Bado sana.. Kaa jifunze kwa wenzio mada za kuzungumza public.. ndio maana hata watu hawacheki wana kushangaa tu... Mfano mzuri Eliud haongei ujinga ujinga kama huo lakini watu tunaeenjoy..
@andrewkaswagula33675 күн бұрын
Hamna Comedian hapa...
@user-sc3wo3ol1k5 күн бұрын
Mchekeshaji alikuwa matha jamani
@ellyjacob98976 күн бұрын
Huyu mwamba bhna huwa fix zakutosha 😂😂😂😂
@JokerMdoli-db8se9 күн бұрын
Aah inshot Anajua asee...but you need some modern content ....than repeated ila kaziiii nzuriii sana....🙏✊🔥
@abdulmohd68809 күн бұрын
No fun at all😴
@ramadhanifakikombo401012 күн бұрын
Dumbi Tanzania pamoja sana
@kerakaemmanuel55717 күн бұрын
Sound quality yenu mbaya
@Josamjosam818 күн бұрын
Kisu cha nin sijasikia vizur😂😂😂😂😂
@emmanuelbaraka221719 күн бұрын
😅
@gracengunga34819 күн бұрын
Jaman sio lazima Kila mtu awe mchekeshaji😢
@AbdunnoorSulyman23 күн бұрын
TAZAMA HII KAMA HUJAOA AU HUJAOLEWA kzfaq.info/get/bejne/mdWgobWWxL_Lc58.html
@abdallahomary201025 күн бұрын
Fresh kaka usisikiliz maneno ya wat amin ndt yako by IMOA
@user-gp3pm4qp5y26 күн бұрын
Farasi anayezungumziwa na masai ni yupi ni deeeee
@mahadshekh39826 күн бұрын
Hamna masai anasema kaluka,mpila.
@itanzaniaAS26 күн бұрын
Big No
@shamsarashid597826 күн бұрын
Unatisha
@peterbujimu274927 күн бұрын
Kaka mwanangu unaua SEMA Nini be u my azikartisha sa£aanaaa bana
@MaryWuantet27 күн бұрын
Huyu ni masai digital ...haezi iga ...😅 wapi Mr.ebo,Olexander from kenya
@peterntora504127 күн бұрын
Hakuna kitu hapo Ajipange upya
@robertakili26727 күн бұрын
Nakubali
@SurprisedMacawBird-qh7dg28 күн бұрын
Huwezi elewa kumbe farasi
@ahmedhamis29 күн бұрын
Wanarudia
@novasmwiled29 күн бұрын
Du?
@MsalabaniReko29 күн бұрын
Dah jmn wajanyinyi
@isakamwamposa7532Ай бұрын
Asante san kimonga Kwa kuwaonesha Watanzania kipaji Changu.🙏🙏🙏
@simbeyrugata8745Ай бұрын
Bado,kuigiza, anatumia mfumo wa watu wengine...
@irenemta7699Ай бұрын
Very poor
@irenemta7699Ай бұрын
Hujui kitu
@annamutarodwa669Ай бұрын
My young bro MUNGU akufikishe mbali
@AllyMohammed-nv5sjАй бұрын
Hakuna Masai Anayetukana Ovyo 4:46
@user-zg7su6ei7sАй бұрын
😂😂😂😂😂 hii masai gan inachanganya R na L bhn
@muhsiniamiri9310Ай бұрын
unajitahid sema jitahid kuongeza madini
@leahmollel6589Ай бұрын
Huyu siyo masai ila mmmh!!!😁😁😁hatusemi falasi tunasema farasi🏃🏻♀️🏃🏻♀️masai wa mjini🤦♀️🤦♀️
@morama7jr559Ай бұрын
Nimeangalia hadi Mwisho sinacheka. Acha nikamuangalie Mzee wa Subaru #Tx_Dullah + #Leonardo😂