Khatibu Wa Vetenari (Kishki) ....... Amkufurisha Sheikh Nabahany

  Рет қаралды 83,988

Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh

Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh

9 жыл бұрын

Description

Пікірлер: 570
@YusufMatianyi1388
@YusufMatianyi1388 8 ай бұрын
Jazakallahu kheyra Shiekh letu kwa Urekebishaji upotovu wa Mawahabi
@abasialiy4647
@abasialiy4647 7 жыл бұрын
kishki bado mdogo sana kwenye watu wenye elimu muacheni arekibishwe waislamu tusomeni tusifuate mkumbo,mungu akuzidishie elimu na akuruzuku ufahamu shekh
@sabrajuma859
@sabrajuma859 7 жыл бұрын
safi sana sheikh mohamed al hatimy kwa kutuweka sawa na endelea na moyo huohuo
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
KABISA dadangu
@abdula4014
@abdula4014 Жыл бұрын
Maasha Allah sheikh Muhammad. Nimeelewa Kuna wanazuoni waliosoma na wenye ilm, na wengine hawajasoma nawamejaaliwa ilm, na wale waliosoma lakini hawana ilm.
@hamidmaulid5232
@hamidmaulid5232 8 жыл бұрын
ndugi yangu fatma buyusuf sheikh al hady yuko sahihi hata allah shahidi wa hilo MANA NI MARA YA TATU MTU MMOJA YY KUTOLEWA MAKOSA MBONA KUNA MASHEIKH WINGI TANZANIA MA YY SHEIKH AL HADY HAJAWAFANYIA RADIY allah akulinde na kila hasidi sheikh alhady Amiin
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Mashaallah ustadh Mohamed umejibu vizuri hata kama umeelekezwa na masheikh zako ujibu hivyo.Kinachoniudhi mimi marudio ya nurdin kishki ni mengi Sana na yanachosha sana.majibu umemjibu vizuri na jibu lake ni ndani ya dakika tano tu
@nassormohamedmwarizo4433
@nassormohamedmwarizo4433 6 жыл бұрын
Kwa mwenye kufikiri atajua kweli Kishki amekosea. Huyu sheikh anatoa hoja kielimu sana. Mimi pia nilikua nna ufahamu huo wa Kishki lakini huyu sheikh kanishibisha.
@luuqmanabdi6052
@luuqmanabdi6052 4 жыл бұрын
Nassor Mohamed Mwarizo ..nko Pamoja nawe kiukweli kishk kakosea sna.ila mungu ndie mjuz wa yote
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
Allah Akbar Allah tuongoze sheikh wangu wa kenya maneno yako mazuri
@omarisimba8864
@omarisimba8864 Жыл бұрын
MashaAllah Allah azidi kukupa muongozo Shekh Alhatimy
@slamecktz
@slamecktz 7 жыл бұрын
Shekh Alhatym kadri Mwenyezi Mungu anavyokuwezesha mrekebishe ipasavyo hawezi wakufurisha Mashekh wetu kiasi hicho.
@lamarwazza4323
@lamarwazza4323 8 жыл бұрын
sheikh al hatimy ahsante sana wallah... E'limu za ujanja ujanja hazina nafasi tena. sheikh kishki ludi sheikh darasani
@kakamama5104
@kakamama5104 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤mashaalaah shekhewangu alihtimiy
@manishbishar882
@manishbishar882 2 жыл бұрын
Weh sheikh una wivu bona husema hivo sheikh nurdin kishki ako sawa kwa maneno yake basi tupe tafsiri
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Laula muhammadun maujudun makunna muhtadina Wala baqina alal hidaya( s.a.w)
@murshidjaffer2023
@murshidjaffer2023 2 жыл бұрын
short and clear.
@nganzirashidi1463
@nganzirashidi1463 6 жыл бұрын
Huyu sheikh nimemuelewa vzur sana. Huyu sheikh Elimu yake kubwa sana. kishki Ukasome zaidi
@saadjahadhmy103
@saadjahadhmy103 6 жыл бұрын
Mawahabi muna shida sanaa . Hamuezi kukubali ukweli . Na mukielimishwa mwatuita wanafki
@alhamudesser758
@alhamudesser758 3 жыл бұрын
Ukweli Gani shekhe wenu nipimbi Hatoi dalili.dini niyanyanyake
@hamidmaulid5232
@hamidmaulid5232 8 жыл бұрын
mashallah sheikh muhammad alhady mungu akuzidishie elimu yenye manufaa ya kutufaa sote ni kuutoa umma ktk giza mungu akupe umri mrefu na akulinde na kila balaa amiin jazaka llahul khayri
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 4 жыл бұрын
Hana uma sha allah eli ya zamn tofaut na sasa
@nadeemadams-mr3bs
@nadeemadams-mr3bs Ай бұрын
Mashallah Al-Habib.
@juma6454
@juma6454 Жыл бұрын
Mashalh wasomi wapo kenya .na mungu kuzidishie elimu na kutusomesha ktka hili n mengine
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
صلى الله عليه وسلم
@Halimabintmafitah
@Halimabintmafitah 8 жыл бұрын
Subhana Llah.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Unarudia Sana kauli za sheikh kishki na kupoteza muda mpaka inatuchosha Sana .Dakika 30 nzima unarudia maneno yake.Bora ungerudia mara moja tu.Ungejibu tuhuma moja kwa moja ingependeza Sana.Afwan
@razaqwalulu530
@razaqwalulu530 6 жыл бұрын
ungemwendea tu kishki mwenyew bila cc kujua lakini sikukatakata maneno yake nakuyakosoa .shekh naona wapenda sana sifa .mche Allah shekh
@omariomari3393
@omariomari3393 3 жыл бұрын
Angeanza kwanza kishk kuwaendea wasomaji wa kitabu hiki kabla hajawakufurisha waislam
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Allahu ya Allahu ya Allahu ya majaalkasidi ya ghathau iko hiyo tangu zamani
@abdallahathman7013
@abdallahathman7013 7 жыл бұрын
asalam aleikum sheikh una wazo zuri masha Allah walakin unachofanya kumjibu kwenye mtandao ni makosa. kila muumin hukosa na akikosa unamrekebisha walakin si kwa video
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Shekhe wa kenya nimekuelewa Allah akuhifadhi alkamalu llah yy ni mtu na kukoseya ni kawaida fadhakr
@abdulhalimmohamed3643
@abdulhalimmohamed3643 6 жыл бұрын
poleni wapenzi wa Kishki. vumilieni tu. Shekhe lenu amewekwa sawa. nothing personal.
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Weww na kishki ni vitu viwili tofauti hata baada ya 10 years Huwezi kumkuta Nurdin kishki ...Qur'an yenyewe hujui kosoma
@kitotaabdillahi4609
@kitotaabdillahi4609 5 жыл бұрын
Kishki yupo sahihi. Hicho kitabu kina shirki ndanimo. Usituletee upumbavu hapa.
@sefuidi4535
@sefuidi4535 5 жыл бұрын
We nirashaia
@khalidmuhammed2903
@khalidmuhammed2903 4 жыл бұрын
Kitota Abdillahi unajua watu wanafuata mkumbo tu hawafanyi utafiti ila kina makosa kweli
@allymbasha8794
@allymbasha8794 2 жыл бұрын
Ufafnuzi juu ya mstari huo wa kufuru sheikh tuelimike
@fettykhalfan7337
@fettykhalfan7337 6 жыл бұрын
wa sema shekhe kishki kakufurisha watu kwenye mimbar nawe wamkufurisha kwenye mitandoao inna lilahi
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 6 жыл бұрын
Fetty Khalfan hajakurishwa kishki hapa
@hamzashaaban6942
@hamzashaaban6942 Жыл бұрын
Mashekhe wetu nyote tunawapenda lkitokea kosa ktika dini basi elezaneni kwa uslubu mzuri .dini haijaeleza mkoseaji akosolewe kwa njia ya hasira sote ni binaadam na kila mmoja nimkoseaji kosoananeni kiheshima.tunajua nyote mna uchungu na dini Nyote Allah atawalipa kwa nia zenu msigombane jamani .
@fahadhilal7887
@fahadhilal7887 6 жыл бұрын
Kishki Ako juu ....from kenya
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
kasome tena hakuna aliye mchukiya hana ilimu huyo KISHKI
@khalidmuhammed2903
@khalidmuhammed2903 4 жыл бұрын
Ulie huna elim ni wewee
@khalidmuhammed2903
@khalidmuhammed2903 4 жыл бұрын
Ulie huna elim ni wewe na uyo sheikh wenu
@suleymanhureyn7013
@suleymanhureyn7013 4 жыл бұрын
ya sheikh Allah akuoneye huruma wallah na asikuazibu kwa husda yako , ayo mawaidha amekua anaeleza wenye husda ,
@shekhkuraishi156
@shekhkuraishi156 4 жыл бұрын
V
@najibfatma5476
@najibfatma5476 6 жыл бұрын
Subunallah nadhani ungemfuata pembeni au ungetuelimisha kuhusu kitabu sio kumtaja jina
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Jemeni musi fuateni mashia siwa kweli
@mustafaabdullah9124
@mustafaabdullah9124 3 жыл бұрын
watu wamatwariqa mtabaki huko mliko nasi masalaf tutabaki tuliko.Nakuheshimu sheikh lakini pia katika ukosoaji wako umejichanganya,pole...
@abdurashidi4534
@abdurashidi4534 5 жыл бұрын
Kichiki Namba Wani Allah Akbaru Mungu Amuhifaz Chekhi Nurudini Kichiki
@lydianasike2629
@lydianasike2629 3 жыл бұрын
Nimekisoma sana Kwa kweli tulipokuwa madrasa kila asubuhi tukiingia madrasa
@user412
@user412 6 жыл бұрын
Dah alhadiy unamkosoa kishk wakati wewe mwenyewe kiswahili haukijui.... ebu fahamu hutba ya kishk... hakumkufurisha sheikh nabahaniy..
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Khattab Khamis ila kafanyaje???
@user412
@user412 6 жыл бұрын
Mohamed Alli Omari kiufupi Nenda kasome tawhiid utalipata jawabu lakn ukiulizia kwa mashekhe watakwambia ya kuwa hapa hakumkufurisha sheikh kama tunavyoona... Sikatai kuwa kishk amekosea lakini ndugu uyo anaekosea naye ana udhaifu wa kibinadamu na pia unaipima elimu yake ikoje ila ndugu nikusturiana na kutumia njia nzur Katika kukosoana......
@khalfankhalfan7813
@khalfankhalfan7813 8 жыл бұрын
khery tupu masha allah
@sadikiyahaya6325
@sadikiyahaya6325 5 жыл бұрын
shekhe uko swa ila ungemuita,ungemfuta au ungempgia hta cmu mana nikpindi cha utandawazi.ila umejipanga kuja kumzihaki mwenzio wote nia ni moja kuilingania din ya hki na jua ndomana yy hajakujibu na kusema yy anamabomu ya nyuklia alisema .Jua hkuna anae ijua dini ila watu wanpishana kielimu kwa uwezo wake Allah aweke amani juu yenu.
@amishcadey8806
@amishcadey8806 6 жыл бұрын
namu penda sheikh kishki Allah amuhifathi
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
HAKUNA ALOMCHUKIYA KISHKI LAKINI ANAKOSEYA LAZIMA AKA SOME KWAUTULIVU
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Hakuna aliye mchuki ana koseya sababu yaku koseya ni kuwa hana ilimu
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Kishiki unanichekesha na hizo nyimbo zako hhhhhh shekhe wee du
@ahmedmohamed-wm5ec
@ahmedmohamed-wm5ec 6 жыл бұрын
Shekh ahsante sn upo sahihi Jamaa aka some huyo huwez kumkosoa mwanazuoni kw matakwa yko mwenyewe watu wamejitahid ktk din wametung vitab zaid ya 50 uje ww ulosom miaka saba ujitie ujanja ktk dini asante shekh wasiilat shafy haijui undan wake yule angejua asinge sema hajawahipo kutokea mwanazuon ht mmoja akakosoa wasilat shafy wamepita vigogo wngp aje yy shekh wa juzi amkosoe ulamaa dah kweli kiama kipo karibu aombe msamaha huyo
@mwajumahassan5877
@mwajumahassan5877 6 жыл бұрын
Nampen6a sana shekh kishki
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
UNA MPENDA HATU KATAI LAKINI HANA ILIMU HIBU MWABIYE AKASOME KWA MASHARIFU
@ibrahimabdulrahman4301
@ibrahimabdulrahman4301 8 жыл бұрын
Shekhe Alhady watoto wa kitwarika wenyewe wasema kuwa hzo raddi zko zte waandkiwa na fatha na kasra watiliwa na mwanafunzi wa mambrui. kuwa na ikhlasw kaa uchuwe!!!
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Hapo AllhAhu yaalam
@sammo6090
@sammo6090 5 жыл бұрын
Kwaiyo tumeletwa na Allah kwa lengo gani hata useme hatujaumbwa kwa lengo na husda zako moyoni
@allychambale3242
@allychambale3242 5 жыл бұрын
Mimi sijapenda mambo hayo tumezoea kuyaona kwa wanabongo move wasanii wa muzik sasa mpaka mashekh mbona hawawasio na muongozo sahihi viongoz wao hawafany malumbano mitandaon
@slamecktz
@slamecktz 8 жыл бұрын
Ni swahihi kabisa maamuma wanatakiwa kuelimishwa lakini kabla mtu hajapanda juu ya Mimbari ni vyema ukaaliza kitu ambacho huna uhakika nacho au hujaelewa vizuri Mkoa wa Dar Es Salaam kuna wasomi wakubwa saaana achilia mbali mkoa wa Tanga, Kigoma na Kisiwa cha Zanzibar ni kweli alikosa Shekh wa kumfata akamuuliza uhakika wa Shekh YUsuph Ismail Nabahany, masikitiko makubwa saaaaana.
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Upo sahihi ndugu
@abdirahmanvideos555
@abdirahmanvideos555 7 жыл бұрын
am sry for u sheikh.may Allah gaide us.kumsisitizia makosa kwa mtu asiye kuwa na makosa si vizuri.
@abdirahmanvideos555
@abdirahmanvideos555 7 жыл бұрын
wewe ndio hukosea,jirekebishe kwanza
@ahmedalmahrooqi9542
@ahmedalmahrooqi9542 7 жыл бұрын
Mnamuonea donge tu ,nenda mbele uko na husda zako ,Kishki yupo juu
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
TWASIKITIKA HANA ILIMU
@zubeeihamisi8439
@zubeeihamisi8439 5 жыл бұрын
Wehamed wacha upumbavu mtoto mdogo sana unawezakufananisha elimu ya kishki na SHEKH mohamad
@taitaomar6309
@taitaomar6309 4 жыл бұрын
Aliepewa hekma hakika amepewa kheri nyingi mno! innalillah wainnaailaih rajiuun!
@khatibujuma2080
@khatibujuma2080 5 жыл бұрын
unasaut mzur kwakutanhaza mpira
@abuahmad1206
@abuahmad1206 5 жыл бұрын
Ww kweli wamfikia kishki katafute elmu
@mohamudyaya8278
@mohamudyaya8278 8 жыл бұрын
Wewe sheikh mbona iyo video unaikatakata
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Mm nawapenda mashekhe wt ela mt nikiona makelele meng hw simtizami tena
@ahmadchitanda6149
@ahmadchitanda6149 5 жыл бұрын
Una lolote unatafuta kiki mpumbavu
@mohamudyaya8278
@mohamudyaya8278 8 жыл бұрын
Wacha mungu hua hawashindani lakini duh kweli ni ustadh wa kujimba video ya kish hujamalizia mpka mwisho sijui una maana gani Allah knows best
@sizasaidi6715
@sizasaidi6715 Жыл бұрын
Bd anaufahamu vizuli ao mawahabi niwauwaji kwaiyo tumsamehe bure sioakiliyake
@razaqwalulu530
@razaqwalulu530 6 жыл бұрын
Huna lengo lakumrekebisha kishki Bali unatafuta kiki tu shekh wangu nalemba lako kubwa kweli
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Hahaha akitowa mawaidha haha atowa utendi haha ajifanya sana
@nassrajape2280
@nassrajape2280 6 жыл бұрын
Kosa la sheikh kishk ni kwamba hajauliza kabla kusema ,angeuliza hapa kuna mania gan
@msramadhan2810
@msramadhan2810 2 жыл бұрын
Hata kama nikweli kakosea lkn sio vzr kukosoana mitandaoni
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Mukitaka musitake Kishki hana ilimu aende madarasa
@adamjutto7893
@adamjutto7893 5 жыл бұрын
Mwanaume wao qaasim mafuta,nawashauri wote wakasome kwake
@amirikhatbu3850
@amirikhatbu3850 6 жыл бұрын
Wewenikiboko wawa habi
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Mpelekeni huyo kishki madarasa lamu akasome ajifanya sana na hana ilimu
@lamarneir1671
@lamarneir1671 8 жыл бұрын
Aaaahahaha... kishki unajichanganya wallah
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Ame washinda
@bin_yameen
@bin_yameen 6 жыл бұрын
Wewe achana na mashekh km hukusoma kasome
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 4 жыл бұрын
Acha ujinga weee nyama wee kujifanya unajua kwan huyo shekh kishki kajiumba Hakuna binaadam dhaifu umenikera sana
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
Mbona unamtukana
@fatmabayusuf595
@fatmabayusuf595 8 жыл бұрын
punguza ushindani kama mwenzio amekosa unamfuata private.ukimstiri muislam mwenzako na ALLAH atakustiri.kama hoja yako kua kishki amewakufurisha watu kwenye mimbar basi ww na yy una tofauti gani? ?
@hamaddede464
@hamaddede464 8 жыл бұрын
elimu haifati ila inafatwa hlo la kusema afatwe ni kosa kubwa
@fatmabayusuf595
@fatmabayusuf595 8 жыл бұрын
+Hamad Dede hapo ni sawa. iloniudhi ni vile anavyoongea.ukimtoa mwenzako makosa kwa uzuri hata alokosa atakufahamu zaidi na wengine wanaoskiza pia.
@oyay2821
@oyay2821 7 жыл бұрын
amekashif hadharani na yeye arekubishwe haradharani
@neemaabdi4791
@neemaabdi4791 5 жыл бұрын
Fatma Bayusuf ,hiyo hana lolote ,Ni kutaka kumdhoofisha tu nurdin
@salumkawa7333
@salumkawa7333 5 жыл бұрын
kwann yy alisema private au kwenye member
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
wewe ukisema hautasamehe allah atamsamehe shekhe kishki
@achiwaachiwa3425
@achiwaachiwa3425 7 жыл бұрын
sheikh kwa njia kama hii ya utoaji wa mawaidha hujengi dini na ni dalili ya unafiki na ugombaninashaji wa waislam.... wewe kama umeona Sheikh Kishky amekosea huna haja ya kutoa cd mfate mwenyewe ukamrekebishe... Tuwache unafiki waislam utatufikisha pabaya
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Aah Mawahabi tunakujueni kwa kutetea uovu nyie mnajitahidi sana tu yani
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
Achiwa Achiwa hana alipo kosea ila kishky amemzid elimu ndo mana
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Alhatimiy yuko sahihi kabisa Anaondoa kufru zilizoletwa na kishki
@mohamedkuziwa3315
@mohamedkuziwa3315 5 жыл бұрын
We unawaza nini?? Hauko sawa humjui kishk ww kaa tulia
@abuaminmadi9911
@abuaminmadi9911 2 жыл бұрын
Nyote wawili sio wasome ispokua muna punzi za kunguzungumza
@abdulrazaq212
@abdulrazaq212 5 жыл бұрын
Hawawez kuku elewa shekh muhamad elimuzao ni ndogo wenyewe wanafata matamanio kwakua wanampenda kishki hiyo tunaita elmu bahari hawa wezi kukuelewa
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Hwataelewa HAO NI WA POTOFU Kishki hana ilimu huyo nabahero
@khalidmuhammed2903
@khalidmuhammed2903 4 жыл бұрын
Sasa musiambiwe ukweli hem nenda kaangalie icho kitabu maneno ya shirki hayapo kweli
@nin-geed-saaran
@nin-geed-saaran 4 жыл бұрын
"Elmu bahari" subhanallah
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Abdi rogo sijawahi kumsikia akijisifu.Othman maalim sijawahi msikia kujisifu hv.sheikh samir,sheikh ibrahim,bachu n.k sijawahi sikia
@hawamusa2451
@hawamusa2451 6 жыл бұрын
Huna lolote unamuonea wivu sheikh kishki , unatafuta umaarufu Kwa kumchafua mwezio acha chuki sheikh kishki ypo juu,,,Allah kashampandisha daraja ww huwez kumshusha ,,,roho mbaya inakusumbua ,,,lione vile ovyoo
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 жыл бұрын
uko sahihi kijana, kaweke sawa hako kashehe ubwabwa, yeye no bingwa wa bongo flavour tu.
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 жыл бұрын
ni bingwa wa bongo flavour
@halimahamza406
@halimahamza406 4 жыл бұрын
Astakafirullah
@Officialmasaikhan
@Officialmasaikhan 7 жыл бұрын
Mwenye zimungu amese ma man satara musaliman satara llahu youmal qiyamah
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Hadithi hiyo hapo siyo sehemu yake Haihusiani kabisaaa Maana kama Muhabiya wewe ni mkweli nasiye Munaafiq bac ungemwambia Kishki amstiri Sheykh Nnabahaan kama yeye kaona kuwa kakosea Lakini waapi...!
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad waislam wanakutegemea, Sheikh Kishk tunanawategemea Elmu haina tofauti na bahri tunaomba barka za elmu zenu musidhalilishe uislam. Uislam unamaanisha Amani
@safari34410
@safari34410 7 жыл бұрын
Acheni kushindana waislam
@abdisalamshee3698
@abdisalamshee3698 2 жыл бұрын
Nyie watu wa maulidi hamna elimu yyte ,, hamusikii uzuri kabsa
@abdulahrasambi235
@abdulahrasambi235 7 жыл бұрын
tofauti na Huyu Hatton.. hata kwa dawa kishk awezi mfikaa she ismail nabahanii kielimu doo kishhk Omba msamahaa tafadhali
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Kabise aombe msamah kwa mngu na kwa shekh wetu
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Hajuwi hata kuhutubu anatowa utendi huyo mimi ni mimi hahaha kishki
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Wambiyeni wapigao maulidi hata lini haukomi uhasidi mauli yako tawasuli iko mutake musitaki kasomeni bahero kishki
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Asalmu alekum kabisa ajifanya sana akizungumza kama yeye ni yeye hakuna shekh mungine nimashiaa hao usi stop edeleya kuwa faha misha shekh weto mungu akuweke ndiomana akapigwa huyo bahero huyo na huyo rafiki yaki kishki
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
wewe hizo ni nyimbo au ni mashairi kishki hajakosea maana hata enzi za mtume kulikua na washairi bwana mbona una ligi zakijinga lakin kusoma hujui picha pia huoni
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Muhammadil hadi Ali mkizi apinga qur'an katika nikkah Cd part2 11.380 weergaven 68 14
@hawraymuncw9893
@hawraymuncw9893 4 жыл бұрын
مشكلة الوهبية لا يفتهمون لأن في قلوبهم أقفال
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 3 жыл бұрын
أنت مجنون أو معتوه
@abdulshakurabdilah2588
@abdulshakurabdilah2588 5 жыл бұрын
Na izo ibara hujamfahamu weye
@meyramahir9055
@meyramahir9055 6 жыл бұрын
Sheikh kishki mungu ampe umri mrefu enye baraka. But wewe sheikh mwengine tafadhali wacha wivu
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Ungemtafta private mukachambua vitabu lkn sio kwa hali hii.... Subhanaallah lzm mushikamane ndio umma upate elmu. Kama kakosea mtafteni pravate hakuna mkamilifu
@salimlutfimohamed832
@salimlutfimohamed832 3 жыл бұрын
Amesema mwnywe aje ajibiwe na yeyote angemfuata private ungeelimika vp
@jailanirazack3074
@jailanirazack3074 4 жыл бұрын
Kishki Walahi haujui balagha,
@yasminhussein4402
@yasminhussein4402 6 жыл бұрын
imefika waislamu kwa waislimu wagomba da! mnatufundi nini sisi wanafunzi wakesho dunia inaisha my Allah protect us all
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allahuma Amiin🙏
@salimmohamed694
@salimmohamed694 5 жыл бұрын
Unatafuta kiki na followers ... mnafiki ww
@bakarizaharani142
@bakarizaharani142 Жыл бұрын
Sidii kama hini
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 жыл бұрын
kishki ni mzushi tu hata shehe rogo alishawahi kusema madhaifu yake.
@latifahmulanda682
@latifahmulanda682 6 жыл бұрын
Ramadhan Ibrahim shetani ww unaye Sema kishki ni mzushi rogo ndie aliye kua mzushi mkubwa akafa kifo cha uzushi
@abdullatifissa2579
@abdullatifissa2579 8 жыл бұрын
Namsiki kishki aache RIYYAH
Sh| SAID BAFANA|  THE MONTH OF SHABAAN #enlightenment #islamicknowledge
1:15:57
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
MADHARA YA MITANDAO HASAA "TIKTO"
35:03
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 10 М.
History, Sayyidna Abdulqadir Jailani
33:45
Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh
Рет қаралды 51 М.
mufuti chibekete kola kwasigo mama Aminah cha n'timiki Muhammad
1:01:11
Alfred Wasili
Рет қаралды 4,1 М.
SHAFI SHOMAR...KWANINI TULIUMBWA
42:09
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 349 М.
HUSBAND & WIFE-JUMUA KHUTBA
53:14
𝐓𝐀𝐖𝐁𝐀 𝐓𝐕, 𝐊𝐄𝐍𝐘𝐀
Рет қаралды 11 М.
HISTORIA YA KIFO CHA IMAM ALI BIN ABI TALIB a.s 02
54:59
Asadiqmedia
Рет қаралды 10 М.
LIVE: UCHAMUNGU | SHEIKH MOHAMMED ALHADY ALHATIMY
1:15:56
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.
mufut chibekete kuwa kwatume Muhammed
1:05:25
Alfred Wasili
Рет қаралды 9 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН