Shukran na tafadhali SUBSCRIBE na kubonyeza kitufe cha kengele ili kuendelea kujifunza zaidi kutoka mashambani kwetu.
@hassaniibrahim3003 ай бұрын
MUNGU AKUJAALIE NA AKUPE AFYA NJEMA
@vicentkamwaya35422 жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu.Mungu akubariki
@richardmatete96792 жыл бұрын
Napenda sana unavyo elekeza maan unaenda hatua kwa hatua ukiona anaesema unawek clip ndefu ujue hapendi kujifunza au amekwisha kujua nini kinatokea.
@abdallakassim91244 ай бұрын
Mche bei gani
@aje-farmsmashambayanayotem73924 ай бұрын
Ni TZS 6,000 kwa mche uliyo tayari kupandikizwa shambani.
@work24onme2 жыл бұрын
Hongera sana AJE FARM🤝, Naomba Muongozo wa kilimo cha Chikichi 🙏🏽
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Tafadhali WhatsApp ili tukutumie.
@serijuswilliam93132 жыл бұрын
Mongozo kilimo cha chikichi
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Tafadhali tuma ujumbe kwa WhatsApp 0757 757 968 ili nikutumie muongozo
@magabirodavid5284 Жыл бұрын
Nimewapigia Simu hampokei na post nyingi yapata mwaka sasa muendelezo wa mlicho anzisha hauonekani ili kujifunza zaidi . 1.Toeni namba 2.Location mlipo
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Videos nyingine za mwendelezo zitakuwa posted hivi karibuni ,stay tuned. Namba ya simu 0757757968.
@deusmathew4172 Жыл бұрын
Mimi naomba niulize hili zao la mchikichi linapandwa Kila mahali nchi nzima au
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Si kila mahali bali inafaa kufanya survey kabla ya kuamua kupanda zao lolote ili kujiridhisha kama zao hilo linafaa kulimwa hapo
@hassaniibrahim3003 ай бұрын
NITAKULETEA ZAWADI KWA ROHO YAKO SAFI
@aje-farmsmashambayanayotem73923 ай бұрын
KARIBU AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Tunakushukuru kwa kuutambua mchango wetu kwenye KILIMO NA UFUGAJI. Zawadi pekee unaweza kutupa ni kuhakikisha unaSUBSCRIBE ,kulike na kuShare video hizi. Unaweza pia kuagiza VITABU VYA KILIMO NA UFUGAJI ambavyo utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE. Kwa mawasiliano zaidi tupigie :0757757968
@babzymc55872 жыл бұрын
Naomba mwongozo wa kulima nataka nilime kyela
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Hello tupigie simu 0757757968 kwa maelezo zaidi
@josephatkashendwa11772 ай бұрын
Mbegu ya Mchikichi ikisiwa kwenye kiliba uchukua muda gani kuchipua ikiwa kwenye kiliba
@aje-farmsmashambayanayotem73922 ай бұрын
Itachukua muda wa takribani miezi 2-3 ili kuchipua. Tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo na ufugaji.
@mgemagk6543 Жыл бұрын
Nimewakubali mpo vema
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Karibu
@othmanmasilamba38448 ай бұрын
Naomba muongozo kwa maandishi na Mimi
@aje-farmsmashambayanayotem73928 ай бұрын
Karibu AJE-FARMS. Kupata mwongozo wa kilimo cha pasheni unachingia sh.10,000 tu ;unaweza kutumiwa kwa WhatsApp au email. Wasiliana nasi kwa WhatsApp 0757757968
@aje-farmsmashambayanayotem73928 ай бұрын
Kitabu kipo tayari. Bei ya ofa ni sh 2000 kwa soft copy na sh.10,000 kwa hard copy. Wasiliana nasi kwa WhatsApp 0757757968 tukutumie kitabu. Karibu sana.
@nasraabdallah78682 жыл бұрын
Tayar nmesha like na kusacrb
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Hello Nasra, karibu sana AJE-FARMS . Na kwa msaada wa karibu zaidi wasiliana nasi kwa WhatsApp 0757757968.
@ShambaniFarm2 жыл бұрын
Kama ni mita 7.8 kwa mita 9 sio kwamba kwa ekari moja itaingia miche 56 tu? Kwa hekta ndo itaingia miche 138?
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Slip of the tongue. Kwa hekta ndio inaingia miche 142 na ekari inaingia miche 56.
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Slip of the tongue. Kwa hekta ndio inaingia miche 142 na ekari inaingia miche 56.
@omarissamashaallahpresiden2920 Жыл бұрын
Nimependa hicho kilimo
@ramadhanitingatinga6052 жыл бұрын
Nataka kujua umbali wa shimo Hadi shimo jengine na heka moja unatumia Miche mingapi
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Shimo hadi shinobi mita 7 na mstari hadi mstari ni mita 8. Katika ekari inaingia miche 57.
@ramadhanitingatinga6052 жыл бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 hekalimoja inawestani wa Lita ngapi za mafuta?
@ramadhanitingatinga6052 жыл бұрын
Sawa naomba kuuliza je mchikichi unaweza kupandwa sehem zinazo tuwama maji?kama vile mbugani ?
@anithajustus5011 ай бұрын
Mbona umesema kwenye video yako shimo mpaka shimo ni mita 7.8 na mstari Hadi mstari umesema ni mita 9 halafu hapa umejibu tofauti
@Sifa_film_tv72 Жыл бұрын
Ofa imeishaaaaaa? 🙏
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Ofa ilishaisha
@kassongokittapa32012 жыл бұрын
Unazungumza maneno mengi ambayo nadhani Wadau wako hatuyahitaji mpaka unatia shaka! Elezea mambo ya msingi tu. Hizo historia hatuzihitaji
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri 🙏
@miramboy.3645 Жыл бұрын
Mimi naona style ya presentation. Na awali anesema kuna wanaoelewa kwa haraka wengine ni wazito. Yuko sawa.
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 Жыл бұрын
Nipe namba yenu haionekani vizuri
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
0757757968 WhatsApp
@cossydsipulwa47432 жыл бұрын
Mchikichi unalimwa sehemu yoyote tz
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Kuna baadhi ya maeneo inaweza kushindwa kufanya vizuri. Inafaa shamba lako litembelewe na wataalam kabla ya kuanza mradi wa kilimo cha chikichi.
@georgekiruwa2 жыл бұрын
Ardhi yenye kuingia maji wakati wa mvua linafaa kwa michikichi?
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Inafaa, ila hakikisha unatengeneza mitaro maji yasituame
@ndayitwayekomoise4950 Жыл бұрын
Mwalimu nimekufuata sana lakini ninaswali hivi michikichi hii inapandwa mahali pakame au wastani kwenyebonde?
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Pawe na unyevu kiasi.
@mutabebwa-bm6pm Жыл бұрын
Nimependa sana maelezo yenu mazuri na ya kina . Kumbe nimepoteza muda wangu mwingi na hela nyingi kwa kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao. Nimeamua kuing'oa na kupanda michikichi maana bado miaka kama kumi nivune na kwa miaka 10 kama nitapanda michikichi nitakuwa mbali.
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Karibu
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Subscribe ili kuendelea kujifunza
@nyawamwichande9133 Жыл бұрын
Vipi naweza panda michikichi huku Tanga
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Maeneo mengi Tangu /pwani inastawi
@SPORTSKILLS2722 жыл бұрын
tayari nmesha subscribe
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Hongera sana,safi sana.
@SPORTSKILLS2722 жыл бұрын
naomba kuuliza mbegu za tenera (mise) naweza pata?
@ndayitwayekomoise4950 Жыл бұрын
Kitukingine mnapanda kipindigani masika ama kiangaazi? Asanteni sana
@aje-farmsmashambayanayotem739211 ай бұрын
Muda mzuri ni wakati wa mvua zinapoanza kunyesha
@mwashubilaj2 жыл бұрын
Unaweza clip ndefu sana Ni kazi kuangalia Summarize bro
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Shukran, tutaisummarize! Bila shaka imekuwa msaada kwako, plse reply 📩
@bisekomakene4846 Жыл бұрын
Hi
@vallentinemakuka69652 жыл бұрын
Naomba namba yenu Ili nipate kitabu cha kilimo cha mchikichi. Nauliza kwa wilaya ya handeni tunaweza kupanda mchikichi?
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Tafadhali tupigie kwa 0757757968,Karibu.
@othinielkamyola36972 жыл бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392well
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Kwa sasa tupo Chalinze ,kata Miono
@joshuamassawe2474 Жыл бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 Kaka, tunaomba mawasiliano yanayopatikana whatsapp, hii namba ya sasa siioni
@pamodzi93312 жыл бұрын
Unachosha bro
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Ahsante Kwa feedback , tazama video zetu nyingine ambazo ni fupi .
@user-jl5rc6fx2b9 ай бұрын
Unaongea sana fupisha
@aje-farmsmashambayanayotem73929 ай бұрын
Shukran sana kwa maoni yako -tutaboresha video zijazo. ENDELEA kutufuatilia kwa kuSUBSCRIBE.
@georgekiruwa2 жыл бұрын
Naomba namba yako ya cm tafadhali...
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
0757757968 ,karibu
@pamodzi93312 жыл бұрын
Fundisha hacha blabla ya vitambi...
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Ahsante sana kwa feedback yako 🙏
@nyakisasaempire55942 жыл бұрын
Boring,you keep repeating the same!
@aje-farmsmashambayanayotem73922 жыл бұрын
Good feedback
@miramboy.3645 Жыл бұрын
Mimi naona style ya presentation. Na awali anesema kuna wanaoelewa kwa haraka wengine ni wazito. Yuko sawa.