Rais Magufuli apiga msumali wa mwisho sakata la makontena ya RC Makonda

  Рет қаралды 125,735

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Rais Magufuli hatimaye amekata mzizi wa fitna kuhusiana na makontena Ishirini yanayoshikiliwa Bandarini Jijini Dar Es Salaam yakidaiwa kuwa na samani za shule yaliyoletwa kwa msaada kwa jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda akisema ni lazima yalipiwe kodi.
Dokta Magufuli amesema kwamba makontena hayo yanayodaiwa kodi yenye thamani ya Bilioni Moja Nukta Mbili yanapaswa kulipiwa kodi hiyo kwa sababu aliyeletewa hana mamlaka ya kisheria ya kupata msamaha huku pia akihoji ni kwa nini shule zinazopelekewa samani hizo hazijatajwa.
Rais Dokta Magufuli amezungumza hayo akiwa Chato Mkoani Geita alipokutana kwa mazungumzo na Viongozi na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato.

Пікірлер: 39
@saleheothman6430
@saleheothman6430 5 жыл бұрын
Mr Charles kaganda ; sasa nakubali maneno yako
@charleshaule4008
@charleshaule4008 2 жыл бұрын
Magu was smart... amecite vifungu kama wakili, ameweka hoja kwa mantiki ya kueleweka hata mgumu kuelewa angeelewa hoja.. RiP Magu, mbali na yote ni mkweli na mchapakazi.Tumepoteza Kiongozi watanzania.
@machinefannatic99
@machinefannatic99 5 жыл бұрын
Straight.
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 5 жыл бұрын
Mzee piga viboko huyo mtoto ameanza kuwa mtovu wa nidhamu
@letareelissa3944
@letareelissa3944 5 жыл бұрын
Dar ? nyamaimenasa kwenye jino ingekua mkuu Wa koa yeyote tofauti na makonda mkuu angesha mtumbua
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Makonda alikua fisad anaelindwa na mwendazake
@givenmoshi2591
@givenmoshi2591 5 жыл бұрын
huu ndo uzalendo tumempata mkombozi wetu mungu akupe maisha marefu
@sterlingbraden4270
@sterlingbraden4270 2 жыл бұрын
Sorry to be so offtopic but does any of you know a way to log back into an instagram account?? I somehow forgot my password. I would appreciate any tips you can offer me.
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 8 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu alitoa ,ametwaaa!!!
@humphreymalema3024
@humphreymalema3024 5 жыл бұрын
Kichwa hiki safi sana raisi wetu
@mohamedkiranja1575
@mohamedkiranja1575 2 жыл бұрын
Q198v
@Mnaveed_804
@Mnaveed_804 5 жыл бұрын
Kamata mtoto wako kama kweli unapenda kujenga tanzania.....hayu maneno ya nn we mzee...
@tunumohamedy7332
@tunumohamedy7332 5 жыл бұрын
Magu alisema kuwa yeye aliapa kusimamia sheria!haya tunataka kuona iyo sheria anayeisimamia ifanye kazi!na sio tu kuyapiga mnada!afunguliwe mashtaka kwa kuhujumu uchumi!akifanya hivyo kweli tutamuamini kuwa ni mtetez wa wanyonge na anasimamia sheria kweli, na ifikapo 20-20 atakuwa hana mpinzani!!
@jamhuriyohana7025
@jamhuriyohana7025 5 жыл бұрын
Angalia#MTU MWEUSI
@fatmakisuwa2124
@fatmakisuwa2124 5 жыл бұрын
Mmh ng'ombe wa bwana her shamba la bwana her yetu macho
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 жыл бұрын
Haki za watu hazipotei, aliwadhalilisha watu kw vitu vya kukisia sasa yye vipi awekwe jela cku 5 kwanza atiwe adabu.! na fedha hizo za makontena kazipata wapi?
@stephanokayega2792
@stephanokayega2792 5 жыл бұрын
DS
@kijuuborongo6405
@kijuuborongo6405 5 жыл бұрын
Bado hamjAmwelelewa Makonda meli ya madocta ya kichina ilikuja kwajina lanani?
@helbertrugalabamuenery7313
@helbertrugalabamuenery7313 5 жыл бұрын
Makona umeuza
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Loh chenga
@thereal_mtangojr2634
@thereal_mtangojr2634 5 жыл бұрын
kwenyee kodii hana mchezoo Jpm
@mako331
@mako331 5 жыл бұрын
Kila binadamu anaweza kufanya makosa it’s very normal but u can make a mistake while trying to do good, Makonda bado ni mchapakazi mzuri, hatumbuliwi mtu hapa poleni chadema
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 2 жыл бұрын
Miaka 3 imepita rudia tena ama kweli ukimtegemea mtu ni vibaya sana
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Angekuwa Rc mwingine angefukuzwa kazi, lakini kwakuwa ni Prince BASHITE anatoa speech tu basi limepita hilo.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
James Joseph Katunzi inakuuma sana ee.
@aroundkilimanjarotoursands5600
@aroundkilimanjarotoursands5600 5 жыл бұрын
Yani angetumbuliwa Vila ganzi
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 5 жыл бұрын
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
@aroundkilimanjarotoursands5600
@aroundkilimanjarotoursands5600 5 жыл бұрын
Mbona huyu hatumbuliwiii?
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 5 жыл бұрын
Kwani Hapo hakuna kesi kw sababu amekubari ni yake Sasa afukuzwe kazi kivipi kikubwa alipe kodi au yauzwe Sio kufukuzwa kazi
@charlesmushi5350
@charlesmushi5350 5 жыл бұрын
Aliepewa dhamana ya kupokea misaada ni raisi Tu.......na majina ya shule hayajatajwa wake up we Acha ushabiki wa kisengr
@aminaausi4142
@aminaausi4142 5 жыл бұрын
Nashangaa
@transmadale
@transmadale 5 жыл бұрын
Mtoto wa baba huyo yataisha tu
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 5 жыл бұрын
Hayo makontena ni yake alitaka kuuzia serikali sio ya msaada
@aloycemalya4701
@aloycemalya4701 5 жыл бұрын
Kulen nchi na mjnga mwenzako muda utafika tu
@dr.lukindogrammaracademy1310
@dr.lukindogrammaracademy1310 5 жыл бұрын
Maigizo na upumbavu tupu
@stevenpeter562
@stevenpeter562 5 жыл бұрын
hawezi tumbuliwa
@evelyinelyimo67
@evelyinelyimo67 5 жыл бұрын
Hakuna lisilokuwa na mwisho
@adinaniakash2332
@adinaniakash2332 5 жыл бұрын
raisi wetu ni mtu makini sana hivyo viongozi waliopo mdarakani lazima wawe mkinizaidi la sivyo chochote kinaweza kutokea
CCM WAMECHELEWA SANA KUMCHAGUA MAKONDA
6:14
Wasafi Media
Рет қаралды 60 М.
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 24 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 171 МЛН
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 10 МЛН
Makonda amlalamikia mkurugenzi wa jiji, Magufuli amsimamisha kazi
6:29
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 24 МЛН