monduli juu
@RichardMgweno
@RichardMgweno Күн бұрын
Huyu anatakiwa awe waziri wa kwanza asiyesoma
@cyizakarimu5355
@cyizakarimu5355 Күн бұрын
MAKONDA. NAOMBA. NIKUONAGE. MACYO KWA MACYO
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Күн бұрын
Nilichogundua binadamu wanafrahia mtu anapopatwa na matatizo nikiangalia wananchi wanavyoshangilia eliza anavyopata kibano nasikitika sna😢
@NilaMdongo
@NilaMdongo Күн бұрын
Pina fanya kanzi uko sawa na hitaji mbunge ka wewe unauchungu na wanaichi wa Tanzania
@user-si4fu9dw8n
@user-si4fu9dw8n Күн бұрын
Wàtumbuwe mpaka wakaye sawa wasenge hawo wanakupa. Lushwa tu
@salummhina4857
@salummhina4857 Күн бұрын
Uwezo huyo Mkurugenzi pia ungeondoka naye
@caromwende7918
@caromwende7918 Күн бұрын
😢😢watu wanekufa😢😢😢😢 watu wamepotea😢😢😢😢
@caromwende7918
@caromwende7918 Күн бұрын
Ruto kama atutakuweza mungu atakuweza tu...
@AdongoObwaa
@AdongoObwaa Күн бұрын
Wanyoshe
@AdongoObwaa
@AdongoObwaa Күн бұрын
Piga kazi makonda
@kwayugeneral2192
@kwayugeneral2192 Күн бұрын
hata mii m wenyewe hapa wamenifungia akaunti zangu zote za benki na wamechukua huko hela zote bila hata wao au watu wa benki ya CRDB ARUSHA kunishirikisha hapa tulipo tunalala njaa na tuna wagonjwa wa DYLYISIS ambayo kiasi kikubwa ilikuwa ni michango kwa ajili ya mgonjwa tunae mhudumia DYLYISIS kwa cash lakini wao wamezichukuwa hela zangu zote kwenye akaunti kibabe tuu bila hata mii kushirikishwa na nimeenda TRA kuhoji naambia ni maagizo ya waziri mwigulu sasa mama naomba uangalie hili
@kwayugeneral2192
@kwayugeneral2192 Күн бұрын
mama mii niko ARUSHA TANZANIA nina malalamiko hawa TRA wamefungia akaunti zangu zote za benki zote na wamechukua huko hela zote bila hata kunishirikisha nimeenda benki nimepanga foleni karibia masaa mawili nafika dirishani kwa keshia mara naambiwa TRA wamechukua huko hela zote sasa sijui hata nitaishije na Nina wagonjwa, watoto wa shule hata wameshindwa kuripoti kwasababu yakukosa ada, walivyofungua juzi JULY 2024, bado nina madeni sehemu mbalimbali na wategemezi wengine kibao, sasa mh raisi hii ni sawa mama yetu? tukiachana na yote hayo tunalala njaa kila siku sasa hiyo ni haki kweli? mbaya zaidi hawajanishirikisha kabisa wao na watu wa benki ya CRDB Arusha Tanzania
@BarakaThoas
@BarakaThoas Күн бұрын
Jamani waziri me kwaushari fanya kama makonda yaani hao watuhumiwa wawepo kwaajiri yakujibu ili kukupunguzia kazi waziri
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Күн бұрын
SINA UHAKIKA KAMA NI TATIZO NI WATUMISHI WA CHINI (KINA ELIZA) WASI WASI WANGU TATIZO LIKO WIZARANI) ELIZA NI KAFARA TU!!! POLE ELZA
@user-ue4yx2ql3m
@user-ue4yx2ql3m Күн бұрын
Mungu akulinde
@madegezakayo3232
@madegezakayo3232 Күн бұрын
Cjaona bado mbona
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Күн бұрын
Hamuna rorote