Amen amen kaka nakuelewa Sana Bwana MUNGU akubariki sana kaka na azidi kukutumia Zaid na Zaid kwa kweli umenena iliyo kweli yote
@jacksonsyskl4601 Жыл бұрын
Obadia Mungu akupatie upendo, uanzie kwa mwalimu wako wa shule la msingi, yule aliye kukokota machavu ili ufikie kupanga maneno y'a Mungu kama haya yanayo tubariki kutoka mbali duniani. ❤
@barakagminga5728 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭Kama una niongelea mimi
@jamessumpa02 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa Mungu akuinue sana nimepokea ujumbe huuuuuuuuuu♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nimejifunza kitu