Yan nimecheka mpaka mbavu zinauma da zai unajua sana😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@firdausrajabu68222 жыл бұрын
😄😄😄 jamn zai dah utafk mbinguni umechok san kwakweliii
@didakalaule78402 жыл бұрын
Ila Zai nyie 🤣🤣🤣hizi story sijui anazitoaga wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hidodomagarasha58042 жыл бұрын
Zai sijacheka mwezi mzima Leo umenifanya nimecheka Hadi sura yangu nahisi imenyoka Mana ilisinyaa kwa huzuni🤣🤣🤣
@reginasawe33562 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 mwenzangu na miimi
@pacomezouzoua91752 жыл бұрын
Uyo dada anafaa sana kuigiza🤣🤣🤣
@barakakusa76062 жыл бұрын
Geah Mwambie Shangazi big ampe kipindi Zai Kijiwe nongwa.
@marydaffa82052 жыл бұрын
Yan kwel kabsaaa
@ynyynyyny2 жыл бұрын
Waalimu, upendo husitiri wingi wa dhambi mtawafanya watoto wachukie elimu
@AnthoniaDavid255 Жыл бұрын
Hahaha huyu Zai mwisho aisee Kwanza haishiwi content
@rachelmshana6555 Жыл бұрын
Nimependa hapo kwa wasambaa,"wafa wagima wa wagima,Zai utatuua wenzako.
@vivianvivian85852 жыл бұрын
Jaman
@humphreyleodgar9434 Жыл бұрын
Kwenye miua chaliiii😂😂😂😂
@zainabcloud34592 жыл бұрын
Jomn Wajina nimecheka hd machoz Kwan kina Zay tunashd gni na misaut ilivyo mine😂😂😂😂🙌🙌
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Jamani natafuta mteja nimuuzie Zai kwa Bei rahisi. Hata kwako nitamleta🤣🤣🤣🤣
@firdausrajabu68222 жыл бұрын
😄😄😄 akkaaa bak nae t mwenzng
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
@@firdausrajabu6822 🤣🤣🤣 kanishinda kwakweli
@rachaelmwaimu61072 жыл бұрын
Duuuuu Jamani jamani nimecheka Wewe ni bingwa wa kutufundisha.
@bensonthobias84012 жыл бұрын
Your the best
@tedytemu92502 жыл бұрын
Haahaaa Zai umetuweza🤣🤣🤣❤️❤️
@ayshamadege79812 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣zay jamani yaani umenikumbusha Vingunguti B jamani darasani kwetu kulikuwa na njemba hatari kumbe hayo mambo bado yapo tu🤣🤣🤣🤣🤣ah nimecheka hatari🙌 😍
@singinggirl65542 жыл бұрын
Nimecheka kweli hata mimi nimesoma na mababa la saba wengine walikuwa wameanza kutoka na ndevu wallah 😂😂😂😂😂
@mengiuswege36542 жыл бұрын
Mwaka gani 🤣🤣🤣🤣
@ayshamadege79812 жыл бұрын
@@mengiuswege3654 enzi hizo za khamsini kweusi 🤣🤣🤣🤣🤣ila zile njemba 🙌🙌🙌