KHATIBU WA VETENARI AMEMKUFURISHA SHEIKH NABAHANY

  Рет қаралды 164,212

Ahlusunnah Wal-Jama'a

Ahlusunnah Wal-Jama'a

9 жыл бұрын

Al Ustadh Muhammad Al-Hady amrekebisha Khatibu wa Vetenari juu ya kumkufurisha Sheikh Nabahani. Kama alivo mkufurisha kwa Video na CD na yeye arekebishwa vilevile ili na sisi tulio sikia kupitia CD turekebishike kupitia CD.

Пікірлер: 242
@abdirahmanvideos555
@abdirahmanvideos555 7 жыл бұрын
nurdin kishki tunampenda kwa ajili ya mwenyezi Mungu
@allyrabbany4538
@allyrabbany4538 4 жыл бұрын
رحم الله العلامة الشيخ يوسف النبهاني رحمة واسعة إلى يوم الدين.
@shekhally5741
@shekhally5741 3 жыл бұрын
Subhana Allah. Namuomba Allah amlipe kheri sheikh Nabhaan
@ramsoothman6856
@ramsoothman6856 7 жыл бұрын
Subhaanallah!!!! huyu jamaa amefika mbali ktk kukufurisha wanazuoni wakubwa na wa zamani... lkn huenda kuna watu wanamlipa kwa kazi hii.... hii ni hatari kwa akhera yake.
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 4 жыл бұрын
nimeangalia zaidi ya mara kumi sijaona kosa lolote la kishk nilichogundua ni kwamba mzungumzaji anatafuta umaarufu kupitia sheikh Nurdin
@hassanhabasharashid3619
@hassanhabasharashid3619 6 жыл бұрын
Wallah uislamu ni dini ilokamilika.waislamu hawakoaoani kwa kuaibishana.kwa kughafilishana laa waislamu hukusoana kinyenyekevu...
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 4 жыл бұрын
sheikh uo vizuri saana lazima uwanyooshe hao wasio elewa
@shabanmuhoro3542
@shabanmuhoro3542 8 жыл бұрын
Shukran Sayyid Alhaatimy kwa kutupa elimu ya لولاه na خبر كان hahaha Nahwu ni Elimu kubwa sana
@COM09
@COM09 9 жыл бұрын
Allahu Ya Allahu Ya Allah Ya Malja a lkassdi ya ghauthaau.
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
Shukran alkhatimiy Muelimishe huyo hana ajualo
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 4 жыл бұрын
Nashkuru nimjifunza mengi yanayohusiana na Nahwu Baaraka llahu fiiqu
@iddramadhani2715
@iddramadhani2715 4 жыл бұрын
Shekh haujamwelewa vizuri, Shekh mwenzako amesema "kwenye kitabu cha wasilati shaffi kuna maneno ya kishiriki kabisa" haja sema Shekh aliyeandika hicho kitabu na wanaokitumia ni makafiri au washirikina na mwandishi ni binadamu anaweza kuteleza kama binadamu. Allah ndio mjuzi zaidi.
@abdulrahmansalim3016
@abdulrahmansalim3016 8 жыл бұрын
Al Ustadh Muhammad Al-Hady Mwenyezi Mungu akulinde na kila mwenye ubaya nawe, Akupe afya njema na Umri mrefu, na usichoke kuwarekebisha hao watakasifa machoni mwa maamuma na kujiona wao ndio walio karibu Zaidi na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. kisha huwa nashangaa sana Kishki kujiita Sheikh wakati wanaomrekebisha makosa wanajiita Al-Ustadh, hii ni aibu kubwa sana.
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 5 жыл бұрын
Kweli elimu ni bahari, na kadri unavyosikia wanawachuoni, ndio unajifahamu kuwa kumbe dini hii ni ya kusoam, na ukiona elimu yakobado sio ni bora uwe dai tu, wawaita watu katika dini na si kuanza kuwakosoa watu. Unaweza jiona kumbe wewe ndio hujui Kbisaaa kama ndugu yetu wa Vetenary. Allah amuongoze yeye na sisi
@abrarmohamad6250
@abrarmohamad6250 5 жыл бұрын
Wallahy dunia hii yaisha.. mpaka ma sheikh wankua wakidhalilishana kwa mitandao.. subhana Allah mungu awaongoze wallahy twaenda pabaya.. leo wafurahisha watu kwa kumkajili mwenzako na uko na uwezo ukajadiliana nae kwa makini pekeyenu bila kumpa mtu faida.. inalilahi waina ileyhi rajiun.. Allah atusamehe wallahy😭😭😭😭.. tupe mwisho mwema yaraby
@asedzuberi4536
@asedzuberi4536 7 жыл бұрын
Jazaakallaahu khairaa......usichoke Mwalimu,endelea na watatuelewa tu muda wakua wakuu wao huko Saudia wameshatuelewa ktk mambo mbalimbali kama vile maulid n.k
@fatmaomar677
@fatmaomar677 9 жыл бұрын
Shukran kwa ufafanuzi wako sheikh Mungu akujaze kheir amwongoze sheikh kishki azinduke
@mariamomari5848
@mariamomari5848 3 жыл бұрын
Kishiki Ako Sawa MA SHA ALLAH
@Abdul112012
@Abdul112012 9 жыл бұрын
Assalaam aleykum warahma tullahi wabarakatul. Binaadam tumeumbwa na kughafilika utakapoona mwenzio amekosea ni khery kumfuata face to face kumueleza sio kujitoa ktk CD na kumkosoa kwa kuwa watu woote wamuone kama anamkosoa. Ikiwa na ww ni binaadam basi tunamakosa mengi sana hata ww pia unakosea. Tujue kurekebishana kwa kumfuata sio kutangaza ktk cd au kujitangazia kwa watu huo si Islam bali ni chuki. Allah atusaamehe kwa makosa tunayoyatenda hali yakua hatuyajui ameen yaa Rabbi
@hussainyahya4758
@hussainyahya4758 9 жыл бұрын
ni vnye uwajui wakina kishki na bahero wake. wameitwa mara ngapi mijadala wakasusia...................bahero mara ngapi amemwita ustadh kijibarawa?????????????????????????????
@rukyaabdilo7921
@rukyaabdilo7921 4 жыл бұрын
Mkamilifu ni Allah..mkosowe kwa njia sahihi si kwa c.d..tunampenda Nurdin kishk kwa ajili ya Allah..Mungu amuogonze InshaaAllah.
@Mjingacom
@Mjingacom 9 жыл бұрын
Shukran kubwa kwako ya sheikh kwa kuelimisha umma na fitna ya hawa mawahhabi.Ni saratani kubwa kwa uislamu.
@rashidichoyo5356
@rashidichoyo5356 4 жыл бұрын
Nawapend san mashekh wangu wete dunian kwa ajili ya allah ila huu mwenendo huu so mzury mm napend san osuman malim mungu atujalie mungu atu onyeshee njia njema inshallah ila huu munatengenezaa uwadui na muna uwaribu uislm ndug zangu mamuma tusio juwaa tujitahid tuisome din yetu tukufuu ila soo kwa haya maneno ya kuzalilishan tungu na kam mm nimekosea nisamehen asate nawapend kwa ajili ya allah mungu tubarik waislam wote dunian
@lolooman9170
@lolooman9170 4 жыл бұрын
Hii CD ya mwaka gani munatuchanganya maana nyote shekh wazur mumesoma vyema Qur an.
@antv5590
@antv5590 2 жыл бұрын
Allah akujaze Sheikh Khatim,Allah akuenue darja na kukupa umri twaweeel
@munasayed8657
@munasayed8657 6 жыл бұрын
Allahu Akbar, Maasha allah tabarakallah sheikh
@mrishoabdulhakim6384
@mrishoabdulhakim6384 8 жыл бұрын
Shekhe hamkosoi Kishky, anachofanya ni kutoa elimu juu ya alichokisema Kishky, na ni bora akatumia CD kulekebisha maana Kishky ametumia CD kueneza alichokisema. sasa mlitaka Sheikh amfate Kishky msikitini amlekebishe? wale wasio na elimu ya lugha wangejaje?
@allyyassin1724
@allyyassin1724 4 жыл бұрын
Toa tafsiri ya hayo maneno ili tujue ni ya kishirki ama laa?
@kishkisady173
@kishkisady173 5 жыл бұрын
naam sheikh endelea kumsahihisha
@ahmedkhamis8319
@ahmedkhamis8319 8 жыл бұрын
kila binadamu nimwenyekukosea. mashekhe wetu wapendwa tutafuteni njia na mbinu nzuri za kuekana sawa na kabla ya kutowa c.d za kukosoana uislamu haukutufunza hivyo.
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 7 жыл бұрын
Mm nimependa sana hii unajua Uislamu sio dini ya mchezo mchezo challenge lazima iwepo hii sio dini ya kusema sema ovyo ovyo tu halafu watu wakubali tu lazima watu wachunguze ni sawa kutokana na Aya za M.mungu na hadithi za Mtume Muhammad s,a,w
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Twampenda kishk Allah amuongoze inshallah
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Subhannah Allah,hata mie nasoma hichi kitabu sana,sasa hizi ni zama za kupotoshwa sie maamuma tunapotezwa subhaanah Allah.
@yassinomary5913
@yassinomary5913 5 жыл бұрын
Mkamilifu ni allah peke yake
@abdallahally3361
@abdallahally3361 5 жыл бұрын
ww shekh ww ni kweli kabisa katika hiki kitabu maneno ya shiriki yapo sasa swali ya faa kujifunza shiriki kishik yupo sawa hiki kitabu kina makosa sana
@hamisishafii1645
@hamisishafii1645 6 жыл бұрын
Allah ya Allah ya Allah maljaa lkaaswid ya ghausahu
@muhammedngonyani8776
@muhammedngonyani8776 3 жыл бұрын
Kumpenda MTU kwa matamanio bila kufuata muongozo WA Allah HIYO ndiyo shirki,kishki kakosea tena sana,SHEKH wetu Muhammadil had alhatimiyyy ahsante sana kwa kutupa elimu,kishki hana kitu makelele tu.
@cesarbukuru9915
@cesarbukuru9915 3 жыл бұрын
Weee cheikh muogope Allah kishki yuko kwenye haki !
@farajikilindila7945
@farajikilindila7945 6 жыл бұрын
yaani shekh kishiki namfananisha na nabii musa alipotoa khutuba akaulizwa musa kuna mwenye elimu zaidi yako akasema hapana mwenye elimu zaidi yangu mungu akamwambia nenda kamuone mwenye elimu na ni alkhidir shekh kishiki elimu bahar jifunze kwa musa na alkhidir usijinadi km unaelimu sana
@sharifahandhara8592
@sharifahandhara8592 4 жыл бұрын
Allah akuhifadh sheikh wetu nurdeeen muhammaad ahmed almaaruf kishk Uswajal mkamilif ni Allah
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 9 жыл бұрын
Kishki nimzunguzaji lakini elimu yake iko chini
@fauzibrahim1230
@fauzibrahim1230 8 жыл бұрын
haya mambo yanahitaji kuheshimiana
@abddulkadiralihaji5054
@abddulkadiralihaji5054 4 жыл бұрын
Masha Allah Shekh kishki yukosawa
@abdoulkarimnassurdine3547
@abdoulkarimnassurdine3547 4 жыл бұрын
Mungu akubariki shehi
@Haadi88
@Haadi88 7 жыл бұрын
Just by one uttering words of Kufr, doesn't make one a kaafir! Shiekh kishky saying there are words of Kufr inside it, doesn't mean he's calling the shaykh رحمة الله عليه or his followers kuffaar! If the message is indirect, then one needs to ask Shiekh kishky himself what he meant, or we fall in to the prohibition of having conjecture ...
@farajikilindila7945
@farajikilindila7945 6 жыл бұрын
jifunze kisa cha nabii musa na nabii alkhidir shekh kishiki usijione unaelimu sana zungumza kwa mipaka
@salhinaselemani9780
@salhinaselemani9780 5 жыл бұрын
Mukiona jambo lina wasumbua rudin katika quruan na sunna sio kupigana vijembe ! Maimamu wote wanaweza kosea
@mariamomari5848
@mariamomari5848 3 жыл бұрын
Hizo burdani zake hunifurahisha sana, zinanifanya nazidi kuskiza mawaitha zaidi. Keep up kishki, you are the best.
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 жыл бұрын
Shokran shekh wetu mungu akuweke akupe afaya wew ni mkweli kabisa edeleya kuwa fahamisha waso kuwa na ilimu huyo ana kufuru kishk amekoseya allaho allahu iko natuta endeleya kuisoma
@abdallahmuhammad4729
@abdallahmuhammad4729 5 жыл бұрын
MashaLlahu Sheikh Allah azidi kukufungua Kichwa chakuwafahamu wapotofu na uwarakibishe.Shukran Allahu Baarik
@aminasuleyman9440
@aminasuleyman9440 4 жыл бұрын
Tatizo la Kishki anapenda kuona kuwa kashamaliza kusoma na elmu ndio imeishia hapo na anaona yeye anajuwa kila kitu Na anaposema watu wanaotumia kitabu hiki wamsamehe na kama hajafaham afatwe sasa kama alijuwa hilo kwanin aongee kwanza kabla ya kuuliza. Kwa watu wenye ilmu kishki anaonekana hana ilmu kwa sababu hana sifa ya mtu mwenye ilmu,kakosa adab,hikma na unyenyekevu. Alichokifanya sheikh kumrekebisba ni sahih wala hajakosea,kishki anapenda kujifanya anajuwa hali ya kuwa anachokifaham ni kidogo sana.
@abubakarawoo1197
@abubakarawoo1197 5 жыл бұрын
Mashaalh
@mohdtamim7953
@mohdtamim7953 3 жыл бұрын
Assalaamu alaykum Yaa Allah wape hekma masheikh wetu wawez kuheshmiana. Masheikh msitumie njian nyengne ya kuwekeana saw kuliko kutumia media, Mimi ningependa kumtafuta mtu n kumueleza nn alichkusudia kusma manno ago.
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
Wakikaa chonjoww unvepta faida hapa..mbona yeye kishk hakukaa chonjo kapayuka tuuu..tulia uelimishwe ww na huyo shekhe wako wa kujikweza
@mankipaso7236
@mankipaso7236 4 жыл бұрын
Kishki anapenda sifa yeye kama ameona kuna shirki kwnn asingenda kwa wale wanaosoma hicho kitabu yeye anapenda majivuno
@yasinimohamed5307
@yasinimohamed5307 4 жыл бұрын
Shekh kishki yupo sahihi Wewe shekh wa Kenya sijui ukoje !uko elimu ya Sawa kweli?
@hadijasue6706
@hadijasue6706 5 жыл бұрын
Ndugu chunga Sana tusikosoane on line. Hiyo sio uisilamu
@jamaliismaili7299
@jamaliismaili7299 9 жыл бұрын
ahsante kwa ufafanuzi
@adanibrahim7255
@adanibrahim7255 4 жыл бұрын
Sheikh kishki anayo sema ni kweli, kwa sababu hiyo maneno tuki tafsiri((isingekuwa mohamed hatungali kua juu ya hii dunia hii wala hatungeweza kupata hidaya)) kwani hiyo mwandishi ni Allah. Sheikh Yusufu nabahani si Allah.
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Mtume saw ametajwa mpk kwenye salaaa
@ramadhan122
@ramadhan122 5 жыл бұрын
Ukisoma kwenye wasila neno LAULAHU maakunna walaa baqiina Lina maanisha kwamba kama siyo yeye (mtume Muhammad saw) Tusinge kuwepo wala tusinge bakia ndipo halo alipo simamia Shekh KishkiJapo kweli tuna mheshimu sana Shekh Nabhani je kuna ukweli hapo?
@abdullay3166
@abdullay3166 6 жыл бұрын
Assalam alykum ingekua Bora ukakutana nae ndio mutaelewana lkn Kwa njia hii ningumu kufundishana na utatupoteza sisi wanafunzi wenu
@allykasumuni2730
@allykasumuni2730 5 жыл бұрын
Wew kamfahamish sio matatizoyenu kuyaweka mitandaon
@husha6372
@husha6372 9 жыл бұрын
Assalaam aleikum.Nilisema zamani kuwa hawa watakupa taabu kuwasomesha.Inshallah nadhani watafahamu na wataelewa.Mwenye ezi mungu akujazi kheyr na usichoke kuwasomesha.
@tumerbakhressa8598
@tumerbakhressa8598 4 жыл бұрын
Nasiha yangu kwa huyu shekhe ni kwamba msifu Allah zaidi kisha mtume ( SAW) sababu mtume hafanyi kitu bila idhni ya Allah. Hata hidaya yatoka kwa Allah. Mtume ni Mjumbe kesha fikisha.
@jaffarmguwa5566
@jaffarmguwa5566 4 жыл бұрын
Nabahany sio masoom.... Hakulindwa na makosa .... Tatizo lenu badala ya kusoma Quran manoenda kusoma vutabu vya ajabu ajabu
@salehesalehe9923
@salehesalehe9923 5 жыл бұрын
Alichokidany ndich anachofanyiwa . baarakallah
@rngsplif9484
@rngsplif9484 2 жыл бұрын
Wasiilatu Shaafii ni Bidaa
@farhannurkey
@farhannurkey 6 жыл бұрын
ukafiri hakuna hapo kwa sababu ametoa kulingana na ufahamu wake na kama umemkosoa basi Allah amfahamishe.sio ww umkufurishe kwa kutokujua kwake
@ahmeddahir678
@ahmeddahir678 4 жыл бұрын
Sisi sote ni waslam bali kuna iqtilafu je tuimalize vipi iqtifu ?
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 4 жыл бұрын
Shekhe Kishki anayo elmu kubwa kwa ulimwengu wa sasa,, lakini niliacha kumsikiliza kama miaka 7 iliyopita,, kwani nilijua ataharibu kwasababu ana majivuno sana,, hakika Kishki elimu hujafika hata robo yake kwanini anajiweka juu sana,, nilimsikia akisema yeye ndie shekhe wa kwanza Tanzania kutoa daawa kwa lugha ya kiarabu huko arabuni,, hivyo hamna zaidi yake,, nikamsikia akijivuna kua yeye nasaba yake imekwenda mpka kwa mjukuu wa mtume Nuhammadi (s.a.w) hivyo nim-bora,, shekhe yeyote atakae ongea kwa kujivuna lazime awe kwenye makosa,, mtume anapeleka dini Twaaif watu wake wanampiga mawe,, Allah (s.w) akatuma malaika laiti kama mtume angeli taka kijiji kile kingeli futwa kwasababu Allah (s.w) ailishatoa idhini,, mf. wakatu wa mitume iliyotangulia walikua wakikithiri katika dhambi Allah anawafuta na analeta wengine baada yao,, lakini Rasuulullah Muhammadi ( s.a.w) akaomba kwa Allah (s.w) asiuangamize umma wake ila ausubiri mpaka siku ya Qiyama,, sasa kwadhambi hizi tulizo kusanya kama si dua ya mtume tungeli kuepo!!? acheni kujivuna waislam,, tuache migogoro na hitilafu,, tuangalie mambo ya kupeleka dini mbele,, fanya unaloona halina shaka kwa nafsi yako
@anonymousahmadi3826
@anonymousahmadi3826 6 жыл бұрын
Piya quran 8:24 inasema mtume saw anatumpa uhai. Amin.
@mamawanyumba103
@mamawanyumba103 8 жыл бұрын
ila huyu shekhe Mimi namuelewa tu sana.....
@salimkadenge3231
@salimkadenge3231 5 жыл бұрын
Mashaallah
@abdalladegera4809
@abdalladegera4809 4 жыл бұрын
Answaar kishki hana lolote zaid ya kupotosha waisalam yan kitabu kina maneno ya shirki, subhnallah.
@lolooman9170
@lolooman9170 4 жыл бұрын
Hewa shekh kishk ni mwana sayans uyo na tecnologia.
@asiamchingama2484
@asiamchingama2484 5 жыл бұрын
Cc maamuma cjui tutaegemea wp jamani, wenyewe kwa wenyewe mwapigana vijembe badala ya kuitana na kukaaa chini mukatafakari, astaghafirullaah acheni hizo mambo
@rajabshabanforogo7520
@rajabshabanforogo7520 5 жыл бұрын
Silioni kosa la kishk hapo
@cakesuke1235
@cakesuke1235 4 жыл бұрын
Naaam shekhe
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 4 жыл бұрын
Shk.Ungewacha kurekodi clips.Wenzetu wantucheka.Mnaikhtarifiana. SISI SIO AKIRISTO.
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 5 жыл бұрын
Allah akuzidishie kheri kwa kazi yako Rafiki na Ndugu ktk iman Al Ustadh Muhammad Al-Hady
@AhmedMohamed-hc6pp
@AhmedMohamed-hc6pp 8 жыл бұрын
Ustadh Muhammad Mash'Allah nice work done. And i hope you reply more of such sheiks who are causing such injustices towards Holy books, plus Scholars.
@mamawanyumba103
@mamawanyumba103 8 жыл бұрын
ooooooh!!!.. subhaanallaah kumbe kishky ndo aliongea haya subhaanallaah
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 жыл бұрын
KATIKA suala la KUSOMA na KUTAFUTA elimu, hakuna imamu Wala maamuma. Sote TUNAPASWA KUCHUKUA JUHUDI za kuitafuta elimu ili TUWE na UHAKIKA ya ibada ZETU. MUISLAMU ukianza KULAUMU masheikh kua eti wanakuchanganya na hujui ushike wapi huo Ni udhaifu mkubwa. Tatizo letu WAISLAMU wa Leo hii hatuchukui JUHUDI za kuitafuta WALIMU tukasoma dini yetu ndio maana tunashindwa KUJIFAHAMU. Mwisho wa siku tunalaumu wanazuoni. SIKU YA QIAMA KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE. HIVYO NI WAJIBU WETU TUITAFUTE ELIMU POPOTE PALE KWA KUKAA KWA MASHEIKH MBALI MBALI ILI MISIMAMO YETU IWE NA MANTIKI🙏
@litimbaify
@litimbaify 8 жыл бұрын
Bdo shikh hjanishawishi zaid ya ghadhbu tu uliyotumia hakuna hoja zaid ya kutetea bida'a, Jipange na utafute njia swahihi ya kureact
@yahyamukhtaar3257
@yahyamukhtaar3257 9 жыл бұрын
mashaALLAH
@abasiisambi2683
@abasiisambi2683 6 жыл бұрын
Kishki hajui taqdiri
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Kishk hapa amekosea sana. Mfundishe huyu Kishk
@faridswaleh0018
@faridswaleh0018 3 жыл бұрын
Shk ahmedal khatimy sifa ya daii hajibu
@abousuleiman39
@abousuleiman39 3 жыл бұрын
Allaahu Akbar
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
sheikh wangu mm naona km umeshindwa kumuelewa sheikh kishki, na km amekosea sidhani km huu utaratibu uliotumia kumkosoa ni sahihi
@deathrow8004
@deathrow8004 4 жыл бұрын
Sheykh nabbahani ANAWEZA AKAKOSEA AU AKAPATIA KTK JITIHADA ZAKE ZA KIELIMU,,..NA KUFANYIWA RUDDUDI NI SEHEM YA DINI..,MKAMILIFU NI ALLAH JAALA FY ULAA..
@rngsplif9484
@rngsplif9484 2 жыл бұрын
Kutunga vitabu vinngi si Hoja .
@aliushirazi5104
@aliushirazi5104 4 жыл бұрын
Mawahabi wamesomeshwa Kiarabu hao
@eliasnavytanga
@eliasnavytanga 7 жыл бұрын
Qulla Bidaa fi dhallalah wa Qulla dhallalah fi Naar!
@rkiungiza
@rkiungiza 9 жыл бұрын
Sheikh ahsanta kwa kuwajibu wapotoshaji wa dini wasio ni ilimu .
@jesmirmohamed3467
@jesmirmohamed3467 3 жыл бұрын
Shekh waelimishe vizuri Hua Hawa fahamu nahw Hao wala balagha wa nacho kijua ni kujisifu tu wape wape Sana Hao mawahabi.
@jesmirmohamed3467
@jesmirmohamed3467 3 жыл бұрын
Tusemeni ukweli Ahlusuna Wal jamaa ilimu tunayo na tutawarekebisha mpende musipende tutawaweka Sawa tu
@seifouthman6432
@seifouthman6432 4 жыл бұрын
Ilmu swahiihu
@eiddymhampi8719
@eiddymhampi8719 4 жыл бұрын
huyu kishki xx anapotosha watu kabixa
@salminisekiondo7951
@salminisekiondo7951 4 жыл бұрын
shekh elimisha umma achana n kumuongelea mtu we tutakuaminije kama unasema kweli
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 4 жыл бұрын
Umeweka Jazba mbele ndugu Yangu Wakati Shek Kishiki Pia Kaongea Kama amekosea mumfate kumuelimisha na Niko sure kama haya ungekwenda ukamuelimisha angerudi mbele nae akarekebishe mbele za watu Kama alivyo kosea Ila na ww ulitaka kuenua jina lako umenda public nyote Munaendeshwa na Dunia kwa kutaka Kuonekana na kupata sifa kwa kuleteana Jazba Ila Ulimi ndio utakao mponza Mwanadamu
@abdillahlutemba8061
@abdillahlutemba8061 5 жыл бұрын
Bimaana unatuhakikishia kwamba asingekua Mtume Muhammad tusingekuepo? Kwamaana IPI ?
@iddramadhani2715
@iddramadhani2715 4 жыл бұрын
Ndugu zangu mashekh naomba mnieleze jinsi mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake alikuwa akijibuje hoja kama hizi? Je, alikuwa akitumia jazba kama tunavyofanya sisi hivi leo?
Insaf (Kusamehe)
56:33
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 37 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 91 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
🔴#LIVE  BUSATI LA MTORO NA SHK MUHARRAM MZIWANDA - TALAKA 19/03/2024 (8)
1:36:55
je idi ni yahajj au ni adhihha Al ustadhi Muhammad kibwana
53:36
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu
42:09
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
NIKAHA WAKATI GANI INAKUA HARAMU :: Sheikh Mbarak Ahmed Awes
6:47
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 460
SURAH AL-KAHFI JUMAT BERKAH | Murottal Al-Quran yang sangat Merdu
3:13:31
إنه لقرآن كريم - Holy Quran
Рет қаралды 14 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 91 МЛН