Рет қаралды 3,101
Ni katika hafla ya kumkabidhi zawadi ya gari, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Jovitus Mwijage.
Hafla iliyoongozwa na Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Askofu Method Kilaini katika viunga vya Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Bukoba na kuhudhuriwa na, Mapadre, Masista na viongozi wa Halmashauri ya Walei Jimbo Katoliki la Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja