AMAZING_GRACE_(Swahili version)_PERFORMED_BY_LAZARUS_ BERNARD

  Рет қаралды 492

Lazarus Bernard

Lazarus Bernard

17 күн бұрын

WAEFESO 1:4-5
"Kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo. Kwa maana alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake"
Mungu alitupenda akatuchagua sisi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu ili tuwe watakatifu katika Kristo Yesu. Na hii ndio NEEMA YA AJABU. Alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye.
NEEMA hii imefunuliwa kwangu si kwa sababu mimi ninastahili kuliko mwingine, si kwa sababu ya uzuri wangu wala matendo yangu bali kwa sababu huo ndio mpango wa Mungu tangu mwanzo wa kuifunua NEEMA yake kwa mwanadamu kupitia YESU KRISTO.
Kupitia NEEMA nimepata kufahamu wito na kusudi la Mungu katika maisha yangu. Nami siishi kana kwamba ni mtu ninayepoteza muda hapa Duniani bali naishi kutumiza kusudi la Mungu hapa Duniani. Neema hii hufunuliwa kwa yeyote aliyeamini ya kwamba Yesu ni BWANA. Hivyo NEEMA hii haiko kwa watu wote bali wale tu wamwaminio Kristo bila kushawishiwa wala kuwa na mashaka, watu ambao hawahitaji kupewa pesa ili wamfanyie Mungu ibada, watu ambao wanaposikia jina la YESU likitajwa wanakumbuka ya kwamba Kwa jina la YESU kila goti linapigwa, na kila ulimi unakiri ya kuwa YESU NI BWANA.
Huwezi kuamsha Neema hii pasipo kumwamini Kristo kwa sababu neema hii ni kwa ajili ya wale wanaotembea kwa imani na sio kwa kuona. Unaihitaji NEEMA hii maana ni mkono wa Mungu utakaoongoza safari ya hatima yako mpaka kwenye udhihirisho wake. Unaihitaji Neema hii ili ufanyike mwana wa Mungu, Mtakatifu wa Mungu, nawe utaweza kufanya mambo ambayo katika siku za kawaida hukuweza kuyafanya, Lakini kupitia Neema utayafanya. Wewe amini tu.
Je, Unaihitaji NEEMA hii?, Amini ukabatizwe nawe utaipokea.
#amazing
#grace
By Lazarus Bernard

Пікірлер: 1
@gladyskibugi8737
@gladyskibugi8737 16 күн бұрын
Amazing Grace indeed 🙏🏾🙏🏾
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 11 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 21 МЛН
Bwana nipe hatua (Official audio by Uscf-Mzumbe & Lazaro Benardi)
8:46
Lazarus Bernard
Рет қаралды 1,4 М.
DAMU YA YESU INANENA MEMA
9:07
CHRIST IS LIFE
Рет қаралды 11 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Ali Mukhwana - Yesu Amefanya (Official Music Video)
5:13
Ali Mukhwana
Рет қаралды 20 М.
Way Maker | Jesus Image | Steffany Gretzinger | John Wilds
28:34
Jesus Image
Рет қаралды 84 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,5 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 99 МЛН
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 8 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 1,2 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 178 М.
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,5 МЛН