USIMSOMEE MTU ZABURI YA KISASI: AMBWENE MWASONGWE

  Рет қаралды 6,572

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

7 ай бұрын

Пікірлер: 51
@rumanyikachange
@rumanyikachange 7 ай бұрын
Habali yako Mtumishi, Mimi Binafsi Naweza kusema kuna Baadhi ya Maandiko yanamaana ya kinabii,(1)mfano inapolaani hadi watoto wasio na Hatia Mala Nyingi huwa inatokea kama watoto wakiendeleza Tabia za Wazazi wao,(2)i kuna wakati Maandiko yanapozungumzia kuangamizwa kwa Adui ina maanisha Adui Atasitisha Mapigano na wewe ,(3)Kuna wakati Adui analengwa Ibilisi moja kwa Moja :-TUNATAKIWA TUNAPOMUOMBA MUNGU DHIDI YA ADUI ZETU,TUSIMPANGIE AMFANYIE NINI,BALI TUOMBE TU,ATAANGAMIZWA,AMA ATAACHA MAPIGANO,AU TUTALINDWA NA MADHARA HAYO ANAYEJUA NI YEYE 🙏🙏🙏
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 3 ай бұрын
Uko saw kabisa mtumishi was Mungu
@selemanisalum7283
@selemanisalum7283 3 ай бұрын
Asante Sana Baba Mimi kama Mimi nashukuru Sana kwamashauri hayo yakusema kwamba tusi waombee adui zetu Maombi mabaya au Maombi ya zaburi,109,nashukuru Sana lkn mm nimtu ambaye huwa nahonewa Sana maadui zangu yaani wao wananitamanigi waniangamize maramoja lkn namshukuru pia Mungu wangu alinipa moyo wakusamee lkn mm nawaombeaga Tu rehema ndo Maombi yng iyo kwamaadui zangu
@paulakamugisha6314
@paulakamugisha6314 3 ай бұрын
Nashukuru MUNGU wa mbinguni kwa ajiri yako somo ni zuri sana sana MUNGU atupe moyo wa kumshukuru na kisamehee pale tunapouthiwa na watu Kilichonifurahisha ni kuona mtumishi ambwene anatumia bible ya kitabu si ya cm MUNGU akutunze sana
@miliuselihudi8937
@miliuselihudi8937 7 ай бұрын
Kabisa Mtumishi Kuna kitu nimejifunza Ubarikiwe Mno Na Bwana Wetu Yesu Kristo
@tulibakobellon1235
@tulibakobellon1235 7 ай бұрын
Amen. Asante kwa ku-share nasi somo hili zuri sana. Asante sana Mtumishi wa Mungu. Nimepata kitu kikubwa. Mungu akubariki...🙏
@user-sr9ko8oy6z
@user-sr9ko8oy6z 7 ай бұрын
Asante kw uelewa huu Mtumish wa Mungu
@Leah-mbilizi
@Leah-mbilizi 7 ай бұрын
Amen! Asante
@BestFriend-yz5ui
@BestFriend-yz5ui 7 ай бұрын
Ameni, neno hili nilikusudiwa mimi nipone, ubatikiwe sana Ambwene mtumishi wa Bwana.
@ManirakizaEsperanceOfficial
@ManirakizaEsperanceOfficial 7 ай бұрын
ASANTE SAANA Mtumishi wa Mungu barikiwa na Mungu
@fabianhamza8546
@fabianhamza8546 6 ай бұрын
Nyie mchezeeeni Mungu ,UNAACHA KUPATANA NA mshitaki wako unajisafisha na zaburi izo pesa na sifa za umaarufu mnajisahau sana na kuwafanyia wenzenu mabayA , ILA UTAVUNA YOTE.😢.
@rubene1631
@rubene1631 7 ай бұрын
Amina.
@elizabethanthony1793
@elizabethanthony1793 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa somo hili takatifu.
@GODisable7573
@GODisable7573 7 ай бұрын
Asante sana na MUNGU akubariki🙏🏾
@Mabby_edwards24
@Mabby_edwards24 7 ай бұрын
Ameen
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 7 ай бұрын
Asante sana mungu akubariki
@RJurumboRJurembo-df5uv
@RJurumboRJurembo-df5uv 7 ай бұрын
Ata mm nashangaa sana ,kutumia Zaburi,maandiko mengine sio yanaomba binadamu wengine wafe
@stevemayala2739
@stevemayala2739 7 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@Traponamichael
@Traponamichael 7 ай бұрын
Asante kwa fundisho zuri❤
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 6 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana 18:6 [6]Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mara mbili kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikombe kile alichokichanganyisha, mchanganyishieni maradufu. 😂
@Lusekelo98
@Lusekelo98 7 ай бұрын
Barikiwa mwalimu
@joyceallan2758
@joyceallan2758 7 ай бұрын
Amen, japo it pain.
@edsonoisso4271
@edsonoisso4271 7 ай бұрын
Bwana kak upo.kimafunuo sana
@HoseaMartine-en7xy
@HoseaMartine-en7xy 7 ай бұрын
Amen barikiwa
@addhacherby3640
@addhacherby3640 7 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki 🙏😊
@emmanuellema5524
@emmanuellema5524 5 ай бұрын
Unasema kweli ila kumbuka adui zetu si binadamu kwa sasa ila shetani na ... waefeso 6:10-
@selemanisalum7283
@selemanisalum7283 3 ай бұрын
Mungu akubariki Sana asante
@richardamen7358
@richardamen7358 7 ай бұрын
Ubarikiwe sanah kaka mkubwah
@HoseaMartine-en7xy
@HoseaMartine-en7xy 7 ай бұрын
Zaburi 119:169
@peteryohana891
@peteryohana891 7 ай бұрын
Barikiwa ndugu
@user-fs7ff7qo1z
@user-fs7ff7qo1z 7 ай бұрын
Nawaombea Rehema
@naamanswila2770
@naamanswila2770 7 ай бұрын
Naomba namba zako WhatsApp Kuna SoMo nikutumie
@ipyanamwanyemba8605
@ipyanamwanyemba8605 4 ай бұрын
Amina
@RJurumboRJurembo-df5uv
@RJurumboRJurembo-df5uv 7 ай бұрын
Nikweri,
@isayamwengwa226
@isayamwengwa226 7 ай бұрын
Stay Blecd bro🙏🏽🫡💯
@user-qo8qy8zv1f
@user-qo8qy8zv1f 5 ай бұрын
Mfano wale wanaodhoofisha kazi ya MUNGU makanisani,wanaloga watu,wanaua je waombeweje?
@user-fs7ff7qo1z
@user-fs7ff7qo1z 7 ай бұрын
Namwombea.ila mimi kuna kikundi cha waombaji wakiniombea nife nabado hawajaacha bado wanomba hivyo ila mimi nawapenda nawaombea
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 ай бұрын
Hao sio waombaji ni washirikina.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 7 ай бұрын
Kama Mungu akihesabu makosa yetu,nani atasimama
@elvismalonga7427
@elvismalonga7427 7 ай бұрын
Wimbo mupya tafazali
@josykogei7647
@josykogei7647 3 ай бұрын
Woiii ni uchungu mi siezi omba Ivo kweli
@josykogei7647
@josykogei7647 3 ай бұрын
Mandiko inasema tukilani maaduii zetu tunajilaani
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 3 ай бұрын
Msamaha ni wito sio kila mtu ANAYO ni kwa rehema TU
@shedrackmikachikwankala1741
@shedrackmikachikwankala1741 7 ай бұрын
Hiyo kofia mtumishi....Alama yake sio nzr . Asante kwa ujumbe mzuri
@dr.lisheofficial7894
@dr.lisheofficial7894 7 ай бұрын
Asante sana mtumishi…LAKINI maandiko yanasema kila NENO LA MUNGU LAFAA KWA MAFUNDISHO…je, hilo neno lisiwe linasoma linalopatikana ZABURI 109, 35 n.k..?
@naamanswila2770
@naamanswila2770 7 ай бұрын
Je Unafahamu neno ni Nani?
@naamanswila2770
@naamanswila2770 7 ай бұрын
Je Unafahamu neno ni Nani?
@elibarikinsulau9932
@elibarikinsulau9932 7 ай бұрын
Imprecatory prayers (eg Psalms 109)to invoke curses upon somebody are irrelevant in today's era of our Jesus savior
@Lusekelo98
@Lusekelo98 7 ай бұрын
Barikiwa mwalimu
@Lusekelo98
@Lusekelo98 7 ай бұрын
Barikiwa mwalimu
AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI
7:37
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 319 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
AMBWENE MWASONGWE, MKE ALIKUWA KICHAA, MASANJA NA JOEL LWAGA HESHIMA IENDELEE
11:27
Inasikitisha: Kilichomkuta Ambwene Mwasongwe Unaweza Kutokwa Machozi
11:29
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 29 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,3 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,1 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 839 М.
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 658 М.