docta wangu nakukubali sana umekuwa asbabu nzur kwangu Allah akulipe
@nyotanjemaingarayo53844 жыл бұрын
Jeunaweza kuzaa salama ukiwa na damu 8
@irenemacha74574 жыл бұрын
Jmn Mbona hajajibu
@happymushi19834 жыл бұрын
Niatari kwa afya kuwa na damu 8 ukiwa na ujauzito,,
@nyotanjemaingarayo53844 жыл бұрын
Shukran na Allah akulipe kheri amiin
@esterjoseph60752 жыл бұрын
Dokt mm naomben jibu nakunywa betroot Kila siku nablend,,matembele ,malozera,lkn nimeend kupima dam juzi naambiw damu yang ipo sita na mimba miez Saba kasoro jmn nifanyeje
@iddymakamba63662 жыл бұрын
Iddy makamba Inky
@lovenessloveness45086 жыл бұрын
Asante sana .mmenipa somo zuri sana. Maana mimi ni mjamzito
@ifatseif20896 жыл бұрын
asalam alyekum Naombeni no yenu
@victornaamo84083 жыл бұрын
Tafadhali naombeni mniunganidhe kwa group hii kwa whatsap 0719841144
@victornaamo84083 жыл бұрын
Tafadhali naombeni mniunganidhe kwa group hii kwa whatsap 0719841144