Askofu Geita atiwa wasiwasi na na Jeshi la Polisi kuhusu taarifa ya kijana aliyevunja kanisa

  Рет қаралды 4,981

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Akofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Geita Dk Flavian Kassala amesema kama kanisa wanatia shaka taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi kuwa kijana Elpidius Edward (22) alikuwa mlevi na kuliomba jeshi hilo kufanya uchunguzi wa kina kwa kuwa matendo aliyoyatenda yalitendeka kimkakati na mtuhumiwa alimaanisha
Akitoa salamu za shukrani wakati wa ibada ya kutakatifuza kanisa hilo iliyoongozwa na Askofu mstaafu wa kanisa Katoliki jimbo kuu la Dar es Salaam Kadinali Polycarp Pengo,Askofu Kassala ameliomba jeshi la polisi kuchunguza kwa kina tukio hilo lililosababisha maumivu kwa kanisa.

Пікірлер: 9
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Ni mikakati..uchokozi kwa Kanisa. Ilipangwa,tuchimbe zaidi
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 Жыл бұрын
Asamehewe hadji alitendalo huyo
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Asamehewe Bure ... iwe heri Kwa watz
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Kusamehewa sio shida shida ni kwa Nini alifanya hivyo?
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
@@anodearsulusi7536 kama Mwenyezi Mungu angeliuliza Kwa nini ndipo asamehe...ni nani angeokolewa.... Iwe heri Kwa watz
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Mlevi hizo nguvu alizipata wapi? Hili ni shambulizi kwa kanisa Katoliki. Inaumiza katika imani.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Ajuaye ni Mwenyezi Mungu mjuzi wa Kila kitu...pia muhusika... Wengine tutatumia dhahania na hisia....Hata hakimu huukumu bila kujua...eti Kwa ushahidi usio na Shaka.... Asamehewe Bure.....iwe heri Kwa watz
@gloriaanaclet6860
@gloriaanaclet6860 Жыл бұрын
@@johnmalembo6464 Mwenyezi Mungu hana sababu ya kuuliza kwanini kwasababu anatujua kwa kila kitu kuliko tunavyojijua wenyewe. Hivyo kwakuwa wanadamu si Mungu, upeo wetu unafika mwishi ndio maana tumejiwekea taratibu na sheria zikiweimo kukusanya ushahidi na mashaidi ili kujiridhisha japo kwa kiasi fulani kosa lilitendeka na kwa lengo fulani la sivyo huyu anaweza samehewa kesho akaleta madhara zaidi tukabaki kulaumiana na kusema kazi ya Mungu haina makosa.
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН
HALI ILIVYO MSIBANI, MAZISHI YA SAULI ||  RATIBA YATAJWA
3:24
Mwananchi Digital
Рет қаралды 8 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН