Mungu azidi kukupa elimu njema Amin . Nafurahi sana kwa mawaidha yako . Insha’allah Mungu azidi kukudumisha kwa kutuelimishi .
@user-ro9ch4jf2m11 күн бұрын
Wallahi Sheikh ww ni mmoja Kati ya Mashekhe ninaowapenda kwa maneno yako ya busara Allah amekupa kipao cha hali ya juu Namuomba Allah akuzidishie Ameen
@RubeaAli-vi8ww11 күн бұрын
Allah akulipe KHEIR NYINGI napa duniani, kaburini, na akhera pia, amiin
@NzomukundaHawa7 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu wakuendeleza mafunzo ya dini, tunashkuru sana sheikh wetu
@user-ck3gw7ok7r10 күн бұрын
Yah Allah tulindie shekh wetu yaraby ❤
@user-ph9ds9dm7w5 күн бұрын
Ni maneno ya busara sana na Hekima nyingi Allah Azid kukuweka ili Tunufaike Zaid 🙏🙏.
@bwanadiosman131711 күн бұрын
Mungu atujalie kheiyr zaka insha Allah nawe Mungu akujazi kheiyr nyigi insha Allah
@husseinkatana457312 күн бұрын
Allah akuzdishie neema ya afya uzidi kutuelimisha
@user-po7gb6xx1k7 күн бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@halimaramadhan200010 күн бұрын
Jazzakah llahu kheir sheikh Othman
@user-po7gb6xx1k7 күн бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن❤
@fatimahirakoze731112 күн бұрын
Nakupenda sn cheikh wetu kwa akili ya Allah Allah akulipe kheri zisizo kua n'a hesabu duniani n'a akhera
@IbrahimKalisa16 сағат бұрын
Ma shaa Allah
@saudaali50512 күн бұрын
Allah akuongoze sheikh uzidi kutuelimisha.
@KhadijaNgozi-ln4ww12 күн бұрын
Maneno.mazuri.sana
@MariamHaroon-pu3lx3 күн бұрын
Mashaaallah 😢🎉🎉🎉🎉🎉
@HusseinAbdou-zw3is11 күн бұрын
Assalam alaykum wa rahma tullahi wa barakatuh Sheikh ; wAllahi Allah kakupa kipaji cha ku fundisha. Ni Hussein nafwatilia darsa zako on line from 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩
@fatimahirakoze731112 күн бұрын
Cheikh acha kunichekesha
@fatimahirakoze731112 күн бұрын
Yani Allah alimpa jibu lizuri kua ni mafunzo kwetu kiukweli inaumiza kabisa