Рет қаралды 10,241
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 27/12/ 2008 . Mada ikielezea alama 40 za wanafiki sehemu ya kwanza , ni alama gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.