Tafsiri ya ndoto kuona mavazi ya HARUSI katika ndoto//maana ya ndoto

  Рет қаралды 8,836

lady sasty

lady sasty

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Je ukiota una jaribu gauni LA harusi
@user-bb2xw9zl2j
@user-bb2xw9zl2j 5 ай бұрын
Mimi nimeota Niko kwenye harusi ya mudogo wangu halafu mimi ngo nimekuwa navaa nguo ya harusi lakini mudogo wangu alikuwa havai manguo ya harusi lakini mimi nilijiona navaa ile nguo ya harusi nikiweka ju mpia mweusi kwa ju
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 7 ай бұрын
Unajua unajua na unajua tena☑️☑️📌📌🙏🙏
@niyonkurualice-mf3ib
@niyonkurualice-mf3ib 3 ай бұрын
Mimi nimeota mama angu muzazi anamimba pia anavaa nguo yaharusi
@user-ov1zy6vq5d
@user-ov1zy6vq5d 11 ай бұрын
Nimeota nimevaa shela leupe na nimeshika uwa nini maana yake
@user-uo1jo6vq4c
@user-uo1jo6vq4c 9 ай бұрын
Mm niliota nimevaa shela afu natembea barabarani bwana harusi hakuepo nilikuwa mm tu natembea afu kuna watu wananitizama
@dariokisitu9134
@dariokisitu9134 Жыл бұрын
Nimeota ndoto mchumva angu anaorewa ninj mana akee
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 Жыл бұрын
M nimeota nmebeba gauni la harus jeupe na blue nmempelekea mtu akavae,nn maana yake
@nurundumo7587
@nurundumo7587 8 ай бұрын
Niliota nararuliwa vazi langu nilikua nimeva shelà Simba akanivua
@floridaphilimon6303
@floridaphilimon6303 Жыл бұрын
Kumuona bibi harusi akiingia kwenye kazi maanake nini
@lutfiamohammed7400
@lutfiamohammed7400 Жыл бұрын
Sasa mm nimemuota mtu namjua alikua wifi yangu nilipo olewa mwanzo anapambwa akaingizzwa ukumbini Sasa baadae akachukua me up akajihatibu
@fadhilarashd8263
@fadhilarashd8263 Жыл бұрын
Sasa ni nimeota nimevaa nguo ya harusi ya kijani alaf sasa iyo ilikuwa ni ya mtoto maarufu wa msanii ilkw najipimisha tu
@user-in0478
@user-in0478 10 ай бұрын
Mbn hmjibu
@user-fe8cx8fj9o
@user-fe8cx8fj9o 6 ай бұрын
Ukiota make wako anaolewa maan yake n nn
@womenrep
@womenrep Жыл бұрын
Wamaanisha nini ukisema mtu atapata pumziko au likizo
@user-ov1zy6vq5d
@user-ov1zy6vq5d 11 ай бұрын
Mbona amtujibu
#NDOTO-PART 2.  MAANA NA TAFSIRI YA NDOTO ZA HARUSI/SHEREHE. Pst Kadnas
26:30
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 99 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 68 МЛН
NDOTO KUMUONA (EX)MTU MLIEACHANA//MAANA YA NDOTO HIYO
7:53
UKIOTA MBWA MWITU.
9:05
Prophet Joseph Minja
Рет қаралды 475
KWANINI KUOTA NDOTO ALAFU JAMBO LINATOKEA KWELI
14:02
lady sasty
Рет қаралды 8 М.
Huba ya leo ijumaa
5:42
Salumy65
Рет қаралды 318
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 41 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 99 МЛН