ASKOF MWANAMAPINDUZI ANG'AKA"KITENDO CHA MSIGWA NI SAWA NA MBWA KULA MATAPISH YAKE BILA CHEO ATASEPA

  Рет қаралды 30,730

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

4 күн бұрын

ASKOF MWANAMAPINDUZI ANG'AKA"KITENDO CHA MSIGWA NI SAWA NA MBWA KULA MATAPISH YAKE BILA CHEO ATASEPA
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 170
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 3 күн бұрын
Bwana akubariki Askofu Mwanamapinduzi. Umeongea kwa hekima sana.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 күн бұрын
Huyu Msigwa kama mchungaji lazima alikua anawaza cheo, akapotea njia sahihi shetani akamuingia na kumdanganya mpaka akakufuru chama, na akatia doa imani yake kwa kumuasi Mungu aliyemtuma kuchunga kondoo zake pale alipo!. Angekaa kwa imani mpaka Mungu amuinue kwa wakati wake...
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 2 күн бұрын
Kama ambavyo huyo anayejiita Askofu anamtumikia shetani.
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 күн бұрын
Kiukwel Mwanamapinduzi huwa nakuelewa sana mahojiano yako wewe mmoja ni zaidi ya maccm mia moja. Hongera sana kaka.
@rogersiddy
@rogersiddy 3 күн бұрын
Uko sahihi kbs Askofu mwana mapinduzi Msigwa ana tabia za king'ombe ng'ombe
@kaismwambona9860
@kaismwambona9860 2 күн бұрын
Amani ya kweli hataiona kirahisi hata akipewa pesa nyingi na vyeo kadhaa huko, lakini Kuna mahali daraja la amani sahihi amebomoa vibaya.angeweza kuhama Ila kwa uzuri,sio kwa muundo huu!
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 күн бұрын
Ahsante sana Askofu mwanamapinduzi, unatema madini..🤣🤣❤️❤️❤️
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 күн бұрын
Asante askofu Machumu kwa maelezo na majibu yako mazuri pia msimamo wako usiyoteteleka.Mapambano yaendelee kulikomboa Taifa letu, Mungu akubariki sana askofu,Mungu akulinde daima,Amen.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 2 күн бұрын
Ameshindwa jaribu Mungu amemjaribu ameshindwa atahubiri lini kwa waumini wake wakipata majaribu
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 3 күн бұрын
Umesema kweli askofu
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 2 күн бұрын
Bishop umeongea maneno ya hekima sana ya akili nyigi sana
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 күн бұрын
Msigwa ni mwanasiasa malaya malaya! Acha akae huko alikoolewa ccm,uchaguzi huu msíwachague hao mafisadi akiwemo Msigwa sasa!
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 3 күн бұрын
Msigwa Sio Mchungaji wa Kiroho Angehama tu bila kukashifu Hata Baadhi ya Waumini hatamwamini anatamaa za uchoyo ni Hatari kwake Kumbe ni ndumila kuwili aliitukana CCM Huyu hafahi atuache na CCM Kazi yake kuzunguka Vyama vya Siasa
@Meiruzibwe
@Meiruzibwe 2 күн бұрын
Msigwa kisiasa kwisha habari yake. Askofu Mwanamapinduzi, Akili Nyingi Mungu Zaidi Nia Moja 🙏✌️💪
@gabrielmachotta5193
@gabrielmachotta5193 2 күн бұрын
Mchungaji bravo 🎉🎉🎉
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 20 сағат бұрын
Mbaya zaidi Kiwango cha vitabu na jumbe za imani alizonazo nikiwa na Imani ni nyingi kabisa kwa nafasi yake kama mchungaji vitamfanya asinyae sanaaaa na amani yake kaiweka rehani kwa ubinfsi na uroho wa madaraka. Zawadi ya kuwasaliti watu kwa wingi wao ambao walikuamini na kukupigania na pengine kupoteza maisha au kuwa ukilema wa kudumu hutoka kwa aliyeumba mbingu na ardhi. Msigwa ajiandae kuipoke kwa mikono miwili maana si punde maana Mungu hajawahi kudhihakiwa ata Mara moja
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 2 күн бұрын
Ni Mungu kamwondoa Msingwa CHADEMA ili kukisafisha CHADEMA tayari kukipa chama hiki UTAWALA wa nchi hii. Kwa HILI, Mungu anasema, Tushukiru Kwa Kila jambo. Ninachokijua toka Kwa Mungu ni kwamba CCM imekwisha, CHADEMA ndiyo chaguo la MUNGU hivi sasa.
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 күн бұрын
Ndugu mwandishi nakupa maua yako, maswali yana akili na umetulia, safi sana...🤣❤️🙏
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 2 күн бұрын
safi safi sana mtumishi kweri msigwa anatabia ya king'ombe alisema ccm Wana akili ndogo.sasa anakwenda ccm duuuuh
@shijasamwelshibeshi4500
@shijasamwelshibeshi4500 Күн бұрын
Umeongea kwa hekima Sana Baba Askofu
@aronmtui597
@aronmtui597 2 күн бұрын
Watanzania amkeni hawa wanasiasa kama Msigwa ni shida hata aibu hana
@karamarwamugema3700
@karamarwamugema3700 2 күн бұрын
Kwei Msukuma alisema kweli kuwa Msigwa yuko kwenye payroll ya CCM. Huyu jamaa alikuwa na agenda ya siri na mweda zake kuisambaratisha CDM. Mipango yake ilitiburiwa na SUGU kwenye uchaguzi uliopita. Alikuwa na dhamira ya kugombea uenyekiti Taifa hapo pesa ya CCM itembee. Sasa kalipukiwa na bomu alilovaa njiani kabla hajafika kwenye umati😅😅😅😅😅
@johnsylivester8412
@johnsylivester8412 2 күн бұрын
Aisee kweli shetani yupo kweli, nilikuwa nampenda sana msigwa alikuwa mtu safi, mwenye elimu, muelewa jasiri, kiufupi huyu jamaa alikuwa jasiri na anaejua sana. Lkn amekwisha jizalilisha kabisa sasa kwisha kabisa hana heshima tena amejivunjia heshima na kujitia aibu sana.
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 3 күн бұрын
Tabia ya king'ombeng'ombe!!
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 2 күн бұрын
Kweli Msiba, Amerudi kula matapishi yake. Atawaambiaje ndugu zake Iringa, aliowaambia Wananchi kwamba "Akihamia Huko Wana Iringa Wachome nyomba yake moto"?
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 күн бұрын
Kikwete alishawahi kuwambia yanga Simba wakimchukua morisoni nyinyi angalieni mchezaji nanyinyi anaefaa chukueni mpina anaafaa Sana kuhamia chadema akuchomae nawewe mchome kwisha
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br Күн бұрын
Msigwa alishawahi kusema chama tawala ni akili ndogo...na yeye kaenda kwenye akili ndogo 😂😂😂😂😂
@user-il9hm9rs8y
@user-il9hm9rs8y Күн бұрын
Watu wajifunze kwa mheshimiwa sana Edward Ngoyayi Lowasa
@rogersiddy
@rogersiddy 3 күн бұрын
Uroho wa madaraka na Mali vimemponza aibu yake mwenyewe tu
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 күн бұрын
Mic hazina bei.kubwa siku hizi Mwana halisi ninua mic, kutumia mic moja ni kuambukizana mafua,please take my advice thanks.
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 3 күн бұрын
MCH MSIGWA ANAWATIA AIBU VIONGOZI WA DINI. ANATAMAA SANA. KAMA MWL NYERERE ALIVYOSEMA WAMALAYA MALAYA ???
@realsospeterbulugu
@realsospeterbulugu Күн бұрын
Tabia ya King'ombeng'ombe😂😂😂😂😂
@janekapinga6793
@janekapinga6793 2 күн бұрын
Mwacheni jamani labda maisha yamempelekea kuwa hivyo..Au sauti ya Mungu pia
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Күн бұрын
Kwenye Sauti ya Mungu hapa sipo na wewe
@user-jr3mg3ko6m
@user-jr3mg3ko6m Күн бұрын
Msigwa uroho wamadaraka aende tu yeyeni nani
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 2 күн бұрын
HAPA ni zamu tu leo msigwa kesho mwingine. Haya ndiyo maisha ya siasa huyu mwanamapinduzi asiongee sana ayajamkuta yeye.
@JemimaSuleimani
@JemimaSuleimani 2 күн бұрын
Mungu azidi kukuonge hekima
@LaureanKajugusi
@LaureanKajugusi 2 күн бұрын
Mchungaji au Mwanasiasa! Chagua njia Moja ueleweke.
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 12 сағат бұрын
Wanatuibia pesa zetu wanaacha kutuletea maendereo wanazitumia vibaya hakika allah anaona na anawarekodi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Күн бұрын
Huyu jamaa tayari alikuwa CCM ingawaje alikuwa bado Chadema, huoni hata mavazi yake ya CCM yalikuwa tayari yameandaliwa siku nyingi.
@eliashimwela5854
@eliashimwela5854 2 күн бұрын
Ukweli sio tofauti sana na aliyembusu Mkuu kisha akamtosa
@DandasiKundi
@DandasiKundi 8 сағат бұрын
Inaonyesha watu wanaohamahama vyama tuwaangalie ni hatari sana wanahama wakati wa uchaguzi Kwa Nini wasihame tangu mwanzoni ni njaa hizo dhahir halafu anatuhibira Nini eti mchungaji si kweli .
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 2 күн бұрын
😮
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
"Unalipwa kutangaza ubaya na vyama vya siasa. Vyama vya siasa sio makanisa ama misikiti havitafuti watakatifu". Maneno ya busara.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
"Pesa ina nguvu njaa kuhama tumboni ikahamia kichwani."
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 21 сағат бұрын
Hiyo ndio sura halisi ya wanasiasa wa Tanzania na siwexi kumlaumu Msigwa bali anatukumbusha watanzania kuwa wanasiasa wetu wengi ni vigeugeu na huyu sio wa kwanza kuhama chadema,wapo akina Komu,Selasini, na wooote hao sababu zao zinafanana kuwa kuna ubadhirifu, ubinafsi,ubabe na udictator. Miaka ya nyuma ilikuw sio rahisi watu kutamka maneno mazito ya siri za ndani ya vyama vya siasa kama ilivyonkea sasa. Hilo kwenu chadema lazima mlifanyie kazi na acheni kumfuatilie Msigwa aubwale waliohama chama chenu na badala yake fuatilieni hoja zao kama ni ukweli au uwongo. Na mkumbuke kuwa kila chama kinapokea wanachama wa vyama vingine kwa sababu kama hizihizi. Jee ina maama vyama vinawanunua ? Basi tutakuwa tumekwisha. Membe,Lowasa, Kingunge,nk. woote hao mliwanunua?
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 2 күн бұрын
Shetani hana cha bure.Pesa yenyewe imepitia kwenye madhabahu za shetani na ina mikataba mizito ya kiroho.Anayeipokea hiyo pesa pepo la hiyo mikataba ya kiroho linamwingia na kumtawala (possession) na kumlazimisha kutimiza matakwa ya waliompa hizo pesa.JESUS IS LORD FOREVER. SAY AMEN
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Күн бұрын
Musigwa ni sawa yuda alie msaliti yesu lakini yesu alishinda kwahiyo asifikiri kuondoka kwake chadema itaanguka mbona 2025 chama kitadhihilisha ukomavu wake
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 Күн бұрын
msigwa alisema mwenyewe kwa kinywa chake ,mkiniona nakwenda ccm chomeni nyumba zangu, chomeni magari yangu, hiiikoje?
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
"Unajifanya mwema kwa samaki.kwa chambo ktk ndoana"
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface Күн бұрын
Hii ni dalili ya kuwa Msigwa anatafuta cheo na pesa, duu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
"Mtu akishakuwa muasi huwa hafuati utaratibu".
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 күн бұрын
Kweli kabisa mchungaji akili zaki g,ombe g,ombe😂😂😂😂
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw 2 күн бұрын
😮mhurumieni msigwa ameshikwa mateka na lidude ccm
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 2 күн бұрын
Na pia akitoka tena kuko CCM atasema mabaya ya CCM kwa chama atakachoingia. Si mtu mzuri aneweza tu akatunza heshima yake hata yakimshinda huko angeweza kueudi kwenye chama chma chake. Kumbukeni akiwa CHDEMA ameongea mengi mabaya sana. Msimwamini kwa kuwa hana msimamo kazi yake umbeya tu.
@sifunimelkizedeck882
@sifunimelkizedeck882 2 күн бұрын
Uchawa mwisho wake ukichaa😢
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 12 сағат бұрын
Misuguano kawaida ata kwenye dini misuguano ipo inamalizwa kwa vikao
@ElibarikiMbando
@ElibarikiMbando Күн бұрын
msigwa hesabu imekushinda tayari
@michaelnkobi2201
@michaelnkobi2201 Күн бұрын
Kila nyakati zina majira yake,Hakika Msigwa umeshafika wakati wa yeye kukimbia Nuruni
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 3 күн бұрын
Chadema chama chagu yeyote akakaye patwa na pepo mleteni kwangu
@bahatadof5543
@bahatadof5543 10 сағат бұрын
Kumbe mbowe alishahisi msigwa ni msaliti
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 2 күн бұрын
Mimi nasikitika sana huyo Msigwa wakati wanapata adhabu ya kulipa faini au jela, Mimi binafsi nilichangia sh. 110,000/- Ili alipe faini asifungwe, Sasa anakimbia, haya bhana Allah anakuona.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 күн бұрын
Kweli! Pole sana, chukulia kama sadaka!
@EzekielMatimbwi
@EzekielMatimbwi 2 күн бұрын
Mch,Msigwa hafai kanisan hafai msikitin nahatafaa kwenye siasa ya nchi yyte ile.
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 2 күн бұрын
Baba wa taifa aliwai kusema wanasiasa malaya malaya ndio msigwa lakini sisi watanzania tushajitambua amekwenda yeye pekeyake.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Күн бұрын
**CCM WASINGEMTAKA KAMA CHADEMA ISINGEMPA NAFASI** HII NDIYO KWELI MAANA MTU HUWA BORA SANA HASA AKITOKEA UPINZANI NA NI BORA ZAIDI SANA AKIWA AMETOKEA CHADEMA
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Күн бұрын
Msigwa yuko sahihi kupitoa kwenye sskosi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 22 сағат бұрын
Sasa ana madeni makubwa ambayo yanamsabishia njaa hilo atalimaliza kwa njia ya kununuliwa na chama tawala ili kupunguza shinikizo analowapelekea Ccm kwa kuwapumguzia umaarufu ambao wao.wamejijengea kwa wananchi wasiojua lolote
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 Күн бұрын
Huyo mchungaji ni mwanachadema .Hana ajenda ya kuweka sawa .anatumia cheo Cha uchungaji kisiasa.ni mwanachadema.aeleweke hivyo.
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik Күн бұрын
Askofu njaa tambua siasa Ina Hila za kishetan
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Күн бұрын
Maana hata yesu akirudi akajiunga na ccm wanadam hawata kuwa na iman naye kwa hiyo musigwa ameamua kuunga mukono mateso watanzania wanayopata kutoka kwa hawa maccm
@PatrickBoniphace-po9kt
@PatrickBoniphace-po9kt 2 күн бұрын
Msigwa kajishusha sana
@RemmySinkala
@RemmySinkala Күн бұрын
Huyo tatizo ni madaraka,mwenyew akili anatafuta,amejipunguzia heshima.
@kashindegululi963
@kashindegululi963 2 күн бұрын
Mwandishi uwezo mdogo sana wa kuhoji
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 Күн бұрын
Huyo mchungaji muongo.angekuwa means ccm.mtu maarufu ndani ya ccm.akaenda chadema.leo .mada invekuwa tofauti na hayo anayodanganya.
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Күн бұрын
MPENI POLE MSIGWA ALICHANGANYIKIWA BAADA YA KUPIGWA NA KITU KIZITO TOKA KWA KAMANDA SUGU .( SUGU HOYEEEE!!!! ) ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI. ((NJAA YAKE IMEHAMIA KICHWANI)) .
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 күн бұрын
Msaliti wa design hii hafai kuwa hata baba wa mtoto mmoja
@SaidislamBates-cy1up
@SaidislamBates-cy1up 2 күн бұрын
Ameenda kumalizwa
@barnaba3037
@barnaba3037 2 күн бұрын
Mgonjwa amekufa😂😂😂😂😂😅
@sabriabdalla9562
@sabriabdalla9562 2 күн бұрын
Huyu alishafanya maamuzi zamani alikuwa anatafuta sababu tu... njaa mbaya. Huyu itakuwa madeni yamemfanya anunulike. yanamsumbua
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 2 күн бұрын
Nina wasiwasi kama ni kweli ni Mchungani ameshamwacha Mungu ni kama Sauli kwa sasa aombe rehema kwa Mungu ataishia kubaya. Msigwa mrudie Mungu umepotoka
@DensonKaboneka
@DensonKaboneka 2 күн бұрын
Kuibia watu kutumia jina la mungu na siasa ni kama wez wengine wanaochomwa moto na kufungwa kama wewe lijizi iba tu ijulikane sio kujificha ficha
@vincentmwaya6910
@vincentmwaya6910 2 күн бұрын
Bora angeenda kuhubiri tyu heshima yake ingewepo lkn amejizalilisha sana
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 2 күн бұрын
Msigwa nikama Malaya ambae anatamani Kira mwanamke anatamani kuonja
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 күн бұрын
Wajenga wala sema mlajana siyo mla leo matapishi ya jana siyo yaleo kila jambo na wakati wake na makusudi yake
@RemmySinkala
@RemmySinkala Күн бұрын
Wangekuwepo watumishi kama Hawa nchi hii ingepona,tatizo rushwa,ivi nyie watanzania nani aliyewaloga kufanya upuuzi huo
@user-kp5jy5fy8y
@user-kp5jy5fy8y 2 күн бұрын
Afrika not yet uhuru
@AwaziRajab
@AwaziRajab Күн бұрын
Makonda Alisema Akuna Upinzani Isipokua Kuna Wasemaji2 Kwaivo Acheni Kushangaa Vyama Vya Tanzania Ni Kama Simba Na Yanga Kwaivo Leo Mtu Yuko Simba Kesho Yanga Akiona Mtu Amebaki Upande Mmoja Muda Mlefu Ujue Masilai Yamejaa Apo Mana Akiona Akuna Masilai Watoto Awaendi Chooni Nilazima Atoke Isipokua Akiwa Kindaki Ndaki Awezi Kutoka Vyeo Na Pesa Pia Tatizo
@kuyajr1lanyoru903
@kuyajr1lanyoru903 22 сағат бұрын
Huyu Msigwa Ni Mhuni
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 3 күн бұрын
Msigwa hafai kwa namna yyte hata sijui ni mchungaji wa aina gani alisoma wapi hata kanisa linatakiwa limchunguze ange
@user-yz7hl9sr3q
@user-yz7hl9sr3q 2 күн бұрын
Kweli wewe ni Askofu, unasema kwa hekima.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 күн бұрын
Chadema sio babake wala mamake Ana hak ya kuondoka walikuja lowasa sumai Leo vp
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Күн бұрын
Acheni kumponda msigwa chadema kweli ni saccos ya mbowe tangu mwalim nyerere hajafa mwaka 95 hadi leo mbowe ni mwenyekiti wanachama wengine hakuna?
@nicholausmramu
@nicholausmramu Күн бұрын
Ingekuwa sio mbowe wangesha vuruga chadema ww mbowe nitajir balaa
@FosterBwalya-rh9lh
@FosterBwalya-rh9lh 2 күн бұрын
Kwa nn hatujifunzi kubana pua hivi huyo msigwa mchungaji wa kanisa gani maana ametia aibu
@hamissomary6869
@hamissomary6869 2 күн бұрын
Nakweli Sigwa ni ng'ombee
@RemmySinkala
@RemmySinkala Күн бұрын
Hakuna atakayehama
@AbihudiMbekomize-py8fb
@AbihudiMbekomize-py8fb 2 күн бұрын
Mwambie baba ubalikiwe kwa ukweli wako
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 19 сағат бұрын
Ccm wanamisuguwano na kama sio jeshi la police na majeshi yote ccm ingekuwa ishajisambaratisha ukiachia kushindwa misuguwano ya ccm jeshi la police ndio wasuluhishaji na wao wenyewe ndo ccm
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii 2 күн бұрын
Msigwa kafanya usalliti mkubwa sana kuhamia ccm ni dhambi kubwa kuliko kuua
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 2 күн бұрын
Malaya huyo, nchi imejaa vichaa, hili lipelekwe India maana Milembe hawawezi kumtibu! Mbwa koko hilo.
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 2 күн бұрын
Njaa kumbe msukuma alichoongea ni kweli duuu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Күн бұрын
Umeona eee??
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 күн бұрын
Msigwa hanatukana ovyio
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 2 күн бұрын
kwanza lisu aliongelea suala la rushwa akiwa iringa tundulisu nimwana wa mungu aliliona Hilo nalikuwa anamaanisha msigwa kuwa kapewa pesa na mama abduri watu hatukumwerewa Sasa tumemkubali tundulisu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Күн бұрын
Umeonaeeee?! Lisu alikemea sana Akiwa Iringa Sasa tumepata majibu na Bora alikemea, asingekemea wakati ule saizi isingeleta maana yoyote Lakini Kwa Sasa hata akienda atawakumbusha kuwa Jamani mnakumbukaa??
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 2 күн бұрын
Mchungaji kumbuka Chadema walimnadi mzee Lowasa kwa ngazi ya Urais kwenye chama Chao hali ya kuwa walimsema fisadi papa kwa zaidi ya Miaka kumi.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Күн бұрын
Kati ya Makosa Makubwa Chadema walifanya ni kumpokea Lowasa nilichukia sana, ila nilijua tu ipo Siku Lowasa atarudi Ccm na ikawa Ivo kweli
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН