0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE
Пікірлер: 14
@apboy894411 күн бұрын
Huyu mwamba ni kitu kingine hapa Tanzania na huwezi kumlinganisha kabisa, R.i.p our hero 🙏🙏
@jedidahbintidaudi82412 күн бұрын
Ruto Rais wa Kenya, hongera mzee...wewe ni jembe la Kenya
@user-hx3mq5fg7v5 ай бұрын
Mic u mzee Baba mwamba from Chato
@NOVATISIYAME5 ай бұрын
Rip father africa
@bedanngugi36755 ай бұрын
I like how visionary JPM was, I don't know why it's such leaders who die, if it's natural or not, I don't know..
@danielngungi16547 жыл бұрын
Hongera mhe.rais kwa kutuwakilisha vyema.proud to be tanzanian.............I see you Peter Buruna
@user-fe2ed5ej9f7 ай бұрын
Thanks my president dkt pombe Joseph magufuli, tutakuhedhi
@titusosano39463 ай бұрын
JPM
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
DP wa Kenya William Rutto anajitaidi sana kwa kweli na lugha ya kiswahili..kwa mkenya kuongea hivi kwa kweli amejitaidi...kuddos DP Rutto!!!
@loner_wolf4 ай бұрын
Huwajui vzur wakenya ....mbona wakenya ni waswahili kama wewe ......wanaongea kiswahili vzur tu isipokuwa wapo pia ambao hawajakizoea kulingana na makuzi yao , wapo wanaongea kiswahili na hawajui kingereza kbsa....na wapo wasiojua kiswahili wala kingereza....ni kikabila tu . hao ndio wakenya.
@jedidahbintidaudi82414 ай бұрын
Kuna wengine wanakijua kama Mombasa, ila huku kwengine wanajitaidi@@loner_wolf ila kwa kiingereza wanatupita na mbali tuu wengi wao. alafu wasomi wengi mno kwao pia. hii iko wazi inaonekana kaka yangu mwema. Alafu mie nawapendaga sana wakenya hata kama wanamajambazi kama kwetu bado kwenye moyo wangu wamejaa mnooo. Nimshukuru Mungu ni Jirani zetu.
@danielngungi16547 жыл бұрын
The webmaster.........LOL
@stanslausmateru54167 жыл бұрын
That was a good and smart speech from my Magufuli Pombe