Fresh kaka usisikiliz maneno ya wat amin ndt yako by IMOA
@adamkisheta8439Ай бұрын
Big up eliud
@JokerMdoli-db8se7 күн бұрын
Aah inshot Anajua asee...but you need some modern content ....than repeated ila kaziiii nzuriii sana....🙏✊🔥
@SixbetDaud-tb4xoАй бұрын
Wanapenda kurudia vichekexh
@gwidmaxvideosproductionstu6628Ай бұрын
😂😂 tx hatumii nguvu simple t
@nehemia397Ай бұрын
jamaa ananenepa
@mtakatifubony5525Ай бұрын
Tanzania hatuna wachekeshaji jamaniiiiii
@hajikhamis3288Ай бұрын
Mbona hataa nyimbo zinarudiwa na mnaskilizaa acheni ujinga huezii usiskilizeetu chakula unarejeaa nyumbani seuzee wao😅
@kwisa4899Ай бұрын
The Best intellectual comedian all time
@marcomussatv9195Ай бұрын
Sound engineer at the best level 🙌
@user-lq6kr2gl7nАй бұрын
😂😂😂😂😂half dulla acha utoto basiii
@user-wo2nu3tq3zАй бұрын
Uyu jomba akaze Badoo sana
@sheddythemix321Ай бұрын
Dula ubunifu Zilo
@mcbsb8742Ай бұрын
Ww wasema
@kimanimuikamba4714Ай бұрын
Leta wa kwako tuskilize
@user-po8hz7xw9jАй бұрын
Ach wivu anachekesha na ninampendaga anajulia ulevi
@user-po8hz7xw9jАй бұрын
Roho mbaya itakuuwa
@kwangahudispensary7238Ай бұрын
Jitu laitwa xhedilakiii hakuna jitu hapa
@SaidMwarandu-fd8ghАй бұрын
sijapenda hii
@KS-iw7qvАй бұрын
Ovyoo saanaaa
@HajiRajabu-wb2gbАй бұрын
Anarudia rudia 😢
@LiveliusIsrael-xu8veАй бұрын
Njoo na wewe utuchekeshe nione kama utatoboa
@ahmedhamis27 күн бұрын
Wanarudia
@miso-bg2xlАй бұрын
Hi imekataaa watu hawachek
@AbasiComedytzАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shamsarashid597824 күн бұрын
Unatisha
@marwa_772Ай бұрын
Mbona huyu kama mpiga ramli
@josemangula8806Ай бұрын
Mchekeshaji alie baki ni eliudi tu nyie wengine mnaganga njaa tu
@vanessastafford6426Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hyasintkisika8848Ай бұрын
Dulla kwenye standup comedy sijamkubali
@BMFURAHAKWANZAАй бұрын
Kuna ni nini= Kuma nina Umefiwa na nani= umefirwa na nani? Kalia ndooo: Kalia mboo nazani nimeeleweka hapo... Msininyime like zangu kwa kazi kubwa ambayo nimefanya
@user-hi8le2vb7zАй бұрын
COMEDIAN YOYOTE ANAYEDHAMIRIA KUTUKANA ILI KUCHEKESHA,,KWANGU HUYO HAPANA,,STEND UP COMED IMESHIKILIWA NA COY.
@nehemia397Ай бұрын
kwamba COY ndio anachekesha si ndio?
@michaelmapunda7958Ай бұрын
Kwako tu kwetu oya oya
@joanneskamanzi9666Ай бұрын
Bruda rudia material mpaka kila mtu ajue ni yako kibaya kuiga budaa.
@muhsiniamiri9310Ай бұрын
sio wabunifu kabsa wachekeshaj wanarudia vichekeshoh...... sana
@jivankulikwa24Ай бұрын
Vp wewe unaweza
@fadhilimashaka2728Ай бұрын
Mnarudia vichekesho mnadhani atufatilii hayo yote uliongea kwenye uzinduz wa Azam vichekesho mnaboa bhana
@kimongaproАй бұрын
Kaka kuna platform 2 tofauti halaf show zinakuwa zimefuatana Comedian kuandaa kichekesho kipya inakuwa ngumu ndo maana inatokea hvo tusamehe mkuu tunahitaji support yako
@LatLatifaАй бұрын
Yani adi kero
@muhsiniamiri9310Ай бұрын
lkn haipaswi kuwa sabab kwakuw ndo Kaz yak anapasw kuwa na nondo za kutosha nakil cku abuni new things
@clementhiddi1486Ай бұрын
Go find out yourself if you think it's a just a walk in the park
@EliabennetАй бұрын
Hii inaonesha wengi huwa amuendi kwenye show mnasubir kuangalia KZfaq mtu katoa kichekesho juz leo unataka aje na material mapya comedy sio free style lazima script iwepo, nendeni kwenye show wakitangaza
@Obertan_coolkid-04_Ай бұрын
Bongo ubunifu mdogo
@jivankulikwa24Ай бұрын
Vp ww unaweza??
@josephdeogratius4921Ай бұрын
No creativity, unarudia mada za events zilizopita, broh huchekeshi ila unasimulia hadithi
@EliabennetАй бұрын
Fahamu kwanza maana ya Stand up comedy ndio utajua anachekesha or achekeshi