ANZA LEO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 45,012

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 154
@mychanneltz4466
@mychanneltz4466 2 жыл бұрын
Best and best ever utaendelea kuwa best kwangu na ipo siku nitaelezea jamiii ni jinsi gan umenisaidia kwa kunipa maarifa makubwa sana ,,,mungu aendelee kukuweka at the top
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 2 жыл бұрын
Asante Sana Bro Joel hapa watu wengi Sana tunafeli kuanza kuchukua hatua Kwa kuhofia kupoteza hata tulichonacho, "Kweli mbegu haiwezi Kuota na kuzaa bila kupanda" Tunatakiwa kuanza na tulichonacho. Thank you my life coach God bless 🙏🙏 you .
@joycemathew105
@joycemathew105 2 жыл бұрын
Asante sana
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 жыл бұрын
Kwakweli unatuoa kwenye giza nene
@schoolofsuccess666
@schoolofsuccess666 2 жыл бұрын
Nita.... Ooooh, italuakuaj, itatokea nin, kama nita..... Oooh tunaweza tafuta chochote but hatutaweza kuongeza mda, i mean tucpoteze mda coz time z limited resource let's start....my self im already started.
@yollamniko5090
@yollamniko5090 2 жыл бұрын
Kwakweli vipindi vyako vinanijenga nakunibadilisha kila ninapokusikiliza hakika huwa huniachi tupu,,ntaamin ntafanya kitu jo' mungu anijaalie afya njema tu,,Asante saaaaana
@ajaxjunior430
@ajaxjunior430 2 жыл бұрын
Asante sana kushukuru Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana "Tuamue kuanza kuzikabili changamoto, changamoto haziwezi kuisha" nimepata kitu leo.
@jivakasglobaltech5037
@jivakasglobaltech5037 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel, procrastination imekuwa ugonjwa mkubwa kwa watu wengi ila kupitia vipindi vyako vinatuamsha usingizini tulio wengi. Mungu azidi kukupa vitu vya kushare nasi. Barikiwa
@vicknnko6076
@vicknnko6076 2 жыл бұрын
Daah kaka maarifa yako yananisaidia sanaaa Mungu akubarki nilkuwa na laki na nusu nikawa naona ni ndg kuanza biashara ila kwa ushauri wako mzuriii naanza leo Ahsanteee sanaaa
@KazimiliTV
@KazimiliTV 2 жыл бұрын
Hahahaha, mimi laki 900,000 mpka zimeisha tu.
@hawamwambapa848
@hawamwambapa848 2 жыл бұрын
Nmejifunza kitu kizuri sana kaka joel ubarikiwe kwa somo zuri, nafatilia sana masomo yako
@justinebaada9079
@justinebaada9079 2 жыл бұрын
Asante sana bro hakika unanijengea ujasiri zaidi ktk hiki ninachokifanya
@marhaj-products
@marhaj-products 2 жыл бұрын
Ahsante sana Mada imenigusa mno Ubarikiwe kaka
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
My God nisaidie kutumia vizuri mawazo mapya unayonipa (Ayubu 8:7)
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Nakupenda pole kaka yangu yaani unatufungua akili mno. Ubarikiwe na mungu akulinde 🙏
@wisezamir5124
@wisezamir5124 2 жыл бұрын
Mwanzo mgumu kweli,,, sasa nikiulizwa ndoa lini naweza kuwajibu ,,hakuna tena kujipanga umri unasonga kinoma,,
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 ай бұрын
Kiukweli Mungu akubariki sana kaka @Joel umekua baraka kwa wengi naamini mwaka huu nitaweka akiba kwa uaminifu
@onnex90
@onnex90 2 жыл бұрын
Namshukru Mungu kwa huduma yako kaka..nilitimiza kumiliki bodaboda kupitia mafundisho yako..Mungu akujalie afya njema ili kila siku nipate kitu kipya kutoka kwako..nawaomba ndungu zangu niafadhali kutumia muda mwingi kisikiliza mafundisho ya maendeleo kuliko kupoteza muda mwingi kuangalia vithu ambavyo havina msada kwa maendeleo..🙏🙏🙏🙏
@tanzaniatourismboard8395
@tanzaniatourismboard8395 Жыл бұрын
Mwalimu. Mtumishi. My MENTOR...Naanza Mwaka Huu. Naanza Kaka. Nimekusikia...AHSANTE SANA
@janicejohn62
@janicejohn62 2 жыл бұрын
Joel mdogo wangu Mungu akutunze. Uendelee kuachia hicho alichokuwekea ndani yako.
@lydiadeodatius6864
@lydiadeodatius6864 2 жыл бұрын
Shalom mtumishi nashukuru sana kwa mafundisho mazuli mimi nina kipawa cha kuimba ninaimba kanisani asa eneo la sifa na kuabudu nimekuwa nikitaman kufanya ibada ya kusifu na kuabudu ila nakosa sapopi nilijalibu kufanya tena kwa garama kidogo nikausisha watu wakati nawausisha walionekana kunitia moyo mwisho awakuonekan walio nisaidia ni wachache natamani niendelee lakini spt aipo mtumishi
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c Ай бұрын
Usiogope ndugu yangu Endelea kufanya mazoez ili ukiwapa ushaur waone nafasi Yako ni ya muhimu
@josephmichael9555
@josephmichael9555 2 жыл бұрын
Najutia kuchelewa kukufuatilia kwakua maneno yako yananijenga sana na nawalisha wengine
@LucyPonera
@LucyPonera 2 ай бұрын
Asante kaka kwa elimu nzuri hakuna haja ya kusubiri nikuanza tuu🙏🙏🙏🙏🙏
@jackychebet8100
@jackychebet8100 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel Kwa ushari wako
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 2 жыл бұрын
Wow kaka Joel, hili funzo limeniguza akilini zaidi pakubwa sana, waa waa waa , what,??? Kweli nime zembea sana kwa ukweli., nashukuru kwa funzo hili. Loyce Akuku from Kenya. Asante sana Joel
@Ebenmgaya
@Ebenmgaya 2 жыл бұрын
pole kak kwakuchelewa
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mwalimu ni kweli kabisa inatakiwa tuanze na tulicho nacho hongera kwa SoMo najifinza mengi kupitia kwako mungu akubariki
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 2 жыл бұрын
Good man, 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@deboramenard1855
@deboramenard1855 2 жыл бұрын
Asant Sana ubarikiwe
@gaudensiasamwel5337
@gaudensiasamwel5337 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka Joel, asante kwa ujumbe mzuri🤝👍
@abelntobi382
@abelntobi382 2 жыл бұрын
Action oriented
@cetybenja3592
@cetybenja3592 Жыл бұрын
Ume nigusa sana daaa mungu akubalikia ana lakusema japo nime chelewa sana kukujua Ila nime elewa
@jomsafirikajinaki8820
@jomsafirikajinaki8820 2 жыл бұрын
Asante kwa conselho yako Sr. Joel
@lugendelajimola6136
@lugendelajimola6136 2 жыл бұрын
Thanks alot broo for ur creativity ,for sure we are learning alot from u .
@honestermwita366
@honestermwita366 2 жыл бұрын
Mngu akupe kufikiria Zaid. Hongera kwa mafanikio Kwan umenisaidia
@mwanaidijuma3849
@mwanaidijuma3849 Жыл бұрын
Ni kama ulikua unanizungumzia mm Kaka Joel. Kila nikitaka kufanya jambo changamoto inaingia kati. Ila baada ya kukusikiliza nimepata nguvu ya kuanza ninachokifikiriaga kila siku katikati ya hizo hizo changamoto. Asante sana na Mungu akutunze sana Kaka.
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel yaan nimepata kitu kikubwa mno God bless you.
@afyayauzazinaurembomadamgr7659
@afyayauzazinaurembomadamgr7659 2 жыл бұрын
Thanks for everything broo🤝🤝
@nkugwasimon7648
@nkugwasimon7648 2 жыл бұрын
Shukran sana kwa kuendelea kutupatia maarifa mapya kwakwel nimelichukua hilo
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 2 жыл бұрын
Nina ndugu yangu yuko china anisaidii...utafikiri wanaokaa nje wanaokota pesa..hahaaa! safi sana joel kwa kutua elimu na amsha amsha!
@sadikisaidi6996
@sadikisaidi6996 Жыл бұрын
Kaka joeli unanigusa sana nami nina hiyo changamoto ahsante sana
@isakaalberto7637
@isakaalberto7637 2 жыл бұрын
Nakupenda san me naona sina changamoto ila changamoto mm mwnyw maan ndo najua maisha na kipaji changu au wengine hawanijui
@daudihemedi3362
@daudihemedi3362 2 жыл бұрын
Mashaallah.. Asante sana kaka Joel.. Uko vizuri sana unatufunza mengi san vijana kwa hakika.. Mungu akubariki sana
@johaneskaihura3354
@johaneskaihura3354 2 жыл бұрын
Ahsante kwa darasa zuri,Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kukuza maarifa kupitia wew. Well done.
@ElilaTV
@ElilaTV 2 жыл бұрын
Powa sn kaka
@yumbujackson869
@yumbujackson869 2 жыл бұрын
Bro ubarikiwe sana kwa madin haya
@ramakatonyongo1389
@ramakatonyongo1389 2 жыл бұрын
Nakukubali sasa kaka j
@magrary2455
@magrary2455 2 жыл бұрын
Me naogopa kuanzisha mahusuano na mchana ninaempenda sababu naogopa sina msingi wa pesa na kazi bado mwanafunzi wa chuo. Lakini nitajitahidi kwasababu akili haiwezi kukomaa nisipopata misukosuko na changamoto. Ahsantee kaka Joel Nanauka.
@juliusmashauri4342
@juliusmashauri4342 2 жыл бұрын
Bro hua sijutii bando langu God bless you
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 2 жыл бұрын
Ahsant brother teacher
@DjohnSkills
@DjohnSkills 2 жыл бұрын
Duuh Kweli
@jonasebuela8975
@jonasebuela8975 2 жыл бұрын
Naishi USA, Mungu akubariki kwa ujuzi unaho tupatiya.
@namsifuwadeya497
@namsifuwadeya497 2 жыл бұрын
Asante sana umenipa nguvu sana
@user-ns1sd7fe3m
@user-ns1sd7fe3m 9 ай бұрын
Naombe like 5 joel
@bestcakes7098
@bestcakes7098 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel ingawa ujumbe mgumu
@lovehawa4758
@lovehawa4758 2 жыл бұрын
Dah nikirud ntaanz kw kwel
@majaliwamerikiorikichaname9013
@majaliwamerikiorikichaname9013 Жыл бұрын
Lakini kwa hii madini yako ubarikiwe sana🙏🙏
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 2 жыл бұрын
Waa kweli. Ni ukweli
@aptv1321
@aptv1321 2 жыл бұрын
kaka nafurahia sna vipindi vyako vina npa kifra mpya...Hongera
@roselynerwiza9383
@roselynerwiza9383 2 жыл бұрын
Asante kaka sianzi sababu nategemea kupata mtaji Ndio nianze nimeelewa nitarekebisha hapo Ili nianze kwa nilichonacho Kwanza
@elishaignacy2013
@elishaignacy2013 2 жыл бұрын
yaan kaka joel kila siku nikiangalia video zako ni kama huwa unanisema mm Lakin asante sana nimeanza na nimeona mabadiliko🙏
@winfridajohn6435
@winfridajohn6435 Жыл бұрын
Asante kwa somo hili Joel
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 9 ай бұрын
Shkran sn kk Joel 🙏🙏 Be blessed
@jomsafirikajinaki8820
@jomsafirikajinaki8820 2 жыл бұрын
Bons conselhos! Obrigado gostei de conselho
@noahgeorge0174
@noahgeorge0174 2 жыл бұрын
Am so proud with you
@eliapatrick
@eliapatrick Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@xmaramoja362
@xmaramoja362 2 жыл бұрын
wiki ijayo naanza mkuu
@stejasatv7349
@stejasatv7349 2 жыл бұрын
Makini sana mkuuu
@godfreydickson4204
@godfreydickson4204 2 жыл бұрын
My Mentor, God bless you 🙏
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Nashukuru sana na mimi nimeanzisha account yangu ya you tube mdogo mdogo natembea kwenye maono yangu,,, asante Coach Zidi kuinuliwa uwainue wengi zaidi
@jrsureodds9820
@jrsureodds9820 Жыл бұрын
Asante Sana teacher hapa nimejifunza kitu
@marykavishe3553
@marykavishe3553 2 жыл бұрын
Asante kaka leo nimekusikia naenda kuanza umenitia moyo Sana pia kupitia ebook yako money formula nitajifunza mahitaji yasipande yabaki yalivo
@MrHillary.
@MrHillary. 2 жыл бұрын
Ahsante Kaka kwa somo zuri🙏
@hoseahmbembela8720
@hoseahmbembela8720 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana asante kaka
@drjamesjames9337
@drjamesjames9337 Жыл бұрын
Always you will be my role model 😉
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Ahsanteeeeee
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 2 жыл бұрын
Yaani ww kaka maneno yako yananipush sanaa mungu akulinde na kila kitu
@newschannel1558
@newschannel1558 2 жыл бұрын
Bro Mungu akubariki sana
@fathiasaed9718
@fathiasaed9718 2 жыл бұрын
God bless you nanauka
@mathiaswilliammadimba6483
@mathiaswilliammadimba6483 2 жыл бұрын
Kaka joeli nakufuatilia sana na ninaona manufaa yako shida niliokuwa nayo nilikuwa na mtaji mkubwa kiasi kama milion 20 ujenzi na changamoto za kibiashara zimenifilisi nimestrago sana miaka kama 3 sasa ninamtaji kama milion 4 nashindwa kuanza biashara unanisaidiaje nipo mtwara masasi
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
Asante kwaushauri,nitajifunza kuaza🙏
@daprince7545
@daprince7545 2 жыл бұрын
Shukran sana bro ur points taken mungu akubariki
@happynessmwaipaja5372
@happynessmwaipaja5372 2 жыл бұрын
Yes,me at the top
@danielbetweli3519
@danielbetweli3519 2 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo lako Vijana una2fungua sanaa sanaa Mungu akubariki.
@nadyahamis9026
@nadyahamis9026 2 жыл бұрын
Shukrani ka Joel
@ecbtvtanzania6489
@ecbtvtanzania6489 2 жыл бұрын
Thanks alot my lecturer ,, now iam ready to start
@veronicalazaro9531
@veronicalazaro9531 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka kama ulikwepo kwenye akili yangu Kila nikitaka kufungua biashara nasita
@kizabakari5276
@kizabakari5276 2 жыл бұрын
dah!!! unakipaj kikubwa sn joel nataman kuwa mwongeaj mzuri kama wewe. na pia nimependa point yako “huwezi fanikiwa katik jambo amboyo ujahanza kufanya kumbuk mbegu aiwezi kutoa na kuzaa matunda mengi kama hujapanda” na hii inanifanya nianze na kidogo bila kujali kuonekana wachini 🙏🙏.
@nicksonjoph
@nicksonjoph Жыл бұрын
NI kweli bro apo umetugusa wengu
@happinesedward625
@happinesedward625 2 жыл бұрын
Asantee sana kaka joel
@tumainanthonychanya60
@tumainanthonychanya60 2 жыл бұрын
Kaka Joel ipo siku nitakuomba uje uishuhudie mbegu unayoiotesha kwangu Mungu akutunze sana
@lightnesskashi3226
@lightnesskashi3226 2 жыл бұрын
Sijamaliza kuangalia but im already blessed
@hamisichenji9892
@hamisichenji9892 2 жыл бұрын
Umekuwa mwalimu mzuri kwangu. Asante sana kaka na mungu akutunze zaidi.
@saimonmagembe1101
@saimonmagembe1101 2 жыл бұрын
Asante sana kaka umenifungua akili
@juliusjozeiy7878
@juliusjozeiy7878 2 жыл бұрын
Asante brother Joel angalau nme jua kitu... ila samahan nlkua naomba ushaul,mimi nasoma na mzaz wangu kanipa mtaji nianze biashara na vitu chuon n vigumu atari... Je una ni shaul nianze io biashara na je nta fanikiwa!!?
@richardmugwe9009
@richardmugwe9009 2 жыл бұрын
Thanks alot brother joel...uhv made my new chapter of life..
@johnmangi9007
@johnmangi9007 2 жыл бұрын
Kiukweli ndo ukweli huo,,mtegemea ndguyo hufa maskini. Na wangojao nafasi nzuri ili waanze wamebakia siku zote kungoja tu
@medsonstarlon1781
@medsonstarlon1781 2 жыл бұрын
Shukrani kaka Kwa Elimu hii,,,barikiwa sanaaaa
@georgeswaiswai4581
@georgeswaiswai4581 Жыл бұрын
Kweli hata mm naogopa kuanza kwa kuhofia kuwa hta hiki kidogo naweza kupoteza
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel
@gabrielchristopher1979
@gabrielchristopher1979 2 жыл бұрын
Naanza leo
@YusuphNgungu-mz1tw
@YusuphNgungu-mz1tw 11 ай бұрын
Kwasababu sijue kingereza
@getrudejohn4635
@getrudejohn4635 2 жыл бұрын
Asante kaka Joel
@mlandagodfrey121
@mlandagodfrey121 2 жыл бұрын
Shule Bado imenibana nashukru nimeshajifunza mengi kwwko Bado nimalze masomo tu nianze
Watu Wa Mpito - Joel Nanauka
7:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 6 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 28 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 16 МЛН
Wakati Wa Mpito Katika Jangwa - Joel Nanauka
6:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
ANZA NA ULICHONACHO - HARRIS KAPIGA
7:55
Harris Kapiga
Рет қаралды 3,7 М.
KANUNI 4 ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
7:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 42 М.
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA KWANZA
27:22
Harris Kapiga
Рет қаралды 14 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo matano (5) ambayo hupaswi kumwambia mkeo
10:29
JOEL NANAUKA: Siri ya mafanikio mwaka 2021 mambo 6 ya kuzingatia
26:21
JENGA NIDHAMU BINAFSI
11:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 6 МЛН