Al-Hatimy Amrekebisha Khatibu wa Vetenary Kwa Kusema "Mtume Muhammad S.A.W Hanufaishi wala Hadhuru".

  Рет қаралды 93,029

Ahlusunnah Wal-Jama'a

Ahlusunnah Wal-Jama'a

8 жыл бұрын

La Haula Wala Kuwwata Illa Billah! Leo kwatokea Mtu tena Katika Madaa'i na kutowa matamshi yasio na Heshima wala Adabu Juu ya Mtume Muhammad S.A.W Bila ya Kujali, tena akiwa Juu ya Mimbari ya Mtume Muhammad S.A.W.

Пікірлер: 120
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 жыл бұрын
Mimi nadhani Shekh Kishiki alitaka kutuambia ya kwamba Mwenyezi mungu ndiye namba 1 na kila kiumbe kinamsujudia yeye tu na Mtume wetu Mohamedi naye katoka kwake na sisi tunamuheshimu katika imani yetu ya Uislamu Mtume wetu lakini hatumsujudii kama mwenyezi mungu mm kwangu naona Kishiki yuko sawa!
@ismailchilonga2878
@ismailchilonga2878 4 жыл бұрын
Kishki napenda ila Huyu sheikh yupo sawa hana makosa yupo sahihi kabisa mwenyezi mungu amzidishie imani
@aishamalaki1352
@aishamalaki1352 6 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie Sheikh Hatimy maisha marefu yenye kheri ili uwasomeshe nawengine zaidi maana haoulio wasomesha wameanza kusoma sasa INSHAALLAH ALLAH atawabadilisha wajuwe vizuri dini yao
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 5 жыл бұрын
SubuanaAllah,, AstaghfiruAllah AstaghfiruAllah ewe mollah wetu tusamehee na utuweke ktk njia iliyo ya kheir
@abdulsanz7885
@abdulsanz7885 5 жыл бұрын
uyu kishki atatuponza... asante Al Hatim kwa kumkosoa kiakili... Kishki usiwe na Kibri... Kafiri mwenyew hawez kusema ati Mtume hanufaishi wala hadhuru ww umepata wap jeur hii
@nganzirashidi1463
@nganzirashidi1463 5 жыл бұрын
Huyu Sheikh mm nimemuelewa na ninamkubali sana
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 4 жыл бұрын
Wallah elimu ni bahari
@burhanhaji769
@burhanhaji769 6 жыл бұрын
"Na wala hatukuwatuma katka mitume (tuliowatuma), ispokuwa in lugha ya watu wake ili kuweza kuwabainishia(Haki)....QUR-AN 14:3, kwa mujib wa aya hii, imamu WA veterani yupo sahihi kutoa khutba kwa lugha ya watu anaowafikishia ujumbe.
@jaafaralsadiqchannel1906
@jaafaralsadiqchannel1906 8 жыл бұрын
احسن الله علينا و على المسلمين. و لنعلم ان هذه امتنا امة واحدة فرويدكم رويدكم
@semenimtoka1121
@semenimtoka1121 4 жыл бұрын
Wallah shekh unaelimu kubwa sanaa lkn msipende kurekebshqn mtandaon mungu akuhifadh al hatimy
@AhmedMohamed-hc6pp
@AhmedMohamed-hc6pp 8 жыл бұрын
Subhan'Allah! what a beautiful reply. I hope you may reply to more of such sheiks INSH'ALLAH
@hassanowgennogenno5740
@hassanowgennogenno5740 5 жыл бұрын
tunaomba masheikhe wetu wa ahlusunna watembee kote kufahamisha wengi waliopotezwa .wallahi wengi hawafahamu dini
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Alhatimi your right.May Allah bless you.
@mohamedseph9379
@mohamedseph9379 5 жыл бұрын
Sheikh Al - Hatimy achana na babu wa vetinari ss tunamjuwa kama mfanya biashara tu
@slamecktz
@slamecktz 8 жыл бұрын
Shekh AL-Hatimy Mwenyezi Mungu akuongezee umri mrefu na akuongezee hekima uendeleee kuitangaza dini ya haki ya Mwenyezi Mungu.
@alhajrialhajri4026
@alhajrialhajri4026 3 жыл бұрын
Kama kishki kakosea kamkosowe mwenyewe mkiwa wawili sio mitandaoni hii tabia haifae kwa mashekh kama nyinyi
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Mbona unapenda kumkosoa mwenzako....Au unataka umaarufu...
@user-tl2jz5wg2p
@user-tl2jz5wg2p 5 жыл бұрын
قال تعالى:فماذا بعد الحق إلا الضلالة..سورة يونس
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 жыл бұрын
Dah! Sheikh wangu
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
Allah akukuhifadhi Sheikh Al hadi
KHATIBU WA VETENARI AMEMKUFURISHA SHEIKH NABAHANY
1:47:08
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 164 М.
Al - Imam Shafi'i  رضي الله عنه  :: Ust. Mbarak Ahmed Awes
41:25
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 18 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4 МЛН
Tathbiq Qiroah Kitab Ushul Tsalatsah: Ma'rifah Nabi (Hijrah)
54:03
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME// SHEIKH ISLAM
9:53
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.
MAJIBU YETU KWA SALAFIY HUYU PART 1 AND 2 RAMDHAN 1436/2015
1:05:32
Ahlul Istiqamah Channel
Рет қаралды 78 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|SEHEMUYA KWANZA| Muhammad Bachu.
1:06:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
Mafunzo yanayo patikana katika kifo cha Sheikh Muhammad Swalihu v2
1:36:38
SHEIKH BAHERO NA SHEIKH NURDIN KISHKH 4/4
30:40
shining noor
Рет қаралды 79 М.
048 1 OTHMAN MAALIM   KUZALIWA NA KUFA KWA MTUME MOHAMMAD SAW
1:06:26
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 310 М.
Khatibu Wa Vetenari (Kishki) ....... Amkufurisha Sheikh Nabahany
1:50:51
Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh
Рет қаралды 83 М.