Nimeonyesha Jinsi Ya Kutengeneza Juisi Ya Rozela. Juisi Hii Ina Vitamin c Kwa Wingi Pia Inasaidia Kuongeza Damu. Ni Kiburudisho,Kinga na Tiba
Пікірлер: 64
@mwanaidathuman27284 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashallah
@sitihassan94394 жыл бұрын
MashaAllah hiyo sukari kali ni hii tunayotumia nyeupe au maalum
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ndio hiyo hiyo
@reyclugombo68163 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🔥
@paulinabiradi3590 Жыл бұрын
Asante Kwa darasa Kwa nini unaweka sukari ya kawaida na sukari kali
@juliethurio68404 жыл бұрын
Asante sana Mziwanda
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏
@olipanjovu40744 жыл бұрын
I love you. Very educative and we'll explained video
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Thank you
@zaitunijumanne5464 Жыл бұрын
Masha Allah..sijaiyonja Ila inaonekana Iko pw
@catherinelandas1938 Жыл бұрын
Mzur sana
@zainabusolomon30542 жыл бұрын
Je huwezi kunywa ya moto kama chai
@saadamgeni1234 жыл бұрын
Mashaallah,huwa naipendaga sana hii juice ni tamu mno😍
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😋
@asifiwekitunga46552 жыл бұрын
Kuchemsha na kuloweka ipi Bora zaidi
@mercelineonyango16824 жыл бұрын
Looks good, can’ it be frozen ..
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Yes you can
@aminasalamalekumamina62173 жыл бұрын
Hi
@joycejosiah3487 Жыл бұрын
Sukari Kali ni ipi tafadhali
@lidiashayo829310 ай бұрын
Jaman Dada kwakusaidia tuu hapa umechemka! Juice ya Rozela unachemsha maji kwanza, na hayo maji kama unataka kuweka chochote utaweka, unaepua, Kisha unaweka Rozela dk 5 mpaka 10 inatosha, Rozela haichemshwi inakuwa sum, watu watasikia utam wa sukari ila watakunywa wanafunga macho
@esthercharles59456 ай бұрын
We muongo
@hamidaomar4304 жыл бұрын
Sukari kali niipi?
@masatukayange Жыл бұрын
Ninaipataje
@ahluljazira22594 жыл бұрын
Mashalah basi hii dada izidi kuwa na utamu uiongezee na ukwaju uchemshe Kwa pamoja na uweke na ndimu ya kutosha hasa ule Moshi wa ndimu uingie ndani upate kale kaharufu flani amazing yaani inanoga sanaaa..... Shukran
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🥰🥰🥰ahsante nitafanya hiyo 😋😋
@faudhiakhaji Жыл бұрын
Ukitia na ndimu,,,kumbe inakua tam pia??
@bettymassanja8814 жыл бұрын
Pia, nikitaka kuongeza tangawizi, nitaiweka muda gani tafadhali?.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ukiitoa jikoni
@joycejosiah3487 Жыл бұрын
Sukari Kali kwa jina linguine tafadhali au kwa kingereza
@Veni584 Жыл бұрын
Icing sugar
@fatumakissoky25048 ай бұрын
Kk
@febroniabarnaba23137 ай бұрын
@@Veni584 sio icing sugar wewe Ni k k😂😂
@merymjema61974 жыл бұрын
Ninavyopenda juice hapa umenipatia madam ,asante
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘
@goodluckraphael29723 жыл бұрын
Mimi ninayo rozela nauza jumla na rejareja nipo bagamoyo 0758796488