No video

TAARIFA YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU KIFO CHA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI

  Рет қаралды 402,012

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akitangaza msiba wa Rais Dkt. John Magufuli uliotokea Machi 17 jijini Dar es Salaam.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 368
@paschalmabubi7240
@paschalmabubi7240 9 ай бұрын
Kama Bado huamini kama Mimi...weka like hapa 🥺
@lilianfelekeni7771
@lilianfelekeni7771 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu watanzania😭😭kazi ya Mungu haina makosa😥R.I.P John Magufuli, from 🇨🇩
@alexkilumile1689
@alexkilumile1689 3 жыл бұрын
Thanks😭😭😭😭😭
@Newsaddict45
@Newsaddict45 3 жыл бұрын
Poleni sana wa Tanzania. Watu wazuri kama Magufuli hata Mungu anawaitaji karibu yake.
@smartboy-cd3qn
@smartboy-cd3qn 3 жыл бұрын
😀😂😀🤣
@jafarimuhammed6494
@jafarimuhammed6494 3 жыл бұрын
mhhh
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
Mhhhh
@anitav6099
@anitav6099 3 жыл бұрын
Yaani dah! unajua nahisi kama nipo ndotoni naota ndoto mbaya sana, moyo wangu unaniambia labda nitaamka nikute bado anaishi lakn muda unavyoenda najua kumbe sio ndoto, ndoto gani isoisha hii!!. Inaumaaaaa sana. Nipeni like basi angalau 10 tu labda zitanifariji
@salomennanga3110
@salomennanga3110 3 жыл бұрын
Oooh Africa, un bon président, toutes mes condoléances à tous nos frères et soeurs de la Tanzanie et toute sa famille. Repose en paix mon Président 😭😭😭 from Cameroun 🇨🇲🇨🇲🇨🇲
@emanuelmshana3930
@emanuelmshana3930 3 жыл бұрын
Rest in peace Mr. President. You were the best of all. You fought for the people and you will always be in our hearts. Forever Loved
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
From Kenya nmelia sana 😭😭😭😭 pele sana majirani zetu
@jumongjr5837
@jumongjr5837 3 жыл бұрын
Eeeh Mungu watuliza Wa #Tanzania ila yote kwa yote tunakubali kazi yako haina makosa 😭😭👏👏
@josephvenus3259
@josephvenus3259 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭oooh my God. R.I.P OUR LOVELY PRESIDENT OF TANZANIA. We will remember you all the time. Wewe ni shujaa, wewe ni alama, wewe ni dira ya maendeleo ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Hakika hatuwezi kuyazuia machozi yetu 😭😭😭😭
@abdallahsharif5573
@abdallahsharif5573 3 жыл бұрын
Siwezi amini.... poleni sana Tanzania... Allah awape subra inshaallah katika wakati mgumu kama huu...
@deogratiusonesmo824
@deogratiusonesmo824 3 жыл бұрын
Emungu tulinde kwani macho yetu yamepofuka hatuna mwanga tena tuongoze katika kipindi hiki kigumu (amen)
@gastonmodestkaziri2566
@gastonmodestkaziri2566 3 жыл бұрын
Gone is our beloved President H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli but his legacy shall prevail until the end of this world! Will keep him alive by striving to do and accomplish what he wished to do and see happening in Tanzania. His vision of industrialization agenda will strive and bright the country's economy no matter how our enemies may do. God help us all and remain united at this most difficulty period. Amen
@eliachniyonkuru9797
@eliachniyonkuru9797 3 жыл бұрын
Poleni sana wa jirani wetu wa Tanzania ki ukweli mnapoteza shujaa na Africa mashariki tunapoteza the hero kabisa
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 жыл бұрын
Dunia Yenyewe Yakwetu Basi Rip MrP🇹🇿 Mzalendo Wa Kweli
@Nilly993
@Nilly993 3 жыл бұрын
Umekuwa mtu mzuri, asante kwa kuipenda na kuiamini nchi hii. R. I. P.
