MAJI YAKIMWAGIKA YANAZOLEKA
2 ай бұрын
MATUMIZI YA KINYWA
2 ай бұрын
JICHO LA UOVU
3 ай бұрын
UKRISTO NA NGUVU ZA MUNGU
3 ай бұрын
KUFUNGA
3 ай бұрын
KUNENA KWA LUGHA
5 ай бұрын
VITOE TU SADAKA
5 ай бұрын
POMBE NA UKRISTO
6 ай бұрын
Пікірлер
@BALOZIWAKRISTO
@BALOZIWAKRISTO 6 күн бұрын
Upon vizuri mwalimu
@isayakigava9283
@isayakigava9283 19 күн бұрын
Aksante kwa kutukumbusha mwl
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 19 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana
@harunizephania6154
@harunizephania6154 19 күн бұрын
Kama unakakuwa mtu safi usinywe pombe
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp 24 күн бұрын
❤🎉🎉🎉🎉 Mungu akubariki na kukupa faraja
@isayakigava9283
@isayakigava9283 24 күн бұрын
Fact
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp 24 күн бұрын
Your teaching very well mwalimu Ivan kibiki and God blesses you in greater amount
@MalimaDaudMunguibarikiSi-tl3ww
@MalimaDaudMunguibarikiSi-tl3ww 25 күн бұрын
Ongera sana mtumishi Mungu akupe mafunuo zaidi
@user-tn9zj1oy8e
@user-tn9zj1oy8e 27 күн бұрын
Mpotoshaji
@dansonmk3926
@dansonmk3926 28 күн бұрын
Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri. Lakini asipokuwapo mwenye kufasiri na anyamaze katika kanisa; aseme na nafsi yake tena na Mungu. 1Wakorintho 14:27-28
@servantivankibiki768
@servantivankibiki768 28 күн бұрын
Mbarikiwe sana mnaoshiriki
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Ай бұрын
Samson km alikatazwa kunywa pombe ni kwasababu alikua mnaziri wamungu kutumia pombe sio zambi atakidogo
@elisantennko8222
@elisantennko8222 Ай бұрын
Topic hii nilifundisha English session ibada ya asubuhi 26.5.2024 TAG pugu. Nilutumia NIV Bible, tupo pamoja Mwl mwenzangu. Amen
@NicolausMgosi-sz5qv
@NicolausMgosi-sz5qv Ай бұрын
Basi kama SI mbaya ukitaka kunywa uwe unaiombea kama unavyoombea chakula kingine kila mtu atabeba frushi lake mwenyewe. Mungu akufunulie maana unataka kuelewa ila wagalatia 5:19-21 imekujibu
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 2 ай бұрын
Umeeleza vizuri sana Ila hao wabishi, hata hiyo bibilia wanayoitumia inatafsiriwa na vyoo vya bilibilia vya kikatoliki Dodoma na Nairobi
@RoseMville
@RoseMville 2 ай бұрын
Amina
@user-gu6bl9tc3x
@user-gu6bl9tc3x Ай бұрын
Aminaa sana father be blessed natamani nipate karama ya kuhubiri km ww
@azerageorge2032
@azerageorge2032 2 ай бұрын
Amina mtumishi,hakika nimebarikiwa🙏
@priscamwalongo1190
@priscamwalongo1190 2 ай бұрын
Amen.
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w 2 ай бұрын
Hatari wewe ! Unahatari kubwa bibiria ina makatazo mengi ya unywaji ya pombe !😢
@IssaMkwata
@IssaMkwata 2 ай бұрын
Acha ujanjaujanja
@mariamashale6691
@mariamashale6691 2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, noted and thanks 😊😊 I will change from now
@suzieluharambaa9607
@suzieluharambaa9607 2 ай бұрын
Amina , somo nzuri ,Mungu akubariki sana ❤
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 2 ай бұрын
Hueleweki
@hassankimaro3633
@hassankimaro3633 2 ай бұрын
Ndugu zangu kila kilichokatazwa na MUNGU huwa ni kizuri na kitamu Sana hivyo ni hiari yako kuamua kunywa pombe , kufirwa au kufira vyote hivyo vimekatazwa Ila huna haja ya kubishana we endelea aidha kuyafanya hayo au kutii maamrisho ya MUNGU
@BALOZIWAKRISTO
@BALOZIWAKRISTO 3 ай бұрын
Kazi nzuri mwalimu mwenzangu
@OrestaMhagama-nu5gs
@OrestaMhagama-nu5gs 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu
@edithajames1915
@edithajames1915 3 ай бұрын
Ubarikiwesana
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 ай бұрын
Mafundisho mazuri sana
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 ай бұрын
Nimekuelewa mwalimu
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 3 ай бұрын
Usijifanyie mfano wa kitu chochote na kukiabudu
@servantivankibiki768
@servantivankibiki768 3 ай бұрын
Kufanya na kutengeneza Kuna utofauti
@audaxemmanuel7927
@audaxemmanuel7927 3 ай бұрын
Asante na ubarikiwe pia
@bibliakweliyaduniayote1137
@bibliakweliyaduniayote1137 3 ай бұрын
Umesoma kitabu gani kwa biblia.
@ubongosahihi
@ubongosahihi 3 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿
@kalistokyando1670
@kalistokyando1670 3 ай бұрын
Ndugu yangu usipotoshe watu. Utahukumiwa. Usipotoshe watu. Acha!!!
@user-eb3jk4lc4s
@user-eb3jk4lc4s 3 ай бұрын
Kunywa pompe siyo dhambi. ila kulewa ndiyo dhambi kunatofauti ya kunywa na kulewa hata Yesu alikunywa lakini hakuwa mlevi. matayo 11:18--19.
@immanuelngosha-oq3zt
@immanuelngosha-oq3zt 3 ай бұрын
Amina mutumishi wa Mungu
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 3 ай бұрын
Pombe na MUNGU haijawahi kutokea, WATU WA MUNGU WAKIWA NA NGUVU YA MUNGU(ROHO MT) HAWARUHUSIWI KUNYWA POMBE, ANYWAYE POMBE YU NA SHETANI, NUHU ALIPOLEWA POMBE HAKUSEMA TENA NA MUNGU(MWA,9:20) MNAOSALI MKIMTAKA MUNGU NA NGUVU ZAKE LAZMA UACHE POMBE, NA WATU WA SHETAN MKIMTAKA SKETANI KUNYWA POMBE. NB..TUMEUMBWA WATU WOTE TUMTUMIKIE MUNGU NA SI SHETAN......MCHUNGAJI AKO NA SHETANI LAZIMA AMSAPOTI JOKA...... POMBE NI MARUFUKU.....
@LearntowinLTN
@LearntowinLTN 2 ай бұрын
Uko sahihi ,naomba nikuulize swali kula chakula ni dhambi au kunywa maji ni dhambi?
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 3 ай бұрын
Maanayake kama walioambiwa wasinywe pombe maana yake pombe sio nzuri
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 3 ай бұрын
Nimekuelewa umefafanua vizuri:
@parfectdaniel8920
@parfectdaniel8920 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi kwa somo
@azerageorge2032
@azerageorge2032 3 ай бұрын
Namshukuru MUNGU nami nimo ndani ya mfungo wa chakula toka tulivyoanza kwaresma, asante mtumishi kwa somo hilo.
@JohnKapinga-wo1ow
@JohnKapinga-wo1ow 3 ай бұрын
Kwanini filipo alimbatiza yule mkushi katika maji pale mtoni?
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 3 ай бұрын
Usipotoshe soma vizuri kwenye mvinyo hakuna utukufu ndomana kila alie pewa utumishi wa mungu aliagizwa asitumie hata mzinzi halaumiwi ila anafundishwa
@isayakigava9283
@isayakigava9283 3 ай бұрын
Hajapotosha ila ametoa mtazamo tofauti na wa kwako,unanafasi yakutafakari zaidi kabla hujakataa au kukubaru
@JohnKapinga-wo1ow
@JohnKapinga-wo1ow 3 ай бұрын
Wewe ndugu fundisha vizuri pombe ni dhambi
@user-bb1un3hg3q
@user-bb1un3hg3q 3 ай бұрын
Asante sana mwalimu Mungu akubariki
@suzieluharambaa9607
@suzieluharambaa9607 3 ай бұрын
Amina ubarikiwe, somo zurii❤
@user-cy6re4pg6t
@user-cy6re4pg6t 3 ай бұрын
Amen Amen
@ubongosahihi
@ubongosahihi 3 ай бұрын
Milele Amina 🙏🏿
@st.francistv7978
@st.francistv7978 3 ай бұрын
Shalom Mwalimu. Nimebarikiwa sana na somo la leo
@user-cy6re4pg6t
@user-cy6re4pg6t 3 ай бұрын
Amen Amen