Kazi ya mwanamke. Ndani ya nyumba ni kutoa sheria.. Kazi ya mwanaume. Ni kutoa mwongozo.
@peacennko20034 ай бұрын
Siku ikipita sijakufatilia❤️💖🙌 Siwezi kabisa
@mkatolikikiganjani80754 ай бұрын
Somo nzuri sana.ubarikiwe sana kaka Joel🎉
@emmanuelmalele14394 ай бұрын
Sema Nini, Joel anafit kila sehem , umeelezea vizur mistar hadi nmfurah❤
@user-gb1hn5ml8y4 ай бұрын
From south Africa Durban siko nyuma
@InviolataNduyeАй бұрын
Ubarikiwe sana
@MariamuMahir4 ай бұрын
Kweli kabisa mwanamke akijua purpose yake inamrahisishia maisha(kuishi)❤
@MbarakaMasharubu4 ай бұрын
Jana na leo
@franksamson17184 ай бұрын
Kaka hii speech ni hatari ila umetuwekea kadogo ila kana mafunzo makubwa sana. Kazi ya mwanamke ni kutoa sheria kwa watoto. Pia kwa upande wa mwanaume ni kutoa mwongozo.
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es4 ай бұрын
Powerful speech
@willymwenga93364 ай бұрын
Hatari Sanaa mkuu.Akili yenye umadini makubwa nadhani haya masomo wote tunaofatilia tuweze kushare kwenye magroup yetu ili wengi tupone.Kizazi kinaharibika Taifa linakuwa na viongozi wa ovyo wala rushwa wapigaji kwasababu walikosa strong upbringing from their parents.Tushare Hilo Somo ili kina mama waamke warudi kwenye malezi ya Mungu kwa watoto,Na Taifa litapona kesho Na tumkumbuke huyu Motivational speaker NANAUKA JOEL. for my side I think you are number one real teacher.Ni mwalm kabisa mkuu
@shukuranirebecca48774 ай бұрын
Nasubiri
@shannarsaidSwahili4 ай бұрын
Kweli mzee wangu
@vanessasalema60874 ай бұрын
Noted.
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es4 ай бұрын
Hii inanikumbusha Unabii wa Hab.2:14.
@hadidjaissa91544 ай бұрын
🙏umetukomboa usingizini wanawake
@estermathias83544 ай бұрын
Asanteee.umenipatia sana.acha nikomae na misimamo yangu
@kazimoto-eq2th4 ай бұрын
Kweli kabisa ukali unafanya watoto Kua wakali pia badae