ASKOFU KILAINI ALIVYOPANGUA MASWALI MAGUMU ALIYOULIZWA/UTASHANGAZWA NA MAMBO HAYA/AMGUSIA PAPA.
Пікірлер: 10
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Kiongozi unatueleza vizur sana nashukuru ila tunaomba uchambuwe na ufafanuzi zaidi sisi atujuwi tunaitaji kujuwa majibu niya mkato san
@johntalam2718 Жыл бұрын
John Talam kutoka Kenya Jimbo la Eldoret. Nampongeza sana askofu. swali langu. kila ijumaa kuu mti wa msalaba unaletwa na wakristu wanaalikwa kuuabudu. je hii inamaanisha kuabudu miungu?
@georgekigufa96703 жыл бұрын
Mungu akubariki mno baba askofu kwa majibu yako mazuri
@Manchory3 жыл бұрын
Hongera kwake
@breezonlinetv3 жыл бұрын
Muone
@samwelkadeghe25223 жыл бұрын
Asante baba askofu
@paulrwechungura49583 жыл бұрын
Kusema mh Askofu Kilaini umeiva
@erickkipenya58013 жыл бұрын
Nice
@THEWORLD-om1bo3 жыл бұрын
mafundisho ya uongo...tutakutana siku ya hukumu..!!!