Alichokisema Tundu Lissu Akiwa Singida Mjini, "Kama Tusingekuwa Wakorofi Huu Mkutano Usingefanyika"

  Рет қаралды 32,676

The Chanzo

The Chanzo

Ай бұрын

Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akihutubia wananchi wa Singida Mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Stendi.

Пікірлер: 93
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Asante sana Mheshimiwa Lissu. Endelea kupiga spana hadi kieleweke. Ila Sasa huku nyuma yako CCM wako wanauza kadi kwa lazima na tsh. Elfu 10 juu. Pamoja na mikutano hii. Hebu Rudini ndani ya chama kuanzia Mwenyekiti, Katibu Mkuu na wale wote tunaowajua mkaondoe tofauti na sintofahamu tunahisi ziko ndani! Ukimya huu unatuumiza wafuasi wenu!! Pole kwa jitihada zako baba.
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r Ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu hakika mungu anamakusud yake kukuweka hai mpaka leo
@hamphumichael7194
@hamphumichael7194 Ай бұрын
Una akili sanaaa yani God bless you all the time
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn Ай бұрын
TUNDU LISSU ANALIHUTUBIA TAIFA NA WATANGANYIKA.
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke Ай бұрын
Asiye mwamini lisu na kumwani samia atakuwa mjinga
@anosiata8242
@anosiata8242 Ай бұрын
Mungu akulinde lissu.
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r Ай бұрын
Lissu Mungu atakuongoza njia kama alivyomuongoza Musa wala usihofu haki hukaa upande wake na uovu hukaa kwa shetani.
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 Ай бұрын
Naomba Mungu ampe maisha marefu atufundishe Watanganyika ili tujitamvue tuweze kuipugabia nchi yetu kuilinda Tanganyika
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 Ай бұрын
Big up brother tundu lisu
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 Ай бұрын
Na kwa haya madini anayoyatema Lisu ambayo yanamtetea kila mwananchi bado unampata mjinga mmoja akisema Mama kazi iendelee 😢😢😢 ama CCM dumu 😢😢 upumbavu wa Hali ya juu sana
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Wapumbavu ni wale wanaodanganywa na LISSU LISSU HANA SERA ZA CHAMA CHAKE SANA SANA HAPO ANAJENGA UKABILA TU
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Ай бұрын
Yaani kwakweli sijui wamerogwa du!
@ibrahshifta1595
@ibrahshifta1595 Ай бұрын
Nyie ndo mmerogwa ,hamjitambui japo ni watu wazima, nn msichokielewa au familia zenu zinanufaika na utawala huu wa kipumbavu
@MajiiIfande
@MajiiIfande Ай бұрын
Tena wapo wasomi wanashangilia udhalimu unaoendelea
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 Ай бұрын
Bora Korona mpya inayotarajiwa ije itumalize tu kama hivo, tumechoka sasa na tunaambiwa hatueleweki!!!
@matiredms917
@matiredms917 Ай бұрын
Mheshimiwa Tundu Lissu una stamina kubwa na uwezo mkubwa wa kuelimisha wananchi kuhusu madhila/shida wanazopata kutokana na dhuluma zinazofanywa na Serikali dhalimu ya CCM.
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r Ай бұрын
Huyu mpiga picha mbadilishen kila siku hajui kupiga picha kamera n hapohap tu
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Muhimu ujumbe uwe wazi. ( Loud and clear)
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Ujumbe wako ulikuwa kichwani mwangu kwakweli amelemaa sana sijui anahongwa na maccm asituonyeshe wananchi waliojitokeza kwenye mkutano hii inachefua sana onyesha wananchi kwa upana na utulivu sio karibu karibu tu umemaliza huyu kazi haiwezi kbs
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Minja na muunga mkono,viongozi wa Chadema,kama ilivyosema Mwenyekiti taifa,makamu mwenyekiti,Katibu mkuu na makamu Katibu mkuu rudini pamoja mtoke na jibu la pamoja tunsmuona Tundu Lisu peke yake anatoa elimu nzuri sana hatakayekataa akatae kwa ubinafsi wake.ukimya wa viongozi hao unatukosesha amani.
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Ай бұрын
😂😂😂 lisu unanifurahishaga sana siyasa zako nzuri sana mama abduli shenzi.
@RUSTERNYAIKOBA
@RUSTERNYAIKOBA Ай бұрын
Shemeji yangu ni 🔥 mno.Elimisha
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 Ай бұрын
sentensi zimenyooka sana, ila marais wa nchi za nje "marekani n.k"mbona wenyewe hawapewagi udaktari wa heshima kama marais wa nchi yetu?..au mimi ndio sielewi.Udaktari wa kutokusomea huu siuelewi kwa viongozi wa nchi yangu...
@MajiiIfande
@MajiiIfande Ай бұрын
Hahahaha, udaktari wa uongo nani anautaka.?
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Pole sana mh lissu Kwa kuwahutubia majitu ambayo kichwani wako tupu
@willyadam4776
@willyadam4776 Ай бұрын
Tundu lisu Mungu akulinde sana kazi yako ni kubwa mno yakutuelimisha sisi watanganyika
@YohanaThadeo-ki2qg
@YohanaThadeo-ki2qg Ай бұрын
Ongera lisu
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Jamani Tundu Lisu mmmm
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Ай бұрын
Naongezea na hili la mkataba na Wakorea na matrilioni 6.51 ikinasibishwa na bahari na madini .
@prospermalala6636
@prospermalala6636 Ай бұрын
MH Lisu Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha,/ kufundisha jamiii iliyopo mbele yako ielewe haki zao, kwa ufundishaji wako haki Mungu mkubwa akulinde na kuonyesha njia ya kupitia, IQ yako hakuna wa kukutisha, Mungu ndiyo muweza wa yooote, ktk maisha yako 🙏🙏🙏🙏
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Ай бұрын
Kweli tuu
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm Ай бұрын
Kwahaya siendi msiba hata mtu wa ccm kwaujinga huu akifa ccm siendi naenda bazaar kunywa bia samia ataondoka kama raurent gabgo
@BelievePeace-jg5pc
@BelievePeace-jg5pc Ай бұрын
Tuko pamoja kiongozi hatukuachiii
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Huyu mama abduli hamna kitu bara ajiuzuru atakuwa ameniheshmisha
@salummichael87
@salummichael87 Ай бұрын
Kama maneno hayo yanatoka Kea Mungu lazima tuokoke pia nchi ha Tanganyika iokoke AMINA
@mashakalukinda2350
@mashakalukinda2350 Ай бұрын
kamanda Lissu huwa nakkbali sana hutaki ujinga ujinga sikuzote unapenda haki kwa wezio nakwako pia haki Pande zote
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Ай бұрын
🤝❤❤🙏
@BarakaMisanga
@BarakaMisanga Ай бұрын
Poleee
@PaskaliBaha
@PaskaliBaha Ай бұрын
Tufanye mapinduzi ya kweli
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Duh
@henrymligo2440
@henrymligo2440 Ай бұрын
Ok!
@abelchuche7968
@abelchuche7968 Ай бұрын
Hatari sanaaaaaaa
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 Ай бұрын
@user-ti4gw9jb8w
@user-ti4gw9jb8w Ай бұрын
Safi sana mweshimiwa
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Jamaa hachoki Mwezi mzima yuko barabarani daily
@evelina9621
@evelina9621 28 күн бұрын
Lisu.toa Mafundisho.kwa.watu.wajueuukombozi..n.sasa
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm Ай бұрын
Tundu lissu ninabiiii wa kizazi hiki tz ukibisha muurize mwendazake jpm Kiongozi wa watu wasiojurikana muurizeni??? umeenda Wapi?? Uriotaka kuuwauwa mbona bado yupo hai nae ni tundu lissu
@rastheunique
@rastheunique Ай бұрын
Tundu Lissu 💪💪
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
✌️👍👊.
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 Ай бұрын
This man is very intelligent.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Ай бұрын
Makini sana
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Rais Hana kitu
@SAMSONKOIKAI
@SAMSONKOIKAI Ай бұрын
Mungu akulinde sanaa raisi wa mioyo ya watanzania mh lissu ,akili nyngi sana..elimu yako kwa wanachi tunahitaji sanaa,mungu akupe nguvu ya kutuelimisha
@MajiiIfande
@MajiiIfande Ай бұрын
Huyu ni Lincoln/Sankara ajaye kwa nchi hii
@khalidikaghembe1775
@khalidikaghembe1775 Ай бұрын
Inauma Sana SEMA matanganyika mengi yapo masenge sengelema tu Wala hayajielewi
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Kama kawaida moto unawaka
@emmanuelrobert4757
@emmanuelrobert4757 Ай бұрын
Unapambna sana kamanda tundu anti pas lisu munu akubarik sn
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Haya mambo ni mazito sana
@msabahaali758
@msabahaali758 Ай бұрын
Tatzo ni moja tu wanaohutubiwa wamelala kabisa ila kama Mzaznzibar namkubali Lissu kuliko mama ake Abdul
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Ай бұрын
Tarime pia tupoooooo🎉🎉🎉
@josephmatiko4805
@josephmatiko4805 Ай бұрын
Kiukweli tunakuamini sasa!!maana,wa Tanganyika nikama ndio tunaamka!!kiukweli inabidi tuamke
@IssayaNdinga
@IssayaNdinga Ай бұрын
Usituchoke kuna siku TU mngu atakumbuka sisi wanyonge santen sana lisu
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Nimeipenda iyo ndio upinzani unavotakiwa
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 Ай бұрын
18,200
@SalumChema
@SalumChema Ай бұрын
Bomoa.baba.tuyajue.huyondio.lisu.jembe.liliobaki
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Hivi sisi Watanganyika tunajifanya hatuelewi Kwa manufaa ya nani?
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Mpiga picha hawana aise.sijui watalam wa chadema kitengo cha habari kimelala
@dribrahimmamboleo4435
@dribrahimmamboleo4435 Ай бұрын
Ila we nae ni mshamba! Hapo kamera sio ya chadema ni ya chanzo TV waliotuwekea youtube Leo nimekufundisha thawaa😂
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r Ай бұрын
Kama anazungu pekee yake wewe ni nani anakufahamu?
@abdullahalsharji9428
@abdullahalsharji9428 Ай бұрын
Zote tisa kumi uchaguzi
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Ай бұрын
Samia kwa matendo yake apimwe akili zake km yupo sawa
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
😂❤❤umepiga penyewe mwamba
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Ай бұрын
Sasa hapa umeongea weee ninachokipata toka kwenye hii hotuba ni uzanzibari na utanganyika. Hebu tupatie mbadala wa hao unaowaongelea kila ukipanda jukwaani. Lissu jaribu kuwa creative hii inapotezea wenye akili zao muda😂😂😂😂 Huyo Samia ni mbovu yes, sasa wekeni mtu atakae tukomboa
@dribrahimmamboleo4435
@dribrahimmamboleo4435 Ай бұрын
Mbona wengine tumeyapata mengi sana. Tatizo unapata hayo mawili kwabasababu ndio yaliyoujaa moyo wako. Pole
@HamzaHeri
@HamzaHeri Ай бұрын
WEWE UNA MATATIZO YA AKILI
@helenakamenya8680
@helenakamenya8680 Ай бұрын
Kagongwe choko wewe na ccm yako.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Ай бұрын
We ndo unamatatizo wala siyo lisu
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Ай бұрын
Sasa hapa umeongea weee ninachokipata toka kwenye hii hotuba ni uzanzibari na utanganyika. Hebu tupatie mbadala wa hao unaowaongelea kila ukipanda jukwaani. Lissu jaribu kuwa creative hii inapotezea wenye akili zao muda😂😂😂😂
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 Ай бұрын
kazi ya kichwa sio kuota nywere tu na kutafakali pia
@stevesungura6789
@stevesungura6789 Ай бұрын
Tuyachukulieni poa haya maneno leo, lakini kuna siku tutayakumbuka maneno ya huyu Lissu. Hii nchi inaporwa mbele ya macho yetu. Sijui wenzetu wanawaza nini kuhusu kesho ya taifa hili
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Sasa mbona unazunguka peke yako?? Wenzako wako wapi? Au ukipewa nchi utaongoxa peke yako?? Mujitafakari ndani kuna shida mzee wa kulia lia!😂😂😂
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Hivi huyu wa camera anajua kuchukua picha kweli abadirishwe haraka
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Ай бұрын
Sikiliza ujembe Cyo ujinga uliyo nao kichwa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
SERA YA LISU NI LAWAMA NA KULIALIA 🤧🤧🤧🤧🤧🤧RIP MAGU
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Sikiliza vizuri
@bakarimrao3655
@bakarimrao3655 Ай бұрын
RIP MAGU imekujaje hapo Sasa!!!!!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@bakarimrao3655 Alisema hawa si WAPINZANI ni WAHUNI 🤧🤧🤧🤧🤧
@henrynicholaus3977
@henrynicholaus3977 Ай бұрын
Hamia chato
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 Ай бұрын
Mbona watu hamna hichi chama hichi kweli ni cha wahuni ndo maana kimepoteza mvuto kaz ni uchochez tuu
@msabahaali758
@msabahaali758 Ай бұрын
kwaio ulitaka watu wasombwe kwa malori
@henrynicholaus3977
@henrynicholaus3977 Ай бұрын
Tuko kwenye simu tukiwa na ww
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
The Chanzo
Рет қаралды 152 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН