Watu Wa Mpito - Joel Nanauka

  Рет қаралды 21,929

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 97
@shamhamood755
@shamhamood755 2 жыл бұрын
Kwa kweli wewe ni mwalim ktk maisha yangu. Nimejifunza mengi from your topic always. Mungu akupe hekima zaidi na zaidi
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Ni kweli na hili ni janga kubwa ,,, maana yule aliekusaidia anataka mda wote umuangalie yeye kwasababu tu alikusaidia...pia anataka kukumiliki.. Huwa nawapa jibu langu ukuweza kunisaidia bila juudi yangu pia kunisaidia mimi ulikuwa sio wewe ni mungu alikutumia tusaidiane! Ongera sana kaka Joel nanauka mungu ukubariki sana
@lightouma477
@lightouma477 2 жыл бұрын
Hakuna speaker anaenibariki kama wewe,your my role model,natamani siku nikuone kwa macho,MUNGU akutunzee babaa
@hassanomary1067
@hassanomary1067 2 жыл бұрын
Natamani cku moja kka joel nikuone unagombea URAIS,,hakika mungu akusimamie na afanye wepesi ktk harakat zako 🙏
@maujanjatzonline4724
@maujanjatzonline4724 2 жыл бұрын
hakka machoz yamenitoka kk unacho ongea kipo katka maisha yetu mung akubarik kwa kaz nzur 🙏
@godsonbukuku4099
@godsonbukuku4099 2 жыл бұрын
Ni uhalisia kabisa haya yamenitukia ila sikuwa naelewa has a kwanin iko hivyo vigumu kuachana na watu wa mpito na kwamba nlipaswa kufanya nin baad ya Muda wa watu hao kupita Lkn Leo nimejua na kuelewa🙏🙏
@neemagift4921
@neemagift4921 2 жыл бұрын
Habari Mr Joel .nitapataje kitabu ya money formula nipo Arusha
@piusyotamu5615
@piusyotamu5615 2 жыл бұрын
Na barikiwa sana . Mungu azidi kukutunza sana
@neckikikoti6256
@neckikikoti6256 2 жыл бұрын
Hakika kaka Joel unanifundisha sana Tambua yakuwa Mungu atakuweka sehemu malumu zaidi katika kila sehemu utakayopitia. Unagusa maisha yangu moja KWA moja. Ahsante sana, Yesu akuongezee kila ulichonacho kiwe maradufu Zaidi
@magrary2455
@magrary2455 2 жыл бұрын
Mjomba wangu, shangazi yangu, babu, bibi na baba mdogo wangu wamekuwa msaada kwangu kwa kiasi kikubwa kimalezi kuishi nyumbani kama mtoto wao mpaka leo hii nimefika kiwango cha elimu ya juu
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Ni kwel kbs ata mm nilipitia uko na awo watu wameenda zao ata mawasiliano nao sina tena. Bali mungu awabariki popote walipo
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@wailesmsongole1914
@wailesmsongole1914 2 жыл бұрын
My teacher umefanya nifike mbali
@lesportetlanutritionpourla9956
@lesportetlanutritionpourla9956 2 жыл бұрын
Waow sio Siri nimejifunza kitu kikubwa sana kabisaaaa ahsante sana kaka maana kuna watu ambao kwenye kipindi fulani walikua karibu na mimi kabisa lakini baadae nikiwauliza na kutaka eti nibaki nao karibu kutokana na umuhimu walionionesha kile kipindi cha nyuma walikua wakidai wapo busy mpaka nikaamua kuwaacha lakini kishingoupande. Ahsante sana Joel ubarikiwe sana
@leonardsimoni804
@leonardsimoni804 Жыл бұрын
❤❤❤ daah mafundixho yako sizani kama nitaendelea kufeli
@labanchayonga8103
@labanchayonga8103 2 жыл бұрын
uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa sana ..na hutuombi hela bar unatusaidia bule wala hauhitaji kutupa maji au mafuta ili tuamin bali unatufunza kiiman napenda sana uendelee kuwepo ili kupitia wew nije niw kiongoz bora kwenye maisha yangu pia
@erickmakeja413
@erickmakeja413 Жыл бұрын
Aisee!!! This is the strong reason,,,natamani Kila mtu asikilize.
@twahaally1969
@twahaally1969 2 жыл бұрын
wewe ni baraka sana... keewtu kaka
@dorcasmunisi8678
@dorcasmunisi8678 2 жыл бұрын
Hongera sana kakangu,najifunza meengi mazuri kutoka video zangu nashare na wengne nao wanabarikiwa..nimebadilika kiufahamu/kimtazamo/kimaamuzi kwa kupitia wewe kakangu..MUNGU AKUINUE KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI.LET'S MEET AT THE TOP BRO!
@TRIPLE_M_13k
@TRIPLE_M_13k 2 жыл бұрын
More appropriate Najikuta Watu nawaeleza like nilichojifunza kwako na watu wananikubali Sana wakijua Ni utashi wangu
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, kiukweli hii nimekutana nayo Kuna mtu nilimsaidia lakini anataka muda wote nipoteze kwake yani kila wakati anataka niwasiliane nae
@frankbenandi8764
@frankbenandi8764 2 жыл бұрын
nashukuru kaka joer nakwamini sanaa we nibaraka kwangu unanikutanisha namungu 🙏
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@aminambonea1372
@aminambonea1372 2 жыл бұрын
Ubaarikiwe unaniinua kila siku ninapo jifunza
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Shukran Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚 Mazuri hayo 🎙️
@emanuelmasawe2673
@emanuelmasawe2673 2 жыл бұрын
Nimekumbuka rafik yangu alikua ni m2 wamaono mungu amrehemu huko aliko
@daniellepari4525
@daniellepari4525 2 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka ubarikiwe
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 2 жыл бұрын
Asantee Sana Bro Joel 🙏 upo Kwa wakati mhimu Sana .. ujumbe wa Leo umekuja kwenye wakati sahihi kabsa kwangu . Mungu aendelee kukulinda Sana Bro Joel.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
God bless you 🙏 Brother
@upendofande6813
@upendofande6813 2 жыл бұрын
Hakika Mtumishi unaivusha nchi.
@brianamichale5528
@brianamichale5528 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mdogo wangu mungu akujalie
@jacklinebazale5415
@jacklinebazale5415 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa nimekutana nao nimejifunza leo kutokuwangangania
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Mi nimeshakutana na mtu wa kunisaidia,alinisaidia msaada wa hela nyingi Ila ndio alitaka kunimiliki mpaka umaana wa msaada ukapotea na nikaachana nao,alikua ni ndugu yangu wa damu.
@user-nm1je5pt4u
@user-nm1je5pt4u 2 жыл бұрын
Yani nagupenda unatuerimisha ubarikiwe
@mrfocusvipaji8591
@mrfocusvipaji8591 2 жыл бұрын
Dah bro uyazungumzayo kwaxaxa nayapitia ila xaiz napata nafuu after your speech bro thank and god bless you
@mussakubari3920
@mussakubari3920 Жыл бұрын
Nikweli kaka nomba 1 nemekutanae
@mwananyumbwemapembe6345
@mwananyumbwemapembe6345 2 жыл бұрын
Namshukuru Sana umenifundisha nimelewa sana
@rhinakiza
@rhinakiza 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri sana 🙏🏼
@user-tx9mq2tr6j
@user-tx9mq2tr6j 2 ай бұрын
Asantee mtumishi wa mungu
@bonifacemapunda8829
@bonifacemapunda8829 Жыл бұрын
Asante San,nimkutna na watu hao Mara nyingi sana
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana brother,Asante sana.
@vicentjohn6479
@vicentjohn6479 Жыл бұрын
Amen mimewahi kukutana
@Africa.Athuman
@Africa.Athuman 2 жыл бұрын
Mwanafunzi wako kutoka burundi ndio wapo ila kaka sometimes takutext ila hunijibu sijui kwa nini
@sarahmtenga134
@sarahmtenga134 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kupitia Joel,Mungu azidi kukuinua.
@beatricemabula4783
@beatricemabula4783 2 жыл бұрын
Ahsante sana somo limekaa kichwani na ni muhimu kwangu..barikiwa
@nancysamwel3468
@nancysamwel3468 2 жыл бұрын
Hakika barikiwa sana kaka
@andersonnkenzidyo857
@andersonnkenzidyo857 2 жыл бұрын
Nakukubali sana brother hao watu nilishakutana nao sana .
@thobiasmajaliwa9282
@thobiasmajaliwa9282 2 жыл бұрын
Kwel kabisa nilisha kwama shule nikakuta a na rafk wa ck nying akanipa suruhisho na c pesa
@aidanmsungu2433
@aidanmsungu2433 2 жыл бұрын
Nimekupata vizur kaka
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Ahsante sana Sauti yako Ipo Katika Masikio yangu
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Safi kabisa
@saliingao2072
@saliingao2072 2 жыл бұрын
Allah akulipe kheri Jemedar wetu .
@justinebaada9079
@justinebaada9079 2 жыл бұрын
Asante sana bro kwa somo hili hakika limenifanya nijifunze kitu kikubwa san hapa. Ubarikiwe sana bro maana kila nitazamapo video zako na makala zako huwa zinaniongezea ujasiri na kujiona mshindi ktk kila hatua ya kulitimiza kusudi nililoitia
@housemanagmentfinishing1151
@housemanagmentfinishing1151 Жыл бұрын
Hakika nimezidi kujifunza zaidi na somo lako sijawahi kujutia mb zangu kusikiza masomo yako kaka
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@fabiantz1431
@fabiantz1431 2 жыл бұрын
Barikiwa San kaka Joel najifunza mengi san kupitia ww
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 2 жыл бұрын
Amen. I consider it a God's voice...
@anoldkimario8285
@anoldkimario8285 2 жыл бұрын
Nikweli unayozungumza brother, ahsante Sana
@charlesoputi7101
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Am soo challenged with today's video thanks bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mimi Kwako Niko upanda WA support Tu Kwako that's all I can offer
@jumaqmussa3001
@jumaqmussa3001 2 жыл бұрын
daah!!!fact sana hiii
@benjaminsaimon3280
@benjaminsaimon3280 2 жыл бұрын
Thank you so much brother Joel..you keep paving our minds day after day may heavenly father keep holding you🙏🏻
@isackpius250
@isackpius250 2 жыл бұрын
Asante sana Kaka Joel. Hakika ubarikiwe milele
@budakassim2191
@budakassim2191 2 жыл бұрын
Hii kubwa SANA
@drkatole8007
@drkatole8007 2 жыл бұрын
Asante sana kiongozi Somo hili limenibariki sana Ubarikiwe.
@amankinyamagoha2861
@amankinyamagoha2861 2 жыл бұрын
Thanks Mr be blessed 🙌
@twahaally1969
@twahaally1969 2 жыл бұрын
Shukran kaka fam from Zanzibar
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 2 жыл бұрын
Waaaaaah somo jema sana.
@amanimakury9686
@amanimakury9686 2 жыл бұрын
You are have wonderful speech my bro
@hillaryindimuli1386
@hillaryindimuli1386 2 жыл бұрын
thanks sir always on point . You always deliver your point clearly and more simplified.
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Kaka
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Ahsantee
@paullazaro3127
@paullazaro3127 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho mazuri.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Ameen
@edeniaalex9029
@edeniaalex9029 Жыл бұрын
Mm nimekutan nae lakin ni ndug yang
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 2 жыл бұрын
Amin
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 жыл бұрын
Absolutely 💯 kk
@twahaally1969
@twahaally1969 2 жыл бұрын
Shukran Mr.
@rahimsalumu4928
@rahimsalumu4928 2 жыл бұрын
Asante kk
@neemasafari3297
@neemasafari3297 2 жыл бұрын
Kaka l appreciate
@greatestdaniel291
@greatestdaniel291 2 жыл бұрын
Asante
@abuuminya8746
@abuuminya8746 2 жыл бұрын
nice,duka la vitabu linapatikana wapi
@emwainvestment384
@emwainvestment384 2 жыл бұрын
Thanks alot
@arnoldsangala6869
@arnoldsangala6869 2 жыл бұрын
Mimi pia ni shuhuda niliyekutana na watu hao,lakini vilevile ni wengi nlio wasaidi kwa ushauri na wengine nimesaidia kuwawezesha katika changamoto zao,mwisho wa siku wameenda jumla hata wasinikumbuke,walipofanikiwa hawana haja nami tena na Mungu amewasaidia na kuwainua,hiyo nayo ikoje?
@fj8317
@fj8317 2 жыл бұрын
tenda wema na uwe ndazo hawana haja wewe usifikirie hilo fanya yako bro
@AthumanChambo-np4gn
@AthumanChambo-np4gn 6 ай бұрын
Nime😢
@jitathminitv3429
@jitathminitv3429 2 жыл бұрын
true
@kulwamnyeleshi2453
@kulwamnyeleshi2453 2 жыл бұрын
👍
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 2 жыл бұрын
Joel una akili sana
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Ndiyo nikishawahi katana nao
@oscarj....5979
@oscarj....5979 2 жыл бұрын
Sasa me ntajuaje kama ni wampito au laah 🤔
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
📌🔨🖤
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Bomba sana
@farajarogath196
@farajarogath196 2 жыл бұрын
💜💜💜🙏🇹🇿⭐⭐⭐⭐⭐❤
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nice
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Ni kwel kbs ata mm nilipitia uko na awo watu wameenda zao ata mawasiliano nao sina tena. Bali mungu awabariki popote walipo
@mrfocusvipaji8591
@mrfocusvipaji8591 2 жыл бұрын
Dah bro uyazungumzayo kwaxaxa nayapitia ila xaiz napata nafuu after your speech bro thank and god bless you
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Ni kwel kbs ata mm nilipitia uko na awo watu wameenda zao ata mawasiliano nao sina tena. Bali mungu awabariki popote walipo
Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?
46:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 24 М.
JENGA NIDHAMU BINAFSI
11:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 175 М.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 31 М.
UNAPOSAIDIA WATU - JOEL NANAUKA
7:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 52 М.
Wakati Wa Mpito Katika Jangwa - Joel Nanauka
6:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Watu Unaopaswa Kukutana Nao Kwenye Mwanzo Mpya (Day 2) - Pastor Joel Nanauka
1:38:36
Total Healing Ministries
Рет қаралды 21 М.
Mfumo wetu wa Elimu hatufundishi kujitambua
31:13
Chomoza Tv
Рет қаралды 17 М.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН