Рет қаралды 345,001
Rais Magufuli baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Afrika Mashariki, ameiambia sekretarieti ya Afrika Mashariki kuwa marais wa jumuiya wamefanya kosa kubwa sana kumchagua kwani atawafatilia na kuwataka kubana matumizi kwani nchi zote ni maskini.