ASKOFU SEVERINE AMUOMBEA MSAMAHA HAYATI MAGUFULI kwenye IBADA ya MIAKA MIWILI ya KIFO CHAKE!

  Рет қаралды 14,865

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

ASKOFU SEVERINE AMUOMBEA MSAMAHA HAYATI MAGUFULI kwenye IBADA ya MIAKA MIWILI ya KIFO CHAKE!
Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Rulenge, Ngara, Severine Niwemugizi, amuombea msamaha Hayati Dkt. John Pombe Magufulu wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea mwaka wa pili wa kifo chake aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika kanisa la Mt. Yohana Maria Muzeyi Parikoa ya Mlimani, Chato, Geita, leo Ijumaa Machi 17, 2023.
Mjane wa Marehemu, Mama Janeth Magufuli, aliongoza wanafamilia.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella, Mjumbe wa NEC CCM Zanzibar upande wa vijana Ndugu Mwanaenzi Suluhu Hassan na viongozi wengine wa mkoa nao walihudhuria Ibada hapo kanisani na baadaye kwenda kaburini kutoa heshima zao na kuweka mashada.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 88
@christianlutego1288
@christianlutego1288 Жыл бұрын
Safi sana baba Askofu, tunaamini siku moja ataitwa Mwenye Heri Magufuli, pengine na majimbo yetu mengine yatafanya hivyo
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 Жыл бұрын
Asante sana kanisa kwa hekima mlizo nazo hakika mnatunza tunu ya amani mungu libariki kanisa lako mungu ibariki tanzania.
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Dr John Pombe Joseph Magufuli hakuwa na kosa, makosa yake ni ya kutengenezwa na WAHUNI ambapo alianzisha harakati za kukomesha genge la WAHUNI waliotaka kujipa hati milki ya rasilimali na uongozi wa taifa na nchi hii. Ulale pema mwanamwema wa nchi.. daima takuadhimishia ibada ili m/mungu ikimpendeza atuinulie John mwingine asichelewe🙏🏻💔
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Kweli kabisa. JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Safi saaaana Mh. Askofu. Kuna mtu anataka kumfunika hawezi landed. Hawez kumtoa kwenye mioyo yetu.
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani JPM. Hakika hutosahaulika. Mungu mwenyewe mwenye huruma akusamehe dhambi zako na akujalie kuuona mwanga katika ufalme wake.
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
❤❤tutakukumbuka daima shujaa wetu
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Tunakuombea moendwa we tu mwenyezi mungu akuepushe na azabu zahuko uriko ukunemeshe rehema uzima mpya wa milele mbiguni
@linuskyando4155
@linuskyando4155 Жыл бұрын
ATAKUMBUKWA KWA MABAYA NA MAZURI
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Hakuna mkamilifu chini ya jua! Hata wewe askofu s mkamilifu! Ila umesema kweli kwamba, aliacha alama wakitaka asahaulike labda waondoe yote alioyafanya!
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Aliacha alama nzuri na mbaya.
@romanarosemedard2551
@romanarosemedard2551 Жыл бұрын
Askofu umeena vema jpm. Alikuwa jiwe kama Peteo Mungu amrehemu
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Natamani Kila tarehe17 mwezi wa3 iwe ni maombolezo kitaifa! Kwa sababu kwanza rais alifia madarakani,pili amefanya Mambo makubwa yaliyowashinda watangulizi wake! Tena Kwa muda mfupi!!
@nassiraden574
@nassiraden574 Жыл бұрын
That's true
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Utaomboleza mwenyewe😞
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Wengine hamkumbuki hata baba zenu walifariki tarehe ngapi, baba wa mwenzenu ndio muomboleze kila 17/3. Hebu waacheni wapumzike.
@calvinmwasambili4080
@calvinmwasambili4080 Жыл бұрын
@@nassiraden574 na Mim mwakani na Mimi nimo
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Ww Dada kumbe pumbavu Sana halafu mnafiki amemuombea msamaha kivipi kwani ww hujui ibada za kanisa la Roma huwa ni kumwombea marehemu unaweka heading kwamba amemwombea msamaha kivipi mjinga tu ww kwani ww ukifa na haya mauzushi yako ya uwongo unayoandika na kusema kila siku unadhani ww ni msafi Sana Dada nataka nikuambie hujafa hujaumbika Mungu anaweza kuuzima huo mdomo wako sekunde tu na ukajutia unayoyasema mjinga ww
@EVARISTOIBRAHIMU-vz3xu
@EVARISTOIBRAHIMU-vz3xu Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo. Naomba Kanisa Tanzania nzima imwombee kila mwaka, Misa iwekwe ktk shazara. Watanzania tuna deni kubwa juu mpendwa wetu Magufuri.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Mungu mungu mungu baba amina
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Safi sana baba askofu.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔🕊️Daddy
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 Жыл бұрын
Rip jpm
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 Жыл бұрын
Sio kwamba ni msamahs wa kosa ila kuna ile misimo ya kama kuna mahali alikosea asamehewe hiyo ni kawaida sana,na hakuna binadamu asiyekosea hayo ni maneno ya kawaida husemwa kwa kila binadamu
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 Жыл бұрын
Hakuna asiye jua kuwa MAGUFULI alikuwa kipenzi Cha watanzania...Sasa hizi ibada za wafu za kuombea wafu baada ya miaka yotee hiyoo kweli Hawa maaskofu mnatakiwa kurejea katika maandiko matakatifu
@josephlango5591
@josephlango5591 Жыл бұрын
Kama una Biblia, soma kitabu cha 1Makabayo. Kama kitabu hicho hakipo kwenye Biblia yako, tuishie hapo
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 Жыл бұрын
@@josephlango5591 kama MAGUFULI ni WA Mungu ni wake tuu uombe usiombee , Yesu akirudi atatoka mavumbini na kumlaki YESU..Nikushauri kitu msafiri mwenzangu...ibada za kuombea wafu sio takwa la MUNGU KABISA, Which means Mtu anapokufaa tuu mlango wake wa rehemu unafungwa nakumbukumbu lake linawekwa pande akisubiria hukumu...Kanisa katoliki ndio kanisa linaloendelea kupotosha ULIMWENGU kwa mafundisho yake Daniel 7:25, niwapi wafu wanaombewa , niwapi mtu alikuambia akifa anaenda toharani theni unamuombea anaenda MBINGUNI je, Yesu ANAKUJA hapa duniani kufanyaje, Mwanzo INASEMA MAVUMBINI ULITOKA NA HUMO HUTARUDI...kwaiyo watu ambao hawaamini watakwambia mtu aliye kufa A REST IN PEACE huu ni uongoo mkubwa wa IBILISI anaendeleza mada yake ya bustanini kwamba ukila tunda hautakufa mbona Leo tuna kufa baada ya KUTENDA dhambi...MTU akifa hawezi enda kupumzika in peace, wala huko tuendako hakuna kulia, KUFANYA kaz wala kitu chochote kuhisi ila ni upotovu wa Hali ya juu...NIKUPE WITO RAFIKI YANGU CHUNGUZA BIBLIA YAKO VIZURI UJIHAKIKISHIE HAYO MAFUNDISHO YALITOKEA WAPI YA KUOMBEA WAFUU, HUKU BIBLIA INASEMA WAFU HAWAJUI NENO LOLOTE, BIBLIA NDICHO KITABU PEKEE KITOACHO MAJIBU...BARIKIWA NA JIANDAE KIKAMILIFU YESU ANAKUJA UPESI
@linuskyando4155
@linuskyando4155 Жыл бұрын
NENO WATANZANIA ONDOA
@AbdulMajid-kj5bi
@AbdulMajid-kj5bi Жыл бұрын
Magufuli hakuwa na kosa ila mafisadi ndo shida katika nchi hii na kuwafumua ni kazi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Uko sahihi Abdul
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Umeongea kilichopo. Wanaomchukia wote ni wezi
@amanikasanga8793
@amanikasanga8793 Жыл бұрын
@@wadeelegbogun3015 u by
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Hamda Binadam asiekua na kosa. Kwani ni malaika huyo
@godfreyngajilo3795
@godfreyngajilo3795 Жыл бұрын
Maisha haya,huyu askofu so alitetaitiwa akanyang'anywa pasi ya kusafiria na akaambiwa athibitishe uraia wake
@drdd774
@drdd774 Жыл бұрын
Umesema kweli, mwisho Magufuli alipojua ukweli aliwaambia wamrudishie passport yake.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
Wengi tuko mbali lakini tuko pamoja nanyi.
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 Жыл бұрын
R.I.P John Pombe Joseph Magufuli my President 😢😔
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 Жыл бұрын
Mwandishi wa habari ni CHADEMA, ni hawa wasaliti wanaoishi nje wanajiita Diaspora au ni hawa waliopotea. Askofu kasema mambo tafauti kabisa, huyu yeye kaona hii ya kumuombea msamaha ili ilingane na narration yao.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
JPM TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA DAIMA
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Safi kweli kumbe hata nikiua watu nifunge wengine bila makosa nipoteze watoto wa binadam wenzangu nitaombewa msamaha nikifa🥴🥴
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
Hujui usemalo
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Yan ww ndo hewa kabisa na hao wenzako hakunaga kuombewa msamaha mnamfanya Mungu mzee wa ukoo ..toba ni yako peke yako
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Inawezekana wewe nishahidi kwamba aliua watu,je Kuna dhambi gani ktk maandiko yako isiyosamehewa?au wewe ni Mungu uhukumuye wakosaji au kama sivyo hujaombwa naye msamaha kabla ya kufariki kwake
@revmckenzie1503
@revmckenzie1503 Жыл бұрын
Askofu hakuna sehemu ya kumuombea MTU msamaha kama yeye akufanya MEMA Duniani, hayo muachee Mungu
@Waberoya
@Waberoya Жыл бұрын
unahisi unaweza kubadilisha imani za watu? wakatoliki ndio wanaamini hivyo...
@linuskyando4155
@linuskyando4155 Жыл бұрын
KAMA AMEKUFA KWA MAKOSA YA MAKUSUDI HAWEZI KUSAMEHEWA,ALIPASWA KUTUBU MWENYEWE KWA ALIOWAKOSEA,VINGINEVYO MTAKUWA MNAHARIBU MAFUNDISHO YA DINI
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Жыл бұрын
Kyando umesema kweli, hakuna msamaha hata tuombe vipi ambao mtu atapata baada ya kifo. Aliyeandika heading hiyo hajielewi na kama askofu kweli amemwombea msamaha naye hajui Maandiko yanavyosema juu ya mtu akishakufa ndo basi hakuna maombi yoyote yatamfanya asamehewe HAKUNA, Ni kupoteza watu na muda na watu wengi wanaaminishwa kuombea msamaha watu baada ya kifo. Kumb. 18:10-11; Marko 12: 24-27. MUNGU NI MUNGU WA WALIO HAI SI MUNGU WA WAFU.
@linuskyando4155
@linuskyando4155 Жыл бұрын
AXANTE,UBARIKIWE NA BWANA
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
Hii nchi inavituko sana watu wengine wanasababisha kanisa lisiaminiwe tena
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Hayo maneno yako. Pili pili usiyokula yakuwasha Nini?
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
@@theresiakaruhanga364 toka usingizini wewe acha kukurupuka Alafu soma uelewe hujaelewa uliza
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Sasa Kwann mnapoteza watu kumbe andiko linasema msimamapo muombe msamaha sio mfapo achen kuingiza watu chaka
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
😂😂😂unawezaje kuzungumzia mambo ya chumba cha jirani usiyoyaelewa kwa hasira na dharau hivyo,😂😂😂ni bora kufikiri vizuri kabla yakutamka mambo ya wengine😂😂
@anicetphilip9987
@anicetphilip9987 Жыл бұрын
Global naona mnajikomba kwa kuweka vichwa vya habari vya kishamba kama hivi! Ibada kama hii siku zote na popote huwaombea rehema/msamaha marehemu kama sehemu ya Ibada kulingana na dhehebu sasa nyie kuweka kichwa cha habari kama hicho mnautaka UDC kwa kumchafua mwingine? Shameless reporter
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Huyunae hamnazo bible inasema baada ya kifo nihukumu weweninani humombee jpm uchizitu unawasumbua sijui watu hawasomagi bible!!
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
😂😂😂unaweza kusoma bible ukadhani umeelewa 😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 3 ай бұрын
@@avelinabaluhya2804 kwahiyo wewe umeelewa nini mtu akifa hataukimombae Kwa Mungu haisaidii kama alikua mtenda zambi sehemu yake ni jehanam kama alikua anampendeza mungu basi ataenda kwenye Raha ya milele
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
We ASKOFU HAMNAZO KABISA JPM hakuwa na kosa yanayoendelea sasa hivi SIJASIKIA UKIPANUA MDOMO WAKOKWENDAAAAAAA
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 Жыл бұрын
Hata mukusanyike watu wooote ulimwengu mzima na mufanye kila aina ya Maombi kama ni kafiri na hakutaka kuifuta dini ya Mungu, basi maombi yenu hayatomfaa lolote na hatosamehewa hata kama alifanya mazuri zaid na zaid ispokua ikiwa Mungu Atamridhia
@gressluhimbo1020
@gressluhimbo1020 Жыл бұрын
Kubwa jinga pepo haipo kwenu mbuzi wew
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 Жыл бұрын
@@gressluhimbo1020 pepo ipo kwa kina nani
@jamesmasome359
@jamesmasome359 Жыл бұрын
Nyambafu zako kafiri ni wewe....
@gressluhimbo1020
@gressluhimbo1020 Жыл бұрын
Achana na sisi ukiona linalozungumziwa halikuusu fyata mkia Alaf pita hivi ,Amini unachoamin Fanya yako
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 Жыл бұрын
@@jamesmasome359 sawa basi kullu nafsi itaonja mauti, itakufa na itakapokufa iyo nafsi haitoweza tena kurudi kwenye huu ulimwengu, kama ulikua na mke au mume utamuacha, kama ulikua na mali na watoto utawaacha na utakwenda kaburini na amali zako ulizozitenda kwnye huu ulimwengu, kama amali zako zilimfurahisha aliekuumba bc tambua ww umefuzu na kama nafsi hiyo itaenda kwa Mola wake hali yakua ilimuasi Mola wake na hakutubu basi amekula khasara mtu huyu, Waislamu wanaamrishana kutenda mema na kukatazana mabaya, wanawake kujistiri vizuri na wanaume pia, kula vya halali na kuwatendea wema ndugu zetu ba kuoneana huruma na kua na mapenzi baina yetu na kutokua na kauli chafu na kutokudharauliana na kutokuitana majina mabaya, lkn yeyote yule mwenye kuukataa Uislamu uyo ni kaafir amekufuru na Aakhera ndiko kwenye hesabu, Ukristo ni Mila ya Wazungu kuwaangamiza watu kwa kuweza kutimiza matakwa yao binafsi, je mtu anawezaje kukwambia toa sadaka nikusamehe dhambi zako wakti zake yeye hajaanza kuzifuta. Kaa, fikiri ndipo utende
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
KWENYE DINI KUNA SANAA NZURI HASA YA KUFARIJIANA KWA KUWAOMBEA WAFU, MIAKA MIWILI BADO HAJAFIKA MBELE ZA MUNGU KUMBEE? BILASHAKA WANAMITAMBO YA KUPIMA ILI KUCHUNGULIA ENEO LA WAFU...
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Hayakuhusu. Na kama hayakuhusu unafuatilia ya Nini? Endelea na upagani wako inakutosha
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Utakuwa kati ya waliokesha Airport DSM mkisubiri kwenda ng'ambo bila passport wala pesa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Wewe mwashamba kweli
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
@@majaliwabwitonde6900 tena Mwashamba hasa eti anaitwa Mathayo hilo jina walilipoteza kumpa mtu km huyu
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
@@josephlorri431 Wasabato masalia🤣
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 105 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 46 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 31 МЛН
Azam TV - Ujumbe mzito wa askofu Severin Niwemugizi kwa JPM
1:09
Shukrani ya Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande kumbukizi ya Magufuli.
19:35
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 3,5 М.
ASKOFU MTEULE WA KAHAMA ALIVYOWASILI KANISA KUU NA KUONYESHA HATI YA KIAPO KWA MAASKOFU
12:56
ASKOFU LEBULU AFAFANUA HAYA KUHUSU KWARESMA NA MAANA YA KUFUNGA SIKU 40
29:36
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 2,7 М.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 105 МЛН