Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa amemkaribisha Rais Magufuli mkoani Iringa kwenye sherehe za Mei Mosi. Je, unajua ni kwanini yeye amechaguliwa ingawa ni mdogo kuliko ndugu zake wengine? Sababu hizi hapa.
Пікірлер: 48
@charlesabere Жыл бұрын
I'd love to tour Iringa kwa heshima za Chief Mkwawa aliyewanyonga wajerumani 300 kule Lugalo ambapo hayo hauwezi yapata ndani ya vitabu vya history maana myahudi hataki ukweli huo ujulikane
@halimamasai22346 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumuona chifu wa kihehe damu imenisismuka maashaallah
@shanynyalusi15076 жыл бұрын
Kumbe uchief unalisiwa ha ha ha chief ni handsome
@lilianluhasi3115 жыл бұрын
Wahehe wazuri pia wasomi
@user-xk7vy4gb6g
Hayo majina aliyoyataja hata moja sijakalili
@stevenkapugi42092 жыл бұрын
Jamaa mrembo.kinoma
@binurusm88865 жыл бұрын
Degeliinge !! Hili jina Limenikumbusha mbali sana, asante.
@edwardedward25206 жыл бұрын
Niko jina Mkuu nimeshindwa kulokariri! Hongera kwa chief mdogo naipenda Tanzania!
@oyay28215 жыл бұрын
Chief afaa asome awe mzuri kwa kutoa hotuba
@ashaali71546 жыл бұрын
Vipi jamani huu uchifu na u mangi si ulishafutwa au ndio kuna sehemu na sehemu unakubalika.
@gerradtarimo30776 жыл бұрын
Upuuzi tu huo, et chifu hakuna chifu anaefanania ivo chifu hajui hata lugha ya nyumbani! Upuuuziiiii.....!
@beautyibrahim84286 жыл бұрын
Tetete majina marefu utafikil ya kichina
@jamesjahasa33486 жыл бұрын
Nyerere rudi uone machifu wanaanza kurudi
@Princewaweru
Hapo mlifeli kumpa huyu dogo
@megapain336 жыл бұрын
Tutunze tamaduni: hongera magu
@neemambuja4356 жыл бұрын
jamani hii ni dharau chifu gani huyo labda ni wa ukoo wao mstujumlishe ninavojua mm machifu washakufa kitambo sana mstuletee kiki kwenye pikipiki