SIRI NZITO YA KIFO CHA MAGUFULI ALISEMA WAMBIENI MADAKTARI WANIACHE TU NIKAFIE NYUMBANI"

  Рет қаралды 83,252

KUSAGA TV

KUSAGA TV

3 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 63
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 ай бұрын
Nyinyi mlimuua M,mungu atawalipa hapa hapa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 ай бұрын
Kikubwa Unachosema Ujue Mbele Yake Nyuma Yako Unafata Ulie Hai Kama Unaongea Kama Burudani Kwake Tutaludi Pesa Nami Zitabaki
@Gracemima
@Gracemima 3 ай бұрын
Na mbona hamukushirikisha mkewe wakati wa siku zake za mwisho? Watu waliotakiwa kuwa karibu naye ni familia yake, mkewe na watoto wake. Mabeyo hukumufanyia haki haki, kwa kukataa kumurudisha nyumbani kuwa karibu na familia yake. Hamukumutendea haki kwa kutoita familia yake na kukata roho bila kuiaga familia yake. Wakumualifu wa kwanza alikuwa ni mkewe na watoto wake, pengine alikuwa na maagizo ya mwisho kwa mkewe. Mulimufanyia vibaya sana Hayati Magufuli. Habari hizi zinasikitisha sana. Mabeyo kucheka cheka watanzania wengi umewauthi.
@JuliethRajabu-ct2fq
@JuliethRajabu-ct2fq 2 ай бұрын
Watayalipia tu kwa wakati mtimilifu na kwa utimilifu
@marymgimwa
@marymgimwa 2 ай бұрын
Daaah...yaaaan
@claudiajames2003
@claudiajames2003 3 ай бұрын
Lala salama Rais wetu ,upo mioyoni mwetu!
@NaifaAron-jf8nv
@NaifaAron-jf8nv 3 ай бұрын
Hakuna ukwel hapo sis sio watoto
@HafsaAbdallah-kp2wb
@HafsaAbdallah-kp2wb 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭haya mambo c ya kucheka baba mabeyo
@BlandinaMassawe
@BlandinaMassawe 3 ай бұрын
Bora zaidi aliwakumbuka baba zake wa kiroho akaombewa na kupakwa mafuta matakatifu
@qalbi8198
@qalbi8198 3 ай бұрын
Kipi kinachekesha hapo sasa 😢
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Ай бұрын
Damu nzito kuliko maji ipo ck
@user-uw8pg9ju5s
@user-uw8pg9ju5s 3 ай бұрын
Baba mabeyo una utulivu wa kutosha god bless you
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 3 ай бұрын
Ishi unachekeshwa na nini masikini mwwnzio alikuwa kwwnye sakalimauti ,unajuwa ni wakati mgumu mno mtu roho inapotaka kutoka??? Daaaa namachungu kama nimemzaaa
@iddmrimi6014
@iddmrimi6014 2 ай бұрын
Innah lillah wainnah Rajiun mwenyezi mungu amlaze mahali Pema Peponiiii aminiiiiiii! Pia mwenyezi mungu ampe Makazi mema aminiiiiiii! JPMAGUFULI TUPO PAMOJA INSHALLAH!
@stellajorojick9663
@stellajorojick9663 3 ай бұрын
Kwa nini wananchi hawakuhusishwa kubwa anaumwa tungemuombea
@BahatiDaniel-om1hs
@BahatiDaniel-om1hs 3 ай бұрын
Síoni ukweli wowote hapo, nikama munatuchora bas
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 2 ай бұрын
Sawa kabisa generally uko sawa
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Ай бұрын
Mungu yupo😭😭
@user-vh3dt2ei5c
@user-vh3dt2ei5c 3 ай бұрын
Magufuli is hero in Africa who stood on right.
@EliyaJoseph-pb9xm
@EliyaJoseph-pb9xm 3 ай бұрын
Sina uhakika na hizi stor munazotupa
@marymgimwa
@marymgimwa 2 ай бұрын
Bora ungemrudisha akatunzwe na watoto wake na mkewe❤
@PeterAndwer
@PeterAndwer Ай бұрын
Kuna kipi kinacho chekesha ap broo
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 3 ай бұрын
Sio kila kicheko kinamaanisha furaha ,mi namwelewa,ambacho sijapenda no kumnyima MTU Uhuru Wa kuamua apiposema apelekwe nyumbani mngempeleka japo nayo haiko sawa sana labda wangeita familia Kwa siku hiyo awaage maana watu wengi wakikaribia kufa wanajuaga
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 3 ай бұрын
Mh😭
@RoseChipasula
@RoseChipasula 28 күн бұрын
Jaman sakichek Chanin aponixhe leee ama😮
@user-cy7bz3ni8l
@user-cy7bz3ni8l 3 ай бұрын
😢
@RoseMbwawa
@RoseMbwawa 2 ай бұрын
Mhm Pumzi nilioshusha hatali maumivu makali sana moyoni 😢😢
@GodfreySiegfried
@GodfreySiegfried 3 ай бұрын
Mabeo nakukubar sana
@chrifordcostantine8422
@chrifordcostantine8422 Ай бұрын
Sasa unacheka nini hapo ☹️☹️☹️😡😡
@RoseChipasula
@RoseChipasula 28 күн бұрын
Upumzike kwaaman baba😂😂😂😂😂
@rosetsuhha7312
@rosetsuhha7312 3 ай бұрын
Bas hamkutangaza siku hiyo hiyo maan hayo yote mfanye ndani masaa manne huo ni uongo si 2najua alikufa week mbili kabla yakumtangaza😢
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
Yetu masikio,cheo n dhamana,tulio chini,hasa Latra,na ma police watishia,faini 250000,wakat latra n 100000 je hii n kuangamiza raia wa Tanganyika, serkali,haina huruma,dua,zetu Mungu atawazibu,cheo n dhamana,,mungu awazibu,,kama alivyo muazibu, FARAO wa na kiburi sana kama FARAO, FIRAUN,,
@suzannakasaka3939
@suzannakasaka3939 3 ай бұрын
jamani kuna siri nzito kwa kifo cha rais wetu
@AminaChaula
@AminaChaula 3 ай бұрын
Mapigo ametuzidia sana kụlingana na matendo tunayoyafanya bila kụfikiria kabla ya kutenda
@mussapaul3295
@mussapaul3295 2 ай бұрын
Mimi moyo wangu huwa unauma sana means sijui aliugua?
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 3 ай бұрын
Du!Mungu ajuaye yote ANAJUA uchungu nilioupata mpaka nikaombea kumbe naomba mtu aliyekwisha lala mauti😂😂
@user-ow6wc1qv2h
@user-ow6wc1qv2h 3 ай бұрын
Msinamowako umesaidia sana mungu akusimamie
@user-ih9ou6bx2n
@user-ih9ou6bx2n 3 ай бұрын
Tulikupenda zaidi baba mungu alivyuna chake
@GodfreySiegfried
@GodfreySiegfried 3 ай бұрын
Mungu akubarik kamanda ni ujasir mkubwa Sana bila wewe ulikuwa patashika
@himidmkuya7381
@himidmkuya7381 3 ай бұрын
mkuu wa majeshi huijuikatiba inasemaje daa heri usingelihojiwa naingia hasira unacheka nini sasa
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 ай бұрын
Alikuwa anaumwa nini?
@JuliethRajabu-ct2fq
@JuliethRajabu-ct2fq 2 ай бұрын
Huna chakuchekesha katika hili
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 2 ай бұрын
Yaaan we mabeyo ndo mnafk kabsa
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 2 ай бұрын
Ndio kuicheki katiba
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 2 ай бұрын
Mabeyo ni mwenye busara na hekima
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 3 ай бұрын
😢😢
@user-bg3fm2zd3z
@user-bg3fm2zd3z Ай бұрын
A 2:41
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 3 ай бұрын
Mtu ana mke anawatoto anamama ana nduguzake wirete mliwafukuza wasiwepo namlinzi wake na alipokwambia niperekenyumbani ukakaidi mka apishana naherehe yakumuapisha raisi ikafanyika eeeemagufuri pumzika kila aliyehusika nakifochake mwenyezimungu ampe ugonjwa wakensa yakoo
@user-vb5bh7er3c
@user-vb5bh7er3c 3 ай бұрын
Ahaaa
@HafsaAbdallah-kp2wb
@HafsaAbdallah-kp2wb 3 ай бұрын
😭😭😭😭 baba unatuchoma sana moyo 😭😭😭😭moyo wangu unaniuma sana hakuna siku nitakayokuja msahau magufuli 😢😢😢
@user-cr6zx5wo8b
@user-cr6zx5wo8b 3 ай бұрын
Yaan unaongea jambo la huzuni unacheka! Kwa hyo unafurahia kifo au? Kumbuka kila nafsi itaonja mauti
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 3 ай бұрын
Mwenyez mungu ailaze roho ya jpm Mahal pemaa
@user-sl7tv1gg7m
@user-sl7tv1gg7m 3 ай бұрын
Mn
@user-sl7tv1gg7m
@user-sl7tv1gg7m 3 ай бұрын
Mm
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 3 ай бұрын
Jamaa anamsimamo sana, namkubali Mabeyo.
@feihusein
@feihusein 3 ай бұрын
Mmh apo mwatupiga siye kikaangon kwanñ nyie ndo mwamuuguza watak alikua na familia yake
@babaexodus7606
@babaexodus7606 3 ай бұрын
rara sarama Baba tunakumbuka
@himidmkuya7381
@himidmkuya7381 3 ай бұрын
sasa unachekanini na unaongea jambo la huzuni hii inakerasana hasa kwa watu wanao jielewa futa kipande kinachokejeli
@AminaChaula
@AminaChaula 3 ай бұрын
Mapigo ametuzidia sana kụlingana na matendo tunayoyafanya bila kụfikiria kabla ya kutenda
@kipandekipande1651
@kipandekipande1651 3 ай бұрын
😭😭
@AminaChaula
@AminaChaula 3 ай бұрын
Mapigo ametuzidia sana kụlingana na matendo tunayoyafanya bila kụfikiria kabla ya kutenda
@OlipaMhagama-om1hd
@OlipaMhagama-om1hd 3 ай бұрын
😢
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 50 М.
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН