ASIMULIA ALIVYOPOTEZA MKE NA MTOTO WA MIAKA MITATU, DADA YAKE, NA KAZI YAKE, AKIWA GEREZANI,

  Рет қаралды 42,168

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@ruthundudumizi5256
@ruthundudumizi5256 3 жыл бұрын
Nimekumbuka mstari wa kwenye wimbo wako wa misuli ya imani “kama unazani lakwako gumu basi sasa jifunze kwa wenzako maana wewe kuguswa tu na jaribu unanung’unika mwaka mzima”
@leamlenga4227
@leamlenga4227 3 жыл бұрын
Daaah,Mungu tusamehe tunalalamika kwa mambo madogo, kumbe kuna wenzetu wanapitia kwenye majaribu ambayo ukitafakari unashindwa kupata majibu kwamba ingekua mimi ingekuaje 😭😭😭Mungu alijua kwamba haya unayaweza, amini Mungu anajivunia wewe ubarikiwe.
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Sana tujifunze kupitia haya wapendwa 😭yaani kumpoteza mke namtoto nadada nimtihani mkubwa sana
@angelkimario5862
@angelkimario5862 2 жыл бұрын
Kaka angu nyimbo zako zimenitia moyo lakin kwa mwimbo huu mpya nimepata uponyaji kwa wakati mgumu nilio nao nimeona niliyo nayo so kitu niachilia na nimetoka kwenye uchungu kwa yaliyo nipata Zaid ya nyimbo zako tatu nimelutana nayo lakin la huyu YESUsisimama
@janemsamati6700
@janemsamati6700 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana , kwa ushuhuda huu na yote uliyoyapitia leo tumepona hata mimi nimeimarika kiroeho
@marymasimba9722
@marymasimba9722 2 жыл бұрын
Mungu kwahili alilo pitia mtumishi wako najifunza kushukuru na sio kulalamika
@Jiwakilishe2023
@Jiwakilishe2023 2 жыл бұрын
Mimi mfuasi wako wa kina hapa Machakos,Kenya. Habari ya huzuni hii lakini ya kutia moyo. Na bila nia mbaya katika maojiano upunguze sauti ya mziki tuyasikie maneno vizuri. Mungu awabariki
@gaudenciaredwin2154
@gaudenciaredwin2154 2 жыл бұрын
😭😭😭 so sad,I don't know if I could bear this pain🙆 huu wimbo na misuli ya Imani my my God,may God heal your hurt,pain and wounds sir😢🙏🏽
@beatriceloveness3793
@beatriceloveness3793 3 жыл бұрын
Jmn tunaomba serikali ifikirie kwenye swala hili mtu akifiwa tunaomba wamruhusu tukazike ndugu zetu dah hii simulizi inauma Sana
@pulkeriashauri4597
@pulkeriashauri4597 2 жыл бұрын
katiba mpya itasaidia usisahau likitokea kuja kwenye maoni ya wananchi
@elinardomakunga8403
@elinardomakunga8403 2 жыл бұрын
Ee Mngu wangu unisamehee nilipo atwa na kajaribu kadogo nikanung'unika kiasi cha kukufuru nisamehee baba angu sikujua kama kuna watu wanapitia magumu zaidi yangu nijaze roho mtakatifu toka sasa amee🙏🙏🙏
@patrickwilondja759
@patrickwilondja759 3 жыл бұрын
Pole sana na ushuhuda huo unao kuwa na kutuongezea imani
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 3 жыл бұрын
Waweza kuzani ,kwamba umwa kumbe ujaona wagonjwa. Ukishawaona wagonjwa mwenyewe waweza kupona bila dawa.😭😭😭😭😭😭😭😭.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Bwana Mwema Atafungua milango utashangaa Atafanya njia Utashangaa Utamtukuza Kumb. 28.1.14 utazidi kumshangaa Yehova Mwema mladi Umempa moyo wako Atakutukuza Haleluuuya Pole Sana
@calvinstanley6826
@calvinstanley6826 2 жыл бұрын
Neema ya Mungu iwe juu yetu daima, Neema hii inatupa nguvu yakusonga mbele siku hadi siku.
@paulpius6566
@paulpius6566 2 жыл бұрын
Daaaah, Pole saaaana ndugu yangu kwakweli umepitia magumu saaaana. mungu akurehemu kwakweli , hakika tuna imani katika yeye atutiaye nguvu. mungu akusimamie katika utumishi wako
@cartasmaganga8099
@cartasmaganga8099 2 жыл бұрын
🙌🏻😢😭Kuna mahali Mungu anakupitishs adi unajiuliza 😭😭🙌🏻🙌🏻Baba naomba unikumbuke 🙏🙏😭. Kumbuka familia yangu 🙌🏻😭😭
@upendokulwa1294
@upendokulwa1294 2 жыл бұрын
Mungu nikumbuke simulizi imeniliza Sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@tranchescoanthony2509
@tranchescoanthony2509 2 жыл бұрын
Naamini kusingiziwa ni kukubwa sana na ukiwa gereza unaweza kufikiri kulipiza kisasi kibaya sana ila kwa yote!!! Bado tunayo mengi sana ya kumshukuru MUNGU.
@happyelias9465
@happyelias9465 2 жыл бұрын
Mungu atakulipa kaka, Ila mpunguze Mziki ni mkubwa
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Pole Sana kaka YANGU...wakurudishe kazini jamani.. Ninakuombea Mungu najua ipo siku utarudishwa kazini
@gabriellafaith6128
@gabriellafaith6128 3 жыл бұрын
Jesus😭🥺😭🥺😰Tukumbuke Baba, Turehemu Bwana🙏🙌🙏
@aminajuma2387
@aminajuma2387 2 жыл бұрын
Hiyo soundtrack inameza maneno ya wenu.....ipunguzwe ukubwa wa sauti.story inaumiza na kufundisha Sana jins ya kushikilia Imani moyoni pasina na kujal unapita kwny jaribu gan
@lovenesssanga3162
@lovenesssanga3162 2 жыл бұрын
It is more pains but God is greater a father of fatherless,He gives hope to hopeless🙏🙏🙏
@nyotamayemba5887
@nyotamayemba5887 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ana watu wake ... imani hii .. hakika nimejifunza kitu na kupata hatua zaidi za kiroho...Watumishi wa Mungu awabariki sana
@moreenkasekwa9737
@moreenkasekwa9737 3 жыл бұрын
Mungu anakuoenda sana anataka umtumikie sana umepitia meng
@mutrijamwarabu4672
@mutrijamwarabu4672 2 жыл бұрын
😰😰 Mungu anaporuhusu jambo litokee huwa anafahamu nini anafanya, Mungu akusimamie brother
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Pole sana baba kwamapito magumu uliyopitia 😭😭😭😭 kikubwa usimwache Mungu
@moreenkasekwa9737
@moreenkasekwa9737 3 жыл бұрын
Du imenitoa machoz nimejalibu kukivaa kiatu du kinabana nashukuru mungu kakukumbuka
@joyceshindayi4576
@joyceshindayi4576 2 жыл бұрын
Haaaaaaaaa jaman inaumaaa Sana 😭😭😭😭 eeeeh Mungu unatujua watu wako wote. Nakosa vya kuandika.
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 2 жыл бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu jina la Mungu lisifiwe 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 2 жыл бұрын
Ooh usbuhuda huu umenipa hatua zaidi... ubarikiwe mtumishi sana
@annaanthony9290
@annaanthony9290 2 жыл бұрын
Mungu wangu unihurumie pale nilipopitia jambo dogo na kunung’unia
@elizabethmsuya4504
@elizabethmsuya4504 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema wakat wote Akupe amani ipitayo yote ya dunia,akuinue mahali pa juu
@elinardomakunga8403
@elinardomakunga8403 2 жыл бұрын
Ukweli ushuuda huu umegusa sana maisha yangu nami nasema toka sasa nakili imani yangu Mngu nisamehee pia nashukuru kwa kuendelea kunipa pumuzi ya huai
@pimgee7237
@pimgee7237 2 жыл бұрын
Love you from Zambia
@damarismoraa1269
@damarismoraa1269 2 жыл бұрын
ee Mungu nisamehe kwa kuwahi lalamika.... ushuhuda wako umenibariki sana ndugu
@doricekadushi3924
@doricekadushi3924 3 жыл бұрын
Dah hapana jamn inauma sana 😭😭😭 i can't take it😭😭😭😭
@CeciliaLazaro-dn9tx
@CeciliaLazaro-dn9tx 4 ай бұрын
😢😢😢 imenitoa machozi sana MUNGU WEW NI HAKIMU
@benaiahchaulah1037
@benaiahchaulah1037 2 жыл бұрын
Kweli dhahabu safi husafishwa kwa moto,😢 all in all Groly to God Mungu awe nawe
@menovicmushy1032
@menovicmushy1032 2 жыл бұрын
🔥Nimebarikiwa sana na hii biti kaka Ambwene,safi sana kwa maombi
@estermasine2110
@estermasine2110 2 жыл бұрын
Pole sana kaka kila kina knachtokea katika maisha kina sasbau mung azid kkfanyia wepes🙏🙏
@josephinebiringanine7113
@josephinebiringanine7113 2 жыл бұрын
Sijapenda iyo music. Inasumbuwa na kuweka kelele.
@laitmwinuka3836
@laitmwinuka3836 2 жыл бұрын
Stay blessed Mungu azid kuk tumia🙏🙏
@sophianasri6107
@sophianasri6107 2 жыл бұрын
Pole kaka Yesu akutunze
@subiraadam2322
@subiraadam2322 2 жыл бұрын
Duuuuhh so sad😭😭😭
@jedimunga9966
@jedimunga9966 2 жыл бұрын
Pole sana,usa matatizo aya,la asante tena kwa kutusaidiya kwa uongezaji wa imani.
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 3 жыл бұрын
Ambwene Mungu anakutumia Vema sana kutubariki wengi
@pimgee7237
@pimgee7237 2 жыл бұрын
God bless my brother , sorry sorry sorry
@kwekaangel4461
@kwekaangel4461 2 жыл бұрын
Daaaaah 😭 emotional story
@Baba-JJ
@Baba-JJ 2 жыл бұрын
Kwakweli sijui kwanini mambo ya Magereza yamekuwa ya kinyama hivi? Kuna mambo unaweza kusema labda yamepangwa ili mfungwa atoroshwe kwahiyo huwezi kuruhusu, lakini msiba hasa wa mke, mume au mtoto kwanini watu wasipewe ulinzi wa hali ya juu ili asitoroke? Ikiwezekana wawe wanahudhuria wakiwa kwenye gari lenye wavu mradi ashiriki. Mbaya sana.😭😭
@festochristopher7293
@festochristopher7293 2 жыл бұрын
Daaaah it touching story, tunaomba mwendelezo wa hii story plz
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 2 жыл бұрын
So saaad! Moyo Wangu umeyeyuka kabisa! Ni kwa nini shida vilio adha masumbufu hivi? Until when thou shall keep away from us ooh LORD? Pole sana kaka kwa changamoto za maisha
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 2 жыл бұрын
Mungu yu mkuu Sana, kwa kuyasikia haya kwakweli sistahili kulaumu Kazi za Mungu aliyeruhusu yatupate anajua vyema zaidi... Unisamehe bwana Yesu kama nimewahi kulaumu kwa magumu nayopitia... Ninatubu
@carolinegondwe3706
@carolinegondwe3706 2 жыл бұрын
Pole sana 😭😭😭
@elishaanyosisye4078
@elishaanyosisye4078 2 жыл бұрын
Kwa kweli njia za Mungu zipo tofauti kabisa na mwanadamu Mungu anavyowaza juu yako ni tofauti kabisa na wanadamu wawazavyo juu yako🙏
@mvanessa5852
@mvanessa5852 2 жыл бұрын
Mmmh acha mungu aitwe mungu
@ervinlihawa
@ervinlihawa 2 жыл бұрын
Daaa pole Sana Ila mungu ni mwema kila wakati
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Imenisikitisha sana..Mungu aendelee kumtia nguvu
@elinardomakunga8403
@elinardomakunga8403 2 жыл бұрын
Sasa ndipo natambua kuwa kwann watumishi wengi wa Mngu wana nguvu kiroho Mngu hawapungukii hata kidogo
@magdalenajoel4409
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
Hii biti imenifanya sijasikia chochote,umemeza maneno yote na ushuhuda ni mzuri lkn biti sauti Iko juu
@hushaurikuhusujamiifollow1752
@hushaurikuhusujamiifollow1752 2 жыл бұрын
Poleni sana baba mungu nimwema sana nawewe njo mutetezi wetu babangu 😭😭😭😭😭
@catherinelugoma3392
@catherinelugoma3392 3 жыл бұрын
Emotional 😭 story
@hidayamalik1352
@hidayamalik1352 2 жыл бұрын
Daaah Acha mungu aitwe mungu utukufu ni wake
@rhodadaimon8855
@rhodadaimon8855 2 жыл бұрын
Misuli ya imani🙌
@momylaviel
@momylaviel 4 ай бұрын
Kuna watu wanapitia mambo makubwa sana aseee
@sameerjuma5328
@sameerjuma5328 3 жыл бұрын
Pole sana kiukweli Mungu amekukumbuka sana hata hvyo amekutetea sana .Barikiwa sana Mtumishi
@ev.nazarethonline8260
@ev.nazarethonline8260 2 жыл бұрын
Amen mtu wa Mungu
@mirrymwenzegule9109
@mirrymwenzegule9109 2 жыл бұрын
Ooh jaman hii ni zaidi ya misuli ya imani. Lkn mtumishi sauti ya mziki ipo juu sana
@emmanueldick6493
@emmanueldick6493 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu kwakweli kaka ambwene kuna mambo mazito nimepitia nlitaman nkueleze walau uimbe wimbo maana mungu ni mkuu
@jumajumanne4997
@jumajumanne4997 2 жыл бұрын
Vya uchungu sana serikali i m tazame uyu mtu kapitia magumu siyo kawaida
@veronicagaudence5940
@veronicagaudence5940 2 жыл бұрын
Emotional story😥😭
@Neema182
@Neema182 2 жыл бұрын
Nimeshindwa kuendelea kusikia sababu ya mziki, very annoying
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Pole sana kaka
@florenceluyanje7215
@florenceluyanje7215 2 жыл бұрын
Pole ndugu yangu mungu anajuwa yote
@williammwajeka3347
@williammwajeka3347 2 жыл бұрын
Story hii imeniliz 😭😭😭
@christophermsekena616
@christophermsekena616 3 жыл бұрын
Duu Mungu ni mwema
@elinardomakunga8403
@elinardomakunga8403 2 жыл бұрын
Ee Mngu jina lako libarikiwe sana njia za mwanadam ni tofauti na njia za Mngu
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 жыл бұрын
Dunia jmn😭😭kuna watu wanapita kwenye moto jmn😭😭😭ila mungu atabaki kuwa mungu tu🙏🙏🙏
@youngmaster4127
@youngmaster4127 2 жыл бұрын
Kaka ambwene MUNGU akubariki sana hii nyimbo inayo muhusu Nazareth ingekua vyema sana tukapata video kabisa !!!
@isihakaomary4998
@isihakaomary4998 2 жыл бұрын
Daaa jaman so sad😭😭😭😭😭😭😭
@robbinagerman1785
@robbinagerman1785 3 жыл бұрын
Kaka Ambwene kazi yako ni Kubwa mno kila unachofanya kinagusa maisha ya wengi nimesikiliza story nzima nimejaribu kujiringanisha na Mtumishi wa Mungu huyo sijapata Jibu maana kiatu chake ni kikubwa mnoo akiwezi kunitosha Mimi Nimejikuta natokwa na machozi nikmkumbuka Bamkubwa yangu mwaka wa 9 sasa yupo gerezani Bira kuwa na hatia ila kakubari kutumikia kifungo Aiseee Nakuomba Uwakumbuke
@abialusekelo-nr8kf
@abialusekelo-nr8kf Жыл бұрын
Mungu amkumbuke Jaman huyu alie mtendea Nadharet amtendee na ndug yako pia 😭
@silahiddenpain1869
@silahiddenpain1869 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@lovenessdiva3370
@lovenessdiva3370 2 жыл бұрын
So sad kwakweli 😭😭😭
@mekmek233
@mekmek233 2 жыл бұрын
Toa hiyo sauti inaimba hapo ndio msikike vizuri
@joelmajalalamtumishi3253
@joelmajalalamtumishi3253 2 жыл бұрын
Kisa kinasisimua sana kaka Ambwene
@godfreymathew7870
@godfreymathew7870 2 жыл бұрын
Ambwene huyo kaka anaesimlia mpe pole sana na hongera kwa kumjua mungu nipo mimi kuna mambo yamejitokeza kwenye familia yananiumiza sana siku
@lucycutelady9761
@lucycutelady9761 2 жыл бұрын
Pole Sana
@elicanageorge1319
@elicanageorge1319 2 жыл бұрын
HAAAH MBONA SIJAPITIA GUMU EE MUNGU ASANTE KWA NEEMA YAKO. KUNA WATU WANA MAPITO ASE
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭so sad
@estheribrahim4095
@estheribrahim4095 2 жыл бұрын
Duh😭😭😭😭
@winnieemmanuel8255
@winnieemmanuel8255 2 жыл бұрын
Mm nalia jaman ni uchungu 😭😭😭😭😭
@neemaglorykisoli2605
@neemaglorykisoli2605 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 Жыл бұрын
😭😭😭
@amoskutogwa4845
@amoskutogwa4845 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@doreenkushoka4870
@doreenkushoka4870 2 жыл бұрын
😭😢
@jescaaloyce545
@jescaaloyce545 Жыл бұрын
Silalamiki tena vitu vidogo, hii story imeniimarisha
@lilianludovick8909
@lilianludovick8909 2 жыл бұрын
Inauma jaman
@pendofesto3257
@pendofesto3257 2 жыл бұрын
Nyimbo zako ziko vizur kaza mwendo
@elinardomakunga8403
@elinardomakunga8403 2 жыл бұрын
Akili yangu inapo ishia ndipo akili yako uwanzia
@irenjoseph8453
@irenjoseph8453 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Uchungu kweli
@noelinemichael9162
@noelinemichael9162 2 жыл бұрын
Tatizo punguzeni mziki yaani sauti ya mziki mkubwa kuliko mtoa ushuhuda hatuna shida na wimbo
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Pole Kaka Mungu akutie nguvu
@ev.nazarethonline8260
@ev.nazarethonline8260 2 жыл бұрын
Asante ndugu yangu
@mcchilo13
@mcchilo13 2 жыл бұрын
Ushuhuda wa kugusa moyo. Lakini biti ipojuu kuliko mahojiano.
Why did the Budget ruffle Rahul Gandhi?
4:26
Brut India
Рет қаралды 1,3 МЛН
USIMSOMEE MTU ZABURI YA KISASI: AMBWENE  MWASONGWE
11:05
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 7 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
AMBWENE MWASONGWE FT PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA  - GWE MBILIKA
9:25
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 19 М.
Maelezo Juu Ya Wimbo "Nifundishe Kuomba" Part. 2" by Ambwene Mwasongwe
16:07
AMBWENE MWASONGWE: BABA
5:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 20 М.
Maelezo Kuhusu "Nifundishe Kuomba" - Ambwene Mwasongwe
5:32
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,6 М.
HIKI NDICHO WANAUME WANATAKIWA KUFANYA KWA WAKE ZAO
3:52
Wasafi Media
Рет қаралды 55 М.
V $ X V PRiNCE, Shulamah - Jai Jatpaimyz (2024)
2:38
Студия СОЮЗ
Рет қаралды 114 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 604 М.
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 575 М.
Aq Koilek
2:51
Algyt - Topic
Рет қаралды 118 М.