Bonyeza "SUBSCRIBE" Pata Habari mbalimbali zinazotokea nje na ndani ya nchi yetu ya Tanzania, michezo, uchumi, siasa pamoja na habari kemkem. Subscribe: / @topstoriestz
Пікірлер: 1 000
@amosjacksoni96202 жыл бұрын
Sikusema ccm oye yalikiepo majiz sana kuliko ata ya chadema , gonga like uliyeskia iyoo.
@Ramadhanimsingwa3 жыл бұрын
Magufuli alikuwa Wa kipekee rip Mungu mtunze tunamuombea hakika tutakukumbuka daima msiba huu hauna kikomo
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Kila mtu atahukumiwa sawasawa na matendo take… RIP Mwalimu Nyerere.
@makalasaigoni22755 жыл бұрын
hongera mh magu. kama unamkubali magu acha yako lakes
@benjaminmtambo48684 жыл бұрын
Unamkubali wew mm simkubali hata 2015 sikumpa yangu
@issaali82774 жыл бұрын
@@benjaminmtambo4868 Hata usipomkubali lkn ni Raisi wako t kwa vile ni mtanzania.
@saimonijonas43563 жыл бұрын
Kwani ulipoacha kumkubali ulimpunguzia nini?? Wala sishangai,hata watoto huwa wanamkataa baba yao japo wanahudumiwa na baba Huyo.Yawezekana mwenzetu ulisha wahi kumkataa baba yako ndo maana unauzoefu wakuwakataa wanao kuongoza.
@brownpaul72083 жыл бұрын
Kweli
@hashirsalim95703 жыл бұрын
@@benjaminmtambo4868 hhhhh
@haroonchibwana62533 жыл бұрын
Innalillah waina ilahi rajeeon. Go well son of the soil, son of Africa. Africa is proud of you.. We may not come from the same country, but we shared your vision. A great Leader you were, a proud African. I am not Tanzanian, but your love for the Africa continent spread all over Africa and beyond, You gave us hope, you gave the young politicians the reasons to join the political field. Your Leadership style, touched a lot of Africans. You believed in your people, you decided to die in the eyes of your own people. May GOD receive you well and May HE forgive your short comings. RIP John. We will forever remember you.
@natasha79693 жыл бұрын
Ameen Thuma Ameen 🙏🏾
@brayanramadhan52603 жыл бұрын
Thnk you our neighbor. Amen!!!
@lindakapongo842111 ай бұрын
MUNGU TUPE KAMA MAGU
@user-ps4jt6gi9k10 ай бұрын
Mungu tupe macho tuone tunakoelekea mungu ikumbuke Tanzania nahaya yanayoendelea
@donpablo26515 жыл бұрын
Jembe letu, nitapigia Kura ccm kwa mara ya kwanza ajili yako tu , you are true loyal
@rajabmwinyikambi13245 жыл бұрын
Habari
@mwenzaboy23064 жыл бұрын
Huwezi kunijibu mm ivo niambie pesa za lod zipo wap km umeupenda huu gonga like tue pa1
@polycarpshirima1824 жыл бұрын
Pesa kuwa ngumu ndio uchumi kukuwa maana zikiwa za kumwaga ndio chanzo cha mfumuko wa bizaa kupanda bei au mnataka ziwe nyingi ukienda kununua mkate ubebe hela kwenye toroli
@alexandryshirima95683 жыл бұрын
Tunakukumbuka mzee wetu Mungu alikutumia utuonyeshe njia hapo kwa sasa hali si hali
@georgenyalulu45503 жыл бұрын
Chuma kama chuma!! Twenzetu mzee wetu!! Watanzania tunakupenda sana!!
@htvtanzania34833 жыл бұрын
Sasa hatunae 😥😭😭💔
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Kweli kabisa Nyerere tutamkumbuka..
@eliasbufula62905 жыл бұрын
JPM uko vizuri sana tena sana, isipokuwa tu sisi watu hatupendi kuambiwa ukweli, lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu, endelea kuchapa kazi.
@nad_peacetv88742 жыл бұрын
Wewe ni kiongozi wangu bora wa muda wote😭😭😭😭😭😭
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Unamaanisha Mwalimu Nyerere sio ?.
@ngusarobert47516 жыл бұрын
safi sana mkuu wa ichi hizo kauli nimezipenda sana
@chamahaji2935 жыл бұрын
Mbona sioni utta
@teddykanondo57535 жыл бұрын
Wewe mwenyewe mwizi sana. Hauko wazi kwenye swala la pesa. Fedha unazokamata kwa watu unawaita Mafisadi wakati wanachangia pato la Taifa ziko wapi?. Fedha za maduka ya fedha ziko ngapi na ziko wapi?. Huyu MSU - KUMA mwizi sana.
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
@@teddykanondo5753 Acha ujinga. Au na wewe umeshatumbuliwa ndo sababu ya kulialia? Ni shetani tu ndo anaweza kupiga kazi za kiongozi huyu.
@damianlugendo91614 жыл бұрын
@@teddykanondo5753 wempumbavu
@salimomar4696 жыл бұрын
Uwaminifu ni mzigo mzito mno na wewe unaweza kuibeba mungu akusaidie na akupushe na waharibifu Ahsante Ahsante sana magufuli
@marthamallya.ukovizurjit88165 жыл бұрын
Chuki mchukikieni roho take mwachieni . Jembe liko kazin wezi tupa kule
@omarihamadumetishasanalava47253 жыл бұрын
Safi sana maguful
@ananiamkasu88473 жыл бұрын
Ukweli umekuua mapema! Mungu atahukumu kwa haki.
@selestinfrancis590410 ай бұрын
Naamini kama kuna watu waliopelekea kifo chako na walihusika, naamini Mungu atashughulika nao hakika.Pumzika kwa Amani Baba, Mungu akupe pumziko la milele, Amina.
@khalidballeth59575 жыл бұрын
First history President in Tanzania Am proud of our President Jpm👍🏼👏🏼👏🏼
@jonasmaganga73944 жыл бұрын
Hallow! Huyo ndiye Rais 2020 wala simwoni mwingine wa kushindananaye
@jentajuma27873 жыл бұрын
@@jonasmaganga7394 k
@jacksonemma4953 жыл бұрын
HAYATI Magufuri urinjuwaukweri mwizinimwizitu
@khalidballeth59573 жыл бұрын
@@jacksonemma495 rudi daraani kanza ukasome hata kuandika
@fatumakambi15672 жыл бұрын
@@khalidballeth5957 we mwenyew pia
@onaelymbatiani35273 жыл бұрын
R.I.P rais wetu,jembe letu.Tutakukumbuka daima.
@lawmaina785 жыл бұрын
Mbona mnasema kauli tata ilhali mzee anaongea mambo muhimu sana, yaani ananyoosha mambo.
@gadyetheboss87383 жыл бұрын
Ili upate shauku ya kuangalia maana watanzania vichwa vigumu ni wagumu sana kuelewa hivyo usipotumia lugha tata kama hiz wanazo tumia waandish kutushawish hawaelewi
@fabiangeorge-bx5kr Жыл бұрын
RAHA ya milele Umpe ee Bwana na mwanga WA milele Umwangazie Apumzike Kwa Amani.. AMINA
@modestmzumbwe5886 жыл бұрын
Rais anafanya kazi nzuri. wanaomchukia ni wale waliozoea posho kubwa bungeni kabana matumizi ili pesa zisaidie watanzania wote mnamchukia. watanzania wengi tunampeda piga kazi rais wetu tuko pamoja mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe.
@kobelochamanga97574 жыл бұрын
Magu yuko vzr ila yupo kwenye chama Cha mfumo sio mzuri tunataka atupe katiba mpya na tume huru isiwe ya chama kimoja itatuletea shida mbeleni
@bensonkaile96063 жыл бұрын
Aisee! JPM was a project to forecast CCM prosperity na tumepita vizuri na tutasonga mbele vyema zaidi.
@esterkaturaester27673 жыл бұрын
Teacher roboti
@esterkaturaester27673 жыл бұрын
Teacher roboti
@greatgreat18022 жыл бұрын
Mabo
@gloriakerubo5132 жыл бұрын
The greatest leader of our time. I love you to the moon and back. RIP ndugu JPM
@AmaniAbuu2 жыл бұрын
Maisha yalikuwa yanatupatia FURAHA kwa wa tanzania wote.....keki za Taifa (vivutio) vya nchi vilitunufaisha wote bila kujali udini,ukabila wala rangi.....Hakika sisi wa tanzania tulipendelewa na Mungu wetu......Blessed land is Tanzania
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Wapi hiyo unasifu ujinga toka lini ulikula keki ya taifa wewe au unajitoa ufahamu..!
@fredikigodi43722 жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 wejamaa unaonekana ulikua mwizi kwamtu anaye jitambua hawezi kumchukia magufur hata ck 1,,,kwatuna mwelewa kazializo zifanya tutaendelea kumkubali kilaiitwapo leo pendasana. Magufuriwangu kokote uliko Nakumbuka ulivo ingiatu madarakani 2017 Nilipata Nafasi yakwenda south Sudan juba,,,heshima tuloipatakule kupitia ww, J p m,, sintokuja kukusahau m aishani mwangu,,
@jenfan87813 жыл бұрын
Magufuli wetu jamaniiiiiiii bado nalia Mimi kila ninapokukumbuka. Magufuli jamaniiiiiiii nilikupenda kuliko hata Baba yangu. Nakupenda leo, Nakupenda kesho Nakupenda daima. Pumzika kwa Amani Shujaaa wetu. Maaaana wewe ni Baba wa Taifa langu, Taifa la waTanzania
@aminasangi15853 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔
@charitymmary18316 жыл бұрын
UCHUMI KUA MZURI SIO KUJAZA MAHELA CHUMBANI NIPAMOJA NA HELA KUA NGUMU....KITU KIZURI HAKIPATIKANI OVYOHOVYO
@man-kereborbocrew85283 жыл бұрын
Yap
@peninawilliam84812 жыл бұрын
Yes
@marodamakungu34113 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Magufuli wetu
@user-ow5vg7wj2f9 ай бұрын
Mungu akujalie mzee wetu sidhani Kama 2tapata mwingine Kama ww mungu akilinde
@angelinamichael1126 Жыл бұрын
Mzee wetu mpendwa Mungu ailaze mahali pema peponi roho yako amini 😴🙂🤗😄
@akidaamani21562 жыл бұрын
Namlia président wa Africa
@marymsangi55383 жыл бұрын
Now we know how worth he was,we will always remember you champion!
@noelbryson7840 Жыл бұрын
You mean Nyerere?? You’re correct 👍
@abdilnas756313 күн бұрын
Watching these clips hurt my heart. The man was so full of life, healthy and strong as a good leader and man. We don't have him anymore. What more can I say? 😢
@LekuleKipuyo-gk4rq6 күн бұрын
Wewe mungu angekulinda mpaka leo hii nchi ingekuwa mbali basi tu mungu azidikukulaza mahali pema peponi malengo yako yalikuwa mazuri sana katika inchi yetu
@EmmaLubuje-uj7zu11 ай бұрын
Mwenyezi mungu amuweke mahalo pema peponi magufuli watu na pia atutengenezee mtu anaefanana na magufuli aje atusaidie!
@nestarlombola17382 жыл бұрын
Your the hero and also your the champion daddy rest in peace
@evelyneshadrack84703 жыл бұрын
Pumzika kwa amani east Africa tume poteza kiongozi bora sana tungelikuwa na uwezo wa kukuamusha tunge fanya hivyo ina uma sana siotu kwa watanzania 🇰🇪hata sisi kwetu wakenya
@Wakio2313 жыл бұрын
Inauma hadi leo 🇰🇪, the wound is still fresh.
@vivanybushegu85322 жыл бұрын
...
@vivanybushegu85322 жыл бұрын
Give you @@Wakio231.
@florakweyunga44903 жыл бұрын
Kifo chako,ni utata mtupu.Mungu atafanya kazi yake,Watanzania bado tunakulia
@nassoromangi35975 жыл бұрын
Nampenda raisi wangu,tailinda nchi yangu,chapa kazi raisi wangu makufuli mtetezi wa wanyonge,hapa kazi tu
@nellahpaulah51802 жыл бұрын
We will still remember ue our hero 😭
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Tutamsahau punde tu Sasa tunawaza mambo mengine hayo yamepita muda wake ..!
@omaromar-ob4gh2 жыл бұрын
There will never be anyone like him Salute 🇹🇿
@francmbaanga4099 Жыл бұрын
Gfhryrue
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
❤❤❤ MUNGU tumeondokewa wananchiii hata hatujui pakushika💯😭😭😭😭🙏🙏🙏
@brayanramadhan52603 жыл бұрын
RIP dady we loss our legend. Mbele yako nyuma yetu.
@chaulachaulaya52593 жыл бұрын
Kimsingi huwa ni "NYUMA YAKO, MBELE YETU" Ikimaanisha ametangulia, hivyo nyuma yake inakua ipo mbele yetu tunaofuata
@charlesulomi16013 жыл бұрын
Mwendazake
@agenesjohn4502 Жыл бұрын
Zitatokea sehem yoyote ambayo Iko wazi 😂😂😂😂😂🙏🙏🙏
@ramafossi75463 жыл бұрын
Dah mungu akulaze sehemu pazuli
@chembejohn96053 жыл бұрын
We ni zaid y baba...asnte umetufundisha maisha
@user-ft4tq4ug4c5 ай бұрын
Taifa linakulilia na kukumbuka sana kwa mazuri na mema Uliyo yafanya Akika Oto saurika daima Tunakuombea
@diallo25543 жыл бұрын
Tuta kuishia baba yetu rais wetu maguful r i p
@omaryiddy71783 жыл бұрын
yalikuwa majizi sana
@josephmlela97573 жыл бұрын
RIP my President John pombe Joseph Magufuri Mungu akulaze pema
@alfanfadhil88033 жыл бұрын
We will remember you.. a hero of sporadic of what you did without an extenal force as a flag... We will see you again
@khajimsafiri57972 жыл бұрын
The true and pure black man
@husseinremi31333 жыл бұрын
Rest in peace sir true african son
@Jal2102 жыл бұрын
JPM was sent down by God to lead Tz and you were a patriot of your country Tanzania we will never forget JPM defending the rights of the poor
@emanuelmmbaga81852 жыл бұрын
And taken to ' h' by God
@zynabmanyandeshi71433 жыл бұрын
Daaah... Ulikuw zawadi kwa taifa letu... Upumzike baba etu kipenzi cha wanyonge... tutakukumbuka daima JPM umeacha alama isiyofutika ktk taifa letu... 😭😭😭
@eliasabdallah59662 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@user-ps4jt6gi9k10 ай бұрын
Tutazidi kukumbuka maneno yako baba kamwe hatutakusahau daima
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi tutakukumbuka daima hata wale wanafiki wako wanaumbuka sasa hivi
@nataliamhina95834 жыл бұрын
Hapo kwenye madawa aisee big up sana Rais wetu
@williamkadzomba25703 жыл бұрын
God gives you more strength and cares you most #Hon.Magufuli and keep on the rightfully lead of your nation be blessed too
@mariamkhalifa11435 ай бұрын
Tunaumia Sana kukuona ukitoa kauri nzito zaidi
@jennipherray70013 жыл бұрын
Mungu akulaze palipo na wema JPM 🙏 💔💔😭😭
@Ba638285 жыл бұрын
THIS MAN IS SO USEFUL NOT ONLY TO TZ AND AFRICA AS A WHOLE BUT TO ALL POOR NATIONS.
@angelhaki23645 жыл бұрын
Alipo my presedent nami nipo...nakukupenda sana babaangu uko sahihi kwa kula unalosema..
@noelbryson7840 Жыл бұрын
@@angelhaki2364 Alipo na wewe upo? unamaanisha nini?
@didimhutila89854 жыл бұрын
2020 & still watching jpm oyeeeeee!
@bridgettjohn82333 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭baba ulijua kunifurahisha baba ulitufuta machozii dady oooh..
@ibrahimkiluwi42495 жыл бұрын
Waandalie vizazi vyetu mahala salama Uncle Magu asiyependa shauli zake
HIZO HELA KAMA ALIZICHUKULIA MKONONI ZITATOKEA MAHALI POPOTE AMBAKO PAKO WAZI MWILINI MWAKE
@jpmmusic96624 жыл бұрын
Shez
@jpmmusic96624 жыл бұрын
Namuona ma mbaya
@jpmmusic96624 жыл бұрын
Janet nampenda mamkwe
@basharahamtzhalisi68716 жыл бұрын
Nyie Mpondeni tu! Lakini akiondoka tutamkumbuka huyu mzee! Eti kauli tata!
@obedkiswaga27904 жыл бұрын
Na ndiyo utaratibu wa watanzania
@allenmalidadimdollo70493 жыл бұрын
Onhoo
@shadrackdeogratius67603 жыл бұрын
Tayari tupo gizani,tunamkumbuka raisi wetu
@ramadhanimssingwa98803 жыл бұрын
Uliongeaa kwelii isee tushamkumbukaa sana apumzike salamaa champion
@azizamuhiddin89933 жыл бұрын
Leo watamkubuka sana
@ezrathomas-ce5nx Жыл бұрын
Tunakukumbuka Sana mungu akutangulie mahalo pema peponi
@salimsemanaompakabungeniol40845 жыл бұрын
Kazi kazi nyoosha tumekuchagua wenyewe
@omaryhashim19213 жыл бұрын
God bless
@thebisadorychannel75743 жыл бұрын
He will be missed and remembered for his good work to Tanzania Nation.💪💪💪💪😢😢💔🇹🇿
@noelbryson7840 Жыл бұрын
You mean the late father of nation our grandpa Mwalimu Nyerere???
@francmbaanga4099 Жыл бұрын
@@noelbryson7840 tururreu
@francmbaanga4099 Жыл бұрын
@@noelbryson7840 gshdurnfkfy
@francmbaanga4099 Жыл бұрын
Gdjffhfudikhgty
@francmbaanga4099 Жыл бұрын
Zhgjfufk
@mudymdumbe25805 жыл бұрын
riziki tunaipata kwa allah niye fanye mnavyotaka hapa duniani mkifika kwa mungu mchomweeee!!!!
@rosegarikanibeda5003 Жыл бұрын
Mungu is the greatest leader in Africa . Amen
@hajiramadhan70066 жыл бұрын
wanyooshe rais wetu tunakukubali sana
@onesmomwacha46105 жыл бұрын
Hapa hamna kauli tata ila maagizo ya kazi!!!!
@lukemelyemposola885 Жыл бұрын
Nakukumbuka man of action unaishi Babu love you nyie viongozi wasasa oneni aibu basi jamani pigeni kazi tuta wakumbuka
@katabazi_starpinus4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mh
@mackrinaerenesto6402 Жыл бұрын
Rest in peace 😭😭😭😭 miss u daddy
@stevenndyanabo50446 жыл бұрын
Keep it up my president
@rosegarikanibeda5003 Жыл бұрын
The late president of Republic of Tanzania was one of the greatest leader among the greatest leaders of all. Amen.
@peteralfonce58485 жыл бұрын
Mimi panapo majaaliwa ya mwenyez mungu kula yangu iko kwa magufuli tuuu
@nimrodmponzi24316 жыл бұрын
Tanzania ya viwanda ifikapo 2025 safi sana rais
@bornmazungu93255 жыл бұрын
Siwez nikazifaham mweshimiwa rais Labda mpaka aje muweka hazina """" sikia huwez ukanijbu mim hivyo!!! hahahahahahahahaaaaaaaaaa shkamoo presieant
@johnmasikomonyi62442 жыл бұрын
Mungu tuone tena tumpate kama huyu AMEN
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Tumpate kama nani?? Naomba ushindwe.. We huoni nchi ilivyotulia sasa.? Asante sana Mama yangu kwa kubadilisha upepo… 💪
@charlietz71255 ай бұрын
@@noelbryson7840we nae mchawii tu!!
@chenzhensammuel662 Жыл бұрын
ukweli rais wangu magufuli yuko paradizoni Nina uwakika alikuwa mtu mwema sana.
@rizikilaurentndelwa90502 жыл бұрын
Mungu akuwe mahalo pema
@morgansmilenyoni4446 жыл бұрын
Kauli nzuri zitazomfanya apite tenah
@hafidhially65415 жыл бұрын
Morgan Smile Nyoni wa2 wanataka vitendo sio kauli
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Masikini.saivi.ni marehemu
@ceciliajimmy56525 жыл бұрын
Mzee magari na makontena.
@rukayaaliy89583 жыл бұрын
Namkubali sana pumzika kwa amani baba tutakukumbuka daima
@mazoyakambeja54743 жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa tunalia Baba kukukosa
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kwa kweli utakumbukwa sanaaaa rip magufuli
@jonasshija65425 жыл бұрын
Hizi sio kauli tata ni kauli ya kiongozi mwenyekujitambua
@khajimsafiri57972 жыл бұрын
The only resurrected man in Africa, he will live forever
@prisilakimario2102 Жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema pepon🙏🙏
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Endelea kuwa nasisi hata Kama umelala Najuwa Mungu wetu yupo.hutotuacha ichi yetu inakupenda ,kulala màuti Roho IPO itutembee majizi na maonevuu uyakabe yafe
@christophershaibu35876 жыл бұрын
Sasa utata uko wapi hapo? Eti kauli tata jamani Media hizi duuh
@ofastationery41846 жыл бұрын
shangaa
@jescakilenga98156 жыл бұрын
ndo muulize na ww kakosa cha kusema ili aish muone huyu
@veronicamwanalinze95325 жыл бұрын
Ndio ufunguke ukweli na uwazi wa maendeleo ya nchi
@yusuphandrew93893 жыл бұрын
😂😁😂
@jordanclassic78493 жыл бұрын
Umeona uongo wawatu?
@emanuel41486 жыл бұрын
Top story Tanzania , hamjui hata kuandika uhalisia wa video yenyewe
@mosesanosa99565 жыл бұрын
Kwamba umechukulia mkononi zitatokea popote paripo wazi duuuuu kamahujaierewa laik