Рет қаралды 625
Askofu Jovitus Mwijage wa Jimbo Katoliki Bukoba, alipowakaribisha baadhi ya wanautume wa Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu Jimbo Katoliki Bukoba ofisini kwake March 8 2024.
Lengo la ziara hiyo ni kumtambulisha mwakilishi mpya wa Radio Maria Jimbo Katoliki la Bukoba, Goleth Lwamuzigu kwa Askofu Jovitus Mwijage ikiwa ni mabadiliko ya kituo cha kazi kwa aliyekuwa mwakilishi wa Radio Maria Tanzania Jimboni Bukoba Judith Francis kupangiwa utume makao makuu ya Radio Maria Tanzania Jimbo Kuu Dar es salaam.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja