Maashallah team Kombolela wameshusha wote kule Tahiya kashusha Alhamdulillah nae kafanya maulid ya mwanawe bado Zuhura Kaoge
@faudhiaamerii66922 жыл бұрын
She is baby umeon Wapi tahiy kazzz
@Official836402 жыл бұрын
@@faudhiaamerii6692 kaweka Insta story anatoka maulidi na mwanawe kamshika kapendeza hatari
@nicerjoseph29042 жыл бұрын
Jmn zuhur kaoge ana tumbo
@Official836402 жыл бұрын
@@nicerjoseph2904 Unauliza ujue au ndy unatujibu
@aishajumaa97872 жыл бұрын
@@Official83640 Tahiya kaolewa juzi
@swalehkataga8352 Жыл бұрын
Gea ban
@naimasuleiman6489 Жыл бұрын
😂😂zai kapendeza mashaallah ikisha katulia unadhani sie bikusema
@kassimmanaramalika85922 жыл бұрын
Mnacheza maulidi Ayo au vanga subhaana llah mtihani huu dah geya noooo he! 🤔 Yaa Rabbi
@ummySheikh722 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa na mimba zai? Hongera mungu atukuzie
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Mengine uwe unabakisha Dada zai usijimalize Sana, Dunia waja na waja wote si wazur
@mwatangachuma90692 жыл бұрын
Wapi mama mjumbeeeeeeee
@zenamilanzi14712 жыл бұрын
Kwaraha zenu
@magrethmbuma30452 жыл бұрын
Ila Gea na zai mmeendana yaani hahahahaha
@aminamadenge85982 жыл бұрын
Nakuona dada mkubwa umefanya yako kwa udugu wako
@user-mg8ij6np8p7 ай бұрын
Uzaz kaz kwel yan zai umebadilika atar
@irhamseif2 жыл бұрын
Zai kumamake akalishe watu ugali🤣🤣🤣😜
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Arafu mkavu😂😂😂😂😂
@khadijahali48372 жыл бұрын
😁😁
@user-gw5lb9ju5m8 ай бұрын
❤❤❤❤
@suzanfelix63202 жыл бұрын
🥰🙏
@halemmmbarak162 жыл бұрын
Kamshange kumbe nae balaa😀
@chuninafisa61352 жыл бұрын
Mashallah zai kapeneza allah amuekee mwanae
@Official836402 жыл бұрын
Astaghafilullah maulid au kigoma cha Kiroboto jaman nyimbo za kizaramo tena😭😭
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
😀😀😀
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Ndo dufu za ss ivi yn mtihani mtupu
@hafsah75362 жыл бұрын
allah awasamekhe hawajui walitendalo wameharibu kabisa hao ndio wanaharibu uislam lanatullah llah lana ya mwenyezi mungu iwafikie nyie wapigaji dufu
@umuymusa4692 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo
@HappynessJose2 жыл бұрын
Zai rafiki yangu umependeza
@rucjoseph4054 Жыл бұрын
Hv da zai iko kigom au dufu
@ummukuwaysala79692 жыл бұрын
Wa kwanzaa
@mageliwemba76172 жыл бұрын
Ma mjumbe kapendeza sijamjua
@noelymwakyoma41822 жыл бұрын
😂😂😂ila zai🙌😂ndomana napenda nipitege kwao apo nimuone tu😂😂
@adeodathaaloyce1800 Жыл бұрын
Wapi
@zikenims61672 жыл бұрын
Mama mjumbe nakuona💜😂
@tunumrisho11642 жыл бұрын
Ongera mama
@zairaisaid63892 жыл бұрын
Shughuli nzuri ya kiislamu wana dufu hao wanaume wenye dufu wako vizuri wamevaa kiislamu ila wenye shughuli wengi wenu mmezingua hamukuvaa kiislamu kiviiiilee yani hamujajifunika vizuri vichwani vyenu
@suzanamackdonald15122 жыл бұрын
Haha wa pili leo na hongera sana kwa da zai
@zenakihondo51952 жыл бұрын
Dada geah umetunza
@jamilajamila1832 жыл бұрын
Pambeeeee dufu
@feynation37392 жыл бұрын
Zai jaman makeup kakufanyia mke mwenzio ? Mbona kama umepakwa jivu sio kwa ubaya nguo nzur ila makeup na wigi hapana 🤍
@winfridantandu28702 жыл бұрын
😂😂😂 Niache bc
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
makeup za kiswahili wala sio mbaya
@feynation37392 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 sawa 😒
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
@@feynation3739 Yaani kwa uswahilini kapendeza haswa my, hao hawawezi paka makeup ya laki 1 hawezi apo ni shoga ake tu kampaka na wigi lake au anazima anavaa habari imeishaaa yuko pambeeeee tu😁🥰
@rahmasleiyum28672 жыл бұрын
Munanifurahishakweli
@zenakihondo51952 жыл бұрын
Hii maurd wakijiwe nongwa wanacheza kama ngoma
@mwanaidihamisimtupa51262 жыл бұрын
Haya maulidi au mkinda
@ivonasangawe71852 жыл бұрын
Zai hongera ba mtoto yupo wapi
@fathimamct2322 жыл бұрын
Hiyo vanga sio maulid nabawiya Zai umezifuma Leo ila Sasa hazina maendeleo sababu kesho shoga nae anangoma unazichukuwa hizo hizo unaenda kutuza yaaa uswazi ni balaa
@khadijahali48372 жыл бұрын
Dufu la mchongo 😁😁
@maimunaulotu20752 жыл бұрын
Zai ndo kapodok hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishandayishimiye51272 жыл бұрын
Yani mtoto wa kijiwe nongwa wala hashangai. Anafurai Atari kwakigoma anacheka kabisa
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Dada Zai tunakupenda Sana, ila ilidufu si dufu kama mkinda hadi nyimbo,mmmh!🤔.
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Ma mjumbe na geah sio wa mchezo mchezo ni misimbazi tu