Tazama Historia fupi ya Baraza la Kanisa Katoliki Tanzania ilivyosimuliwa na Baba Askofu Kilaini.
Пікірлер: 18
@cesaryaudax66473 жыл бұрын
Jamani tunashkr sana, kwa tukio hili hakika Samia uko vizuri sana, askofu mko vizuri sana! Mungu aendelee kutenda!
@kakokoruhinda20993 жыл бұрын
Asante sana Baba Askofu Methodius Kilaini. Wewe ni Encyclopedia inayotembea. Mungu akubariki sana.
@profesaorthogonal60953 жыл бұрын
Kazi nzuri ya kanisa katoliki
@ikrissaidrissa86133 жыл бұрын
Hili ndilo kanisa KATOLIKI jmn #iamproudtobeCatholic †🙏
@carolinamuchi59803 жыл бұрын
Asante sana Millard kutuletea, hii
@lameckbalekere19623 жыл бұрын
Tunamkumbuka Magufuli
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Hii ilishapitwa na wakati... Nchi imefungua ukurasa mpya, na wewe unaomboleza tu... You're pathetic...
@salvatoryboniface10893 жыл бұрын
Kanisa katokiki ni Taasisi cyo yake makanisa ya mtu1 akitoweka na ela ya sadaka basi na kanisa linakufa,,,,
@R.Dickon3 жыл бұрын
Hujui behind the scene wewe
@albertjames68453 жыл бұрын
@@R.Dickon sema unachojuwa wewe
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Historia si kitu.kipindi hiki cha dhiki nyingi.ni kipindi cha kuongoza kondoo kutafuta USO wa bwana.na huduna toeni bure kwa wahitaji.ili msamehewe kodi.
@lameckbalekere19623 жыл бұрын
Muondoeni yesu tuabudu balakoa nyie maasikofu waganganjaa tu
@michaelmillinga50643 жыл бұрын
Unawatukana watumishi wa Mungu, basi Asante kwa matusi yako na Mungu akutangulie
@ikrissaidrissa86133 жыл бұрын
jiheshimu hueshimiwe †🙏
@juliusinnocent58613 жыл бұрын
Sidhani kama unajitambua..na nadhani ww ni maskini ..maana ata kufikiri uwezi