@saxysarry265
@saxysarry265 3 жыл бұрын
Poleni ndg zangu wa TANZANIA, BOy from SENEGAL
@isayaabdallah2103
@isayaabdallah2103 3 жыл бұрын
Daaaah jaman Rais wetu pendwa ametuacha jmna roho inauma kwel kweli mungu tutetetee kwenye wakati huu
@mbarukiabdulkadir506
@mbarukiabdulkadir506 3 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu watanzania Kwa kumpoteza shujaa MUNGU aiweke roho ya marehemu pahali Pema palipo na wema AMEEN
@elizaluchagula9787
@elizaluchagula9787 3 жыл бұрын
Baba,umeondoka baba umewaachia shangwe na furaha maadui zako,usingeondoka baba umalize Kwanza kazi yako uliyoianza,unatuachaje baba,tunalia machozi yasiyokauka,umewaacha marafiki zako bila kuwaaga baba tulikuwa bado tunakuhitaji babaaaaa!!!!! Tutakukumbuka daima
@kairu_karega
@kairu_karega 3 жыл бұрын
Maulana ampumzishe ! Marehemu alikuwa kiongozi wa kuigwa! Kenya is with Tanzania.. We mourn the Greatest East African and World Leader.. We shall miss you sir
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 3 жыл бұрын
Ila Mungu wewe wajua , Rais wetu ametutendea wema mwingi , kama ameondoka Kwa mapenzi yako Mungu , basi yote mema , Ila kama ni mapenzi ya wanadamu , watayalipia machozi haya tunayo Lia , kwao itakuwa Giza maradufu , pumzika Kwa Amani Rais wetu
@kombwazakaria3566
@kombwazakaria3566 3 жыл бұрын
Mungu ailaze mahala pema roho ya rais magufuli amina
@ibraaz2
@ibraaz2 3 жыл бұрын
R.I.P mr president u will trely and surely remembered by my self and milions of other citizens of this great nation...mtetezi wa wanyonge. Tutakuenzi daima....
@Queenester1984
@Queenester1984 3 жыл бұрын
Can’t believe it. He has been with chronic atrial fibrillation for ten years?? OMG Rest In Peace my President, you’ll always remain in our hearts .! Praying for president’s family during this tough time
@gannongus2419
@gannongus2419 3 жыл бұрын
i know it's kinda randomly asking but does anyone know of a good site to watch newly released tv shows online?
@happynesskalystus9148
@happynesskalystus9148 3 жыл бұрын
We,Mungu tunaumia🇹🇿😭😭😭
@moodykimwele2564
@moodykimwele2564 3 жыл бұрын
He has left a good legacy! Condolences to the people of Tanzania
@yunssheby3972
@yunssheby3972 3 жыл бұрын
good leaders jpm
@jumajmathias4327
@jumajmathias4327 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka baba magufuki mungu akulaze mahali pema peponi mungua ametowa mungu ametua
@castrocastro9615
@castrocastro9615 3 жыл бұрын
Mungu akupe moyo mkuu mama. Rip baba.
@htx1873
@htx1873 3 жыл бұрын
Yani nimeumia sana , jamani nimelia sana leo ,jamani poleni sana watanzania wenzangu, this very hard time for both of us , omg am so hurt , huyu baba ilikua anaishape The Tanzania we need , alikua na protect vizazi vyetu visi hujumiwe, visi nyanyasike, visiibiwe eeehh baba naumia sana , sana nalia sana kwauchungu. Baba ulikua unatuambia mtanikimbuka sana, baba pumzima baba you are a True Hero..
@mariamhamad6016
@mariamhamad6016 3 жыл бұрын
pole san mam yaguu mungu atakupa wepesii
@mariamhamad6016
@mariamhamad6016 3 жыл бұрын
mam yoteni mitiyani tu tulimpenda ila mungu amemped zaid tupo pamoja
@robertigohe9338
@robertigohe9338 3 жыл бұрын
Inauma mno,baba yetu hatunaye tena. Tuendelee kuwa wamoja pia tuiombee nchi yetu nzuri Tanzania
@robertigohe9338
@robertigohe9338 3 жыл бұрын
Yaani mama kwako ni kipindi kigumu mno unahitaji zaidi msaada wa Mungu ,pole sana mama yetu pamoja na watanzania wote
@tibeitajoseph6646
@tibeitajoseph6646 3 жыл бұрын
Jasiri kamaliza mwendo ...pumzika kwa amani kamanda wetu ...huu ni msiba wa Tanzania na Africa kwa ujumla
@ruthcliff8498
@ruthcliff8498 3 жыл бұрын
May the Comfort of the Lord cover the Nation of Tanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mshamurashidi4124
@mshamurashidi4124 3 жыл бұрын
Mungu amlaze pema peponi ila tumepata pigo zito Eeee mungu umetupa mtihani mzito Tanzania imezizima.
@peterslaa3494
@peterslaa3494 3 жыл бұрын
Rest in peace our father
@claudinemaxime936
@claudinemaxime936 3 жыл бұрын
Shupavu, mhimiri, mzalendo,,, A great leader,,, JPM, umeandika history,,, You gave us the pride of our identity, and you leave a good legacy,,, Tutakuenzi daima,,,🇹🇿🇹🇿
@samsonkullaya3610
@samsonkullaya3610 3 жыл бұрын
Mungu amlaze pema pepon President maguful
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani kutoka Ufaransa
@barakabiz8076
@barakabiz8076 3 жыл бұрын
Dah hata sitaki kuamini mm 😭😭😭😭😭😭
@samskilled571
@samskilled571 3 жыл бұрын
Kizuri HUWA hakidumu shujaa ameumaliza mwendo
@dancankamau3376
@dancankamau3376 3 жыл бұрын
May his soul rest in peace,we will miss you so much our hero.my condolences for kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tatumakwega6170
@tatumakwega6170 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Innalillah wainalillah rajuun,, Allah amjalie kauli thabit,, tutakumbuka Sana baba yetu kiongoz wetu 😭😭😭nashindwa ata sijui niandike Nini kuusu wewe hakika umetuachia pengo kubwa, Rais wetu,, Tanzanian imeudhunika🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭
@hawaasharf2322
@hawaasharf2322 3 жыл бұрын
Poleni sana wenzetu tz,nimsiba wetu sote ,mungu amlaze mahali pema,
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 жыл бұрын
Ni sherehe kwa kuondokewa na dikteta wa Demokrasi na haki za binaa Tz. Allah amlaze ktk bekari la moto milele. Mashehe wetu Allah azidi kukupeni Afya kutokana na matesa ya kubambikiwa.
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
RIP tu.Tuiombee amani nchi yetu🙏
@idrisababu6124
@idrisababu6124 3 жыл бұрын
R.I.P Mr President, I can't believe this but I required to believe it, because all people we will gonna.
@boazmwikwabe2124
@boazmwikwabe2124 3 жыл бұрын
MUNGU amlaze rais wetu mahali patakatifu amina
@myrstika
@myrstika 3 жыл бұрын
What a loss. He was a true son of Africa. Poleni ndugu zetu waTanzania. 😭🇺🇬
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 3 жыл бұрын
Sio Tanzania tu,bari Africa nzima.Wazalendo wote ni msiba wetu.Hoooo dear president,God 'll be with you forever.We are crying and we'll cry forever.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 3 жыл бұрын
E uma infelicadade sentimental d todos nos.
@kelvinkanuele8260
@kelvinkanuele8260 2 жыл бұрын
Unforgettable day
@dgochuibra9231
@dgochuibra9231 3 жыл бұрын
Mungu aiweke roho yakiongozi wetu mpendwa mahala pema peponi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢
@mariamubachu8531
@mariamubachu8531 3 жыл бұрын
R I P Rais wetu magufuri tulikupenda sana Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi.😭😭😭😭😭😭
@phydiliahmwagodi2254
@phydiliahmwagodi2254 3 жыл бұрын
Rest in peace great one! My heart felt condolences to the family and entire people of Tanzania
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 3 жыл бұрын
Mungu aliweka imani ya watanzania kwako. Imani uliilinda, safari umemaliza, nenda shujaa. Tutaonana Kwa baba
@francengwatu6741
@francengwatu6741 3 жыл бұрын
Dah mungu Wang rais wawanyonge tutakukumbuka daima kwa mema ulwotenda kwaajili ya nchi Yang Tanzania r i p shujaa wetu
@knowyourtown3268
@knowyourtown3268 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu watanzania kwa kumpoteza kiongozi shupavu Rais John Pombe Joseph Magufuli. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
@josephjastin8394
@josephjastin8394 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Baba tutakukumbuka daima shujaaa wetuu nenda SALAMA tutaona badae
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Pole sana mama .
@harmonizekondegang7395
@harmonizekondegang7395 3 жыл бұрын
Pole bB
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 жыл бұрын
Rais wetu masikini mchapakazi hatukonawe tena kazi umeionyesha na tumeona tutaindeleza inshallah.
@Nihpledtv
@Nihpledtv 3 жыл бұрын
Pole sana wa Tanzania🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Valentinomichael367
@Valentinomichael367 3 жыл бұрын
Sote ni wapitaji , Mungu atutie nguvu😫 watanzania
@abdulsaid8411
@abdulsaid8411 3 жыл бұрын
Pole sana mama
@stamilimakurunge9305
@stamilimakurunge9305 3 жыл бұрын
HATUWEZI KUPATA KAMA HUYU TENA, ama kweli chema hakidumu
@agent48classified40
@agent48classified40 3 жыл бұрын
Uzuri kaweka standard, wanaofuata wana kazi ya ziada maana wananchi hawatawaelewa wakienda kinyume au wakidai haiwezekani.
@monakwelikabisaushsemahama1520
@monakwelikabisaushsemahama1520 3 жыл бұрын
polene sana watanzania kwa kumpoteza rais wenu kazi yake mola aina makosa kikubwa kumuombea tu inshallah mungu akamrehem kizuri uwa akidumu sana😭😭
@amankachira
@amankachira 3 жыл бұрын
Kila mtu anatofautiana na mwingine,Hata wewe ukifa hatuwezi kupata kama wewe
@stamilimakurunge9305
@stamilimakurunge9305 3 жыл бұрын
@@amankachira well said brother, but this man, is different trust me
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 3 жыл бұрын
I.R.P
@paulsamwel1281
@paulsamwel1281 3 жыл бұрын
Pole sana Mama yetu,,,,, poleee
@linajames2653
@linajames2653 3 жыл бұрын
Daa siamini jamani,pumzika kwa AMANI Baba yetu
@asajilemesson130
@asajilemesson130 3 жыл бұрын
Binafsi nasema sio kazi ya Mungu ila ni kazi ya MABEBERU wame fanikisha mpango wao.. Lakini sote tuta kufa msingi tunatofautiana tu kwa kuacha alama za uongozi na mambo chanya . Hakika ame ondoka kishujaa Duniani
@neythanmtei4356
@neythanmtei4356 3 жыл бұрын
Polen sanaaaaa wa tz
@eliakisinga5360
@eliakisinga5360 3 жыл бұрын
Kizuri hakidumu kamanda umekufa kishujaa
@gabrielmachotta1384
@gabrielmachotta1384 3 жыл бұрын
Machotta. Mungu amweke pema peponi Amin
@jackilinram1083
@jackilinram1083 3 жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani rais wetu do inaniuma sana
@lyn254
@lyn254 3 жыл бұрын
Poleni Wa tanzania. Mungu awape tulizo 🙏🏼🙏🏼
@bettymakulo5520
@bettymakulo5520 3 жыл бұрын
😭😭😭 RIP
@tatumashauri3891
@tatumashauri3891 3 жыл бұрын
E mungu msamee baba yetu shujaa yetu raisi wetu RIp mlaze mahali peponi
@kimpalambapj
@kimpalambapj 3 жыл бұрын
R.I.P Baba.
@honmelvo3487
@honmelvo3487 3 жыл бұрын
SO painful to us all
@rashidyishika2276
@rashidyishika2276 3 жыл бұрын
Rip
@allygunda3616
@allygunda3616 3 жыл бұрын
Mungu akupumzishe kwa amani magufuli aminaa!!!!
@cosmasdaud4472
@cosmasdaud4472 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Mama Samia,
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 жыл бұрын
😔😔😔 it's so sad
@mariamibrahim5467
@mariamibrahim5467 3 жыл бұрын
She is holding tears..pole tazania
@claudinemaxime936
@claudinemaxime936 3 жыл бұрын
Daddy, umetuachia nani Daddy? Ee Mungu, watuliza watu wako,,,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 жыл бұрын
Alhamdulillah.Innalillah wainnaillah rajiuun.Allah amuweke panapostahiki.Alhamdulillah.
@lisaernest2844
@lisaernest2844 3 жыл бұрын
Siamini japo masikio yana sikia na macho yanaona haya hata kama sikuwa mpenda kuangalia habari au tujua hali ya siasa ya nchi yangu lakini mengi niliyaona AMNA KWELI RAISI MAGUFULI WAS THE ONE OF SUPERIOR amefanya mengi mno tena kwa muda mdogo . sitaki sema RIP kwani najua Legends live forever and ever.
@monicajonathan7451
@monicajonathan7451 3 жыл бұрын
Sijawah kulia jamaan ila leo nime lia sana jamanii magufuliii embu lud tena japo mala 1
@samsonhassani6785
@samsonhassani6785 3 жыл бұрын
Ulale maali pema rais wetu
@deomkanula7983
@deomkanula7983 3 жыл бұрын
Jaman sitaki kuamini ata kama ishakuwa walio kuwa awakupe kipindi cha uwai wako na utendaji wako wataujua sasa uthamani wako pumzika kwa Amani baba.
@swahibambogo1833
@swahibambogo1833 3 жыл бұрын
R I P mr president
@silverstarchannelscoreble500
@silverstarchannelscoreble500 3 жыл бұрын
Mungu wangu eeeeh!
@noahbakengesa1263
@noahbakengesa1263 3 жыл бұрын
Pole na laisi wetu jonhi pombe Josephus magufuli kufaliki aise poleni sana
@hassanharuna8663
@hassanharuna8663 3 жыл бұрын
INNALILAHI WAINNAILEYHI RAJIUN
@neemakilimba2574
@neemakilimba2574 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@dieudonnebalike5640
@dieudonnebalike5640 3 жыл бұрын
Hakika habari hii inaniumiza moyo. Mimi si mtanzania lakini ninajiuliza kwa nini Maghufuli ndiye angefariki hakika. Tunaviongozi wasio na maana lakini wamebaki wazima na huu shuja ndiye amewatangulia. Kweli Mungu hana mshauri!
@yustakatembo8998
@yustakatembo8998 3 жыл бұрын
Asante Mungu Ni wewe ulitupa rais huyu mzuri naamini utatupa mwingine.
@nancyfrank8
@nancyfrank8 3 жыл бұрын
Jaman mungu kwann
@harerimanamethode915
@harerimanamethode915 3 жыл бұрын
Poleni sana nduguzetu watanzania
@emanuelijacobo5432
@emanuelijacobo5432 3 жыл бұрын
Da mungu naomba tusaidie mungu mfufue magufuli
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Dar hi taarifa nimeipokea kwa masikitiko makubwa Sana, mzee imeondoka mapema mno 😭😭😭
@saidimbagane2665
@saidimbagane2665 3 жыл бұрын
mhh hata siamini kama nikweli naona kama mujiza t2
@paradoxe.patrick.mbayingoy6406
@paradoxe.patrick.mbayingoy6406 3 жыл бұрын
Tuku pamodja Tazania republic of Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭
@uniquejungletoursclimbkili5328
@uniquejungletoursclimbkili5328 3 жыл бұрын
Kwa ukubwa wa tatizo ulilokuwanalo na bado ukawa unaipigania nchi yetu kana kwamba huna dosari yeyote mwilini mwako, hakika ulikuwa na dhamira njema kwa nchi yako. Pumzika kwa amani kipenzi chetu, Raisi wetu mpendwa Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Nitakukumbuka daima kwa dhamira na misimamo yako.
@tinakisonga2578
@tinakisonga2578 3 жыл бұрын
Huuwiii,Mungu wangu!utukumbuke bwana!bwana uliyewaita watakatifu kwako............
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Azam TV
Рет қаралды 589 М.
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН