Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy

  Рет қаралды 41,611

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

3 жыл бұрын

Пікірлер: 197
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Күн бұрын
Nimemuota mwanaume kavaa kanzu nyeupe ila sura siku we za kumfahamu vizuri je inamaana ganil shekhe
@hamzaalliy8210
@hamzaalliy8210 Ай бұрын
Asalam alaikum sheikh Jalibu kuchukua vizuri video zako sheikh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 12 күн бұрын
@@hamzaalliy8210Wa,salaamu warahmatullah; kamera ndio shida
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 3 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvkuvaa nguo ya kijani na nyeupe nini maana yake,? Hiyo nguo mpya na ni ya mama yako. Umeivaa umefurahi kabisa
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 3 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvndoto ya kuvaa kofia nyekundu nini maana yake? Ni mwanaume aliyevaa na kanzu
@fatmamohammed2518
@fatmamohammed2518 25 күн бұрын
Ukiota mume wangu Na mwanamke Fulani amevalia joho jeusi
@DonathTina
@DonathTina 4 күн бұрын
Mimi nimeota marafiki zangu wamevaa mavazi meupe inamanisha nini
@barkernassir-xd1mt
@barkernassir-xd1mt Жыл бұрын
Sheghe mm nimeota Niko kwa nyumba ya ex wangu ati nasema huyu mwanaume nilimuacha naame pata kazi nzuri alafu nikatoa nguo mbili ambayo shati ilikua nguo ya police na suruale ni jinsi tu ya kawaida nikasema huyu sio police hii shati mpya ya police ameitoa wapi mm huyu ex wangu simfikirii na sijui nime mpeza lini nilimuacha kwasababu alikua mlevi nanikona mume wangu mashallah mbona niote hivyo sheghe
@FatmaAbdulkadir-in2zx
@FatmaAbdulkadir-in2zx 2 ай бұрын
Asalam aleykum jee ukiota n watuwengine wamefaa nguo mpya jee hii vipi tafsiri take shukran
@jamillajackson2165
@jamillajackson2165 2 жыл бұрын
Asante shekh nimeelewa
@mariamumakala6146
@mariamumakala6146 2 жыл бұрын
Nimeota nimevaa nguo nyeusi tena weusi nzuri wa kukoza tena ni mpya na nimependeza
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
pole sana hilo ni jambio lenye kukusababishia huzuni kubwa Allaah akuepushie kama bado haiajatokea hii
@catherineelias5108
@catherineelias5108 3 жыл бұрын
Shekhe mimi ninaota mala kwa mala nagombana na mwanamke ndoton nisaidie tafazali kunitafasilia 🙏
@tabithamkawughanga4783
@tabithamkawughanga4783 2 жыл бұрын
Mahana yakuva mavazi vibya
@khadijamohamed2842
@khadijamohamed2842 2 жыл бұрын
Ngoja niulize jamni maisha yangu yametawaliwa na nguvu za kijini ambazo sizitumii na kuusu mavazi ninaota sana tu ila sasa nimeota ninaambiwa malkia mchafu ngoja tukusafishe wakaniogesha na kunifesha vazi la kimalkia Na nikiwa katika hali ya umalkia ii ndoto inamaanisha nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Kipindi cha maisha chaweza badilika ukaelekea kwenye hali nzuri na kipato inshallah kama hii ndoto itasema kweli
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvndoto ya kuota nguo za ndani zina maana gani
@zulfamnanga123
@zulfamnanga123 Жыл бұрын
Na ukiota umenunuliwa nguo mpya na ukaivaa na ikakuprndeza sana
@merhatyup9479
@merhatyup9479 2 жыл бұрын
Habari, mimi nimeota nimeenda mnadani kununua nguo za mtumba
@user-fe1vp7bn3l
@user-fe1vp7bn3l 7 ай бұрын
Unazunguka san
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum! Je kuona ndotoni house girl/house maid wa wenyeji wangu amepewa nguo (yenye maua ya kuvutia) na marehemu bibi mzaa mama yangu maana yake nini?
@shishishishi3892
@shishishishi3892 3 жыл бұрын
Sheikh nimeota nimevaa nguo nyeupe kiswani nimefunga kilemba chekundu natembea balabalani
@user-ju1gr5rk5e
@user-ju1gr5rk5e Ай бұрын
Mm nmeota nmeharibu viurembo vya nguo ya mtu iyo nguo mpya na ninzuri sana vilianguka chini baadae mwenyewe akaviona lkn hakuonesha kukasilika alikuwa wa kawaida tu na hakuongea chochote
@alhasannusair7225
@alhasannusair7225 3 жыл бұрын
Mm boss wangu kaniambie qmeota nimetoka job nimerudi nyumbani nimefalia t-shirt na long ya white au nyeupe ina maana gani plz
@chikuhussein1810
@chikuhussein1810 3 жыл бұрын
asalam alykum shekh mm mara nying naota nimevaa gaun ya rangi ya bluu/blue alaf pia mda mwingine nakua xijavaa lakin ila inakua nguo ya rangi ya pink na maroon(damu ya mzee) tena hii fundi ndo alikua anaiyandaa ili niivae naomb unambie izo rangi katika ndoto zina maan gan?
@nagmenagme3739
@nagmenagme3739 5 ай бұрын
shekhe nimeota nakunja nguo ya mtoto wa dada angu mama angu akaniambia niigeuze yani nnje kuwe ndani iyo ndoto shekhe inamaana gani
@kichechemtundu4061
@kichechemtundu4061 3 жыл бұрын
Wallaaahi huwa nakupenda sana kama ningekuwa na cha kukupa skh ningefilisika ila M/Mungu shahidi 👍🍎
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
maashaallaah, akupende zaidi aliyekufanya unanipenda kwaajili yake
@RahmaRazack-bw4um
@RahmaRazack-bw4um 12 күн бұрын
​@@MTAVASSYTv hii nimeipenda
@Marry-el6tx
@Marry-el6tx 7 ай бұрын
Nimeota nimevaa nguo nyeupe kabisa Ila imekaa kama kanzu nindefu Na Pana kidogo hata kutembea nilikuwa natembea nimeishikilia naomba kujuwa maana yake.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 ай бұрын
Mwenza mzuri mwenye tabia njema au sifa nzuri kwako
@aminaamina-el5ji
@aminaamina-el5ji 2 жыл бұрын
Asalamu alykumu je ukiota umevaa nyekundu
@fatmamatuma4073
@fatmamatuma4073 2 жыл бұрын
Assalam alaykum warhmatullah ,shekh nimeota naishona nguo mpya .
@hassanalhusein1819
@hassanalhusein1819 4 ай бұрын
Mtu akiota amemsaidia mtu nguo ya njano na niyazaman
@happyngowi7240
@happyngowi7240 7 ай бұрын
Shehe nimeota mume wangu amevaa nguo zimechaka
@makenalongor1906
@makenalongor1906 2 жыл бұрын
Ndoto za kuota manguo za watoto wako na siko kwa ngunia na mume mliwachana na yy na izo nguo ziko kwa mavi
@JosephBensonMGELWA
@JosephBensonMGELWA Жыл бұрын
Miaka 2 nyuma nimeota babu yangu marehemu anatuhuliza maswali mimi,dada na baba yangu mkubwa chaajabu awakuweza kumjibu maswali hila mimi ndiye niliyekuwa namjibu na kila nikimjubu ananipa zawadi aliuliza maswali matatu na kila swali alitowa zawadi na mm ndiye niliyepata izo zawadi tatu ambayo ni KANZU nyeupe,BATAKASKHE(KOFIYA) nyeupe NA TASIBIKHI nyeupe na wote tulikuwa tumevaa nguo nyeupe pamoja na marehemu babu NISAIDIYE MAANA INANISUMBUWA SAANA
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
Je wewe ni wadini gani? Je aliuliza nini na wewe ulijibu nini?
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Ukiota umenunuliwa vazi la harusi na ume lijaribu na unatajiwa Siku ya harusi
@sofiahamisimwamimi3683
@sofiahamisimwamimi3683 2 жыл бұрын
Shelkh naomba unjibu ndoto yangu nimeota nguo ,za kike ziko kwa kabati zimekunjwa vizuri na nisafi
@soniadeliciaussonia9597
@soniadeliciaussonia9597 Жыл бұрын
O
@silvanushaule130
@silvanushaule130 2 жыл бұрын
Nimeota nimevaa gauni jeupe sana naanisha nikama mtu ambae amevaa shela nakapendeza watu wako bize wanapika na wanakula wanafulahi sana kwaajili ya tukio hilo lakini bwana halusi hatokei nikuwa na msubili nikamkimbilia kaka mmoja nukahisi ndo yeye kufika pale sio yeye imeishia hivyo nikiwa nafikilia mume wangu ninani nakwanini sijamuona pale nanikamtambua shekhe msaada
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
hakika unaambiwa kuna mipango haitokamilika, au iseme hii kwamba ww unaonywa uache mambo ya dhambi
@azizahasan2851
@azizahasan2851 2 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota nimevaa nguo za boss wangu arafu zinajirudia
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Utapata mafanikio inshallah rizki,. Lakini yaweza kubashiri kifo chake hii ndoto au ukawa na sifa zinazo fanana na yeye
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh ukiota nguo za ndani Ina maana gani?
@magashimagashidoto7814
@magashimagashidoto7814 3 жыл бұрын
Nimeota nimevaa nguo nyeupe ya harusi harafu mpnz wangu akanivalisha pete kidole kinachofatana na dole gumba
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
utapata neema Inshaallaah
@justerbyera5433
@justerbyera5433 Жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Shehe mimi nimeota nimevaa Suit nyeusi nzuri na shati nyeupe ndani ya suit
@user-hb5cp3uq3r
@user-hb5cp3uq3r 9 ай бұрын
Usthidhi mimi nimota nimvaa nguo alafu nimegeuza namba kujua maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 9 ай бұрын
Je upo katika ndoa
@bebenip3ty848
@bebenip3ty848 2 жыл бұрын
Asalamu Aleykum .me nimeota mama angu namjomb angu wanachana nguo yangu na mkasi inarangi ya blue na nyeupe nn maan yake shekhe
@agnesmasanja3663
@agnesmasanja3663 Жыл бұрын
Aslam aleykum.sherhe nimeota nimevaa pande la kitenge na ninatembea barbarani maeneo ya sokoni alafu imejirudia Mara tatu
@footballworld1985
@footballworld1985 Жыл бұрын
Salam alekum mimi Léo Nîme ôta ni mevaa shela la harusi alafi nikawa na jiana kupiga picha ili ni mtumie dadangu ili ni fanyie surprise nika sikia sauti ya dada iko na ongea na dogo yangu wakiume wana semezana kuhusu mchango na watu wakiwa wana jiandaa shereh uku wakisema mtuchangie ni Muslim sasa ina mana gani na mimi sina mme
@mwinyimwassera5654
@mwinyimwassera5654 2 жыл бұрын
Kuota ndoto umemuona mke mtarajiwa unazungumza naye amevaa nguo nyeupe juu na umebeba nguo chafu unamwambia akusaidie namfuko uziifadhi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Maashaallaah Omba dua Allaah atimize azma yenu hiyo ya ndoa
@abdulrahimbakar7865
@abdulrahimbakar7865 2 жыл бұрын
Kuona mtu ambae una udugu na kifamily amevaa nguo zako mpya
@mwasitinaftal837
@mwasitinaftal837 2 жыл бұрын
Sheikh mm nmeota mchana huu kuwa nmeletewa nguo mpya nataka kujaribu nkastuka Ila ilikuwa nguo nzur sana
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Asalam aleykum Mm nimeota nilikuwa msikitini nilikuwa nimevaa suruali Aina ya jinsi mpya haja ikanibana nikainuka kwenda msalani nilivyoingia msalani nikaanza kuivuta suruali juu ili isingie uchafu cha ajabu nikajikuta nimevyaa suali tatu katika izo tatu moja ya zamani lakini zote safi Nikachutama kujisaidia haja ndogo Cha ajabu haja ikawa inauma Kama naumwa kichocho Inakuwaje Ostaz?
@fadhilaburuhani1774
@fadhilaburuhani1774 2 жыл бұрын
Maana ya kuota umezungukwa watu wamevaa kanzu nyeupe sana na mie nimesimama kati yao nimevaa kanzu nyeupe wao wamekaa mie nimesimama.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Maashaallaah ni znuri hiyo ishia hapo hapo kuelewa
@azam3567
@azam3567 3 жыл бұрын
Miminili.ota nimevaa nguo zashule .shati nyeupe.nabuluu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
wewe uliona kuwa unakaribia kuingia kwenye wakati mgumu kimahusiano au kiuchumi
@jumahagai9013
@jumahagai9013 Жыл бұрын
Naomba kuuliza nimeota nimevaa ijabu ya bluu kisha nikaona alinivutii nikalifumua kisha nikalishona lakini si refu maana yake shekh
@ashurarajabu3575
@ashurarajabu3575 Жыл бұрын
Asalamu alaykumu mimi nimeota dada yangu anauza nguo kwa wale masista wa katorik nini maana yake
@ashurasaid5017
@ashurasaid5017 2 жыл бұрын
Shekhe nguo za biashara mwanamke kazichukua kazipeleka chooni zimekunjwa lakini kazipeleka chooni nni maan yake shekhe
@bentakavinya2254
@bentakavinya2254 2 жыл бұрын
Habali mimi niliota nkona bwanangu na tumewachana kwa sasa akiwa amekuja na mtu wa kuuza manguo akanita tuchanģue ije ya plot tukiendelea kushangua nikapata saa mxuri sana nikamwabia ona saa xuri ikona radio ii ikona maana gni
@AzizaGogo-gi7mt
@AzizaGogo-gi7mt 7 ай бұрын
Shekh asalamu alykum.nimeota nimevyaa nguo ya rangi ya kijivu ni mpya naomba tafsiri ya hii ndoto
@mwajeybakary8524
@mwajeybakary8524 3 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota rafik yng ananiomba mtandio Wang wa blue nikamnyima
@callennyangosi8787
@callennyangosi8787 3 жыл бұрын
Niliota kukaa katikati ya wanaume wawili alafu nimevaa nguo nzuri yangu lakini nimeligeuza
@alawiyaalwy9301
@alawiyaalwy9301 2 жыл бұрын
Sheikh mm nimeota nimevaa gauni jekundu jipya alafu Lina gharia dhahabu sijawai vaa gauni hilo jee ni nini
@jenithandyetabula3805
@jenithandyetabula3805 Жыл бұрын
Mi nimeota nilivaa shela la wifi yangu, pale nyumbani wakawa wananiambia nimependeza sana. Wifi yangu alipokuja nikavua na kumpatia, tukaendelea na maandalizi ya sherehe.
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 3 жыл бұрын
Mimi nimeona nimeuza guo kubwa alakini nimerudisha ile guo alafu nimesema utanirudishiya guo yakunieneya
@raissamugisha1653
@raissamugisha1653 2 жыл бұрын
Napenda kuota niko naanika nguo ama niko nafuwa kwenye machine ya nguo nini maana yake
@mwanaishahamisi8331
@mwanaishahamisi8331 3 жыл бұрын
Asalam alykum sheikh mm naomba namba zako za wassup nikona ndoto yangu naomba tafsiri yanisumbua kweli naomba namba tafadhali niko Kenya mm
@user-fy6dz2ji6h
@user-fy6dz2ji6h Жыл бұрын
Asalaam alaykum mi nimeota najalibia guo mpya nimeambiwa nijalibie nachumba wangu aninunulie lakini zikawa mbaya zote nikaenda kwenye siketi nika chagua nikapata siketi ya kwanza ya pili ikawa haini enei inapwaya kiunoni nikaivua azalani belee ya wanaumee
@RayhanMbongolo
@RayhanMbongolo 3 ай бұрын
Mimi nimeota mtu anachana nguo yangu kwa mkasi
@avalonking1655
@avalonking1655 6 ай бұрын
Unafeli ktk uchukuaji wa video zako baba haijulikani kama ume zoom au vp😢
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 ай бұрын
Hii video haikuwa hivyo, bali kuna shida ilikuwa na camera hivyo ilitumika simu na ikawa landscape
@alisemikombe545
@alisemikombe545 Жыл бұрын
Mimi na ota na kuta mavazi yangu tshini mahana nini
@shariffayusuff5137
@shariffayusuff5137 3 жыл бұрын
Mimi sheikh nimeota nimevaa nguo kama shela rangi ya maruni nimpya kabisa nni maanayake
@rosekawina4603
@rosekawina4603 3 жыл бұрын
Shekhee Mimi nimeota nanunua nguo
@hamimomary3508
@hamimomary3508 2 жыл бұрын
Basi utapenda sana ukivaa hzo nguo
@sityjuma3049
@sityjuma3049 Жыл бұрын
Asalmuallkm shekh menimeota nimepewa mabaibui yangu yazamn mabaibui hayo yote niliwah kufavaaa kitambo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
hii ndoto, wa salaamu warahmatullaah kama hautopita katika mfanano wa hali ya maisha na ule wa kipindi cha nyuma basi zingatia mahusiano yako (ndoa)
@amishahela6967
@amishahela6967 Жыл бұрын
Asalam aleykum sheik nimeota Nina chaguo nguo mpya nyingi lakini Kuna baibui nyeusi nilivaa lakini ilikuwa inapwaya nikaiwacha Ina maana gani
@user-fe1vp7bn3l
@user-fe1vp7bn3l 7 ай бұрын
Mzr lkn unarejearejea sn,unaudhi sn
@mwanamkasimdigo2454
@mwanamkasimdigo2454 2 жыл бұрын
Ustadh mi nimeota nimetumiwa nguo n viatu n mpenzi wngu nichague je Inaashiria nini
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Sheikh mimi nimeota tumbo langu linacheza sana.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
hii inamaana kdhaa kwaaliyeolewa na asiyeolewa na mjamzito pia ufahamu Kuwa hii ni us a lama kwa mjamzito ila waliobakia wote kwao mambo yatakuwa Hivi...
@saudakashelente7355
@saudakashelente7355 2 жыл бұрын
Samahani shekhe Mimi nimeota Niko kwenye halusi alafu uyo bibi halusi anamashuka kma yangu lakwanza shuka jeupe lakini sio jeupe San nashuk la njano alafu nilikuwa nikibadilisha kila nguo nilikuwa nataka nionekane mimi ndio nimependeza sana lakin nimesahau zalangi gani yani nilikuwa kila nikibadilisha naona sio nzur lakin nilipata ilio nipendezesha
@user-dy6ln1is7b
@user-dy6ln1is7b 8 ай бұрын
Ukiota umepokea nguo kutoka kwa mwenzio inamaanisha nini
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 7 ай бұрын
mwenzio gani sasa? kama ni mwenza kwa maana ya ndugu au jamaa basi utapata connection ya kwenda kwenye mahusiano uchumba au ndoa, na ikiwa uhawara tu Allah taala akuepushie na amma ikiwa ni mwenza kwa maana ya mume/mke au mchumba basi fahamu inaweza ikajulisha kwamba utapata ndoa kutoka kwake inshaallaah au pesa itakayokufanya usitirike na hali ngumu uliyonayo.
@user-ck1dv4rp8o
@user-ck1dv4rp8o 2 ай бұрын
Mimi m', mke nimeota nimevaa kanzu myeipe yamsikitini maanamyake ni nini
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 ай бұрын
utaelewa mashallaah kama hujaolewa na kama umeolewa basi nio riziki hiyo nyingi mno kwa mume wako au wewe mwenyewe inshallah, lakini endapo tu ndoto yako itasema kweli
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 ай бұрын
na hii hujulishaga kuwa wewe ni jasiri sana mara nyingine
@yasobush8987
@yasobush8987 3 жыл бұрын
Shekh nimeota nguo zimeanikwa kwa kamba,mara nikaona pesa chini,nikaaza kuziokota,ilikuwa barazani,mara kukawa kwaja watu nikaingia ndani ya nyumba lakini ckufunga mlango,nikaenda kujiziba na ukuta,nikasikia haja ni kavaa Sandro's nyeusi.
@shishishishi3892
@shishishishi3892 3 жыл бұрын
.
@jenifakamese6856
@jenifakamese6856 Жыл бұрын
Mm nimeota na changua nguo pia mala wamenitengenezea geti kubwa mara nmepew kuku nn maan yke
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
kwenye tafsir ya nguo ni kwamba huyo ni mwenza na geti lazima useme namna ulivyoona hiyo ndoto kuhusu kuku pia ueleze ulivyoona
@aloycefime6440
@aloycefime6440 3 жыл бұрын
Shekh weka no zako Tafadhali ....tunamambo mengi ya kukuomba
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
0656606014
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Kwenye video humo zipo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvndoto za nguo za ndani zina maana gani
@Diana-tw1vj
@Diana-tw1vj Жыл бұрын
Nimeota niko kwa soko na nunua nguo na viatu maana yake ni nini
@bisharamohammed579
@bisharamohammed579 2 жыл бұрын
A.alaykum samahn je ukiota mtu wa familia yako anaomba umuuzie nguo yako ya harusi ndoto hii inamaana gani .na ukiota umezaa mtoto wakike lakini hukuwa na tumbo na unampa jina ww na mwenza wako anaytarajia kukuowa je inaamana gan
@muhsininatv2092
@muhsininatv2092 2 жыл бұрын
Nimeota kiongoz mkubwa aliefariki Tunaongea yeye Yupo ktk gari Ila jinsi yake nimemuota ikiwa ni mwanamke na kavaa mavazi ya kike na ni mwanaume huyu
@tatuhassani3769
@tatuhassani3769 Жыл бұрын
Asalam alaikum naitwa Tatu Hassani nimeota nimevaa kanzu Yale ya wanaume wanavyo vaa msikitini Nikawa nashangilia
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Haufanyi mambo kwa mpangilio, au ndoto inakueleza kwamba wewe unatabia sio nzuri badiri huo muenendo wako haraka
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvndoto za nguo za ndani zina maana gani
@fareeshaky7255
@fareeshaky7255 3 жыл бұрын
Sheikh, nimeota nimeva nguo za shule alafu nawona warafiki zangu wazaman, alafu nataka kununuwa nguo mpya za shule
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
kama wewe sio mwanafunzi fahamu hii ndoto ni mbaya na badilisha plan zako za maisha na kua mnyenyekevu kwa Watu kwan hii hujulisha migogoro
@nabirabakary4209
@nabirabakary4209 3 жыл бұрын
Sheikh mm niliota mwanamke ananipa nguo yaan panjami gaun na suruali lake rangi yake ilikua kama hiyo nguo yako ya juu hiyo mistari ya pemben ndo zilikua zinafanana nikavaa suruali ila lilikua kubwa linabuluza hadi chin
@mariamsombo5766
@mariamsombo5766 Жыл бұрын
asalam.aleikum ustadhi mm niko kenya plz nitafsrie hii ndoto nimeota naondoa nguo kweny kamba na huku boss wang anipa leso ambz nizakitambo lkn n safi n ziko haina tofauti zengne ndfu zengne fupi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
kupata amani na furaha na pia inshaallaah utahisi raha katika maisha
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 2 жыл бұрын
Nini maana ya ndoto ya kuona ufagio ule wakufagilia nje wa kusimama na ufagio huo upo hewani yaani chini haupo juu Hauseni umesimama hewani naa BAADA ya yapo wapo watu 2 wamechuchumaa nami nika usukuma kwa hewa ya mkono wangu ukawaangukia hapo kuta anza kuludishiana mwisho wa kaondoka nami nikiwa nyumbani nawasimulia nikashituka kumbe nilikuwa naota
@samsonikomba5758
@samsonikomba5758 2 жыл бұрын
Shekh nimeota nagawa guo zangu mwenyewe naowagawia watu ninao wajua
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Kuna jambo utafauru hapa duniani lakini hii ndoto ina maana nyingi
@samsonikomba5758
@samsonikomba5758 2 жыл бұрын
duh aiyah shkh nashukuru
@shifamakame4622
@shifamakame4622 3 жыл бұрын
Shek nimeota mazingara magumu watu wanavuka kwnye bahari ino mawimbi na katika mji kuna watu wanauwa watu mmoja akaja niwekea haswa silaha ya kichwa kutaka kunifyatulia nikaona namtaja AllaH sn pale akaniacha nikarudi kwenye nyumba kuna dada yngu akaja akanipa kanga zile na mama akanipa kaka ela zile kanga zinoitwa za mtelezo nikaona naiziba ile nyumba madirishani ili wale waiwaji wasije pita ndani. Ni maana gni hy ndoto shek
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm Жыл бұрын
Nimeo nimeva nguo mpya
@heznerkemunto3196
@heznerkemunto3196 Жыл бұрын
Mimi niliota nikipewa uvunguo tatu yakuvungulia nyumba penye nilkuwa na kaixhi samani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Utapata kheri na mambo yataenda sawa inshaallaah baada ya muda kama bado basi subiri M/Mungu atakufungulia, kiufupi ni rizki hiyo
@heznerkemunto3196
@heznerkemunto3196 Жыл бұрын
@@MTAVASSYTv ameen
@petermanege8539
@petermanege8539 Жыл бұрын
Hostadh hbr yk samahani mm nimepewa nimevaa jinsi pensi iliyoshonywa na nyuzi nyeusi pia hizo nyuzi zinaanza kuachia Alf hapo hapo nimeshika tishet ya zamani ya mwanaume wng et nataka kumpelekea nn maana yKe tafadhal
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
unatafuta mtu sahihi ?kama jibu ni ndio basi unashauriwa kurudi kwa mtu wa zamani na ufunge ndoa ikiwa sio basi hiyo ni kazi inshaallaah
@berryberry6941
@berryberry6941 3 жыл бұрын
Sheikh mimi nimeona mavazi mengi kwa ndoto na pia naenda kununua mavazi lakini sikufika nikazinunua
@berylvall723
@berylvall723 9 ай бұрын
Na ukiota mtu mwenye ywakuchumbia yani mme wako mtarajia sasa kakununulia nguo mpya na watoto pia yamanisha nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 9 ай бұрын
Sijaelewa
@berylvall723
@berylvall723 9 ай бұрын
@@MTAVASSYTv azin qwa ndoto umeota umelululiwa nguo mpya na mwanaume na uyo mwanaume ywataka kukuowa azin simjui na yy pia aniju na alinunua nguo za Duka yangu na ya Mtoto na nikaabithiwa na mwanamke yy akiwa amekata Tu hapo 🤔🤔🤔
@mwnaidibushuti9958
@mwnaidibushuti9958 3 жыл бұрын
Mm nimetoa nimevaa baibu ya kuazima nzuri mno viatu ni yangu ila vya zamani na malengo ilikua nika nunue ya kwangu Ile nguo LAkini sikufanikisha nimejikuta Ile pesa yenye nimepanga ninunulie imepotea nibaki na lile lakuomba na ndoto imeisha hapo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Sijaelewa tafadhali
@umuhemd4908
@umuhemd4908 2 жыл бұрын
Asalam alaikum
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Nimeota nimeona vitambaa vipya vya kushona
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 10 ай бұрын
Punguza michepuko, na kama hauna michepuko basi jitahidi sana kukwepa hali hiyo utaona neema upande wako
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota vazi la kimalkia la blue nini maana yake
@mwanamkasimdigo2454
@mwanamkasimdigo2454 2 жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh nimeota socks zikiwa kwenye maji je inaashiria nini
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Hali ya uchumi wako sio nzuri sana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Na zingatia sana unaweza ukawa kila pesa uipatapo inapotea hapo nikushauri tu fanya maombi tumia hizbu bahri au jallajaluut al kubraa
@bahatihaule5046
@bahatihaule5046 2 жыл бұрын
Mi huwa naota nimevaa combat za jeshi ndoto hii hujirudia Mara kwa mara
@purumukamango5013
@purumukamango5013 3 жыл бұрын
Niimeota ndoto nimejifunika nguo moja na mwanamke ninamfahamu huyo mwana mke nasina mausino nae
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Pole hii ni mbaya kuona
@alawiyaalwy9301
@alawiyaalwy9301 2 жыл бұрын
Sheikh mm nimeota nimevaa mavazi gauni la harusi jekundu jipya alafu la gharia dhahabu sijawai vaa gauni hilo
@mariamumakala6146
@mariamumakala6146 2 жыл бұрын
Ushaolewa kwenye ulimwengu wa majini
@aminamukantabana8241
@aminamukantabana8241 3 жыл бұрын
Aslaam alaikum w w! Sheikh kuota uko kama unafua unakamua shuka uki kaa juu ya kitanda alf maji akayingia mu godoro! Inamana gani Shekh? Nakuomba🙏
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
kama hautopata ujauzito basi utapata mgogoro na mapenzi wako au utakosa raha za mapenzi
@perusephares1239
@perusephares1239 2 жыл бұрын
Asallam aleyk mm nimeona naanika nguo kwenyekaba halafu baadae nikachukua mkaa wamoto nikawa ninaziwekea zilenguo ulemkaa iliziwake ila sikuona zinawaka nn maana yake nanguo nizangu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
mwenza uliyenae anakuvumilia sana wewe unakero
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 3 күн бұрын
​@@MTAVASSYTv😂😂😂
@ahmedally5930
@ahmedally5930 2 жыл бұрын
Naomba namba ya WhatsApp sheikh
@vincentoseko8784
@vincentoseko8784 Жыл бұрын
Ukionta msijana amefaa mavazi nyeupe maana yake ni nn.
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Sheikhe mimi nimeota nimevaa gauni natembea watu wanishangaa.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Nimekujibu whatsap
@khadijaally7271
@khadijaally7271 3 жыл бұрын
Sheikh mimi niliota nimeliona tu gauni jekundu lina urembo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Huyo ni mume kama hujaolewa mara zote hujulishaga kupatikana neema rangi hiyo kama haujaolewa basi ni hivyo na kama tayari fahamu kuwa kuna rizki yaja, japo baadhi ya wanafalsafa wa zamani walisema ni mume mwema
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota vazi la kimalkia la blue Ina maana gani
@awaahassan936
@awaahassan936 11 ай бұрын
kuvaa nikabu kunamaanishi nimi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 ай бұрын
Kufuata sunna, lakini inayegemea maisha ya muonaji hii ndoto
@awaahassan936
@awaahassan936 11 ай бұрын
@@MTAVASSYTv Inamaana ibada zangu ziko swa shekh ..ama maisha yangu nnayoushi naenda sawa na matakwa ya Allah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota nguo za ndani maana yake nini
@raissamugisha1653
@raissamugisha1653 2 жыл бұрын
Kuota umevaa nguo inakubana ao fupi nini maana yake
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
Aliyeona Shamba kwenye ndoto matokeo  itakuwa haya
11:39
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 39 М.
Ukioto Unafua Nguo Na Kuzianua  Ina Manisha Nini?
2:51:15
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
TAFSIR YA NDOTO YA KUOTA UNA PAA AU UNARUKA // SHEIKH ABUU JADAWI
9:24
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 26 М.
Aliyeona viatu Buti/Sandroz kwenye ndoto
10:25
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 23 М.
Being KAMBUA | HIV Is Not The End | Mary Muthoni
49:27
Kambua
Рет қаралды 6 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН