(B) 060 HABIB MAZINGE Vs MCHUNGAJI YAHYA | NANI KAMPA NABII MUHAMMAD UTUME (SOUTH AFRIKA 2014)

  Рет қаралды 338,634

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

AKASHA DAAWAH CHANNEL

Пікірлер: 441
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Wewe mazinge Allah akujalie Wewe ulinifanya nikawa mwislamu hivi Sasa mimi ni mwislamu mgeni mashallah
@mbalahdejr4277
@mbalahdejr4277 5 жыл бұрын
Alhamdulilah allah kakuongoza
@brothertamiim1930
@brothertamiim1930 5 жыл бұрын
mash allh
@malikiakimwera9524
@malikiakimwera9524 5 жыл бұрын
Mashaallah
@martinibrahim8966
@martinibrahim8966 5 жыл бұрын
Jacob polee ndugu yangu...kwa sababu umefanya maamuz pacpo kufanya uchunguz wa kiloho jacob maamuz nimabaya endapo utaamua bila kumshilikisha mungu mwenyewe...uliamua kimwili naco kiloho mungu akuhurumie...
@hajrakassim2945
@hajrakassim2945 5 жыл бұрын
@@martinibrahim8966 mungu akuhurumie wewe usiejielewa
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzdishie umri mlefu sheikh mzinge inshallah
@rukybaribari6883
@rukybaribari6883 8 жыл бұрын
Allah barik Mazinge mlinde na umtimie malaika 70 wamlinde kwa kila hila .amin
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Bro si malaika 70 nimeongeza elfu 70,000
@seifali5973
@seifali5973 8 жыл бұрын
sh.mazinge na wenzake wote katikaa daawah mungu awajaalie afya njema na janaatul firdauss kutoa mtu kwa giza kumleta kwa nuru yataka moyoo sanaa jazakallah kheir mashekhee
@aishahakizimana5868
@aishahakizimana5868 5 жыл бұрын
seif ali , allahumma amiiiin
@korogwetanga810
@korogwetanga810 5 жыл бұрын
Aamiin yarrab
@raymondngajagu66
@raymondngajagu66 5 жыл бұрын
HKun MTU anayewapoteza watu kama mazinge badilika hakun ukweli wowote kwenye uisilamu labda majini
@raymondngajagu66
@raymondngajagu66 5 жыл бұрын
Shetan amewapote waislamu
@babimwita4532
@babimwita4532 2 жыл бұрын
Hiyo ndo nuru shauri yenu
@kinglionist1331
@kinglionist1331 8 жыл бұрын
Hii kazi ambayo mazinge ya fanya halipwi na mtu na ni kazi gumu sana tumuombe mwenyezi mungu amtie janatul fardoss
@AKASHA.P
@AKASHA.P 8 жыл бұрын
+Kuku Bataa AMIIINA
@asutfaile2647
@asutfaile2647 8 жыл бұрын
Allahuma ameen
@mrsdully1613
@mrsdully1613 8 жыл бұрын
amin yaraab
@zaithazaitha820
@zaithazaitha820 7 жыл бұрын
aaamin
@mumkmamy5186
@mumkmamy5186 6 жыл бұрын
Aameen
@nadyajuma4108
@nadyajuma4108 7 жыл бұрын
Mashallaah Allaah akuzidishie sana mazinge uzid kuutetea uislam Allaah azidi kukup afya na baraq tele inshallaah
@fatmabakari545
@fatmabakari545 8 жыл бұрын
mola akulipe kheir na akujalie pepo mazinge inshallah kwa kazi njema
@naimakhalfani8139
@naimakhalfani8139 5 жыл бұрын
Mashallah mazinge ALLAH akupe moyo uendelee kuwapa dawa makafiri waweze ingia dini ya HAKI IN SHA ALLAH
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 жыл бұрын
Hamna dini ya mauzauza
@salmaathman1973
@salmaathman1973 8 жыл бұрын
mashaallah!!! sio mchezo shekh Mazinge uko juu!!! Allah akuhifadhi sana sana!. mabruk yako.
@jumannemashaka9439
@jumannemashaka9439 5 жыл бұрын
MashaAllah ndugu yetu mazinge katika imani kwakazi nzuri unayoifanya Allah Akujaliee kila lilo la Heri Akujaliee Afya njema na Akujaliee umri mrefu Aminaaa
@farouqisra6502
@farouqisra6502 5 жыл бұрын
May Allah protect you with your work until the day of judgement sheikh mazinge
@hijakhalifa845
@hijakhalifa845 5 жыл бұрын
Farouq Isra mashalaah
@alhajiomary2294
@alhajiomary2294 5 жыл бұрын
Shekh mazinge unahoja konk maashaallah.
@neemanitu7522
@neemanitu7522 5 жыл бұрын
Mashaallah, wakristo mmepotoka mnasema yesu ndo mungu wenu sasa mungu wenu kafa msalabani. Hivi sasa dunia imebaki na nani. Rudini ktk dini ya haki msijidanganye.
@rassanleezedon6861
@rassanleezedon6861 5 жыл бұрын
Tahila wewe.. kafa kafufuka...mtume kafa mazima
@aivanimaedard6314
@aivanimaedard6314 5 жыл бұрын
Neema Nitu Usihukumu mungu ndo Anajua ss wote niwake coz kila MTU na Imani Yake
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 жыл бұрын
Neema Nitu JINA lako zuri waitwa Neema vp upo nje ya Neema ya Mungu, YESU aliye hai wamkana Leo, yeye atakaekuja kuwahukumu waliohai na wafu, tena hakuna mtu wa dini yeyote anaebisha kuhusu kurudi kwa YESU hata wahuni wanaosema atakuja kuoa hawasemi kwa sasa yupo wapi
@zawadally9097
@zawadally9097 5 жыл бұрын
Sh. Mazinge allah akuongezee umri mrefu innshaallah uzidi kuwaelimisha hao makafili
@alfanomar242
@alfanomar242 7 жыл бұрын
nafuraia sana zaid ya sana kusikia ukwel wa mambo najivunia kua muislam
@jumamfupi7223
@jumamfupi7223 6 жыл бұрын
Arran
@jumamfupi7223
@jumamfupi7223 6 жыл бұрын
at fan Omar
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
Wslm alkum ' ndugu wslm? wkrsto wbshna bure,lkn dini n moja na ni ya khislm,Allah Akbar!!!......
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Wewe Kama Mimi uko juu tu san
@jamilaallyally2411
@jamilaallyally2411 7 жыл бұрын
mashaallah shekh mazinge allah akuzidishie umri
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Yesu ni njia ndugu yangu
@fbhj443
@fbhj443 7 жыл бұрын
Gideoni Mathew ni njia yakwwndea wapi?
@mumkmamy5186
@mumkmamy5186 6 жыл бұрын
Aameen @ siz jamila
@hamidanasoro7634
@hamidanasoro7634 6 жыл бұрын
Nas zaim
@omargbabagbaba4231
@omargbabagbaba4231 8 жыл бұрын
MashaAllah mazinge wape vitu
@fahadorkholam7376
@fahadorkholam7376 5 жыл бұрын
Allah awabashirie jannatul firdaus mashehe wapenzi
@mohdwasia7309
@mohdwasia7309 5 жыл бұрын
Naomb mung akuzidishie umr mref il upate kuwafundisha hao wanafunzi
@akareemtamimy35
@akareemtamimy35 8 жыл бұрын
mashallah tabaraka allah mola akupe umri mrefu ustadh mazinge kwa kutangaza dini ya haki hawakuezi
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
Mazinge nikiboko ww ninomaa sanaaa unajua
@jafarisintoo3743
@jafarisintoo3743 5 жыл бұрын
Allah akulipe sheikh wangu.
@jokhanassor3507
@jokhanassor3507 5 жыл бұрын
dah shekh wetu Alla akulinde na mikafiri isio elewa
@innocentomar16
@innocentomar16 8 жыл бұрын
mazinge wape maneno yahaki
@ndumbajr9037
@ndumbajr9037 5 жыл бұрын
Sheikh Suleiman Mazinge Allah akubariki sana ..uishi miaka mingi yenye Kheri na baraka tele ili uendelee kutoa dawa na kuwasilimisha makafiri... #proudbemuslim
@safielimjema4593
@safielimjema4593 Жыл бұрын
Kwalipi?
@safielimjema4593
@safielimjema4593 Жыл бұрын
Mbariki kwalipi
@munirayusra91
@munirayusra91 7 жыл бұрын
Ameen thumma Ameen
@ahmednoormohamuud7659
@ahmednoormohamuud7659 6 жыл бұрын
Munira Yusra
@swaleheismail46
@swaleheismail46 5 жыл бұрын
mash Allah hadi raha mazinge utabaki kuwa juu, juu mawinguniii
@derickomoghela9948
@derickomoghela9948 2 жыл бұрын
Yohana, utukufu wa Mungu uwe juu yako daima.
@derickomoghela9948
@derickomoghela9948 2 жыл бұрын
Yesu na Muhammad wapi na wapi! Muhammad hana sifa za utume.
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 6 жыл бұрын
Hongera ustadh Mazinnge Allah akuzidishie umri upate elimisha makafiri Aamin
@lokeredavid9754
@lokeredavid9754 2 жыл бұрын
Yesu alisema chunganeni na mmtume wa uongo Mohammad
@salamamohd876
@salamamohd876 2 жыл бұрын
No s ok pg
@reubenngonyo1308
@reubenngonyo1308 2 жыл бұрын
I'm proud to be a Christian
@abdiqaanurow5924
@abdiqaanurow5924 8 ай бұрын
Allah atakulipa InshaAllah sh. Maxinge
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 5 жыл бұрын
Mazinge ana confidence anaijua biblia kuliko wenyewe
@harbisulub
@harbisulub 8 жыл бұрын
jazaka llah khair kwa hizi video baraka Allah feek, iko part C?
@halimamwachilimwachili5099
@halimamwachilimwachili5099 5 жыл бұрын
Allah akubariki Sheikh Mazinge.
@achivanejaphary2534
@achivanejaphary2534 8 жыл бұрын
hata Mimi namwo mbea dua afanye kazi vizuri Achivanejaphary
@fatamiqw1298
@fatamiqw1298 8 жыл бұрын
hawa wamepoteya njiya allah atawaongoza inshaallah
@ahmedbaga26
@ahmedbaga26 5 жыл бұрын
Kweli wakriso hawana dini
@getrudealnos4165
@getrudealnos4165 5 жыл бұрын
Wawana din kwa maneno ya mazinge, nakuonea huruma
@fatmahassan6497
@fatmahassan6497 5 жыл бұрын
Dini pekee ni uislam
@nintunzeloic9990
@nintunzeloic9990 5 жыл бұрын
Bastard
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 жыл бұрын
Yesu ni Mungu cio kuabudu mitume iliyorogwa
@fbhj443
@fbhj443 7 жыл бұрын
AllaH akupe afya Sheikh wetu wallah kuelimisha kafiri ni kazi kubwa
@korentinisilayo8125
@korentinisilayo8125 2 жыл бұрын
Mtume wa mungu kalogwa na binadamu hiii kali sana ikiwa ndio hivyo basi musa angelogwa na wachawi wa misri
@humairahtomicky2454
@humairahtomicky2454 5 жыл бұрын
yn mazinge amekaa kibabe😂😂😂
@thuebamohammedswaleh6897
@thuebamohammedswaleh6897 8 жыл бұрын
section c iko wapi jamani nakosa mauthamu
@mrsdully1613
@mrsdully1613 8 жыл бұрын
kweli kabisa hapa ni kazi ngumu sana sheikh mazinge mungu akubarik na akulinde na mahasid wote hao utabishananaooo mpaka nahawatokubal mung atakuwezesha kwakila jambo insgaAllah
@pierremira
@pierremira 7 жыл бұрын
mwisho WA manabii maanayake no masiha kwa huyo Mohammed masiha?????? masiha ktk Hadith alivyooa aliruhusiwa pekee kuoa hao wanawake peke take mungu awafungue macho shetani,jini wote mapepo ujuzi wote elimu zote majini nikweli majini yana uhamu elimu nyingi na kunavitabu vingi vya elimu hizo
@pierremira
@pierremira 7 жыл бұрын
ndugu zangu mungu alisema nitafute kama kweli unataka ukweli sali kutoka ktk Moto wako muulize atakujibu utajua ukweli mungu tu ndiye atakujibu mtume hawezi kukujibu ala hawezi kukujibu NG'o kwanini jubu unalo ala ni shetani ametengeza Dini aabudiwe kama mungu
@mohammedabdinur6236
@mohammedabdinur6236 2 жыл бұрын
Sheakh Mazinge mungu akulinde kwa Maisha yako
@morrisevarist6706
@morrisevarist6706 2 жыл бұрын
Waislam wote naomba muache mbwembwe zenu za majini,HEBU soma Biblia 1Yohana 5:18-21 amen.
@mkomboziathumani4986
@mkomboziathumani4986 8 жыл бұрын
wakristo ni wacheza dance tu hawana dini
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Wewe kumbe unajua zaidi
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Uko saw bro
@rassanleezedon6861
@rassanleezedon6861 5 жыл бұрын
Kapime ufahamu wako milembe
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 жыл бұрын
Mkombozi Athumani mtu hajulikani kabisa kwenye kundi la mitume na manabii ambao Mungu aliwatuma kwaajili ya wana waisrael sasa vipi atajwe ana fungu gani katika israel
@davisrotich116
@davisrotich116 5 жыл бұрын
Mazinge umekula kibano mpaka kijasho chakutoka pole sana njoo kwa Yesu ubatizwe wachana na mtume wa uongo
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Km ni muongo ,subiria hapo siku utakayotolew roho ndo utajua km ni muongo au mkweli
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
ILA 😂😂😂😂 Mazinge Kwa kuzuga sasa hapo alikua anajifutafuta nini kwenye domo lake😂😂😂 zee zima akili halina
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 5 жыл бұрын
Mungu akuweke shekhe wetu
@rozinahamisi84
@rozinahamisi84 5 жыл бұрын
Alhamdulillah nimeingia kwa dini ya haki nikatoka uko kwa wakristo
@aivanimaedard6314
@aivanimaedard6314 5 жыл бұрын
Hakuna mwenye kutoa haki bari mwenyezi mungu tu Alie mbinguni
@pierremira
@pierremira 7 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe amen kwanza ninaomba katika jina la yesu nakomba yesu umwage damu Yako kwa watu wote duniani iliwaweze kufunuliwa macho yao fahamu zao waweze kuona,kusikia wafunguliwe katika vifuniko vyote vya shetani na majini yote yaliyo katika vitengo mbalimbali vyakuwapotosha binadamu ili wasijue ukweli ulioyo kweli naamini haya katika jina la yesu kristo amina swali langu kwa waislam wote mtueleze wapi huyo Muhammad anaye jiita mtume WA mwisho yaani masiha swali langu Sasa kama yeye ni masiha wapi alifanya Mambo yaliyotabiliwa kufanywa na masiha yaani kuponya, wapi aliponya, wapi alifufua kama ilivyo tabiliwa masiha ? wapi nataka jibu
@shaaallyi1702
@shaaallyi1702 5 жыл бұрын
pierremira seng
@ahmedwako7732
@ahmedwako7732 5 жыл бұрын
Wacha hizo soma maandiko mjomba
@selemanishabani6843
@selemanishabani6843 5 жыл бұрын
Utakuwa lini na utajitambua lin?
@masoudmasoud5819
@masoudmasoud5819 5 жыл бұрын
Masiha sio Muhammad masiha atakuja karibu ya dunia kuisha
@rukiaissa5878
@rukiaissa5878 6 жыл бұрын
Allah akupe nguvu sheikh mazinge na akujaalie kila la kheri ktk safari ya kuutangaza na kuunyanyua uislamu
@msellemabdallah8806
@msellemabdallah8806 5 жыл бұрын
Allah bariki KAZI zamazinge namwisho mpe popo ya firdaus
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
Kweli waislam Hamna hoja mpaka mwalim wenu anaulizia muda ya point zimeisha mpaka kila time anaulizia muda
@amosmalakyese1227
@amosmalakyese1227 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Baba. Mungu akuwezeshe kuisema kweli. Kweli humweka MTU kua huruuuuu
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 8 жыл бұрын
Masha allah
@zawadisembeguli3435
@zawadisembeguli3435 5 жыл бұрын
Am proud to be chiristianity thanks Lord 😘😘😘
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Nenda kwa Mfalme Zumaridi mungu mpya wa wakristo
@soccertv293
@soccertv293 8 жыл бұрын
mazinge juu
@mkiwezeshwamnaweza362
@mkiwezeshwamnaweza362 5 жыл бұрын
wewe bwana Yahya unalazimisha neno kuchaguliwa kiukweli hujui kiswahili
@brothertamiim1930
@brothertamiim1930 5 жыл бұрын
mazinge oyee
@dancewithlils
@dancewithlils 2 жыл бұрын
May Allah protect you shekh Mazinge
@saifalbarwani4993
@saifalbarwani4993 6 жыл бұрын
mungu akuweke mazinge inshaalwa
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Huyu Yohana muongo sana na mpindisha aya,Mtume alirogwa mara moja sio katika maisha yake yote tangu azaliwe. Huyu bwege sana.mazinge Mungu akulinde na akupe maisha marefu.
@gregolyhaule6928
@gregolyhaule6928 2 жыл бұрын
acha matusi basi
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
@@gregolyhaule6928 mtu anaesimama mbele ya hadhara kwa nia ya kupotisha waumini kwa kutumia uongo anastahili zaidi ya hiyo
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
@@gregolyhaule6928 mtu anaesimama mbele ya watu anasema uongo au kumkadhibisha mtu mkweli, anastahili nini?
@bernardchesoli4322
@bernardchesoli4322 Жыл бұрын
Wachungaji Mungu awalinde huu mjadala mazinge kashindwa kumtetea Mohamed.
@igiraneza4
@igiraneza4 7 жыл бұрын
itakuwaje waislaam wakifundisha kuwa mwanaume akiamini maandiko peke yake itakuwa ngazi pia yakuwapeleka wake zao peponi! wakati tunajuwa kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake mwenyewe, hayo yakwenda peponi na wake je na kama mke hatokuwa ametii amri za Mungu? atalazimishwa kumfuata mume aliyo tii peponi. !!!!
@ndungojr1425
@ndungojr1425 5 жыл бұрын
Rosi Mbonankira
@salmamambo8820
@salmamambo8820 7 жыл бұрын
tatizo.wakiristo. wanadanganywaa.tuuu wao.hawana kubishaa kila kitu Kwao nindiyo huyo pasta anabadilisha mamboo tu wao wanafurahiya tu nishida manzinge Allah akuongonzee Maisha marefu kwauwenzoo wake waerimishe wafahamu
@yusuphmanyata4541
@yusuphmanyata4541 5 жыл бұрын
Alahu akbaru ewe mungu mlinde ndugu mazinge kwakuwafahamisha hao makafir
@evalineakuku590
@evalineakuku590 5 жыл бұрын
yesu ndiye mulango wa uzima si muhamed muhamed baba wa kuzimu
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 5 жыл бұрын
Mwalimu Yohana ukafiri umekutawala.Mungu akuongoze akupe nuru ya uislamu, hakika uko katika upotovu.
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 жыл бұрын
Kwenye uisilamu hakuna nuru ni upotofuu
@omarymasoudykisondo389
@omarymasoudykisondo389 7 жыл бұрын
tunachotafuta ni kwenda kwa mungu ila kwa mafundisho ya wakristo ukifatiria hakuna kitu mala yesu mungu mala sasa mungu anakufa
@enockkibona7522
@enockkibona7522 2 жыл бұрын
Mchaji Mungu hawezi logwa
@khayriyamussa5680
@khayriyamussa5680 5 жыл бұрын
Mhh babu tafaaa waislam duniani hatumfati Yesu usidanganye watu.. sisi tunamfata Allah naMuhammad mjumbe wake kwa mafundisho sahihi ya Qur-An... yesu ni Nabii Issa..ambaye si Mungu wala Simwana WaMungu..
@jaffarhadji7580
@jaffarhadji7580 8 жыл бұрын
mazinge kiboko yao
@tumaininestory7998
@tumaininestory7998 6 жыл бұрын
si kweli
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Wewe mwanaume kamili
@noelmlaponi3405
@noelmlaponi3405 5 жыл бұрын
Kwan mohamad mtu me?
@thuebamohammedswaleh6897
@thuebamohammedswaleh6897 8 жыл бұрын
+Akasha mbona mumeikata jamani ama hapo ndio mwisho????? Mazinge na wahadhir wote wanaoipeleka mbele daawah sisi hatuna lakuwalipa ila kuwaomboa kwake Allah tabaraka wata'aala kuwapa nguvu na afya njema kila siku muendelee kuipigania dini yake kwani iyo ndio biashara bora mbele zake Allah azzah wajala..........Allah awakinge na husda,,,,maovu na yale yote ambayo makafiri wanakutendeeni........awajaalieni na aajalie waislamu wote shahada mbele ya mauti...raha ndani ya qabri atukinge na shari za dunia na za kaburi na atukinge na adhabu za moto na atujaalie pepo yake firdhaus kuwa makaazi yetu AMIYN THUMA AMIYN
@gracecypiliani3520
@gracecypiliani3520 6 жыл бұрын
Yaani nyie munasumbuliwa namapepo ya uzinzi bibilia ilasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa wote tutabadilishwa na kufanana na Yesu atakapo dhihilishwa kwanza mute alikuwa mzinzi aliowa idadi yawanawake zaidi ya idadi mulio amuliwa nahayo mapepo yenu ety ni mungu wenu
@othmanabdallah1948
@othmanabdallah1948 7 жыл бұрын
aaamin thuma amini
@wilbertcharles9129
@wilbertcharles9129 5 жыл бұрын
Hizi ndizo video ninazo zitaka mama
@salehlofy4251
@salehlofy4251 7 жыл бұрын
Wakristo hawana hoja wala Mungu, Mungu wao ni mzungu na wakati hata mtume mmoja hakuna aliekua mzungu vp watakua na dini jaman acheni mchezo kuna kufa na kufufuliwa na kulipwa
@boazonsongo8508
@boazonsongo8508 Жыл бұрын
Me christ Jesus my way always
@mokhaking2734
@mokhaking2734 7 жыл бұрын
mazinge kiboko yao kama kawaida.
@fatumabura1998
@fatumabura1998 5 жыл бұрын
Mazinge ww kiboko
@mesaidtsozi8797
@mesaidtsozi8797 8 жыл бұрын
hapo chacha...ongea yanakuusu achana na doctor Sulle wewe. acha kurukaruka.
@aishaswalleh7621
@aishaswalleh7621 7 жыл бұрын
Ameen ya rab
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka llahu
@macalimaadxaliiso2192
@macalimaadxaliiso2192 6 жыл бұрын
MashaAllah
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
mohammad alirogwa, alimwingilia mtoto wa miaka 9, alikuwa hajui kusoma wala kuandika,afu mnamuita mtume,mna akili sawasawa kweli nyie😀😀😀
@zainabuhamisi2176
@zainabuhamisi2176 6 жыл бұрын
Hasbunallah waneemalwakili
@fghvghggh3296
@fghvghggh3296 7 жыл бұрын
mwaisilamu hoyeee jamani wakristo ebu musilimu ili muingie peponi
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 7 жыл бұрын
Wanajifanya hawaelewi , wanaelewa vipi Mwenyezi Mungu amtume malaika wake Jibril kwake kwa mpango gani yaan Jibril atumwe kwake? wanaelewa
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Huyu Yohana muongo na anabadilisha maneno. Mazinge kasema padri kathibitisha utume wa Muhammad, Yohana anasema ati padri kampa utume Muhammad. Yaani muongoooo.Hiyo aya 25:5 ni maneno ya makafiri ambayi huyu Yohana kakwepa kusema "walisema" neno la kwanza ktk aya. Yaani muongo sana na tapering wa aya
@mesaidtsozi8797
@mesaidtsozi8797 8 жыл бұрын
Mazinge juu.
@mwantumuhamad8013
@mwantumuhamad8013 6 жыл бұрын
y
@hamidaabdalla679
@hamidaabdalla679 5 жыл бұрын
Mesaid Tsozi
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 жыл бұрын
Juu zaidi
@ABDULRAZAKADAMHASSAN
@ABDULRAZAKADAMHASSAN 10 ай бұрын
Good affect
@ibrahimabdul5490
@ibrahimabdul5490 8 жыл бұрын
Inatakiwa Shekhe atembeze na fimbo. Mana watu wanajibiwa swali ekesha wanarejea hilohilo. Ekesha kitu kingine nilichokipima mm hawa Mapastor ukosefu wa kutokujuwa kiswahili fasagha. Mana hawajui maana ya kuchaguliwa wala kutumwa. Au kama wanafahamu basi itakuwa wanataka watu wawaone kama wasomi na majibu wanayojibiwa sio sahihi. Au hawakubali kushindwa na kama hawakubali kushindwa,unaambiwa siku zote asiekubali kushindwa sio mshindani.! Au kama vp kaeni hivohivo na ukafiri wenu ipo siku ndo mtamjua M/mungu ni nani.? Mana siku zote unaambiwa kuku wako mwenyewe umshikie manati yanini. Wee muache aruke rukee jioni akiingia bandani tu unamkamata. Ndo M/mungu nyinyi anakufanyeni kama kuku tu ipo siku mkifika mbele yake ndo mtamjua kama Mungu ni nani..?
@saidatsuluo4365
@saidatsuluo4365 8 жыл бұрын
Vzztzzzu
@AlamriFofo
@AlamriFofo 7 жыл бұрын
hahahah fimboooo tena
@princerammy1543
@princerammy1543 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mohamedkisoma3492
@mohamedkisoma3492 5 жыл бұрын
mashallah mazinge
@prosperjuma905
@prosperjuma905 5 жыл бұрын
Huwez kumjua Mungu wa kweli kwa style hiyo. Sidhan kama mnajua mnachokifanya. Huwez kumjua Mungu kusoma vitabu vya dini pekee. Ni lazima uende zaid ya hapo. Maana hata waliondika hayo maandiko nao hawajajua kila kitu kuhusu Mungu. Huwez kuujua ukweli kwa kubishana hivyo.
@albassamjjamali9286
@albassamjjamali9286 5 жыл бұрын
aaa bora ushindane na wote si mazingee mazinge anaelimu
@abdallahmseven600
@abdallahmseven600 5 жыл бұрын
Kweli anayo zaidi ya wakristo wote
@achivanejaphary2534
@achivanejaphary2534 8 жыл бұрын
hata Mimi namwo mbea dua afanye kazi vizuri
@joyjey8609
@joyjey8609 2 жыл бұрын
mbona mazinge anajibiwa maswali na anashindwa kujibu lakini hamsemi
@asrymohd6690
@asrymohd6690 5 жыл бұрын
Mashaallaaah UST mazinge
@BernardLegembo1
@BernardLegembo1 5 жыл бұрын
Nani ameruhusu wenye uelewa mdogo kujadili mambo makubwa. Mifano ya kitoto oooooo . wanaongea kihuni iiiiiiii
@deone728
@deone728 7 жыл бұрын
Barikiwa Mchungaji
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
Dolvine Kwamboka andika kwa kiswahili English hujui, sio all this names, ni all these names kilaza ww mnataka kujifanya wasomi kumbe Hamna kitu chochote
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 102 М.
NABII ILYASA 5: WAISLAM WOTE DUNIANI NI WAKRISTO
1:09:47
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 370 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
HABIB MAZINGE | NI IPI IBAADA SAHIHI | DEBATE YA MASASI
1:48:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 119 М.
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
Je msalaba ni alama ya Mungu?Prof.Mazinge
54:02
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 26 М.
HABIB MAZINGE | DEBATE YA KONGOWEA  DAY.1
1:57:29
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 101 М.
SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ #akashatv #mawaidha
1:35:51
DEBATE MAZINGE VS NDACHA: JE YESU NI MWANA WA MUNGU ?
2:17:20
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН