ALI DANGOTE MUUAJI KATILI wa ARUSHA AUAWA KINYAMA -WANANCHI WAFURIKA MOCHWARI WAKITAKA KUHAKIKISHA

  Рет қаралды 609,045

Global TV  Online

Global TV Online

8 ай бұрын

ALI DANGOTE MUUAJI KATILI wa ARUSHA AUAWA KINYAMA -WANANCHI WAFURIKA MOCHWARI WAKITAKA KUHAKIKISHA
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 287
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@mosemwita4703
@mosemwita4703 8 ай бұрын
good info
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 8 ай бұрын
Mungu wangu yaaaan uwiii ukifa watu wanasema ALHMDULILLAH DAAAA MAISHA HAYA UNABEBA MIMBA MIEZ 9 UNALEA MTOTO ANAKUWA JAMBAX NA ROHO YA KIKATILI
@irenemboya7899
@irenemboya7899 8 ай бұрын
Polisi kazi imewashinda😢. Hadi wananchi kuchukuwa mambo mkononi dohhhhh.
@queenmunny244
@queenmunny244 8 ай бұрын
Unajua jinsi gani kauwa watu ndug jinsi gani kawakosesha watu aman
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 3 ай бұрын
Jmn baada ya kufa watu wanahizunika lkn imekua tofauti watu wamefurahi nawengine wanatamani kufanya sherehe allah tujalie mwisho mwema
@Rehmathathman23
@Rehmathathman23 8 ай бұрын
Mmmh lkn Arusha ni tishio kwa matukio ya kutisha daah😭😭
@adriandanford208
@adriandanford208 8 ай бұрын
Arusha akina dangote awawez Isha si mda atakuja dangote mpya ,vijana wengi wanaongozwa Kwa hisia za bhang
@Mchaga_og117
@Mchaga_og117 3 ай бұрын
Nakubalii machalii zangu chuga_kishumundu
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 8 ай бұрын
Subhanallah
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 8 ай бұрын
Munguwangu sijui mama yao anajisikiaje jamani 😭💔😭😭 yaani tunazaa kwauchungu watoto wetu wanatuumiza😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@bjzee1981
@bjzee1981 8 ай бұрын
We acha tu. Mateso yote ya ujUzito kutapika mda wote. Huli unacho kipenda.
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 8 ай бұрын
Familia yk imemtenga
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 8 ай бұрын
@@nasrafadhili7408 mungu wangu yaani tuzaa kwa uchungu watoto Wana tulipa maumivu jamani 😭😭💔
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 8 ай бұрын
POLE MWANAMKE MWENZETU MOYO UNAUMA MNO TUMBO LINAKATA JAMANI POLENI KINAMAMA MATUMBO YETU YANABEBA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🍔🍔🍔🍔🍔
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 8 ай бұрын
@@HadijaZabroni-pu1lt tuombee watoto
@user-vl8hv6co2n
@user-vl8hv6co2n 8 ай бұрын
Mungu niepeshiie mbali na kizaz changu🤲🏾🙌🏾
@user-jk7xd5rl8m
@user-jk7xd5rl8m 8 ай бұрын
Mwenyez mungu tunaomb tunaomba tufanyie wepes watt zetu🙏🙏
@Mina.15
@Mina.15 8 ай бұрын
Boss kaka dangote
@user-jo9fd1gv1h
@user-jo9fd1gv1h 8 ай бұрын
Poleni sana ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga
@friminamahiga6981
@friminamahiga6981 8 ай бұрын
Duuuuuuuuh ama kweli huyo Dangote alikuwa tishio sanaaa.
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 8 ай бұрын
Mmm jamaa atakuwa alikuwa shetani kweli uyo
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 8 ай бұрын
Kwa hali ya Arusha naona kama vijana wa hapo mjini wengi hawapo sawa. Serikali ifanye kitu hasa mihadarati
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 ай бұрын
Nikweri bangi na pombe zinawachanganya
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 ай бұрын
BANGI!?... nyimbo na filamu nyingi zinasifia uhuni na matendo ya kikatili bilakujua athali katika jamii ni kubwa....
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 8 ай бұрын
Mtu amekua kama mdudu ukifa wt wanafurahi Mh mungu tupe mwisho mwema
@frankmtuwa4632
@frankmtuwa4632 8 ай бұрын
Unajua kaua wangapi wew
@aud548
@aud548 8 ай бұрын
​@@frankmtuwa4632Soma tena uelewe anachosema kaka...mko sawa ...mmekubaliana
@JasmyneOmmy-qi3fx
@JasmyneOmmy-qi3fx 8 ай бұрын
Wew ameuw wat weng alf nikijan mdg mwkn alikuw anamaliz shule kidat cha nne ila anamatukio makubw n yanatisha
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 8 ай бұрын
Mwisho mwema upi sio kila kitu Mungu atoe mwisho mwema wewe Unaona alioyafanya ni sawa matendo yako ndo yatafanya watu wakunenee mazuri
@alexvenas2699
@alexvenas2699 8 ай бұрын
Tatizo unakrupuka kuongea lakini haujaelewa huyo ndugu alimaanisha Nini kusema mwisho mwema.
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 8 ай бұрын
Dangote amekufa ndio amekua staa dah...maisha mabaya vijana tufanyeni kaz tamaa mbaya
@PhilemonGodphery-xp1dc
@PhilemonGodphery-xp1dc 6 ай бұрын
dahaaaa ni atar sanaa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 ай бұрын
Km kweli! Hongerenu sana kuondoa hilo nduli,mngeliuwa kwa kulichoma moto.
@PeterThomas-fk1du
@PeterThomas-fk1du 6 ай бұрын
Waaaaaaaas🎉❤❤❤❤❤
@GeraldErenest
@GeraldErenest 8 ай бұрын
Jaman poleni sana aiseeh?
@user-qt8mh4zr1n
@user-qt8mh4zr1n 8 ай бұрын
Kifo chamwenye zambia mungu hafurahii kabisa mungukahuzunika hapa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 8 ай бұрын
Ati mtuletee tumwone mazishi ni yetu maisha yalikuwa yake 😂😂😅
@winiemajengo1679
@winiemajengo1679 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nacheka kama maziri
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 8 ай бұрын
Hao watu wa chuga ni makatili acha jamii za kifugaji ndio asili ya mkoa huo wakatili wa waziwazi
@juliealigawesa5462
@juliealigawesa5462 8 ай бұрын
Iko powa sanaaa
@mbwilojenipha8741
@mbwilojenipha8741 8 ай бұрын
Dah
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 8 ай бұрын
Kuna huyo msemaji amekosea kutaja jina la huyo Polisi jamii. Inatakiwa ulinde jina la mtu kwenye mapambano na waalifu.
@YonaMbata-cz9mq
@YonaMbata-cz9mq 8 ай бұрын
Mungu ailaze loho ya huyo jamaa
@AmiriNkungu-po7dy
@AmiriNkungu-po7dy 8 ай бұрын
Chuga nakubali Sana omoja ninguvu
@NasraRamadhani-kt2uq
@NasraRamadhani-kt2uq 8 ай бұрын
Inasikitisha sana
@RaylahShabani
@RaylahShabani 8 ай бұрын
Polen san aisee
@kalvocaliz
@kalvocaliz 8 ай бұрын
Kweli mungu anafanya majabu ya kusa🙏🙏Qr recovery
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 8 ай бұрын
Hiyo ndo Chugastuuuun
@user-be6pw6lt1t
@user-be6pw6lt1t 8 ай бұрын
Duuuh,,polen sanaaa😂
@shadrackowuor-wx9ip
@shadrackowuor-wx9ip 7 ай бұрын
Ok😮
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 8 ай бұрын
Vizuli sana
@user-gi2gz8zs1b
@user-gi2gz8zs1b 8 ай бұрын
Duuuh 😮😮
@julitaakinyi-nz9de
@julitaakinyi-nz9de 7 ай бұрын
Mimi ni Ali Dagote.Sijafa
@kazikazini1042
@kazikazini1042 8 ай бұрын
Bonge kamchoresha askari jamii
@user-xt7pb8jd9q
@user-xt7pb8jd9q 8 ай бұрын
Dah siyo poaa🥺
@SamAssamwel
@SamAssamwel 8 ай бұрын
Really atolewe njoo
@LenardNyiga-ye4tt
@LenardNyiga-ye4tt 8 ай бұрын
Lend
@user-gc9xw1lh6q
@user-gc9xw1lh6q 8 ай бұрын
Ndy ukiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga...
@FredyPaul-cu5pj
@FredyPaul-cu5pj 8 ай бұрын
Daah!!!
@Putaneunice-js9rz
@Putaneunice-js9rz 8 ай бұрын
OhmyGoDsorry
@user-cf6xp2qz5t
@user-cf6xp2qz5t 6 ай бұрын
Uyu
@BrianaJahnice-jf4bj
@BrianaJahnice-jf4bj 8 ай бұрын
Nomaaaa apumzike kwa aman
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 8 ай бұрын
Amani Gani huyo aende kuzimu ty
@samwelfranco9665
@samwelfranco9665 8 ай бұрын
KaZ nzur
@user-tb5bt8lq8j
@user-tb5bt8lq8j 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Watu walimchoka sana nenda mwana kwenda
@user-jk7xd5rl8m
@user-jk7xd5rl8m 8 ай бұрын
Da innalilah wainna lilah lajuun
@JacquesKahunga-sm1vb
@JacquesKahunga-sm1vb 8 ай бұрын
Ohh ni makubwa
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 8 ай бұрын
Dangote on trend 📉
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 8 ай бұрын
Kweli watu wanamevurugwa na yy angeondoka na kiungo cha dangote supu hiyo wapeni wanamizengo wagawane viungo😂😂😂
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 8 ай бұрын
Mhm
@FarajaRichard-fe4lr
@FarajaRichard-fe4lr 8 ай бұрын
Dangoteeeeee!!
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 8 ай бұрын
Kwa hiyo Jela ni kurekebisha tabia. au kuharibu tabia umejifunza Nini
@mpuyangotv2064
@mpuyangotv2064 8 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊
@WilbrodClaud
@WilbrodClaud 8 ай бұрын
Hatary
@KhubeybJandaal-uz4oo
@KhubeybJandaal-uz4oo 8 ай бұрын
Jamaa komando uyo
@MaryTesha-ke6hp
@MaryTesha-ke6hp 8 ай бұрын
Navuta picha kwenye hayo mazishi venye wananchi wataharibu mazishi yake kaka jambazi
@naturelle1097
@naturelle1097 8 ай бұрын
Ndo shida ya kuangalia horror movies
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 8 ай бұрын
Kweli kabisa ,inchini kwetu kijana moja aliwauwa wazazi wake wawili kakake binamu wake ,yote hayo aliyapsnga Kwa kuitazama filamu ya kiling the eve,na alitimiza hiyo shuguli Kwa utatatibu sana
@queenmunny244
@queenmunny244 8 ай бұрын
Asee alikosesha sana aman kwakwel tunawatoto wanaenda shule kuna wazazi wetu wanakwenda kazi lakin walikosa aman
@saidsalum423
@saidsalum423 8 ай бұрын
Kwa maana mnadhibitisha huyu Ally alikuwa mtu hatari sana kutokea hapa duniani miaka yote vyombo vya dora vilishindwa kumkamata huyo dogo
@Dreidamaa
@Dreidamaa 8 ай бұрын
Pole sana
@RajabuMalela-zx8km
@RajabuMalela-zx8km 8 ай бұрын
Daaaah kweli bongo nyoso
@jeremiaRobert-le4ek
@jeremiaRobert-le4ek 8 ай бұрын
Muuwaji au wawa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun
@SigmondMichael-zo6sv
@SigmondMichael-zo6sv 8 ай бұрын
Mmmh
@lusiulemboaminakubwaa
@lusiulemboaminakubwaa 8 ай бұрын
Poleni jmn mungu yupo pamoja na nyie
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 8 ай бұрын
Hii😢
@RoseMtupa
@RoseMtupa 8 ай бұрын
Supu ya Ally Dangote wangepelekewa Utopolo pale Jangwani wanywe mimi nitanunua chapati
@peragiaisdol3804
@peragiaisdol3804 8 ай бұрын
Kama senge 😢
@subirajohn728
@subirajohn728 8 ай бұрын
Waapelekewe 5G👋 pale Msimbazi ili wajifariji
@EmmanuelMtwale-nu3eo
@EmmanuelMtwale-nu3eo 8 ай бұрын
Tununulie chapati5......
@BenjaSimon-pg3pi
@BenjaSimon-pg3pi 8 ай бұрын
Kisima 2022
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 ай бұрын
Huo mkoa majank wanaishi maisha yausela wakizamani sana bado washambawashamba fulank hivi wanaiga American movies zakitambo na rafudhi yao yakishamba
@ingozescopion
@ingozescopion 8 ай бұрын
R.I.P Ally Dangote sa hivi kaloleni tutapita usiku kwa Amanii
@isaiahmelau
@isaiahmelau 8 ай бұрын
jlgcvgi
@user-bb1cz4eo4q
@user-bb1cz4eo4q 8 ай бұрын
😢
@kevinmushi8209
@kevinmushi8209 8 ай бұрын
Police awezi fanya kitu apa chuga ndo maana jeshi lina ingiliaga kati
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 8 ай бұрын
Mwezangu mitihaniiiiiiiiii😂😂😂 tu😅😅😅😅😅😅yarabbi
@EverinaMichaely
@EverinaMichaely 7 ай бұрын
everina fabiani michaely
@obedimaliaki5714
@obedimaliaki5714 8 ай бұрын
Mmh! Ni hatar
@ammysaido4655
@ammysaido4655 8 ай бұрын
Bangi mbaya jameni😢
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 6 ай бұрын
Da binaadam unakufa watu wnakufurahia kwa Maas yk
@JacksonJohn.
@JacksonJohn. 8 ай бұрын
Malezii. Yenu wazazi. Endeleen kuangalizia malezii mnajikuta Arusha n marekan. Bangi n ruksa
@user-oh8vp7lw3f
@user-oh8vp7lw3f 8 ай бұрын
Video
@user-uf7gp3mw1y
@user-uf7gp3mw1y 8 ай бұрын
Tecno spark 2
@user-js1nl2cd6y
@user-js1nl2cd6y 8 ай бұрын
Ukwl nimefurah😂😂😂
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 8 ай бұрын
40 ikifika
@allymagwira4847
@allymagwira4847 8 ай бұрын
Du.kumbuka.wakuukumu.ni.mungu.sio.mwanadam
@eliasjackson9548
@eliasjackson9548 8 ай бұрын
Kuna vifo vingine ni furaha kwa watu aisee
@ThadewoLukumay-ed4hh
@ThadewoLukumay-ed4hh 8 ай бұрын
Thadewo s Lukumay voda Slp tadewosl
@user-vg6bu4cj9d
@user-vg6bu4cj9d 8 ай бұрын
Jmn Bora ht maan tulikuwa tunaogp ht kwend dukn Yan dah
@Hadithiafrika
@Hadithiafrika 8 ай бұрын
kutoka kenya hiyo lafudhi ya arusha mbona kama wakongo😅😅😅
@AmanMasue-so3oc
@AmanMasue-so3oc 8 ай бұрын
Afe na afe tena
@user-wk3uh6mq7k
@user-wk3uh6mq7k 8 ай бұрын
Ana kwel wazaz thombee watoto jaman 8:26
@HafidhAli-lc8vc
@HafidhAli-lc8vc 8 ай бұрын
Dangote
@loner_wolf
@loner_wolf 8 ай бұрын
Dangote hakuwa MTU mzuri lkn kifo chake askari anajivuruga....HIV Arusha gari wanazotumia polisi ni pickup zama hizi ? Kwamba kajirusha akafikia kichwa duh......
@bebebebe5677
@bebebebe5677 8 ай бұрын
Mmhh jaman huyo mtu Alikua atali san
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 8 ай бұрын
Watu wa Arusha ukiwaskia wanaongea viswahili vyao vile vya bangi unaweza ukadhani ni watu flani wana miguvu... sasa mji mzima walikuwa wanalala saa 11 jioni wanamuogopa Ally Dangote miaka 19. Jana kafa eti wanaume wanasherehekea mbele ya dada zao. Sasa akina dangote wakiwa 100 km huku Dar si mtakimbilia Monduli mkaishi jeshini? Sema askari aliyemtwanga risasi nina elfu 10 yake hapa.
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
Aisee tumewadharau sana😂😂😂
@user-wg8pz9cs1g
@user-wg8pz9cs1g 8 ай бұрын
Aisee kwa sasa 2takua na amani
@biberpriyer330
@biberpriyer330 8 ай бұрын
Yaan huko sijui anaenda kuchomeka na moto gani woiii kufaga tu
@user-ek1hb1el8k
@user-ek1hb1el8k 8 ай бұрын
mzma
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 8 ай бұрын
Ali dangote yupo uku melelani ajauwawa bado
@chuchufplatnumz4888
@chuchufplatnumz4888 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,9 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
LIVE: RAIS SAMIA AKISHIRIKI KUMBUKIZI YA EDWARD SOKOINE ARUSHA
1:15:23
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01