USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI

  Рет қаралды 12,009

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

15 күн бұрын

HUYU HAPA USTADHI SHAFII AKIMKALISHA KITAKO NDACHA NA KUMFUNDISHA KWAMBA SABATO ILISHAVUNJWA NA MUNGU NA KWAMBA NDACHA ARUDI KWA YESU

Пікірлер: 134
@bustedislam3578
@bustedislam3578 13 күн бұрын
Uzima wa milele ni kumjua Mungu na Yesu. Yaani marehemu Muhammad hahusiki hata kidogo na huo uzima wa milele...
@user-xw5tf6xi4z
@user-xw5tf6xi4z 12 күн бұрын
Shafii, Mungu akulinde, akuongoze na akupe elimu zaidi na hekima❤❤❤
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 13 күн бұрын
Shaffih . Umeongea vizuri sana haya ndo maelezo ninayoyataka mm ni mkatoliki ila SHAFFIH nampenda sana
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 13 күн бұрын
Ukatoliki na uisilamu no Dini moja ndio unashiriki nao
@revodeo6259
@revodeo6259 13 күн бұрын
ndacha anaongea kwa vifungu na aya,,shafii anatoa hadithi ,na tena amehepa mjadala na ndacha.
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 12 күн бұрын
@@mjombawallace4966 wewe una chuki kwa waislam . Pia hujui historia ya kanisa ndo maana uuchukia ukatoliki pia kuchukia uislam ni. Elimu ndogo pia huyo ndacha akikutana akina
@user-rw2hx5eb7p
@user-rw2hx5eb7p 13 күн бұрын
Shafi shomar pango mashaalha umeongea vizur sana mungu akubariki sana
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 12 күн бұрын
Yaaani ndacha ni mjanja mjanja sana, mishanshuudia sana
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
Duuuuuuuu shafi Mungu ni Baba allah anaumia kuitwa baba anateseka na mbingu zake zinatatuka na milima kuanguka ardhi kupasuka kumusisha mwana
@HamisDuke-zc4gy
@HamisDuke-zc4gy 12 күн бұрын
twende kazi YESU KWELI NDIYE NJIA
@Charlesnorbert-yb6zh
@Charlesnorbert-yb6zh 13 күн бұрын
elim ya kumchambua mungu aliye baba na yesu mwana wa mungu waislam hamna shule ya kuwatofutisha hao
@user-lg9hw4dm6x
@user-lg9hw4dm6x 11 күн бұрын
Naomba sana upatane na ndacha
@kelvinmpanda-ms2ik
@kelvinmpanda-ms2ik 11 күн бұрын
Ndacha alijichanganya sana kusema Yedu ni Mungu
@simonchege2296
@simonchege2296 13 күн бұрын
Am a follower of Jesus but for the first time I support what this Muslim says about sabbath.God want us to worship his all day of our lives and not on one day.
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
Yes it's true we suppose to worship God every time in all days
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 13 күн бұрын
Mm mkristo . Usiwatukane waislam . hizi ni hoja na mijadala kwahyo msichukiane
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 13 күн бұрын
Kiukwel ustadh Shafii Ucvunjike Moyo Allah Yupo pamoja Na ww na wale wanofanya marsho yake Allah, Alhamdullah Na jvunia Kua Muslam
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 13 күн бұрын
Ustadh Shafii Allah Akuongozee ktk Njian ilionyooka,Hakka Ustadh Shafii Allah Akulpe kher na.Atakupa Elmu Zaid na zaaid
@MustaphaMwambe
@MustaphaMwambe 8 күн бұрын
Nakukubali sana ostadhi shafiii mana unaongea vitu kutoka kwenye qurani na biblia
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n 10 күн бұрын
Alah akbar alhamdulila sheikh shafi kaogopa mdahalo,ye
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 11 күн бұрын
Mashallah sheikh Safi wape irimu yabure
@omargargaar5611
@omargargaar5611 13 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Shafii
@user-to8on2pj9x
@user-to8on2pj9x 13 күн бұрын
Umeongea point shee shafi japo mi ni mkristo wewe shehe unaongea point nakupa maua yako
@ErastoBias
@ErastoBias 7 күн бұрын
Yesu ni jina tulilopewa sisi wote chini ya jua litupasalo kuokolewa kwalo kwahiyo hakuhitajiki kupata taabu kwamba nani ndo mhusika na mkombozi maana tayari Mungu ameshatup maelekezo na jina Hilo ni yeye Mungu ndo katupa
@ErastoBias
@ErastoBias 7 күн бұрын
Baba ni utukufu was yesu na Haina maana kuwa Kuna figa mbili maana utukufu wa Mungu una yeye yesu mile na mile
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk 11 күн бұрын
Aslam alykum. Unangeya powa cheikh wetu shaffi. Mungu ukulipe
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 13 күн бұрын
Shee wangu shafii uko sawa swadakta
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 13 күн бұрын
Naa maalim wangu nakupata sana una ushui na tumaanina mungu akuweke na akuongoze unabusara nyingi shee shafii
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 13 күн бұрын
Mazinge na ndacha wanatoa matusi tu na wanapanic
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 13 күн бұрын
Mungu wa bibilia sio mungu wa Quran. Hizi ni dini mbili tofauti
@user-qd4xp6fj6v
@user-qd4xp6fj6v 11 күн бұрын
Shekh unajua sanaaaa💪💪💪💪💪
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 11 күн бұрын
Shafi nakukubali sana.
@salisali3738
@salisali3738 12 күн бұрын
Big up SHAFII
@estakenia
@estakenia 11 күн бұрын
Hauwezi kumshinda Ndacha, siku hiyo utatoroka
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 12 күн бұрын
Shafi nimekuelewa sana
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 11 күн бұрын
Kwa hiyo shafi anafafanua zaidi juu ya kuelewa uumbaji wa Mungu kwa siku sita au nane, lakini hawezi kufafanua Mungu kujidhihilisha ktk utatu mtakatifu,
@OmaryNampoto
@OmaryNampoto 13 күн бұрын
Sema me nilikuwa nawafuatilia sana Hawa , ila hapa shafi anakinyongo juu mwenzie
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 13 күн бұрын
Ndacha mwalimu tena kakuzidi kwenye kufundisha...ukiacha maswala ya kiimani.
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Q2:67 Adui jibrili kateremsha quraan
@Fesary
@Fesary 10 күн бұрын
Ni ivi, wakristo wanaabudu siku zote, juma pili wanakutana tu,
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
Mungu WA biblia ni Baba na sisi wakristo tunaitwa watoto wake 1 Yohana 3:1,3 na allah Sio baba utofauti ndo huo na MUNGU WA wakristo ana upendo kuliko mungu allah yeye kawaamuru waislamu kuwapinga watu WA kitabu (biblia) quruan 9:29 na allah kuwakubali mapepo wachafu au majini wamuabudu na allah ataingiza hunyayo wake jehanamu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 13 күн бұрын
Sasa waislamu Kwanini msikutane kupanga habari za juma zima jumapili
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 12 күн бұрын
Unaposema maneno kabla hujasema nilazima akili ofanye kazi kwanza ikiwa hukuzingatia unachokisema inabidi watu wakuchukulie Kama punguani,unaposema Kuna Mungu wa waislamu na Mungu wa wakristo ndo umesemaje wakati unafakamu kuwaviumbe wote wameumbwa na muumba mmoja na maana ya sisi kuitwa binaadamu ni kwasababu tumetokea kwa adamu jee Adam aliunbwa na Mungu yupi wa kiislamu au wa kikristo
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 12 күн бұрын
@@hassanjuma2772Adam kaumbwa na Jehova Mungu wa kweli muumba mbingu na ardhi na anaesikia lugha zote za viumbe wake lakin allah ni mungu wa makafiri waislamu ambae huyo hana uwezo wa kusikia lugha ya kiswahili, kijapan, kichina, kiingereza yeye allah anaskia lugha ya kiarabu tu na hata ukitaka kumuomba dua lazima utumie kiarabu
@saimonmgeta5239
@saimonmgeta5239 11 күн бұрын
Sawa shekh lakini siku ya kukutana kama mwenyezi Mungu alivyosema ni lini???
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
Hiyo isaya 1:13 haisemi kuwa Mungu kavunja sabato hapo kakataa ubatili huyo ni muongo hata kumuita shekhe hiifai Kuna majini yanamuendesha aseme uongo na ndomaana anaogopo mjadara kaongo
@sawebenjamin4015
@sawebenjamin4015 11 күн бұрын
Uisilamu ni dini yenye jitiada ya kumtafuta mungu kimwili si Kiroho!!
@MagonyaMakoba
@MagonyaMakoba 8 күн бұрын
Mwili upi sasa
@user-fw2el2ws7z
@user-fw2el2ws7z 13 күн бұрын
Hapa ndacha hatoboi
@moshantoj
@moshantoj 11 күн бұрын
Kumbe umekubali hizo zingine huwa anatoboa. Asante 😂😂😂
@mwoso
@mwoso 13 күн бұрын
Huyu ni mkristo ninavyo mchunguza. Ana elimu ya kumuezesha kuelewa maandiko vizuri kiroho akikaa na mwalimu Ndacha.
@moshantoj
@moshantoj 11 күн бұрын
Inapaswa kumuomba mungu siku zote lakini siyo kuabudu. Tofautisha kuomba na kuabudu. Wakristo kabla ya mambo yote wanaomba hata mara mia kwa siku
@seifserenge3340
@seifserenge3340 13 күн бұрын
Ndugu yangu uko vizuri sana maana unaongea taratibu huna jazba, huyo ndacha ni mbabaishaji tu. Kama ndacha una hoja weka huo mjadala na Shafi ndio utamjua Shafi ni nani katika elimu ya maadiko.
@moshantoj
@moshantoj 11 күн бұрын
Anababaisha kama mtume wako 😂😂
@mwoso
@mwoso 6 күн бұрын
Ndacha ni mwalimu hodari sana Wala hana matusi. Kitu tunacho jua ni yeye habembelezani na hoja za uongo.
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 4 күн бұрын
Kweli kabisa ndugu
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 13 күн бұрын
Uyo ndacha maneno mengi hanalolote. anaunganisha maandiko kama rapa
@moshantoj
@moshantoj 11 күн бұрын
Unafikiria ndacha anakunywa mkojo wa ngamia Kama nyinyi 😂😂😂
@samuelmwauragichuhi6568
@samuelmwauragichuhi6568 13 күн бұрын
ulisikiza mjadala wa Jana ...huyo mwakema alisema Mungu roho na mwana nikitu kimoja...juzi alikataa amri ya nne ..BT hizo amari zingine zote wanasema ziko Sawa...
@otaibonny8835
@otaibonny8835 13 күн бұрын
Hakukosa ulikombolewa na siku ya wiki au damu ya yesu. Cha pili yesu Ali aacha amri ngapi, ni mbili kuhusu upendo, wewe mtaifa au myahudi, kama myahudi ulipewa amri kumi.. cha tatu, nataka kuuliza, roho mtakatifu na yesu ni nini?? Kwa sababu mungu hawezi kugawa utukufu wake??? Ukishindwa kuelewa mungu ni mwenye nguvu yote na Anaweza kudhihir Kila mahali, inamanisha umeshusha mungu. Kama unaamin wewe mtu una roho, mwili na nafsi, Mbona mwenyezi mungu hawezi kuwa hivyo?????
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 10 күн бұрын
Kwa hiyo wayahudi walimlazimisha Mungu kuvunja sabato 😂😂😂😂😂
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 7 күн бұрын
Kwa maelezo ya shafii ni mepesi mno ayataweza kujibu hoja za ndacha
@martinmkoba361
@martinmkoba361 10 күн бұрын
Mbona anaanza kujiwekea gadi mapema hahaha😂😂
@lasttrumpettv1784
@lasttrumpettv1784 5 күн бұрын
Kwa habari ya siku ya kuabudu uko sahihi hakuna siku ya kuabudu.
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 күн бұрын
Imagine siku zote za wiki unapumua hewa ya bure,unapata riziki ya chakula siku zote alafu unamtengea anaekupa ivyo vyote unampa siku moja tu😢
@Mtumisi
@Mtumisi 6 күн бұрын
Huelewi maandiko, bro mungu kasema tufuate mfano wake pale katika uumbaji kapumzika ...siku sita fanya kazi ndo maana kasema aside fanya kazi na asili sisi twaomba kila saa wala sio mara tano kwa siku
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
Mm mwenyewe ni mkristo lkn wasabato wanawachukulia kama wapinga kristo tu maana kama tutafuata yote ya agano la kale basi hakuwa na haja ya mungu kuweka agano jipya na mwanadamu!! Wasabato wamekalia kiti cha musa na kumsahau mtoto wa mungu ambaye ndy baba wa sabato.. Ibada ni kila siku hata yesu alikuwa akisali muda wote mpaka milimani. Ndacha ni mpinga kristo tusimuamini ndugu zangu. Ndacha ana elimu kubwa sana ya dini hivyo anatumia kipawa chache kupotosha watu. Mm ni mkristi nitasimama na ustadhi shaffi ktk mjadala ujao
@Charlesnorbert-yb6zh
@Charlesnorbert-yb6zh 13 күн бұрын
Nawahurumia san kama hamumuelew ndacha make namna anavochambua maandiko amenyooka ni vile tu mmekaza vichwa mfano neno linasema yesu ndiye bwana wa sabato je akuna utofauti na neno yesu ndiye sabato amken mapokeo yanatupoteza christians
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
@@Charlesnorbert-yb6zh wasabato wote lazima waende motoni kwanza maandiko yalishajipambanua yanasema mwanadam hakuumbwa kwa ajili ya sabato maana hapo sio lazima kuiabudu sabato hayo yalikuwa mapokeo ya wana wa Israel
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Wewe Hivi kubali Mwislaam kusema ukweli huo si mkristo...twaelewana na mwislaam kwa lipi..Ukweli ni Baba Mungu ana Mwanae halisi aliye tufiwa na yuko hai aja kuturudisha nyumbaniJhn3:36
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
@@opujejoshmahjoshmah1432 sijakuelewa unachomaanisha
@leonardadd
@leonardadd 13 күн бұрын
SHEKHE tupe andiko mbona mnasalimia kushoto na kulia,,, Alafu mbona Ndacha huongea na andiko
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 13 күн бұрын
Mbn na Nyie mksali,mnafanya kushoto Kulia juu chin mnafanya nnna Mshambiwastalaba n chombo Cha Shetwan,tafakar ibda yko kwnz,hwo mkono Wko Unafanya nn pale Mnapo sali
@gerkombo6512
@gerkombo6512 Күн бұрын
Tumekuelewa nenda kamfundishe na mazinge
@stephanojoseph4357
@stephanojoseph4357 11 күн бұрын
Na ww umesema unasalimiA malaika toa andiko mliamrishwa kusalamia malaika
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 13 күн бұрын
midahalo yote mizuri Kila muhubiri anahubiri kutokana na elimu yake
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk 11 күн бұрын
Ili ndaca aelewe lazma asilimu, na asome dini.
@NyanjeMwalimu-qy5ug
@NyanjeMwalimu-qy5ug 12 күн бұрын
Huyu ata kabla ya hoja anaonesha tayari kuukubali ukirsto karibu katika dini ya haki
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 13 күн бұрын
Umeongea vzr ustadh shafii, ndacha kazoea kuwaburuza MAKAFIRI wenzake akina mwankemwa
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 12 күн бұрын
Nyie ndio makafiri na watumwa wa Muhammad
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 12 күн бұрын
@@JamesMoses-jd1yq nabii Muhammad (s.a.w), yesu na sie sote ni watumwa wa ALLAH, na ndy maana yesu anasema " na uzima wa milele ndiyo huu wakujue ww Mungu wa kwel na wapekee na yesu kristo uliyemtuma". Bali wasio waislamu yaan makafiri ndy wanaopinga hbr hiz. Allah awasamehe
@babazungu3180
@babazungu3180 9 күн бұрын
Shafii juwa kuna watu wa moton na pepon sasa huyo ndacha ni wa moton
@moshantoj
@moshantoj 11 күн бұрын
Wapi andiko Yesu alivunja sabato? 😂😂
@danielkamau2987
@danielkamau2987 13 күн бұрын
Wewe fanya Debate na Ndacha,wacha uoga na kunjificha
@CrispusKadenge
@CrispusKadenge 12 күн бұрын
Kama Yesu yaani Isa ametajwa mara 29 ndani ya Quran na Muhammad mara 4 pekee iweje Muhammad awe juu ya Isa....na Quran inakubali ya kwamba Isa ndiye alama ya kiyama kinacho wakaribia basi musikitilie shaka
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 13 күн бұрын
Shafii😂😂😂 umeupiga mwingi sana kuabudu Mungu hakuna siku maalumu ila kila siku pia hata Wakristo tunaomba kila siku.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 12 күн бұрын
Soma bibilia wacha kukurupuka
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 11 күн бұрын
Sindo kuabudu kwenye we hku ijuma
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 10 күн бұрын
Siku sahihi ni ipi
@silveriusfungilwa5995
@silveriusfungilwa5995 13 күн бұрын
Wee shafii mwongo acha uoga hakuna mikutano ilio leta chuki. Mijadala yote hua inakua na amani kabisa. Wee unamwogopa Ndacha kiboko ya sule
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 13 күн бұрын
Isaya 1:13 Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. Sjui hapo Sabato imefungwa wapi? Nadhani shida ni uelewa.
@pascalkalama
@pascalkalama 13 күн бұрын
Ww ni mwalimu kipofu wa vipofu. Ngoja siku ifike. Ukwel unapo semwa unasema unatukamwa
@rastakataka
@rastakataka 6 күн бұрын
Wacha kusoma Bibilia kama gazeti Yesu hakuvuja sabato wewe mchekekeshaji
@Sal.0
@Sal.0 7 күн бұрын
Ndacha HANA ELIMU yeyote! Ndacha kazi yake ni ku sema UWONGO tuu! Na speciality yake ni ku soma andiko za Biblia, NA Quran, HALAFU kui BADILISHA maana za hizo MaAndiko, kum faa YEYE!
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Yaache siku ikifika kitaeleweka Mtajie Baba Mungu nibabake Yesu aruke
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l 13 күн бұрын
Pia alisema shaffi ako na majini
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 13 күн бұрын
Juzi nimemsikia akifanya mdahalo na danieli anasema yesu sio mungu midahalo mingine anasema yesu nimungu kunamtuapo? Haeleweki wakristo niwatu wakuhurumiwa sana
@leonardadd
@leonardadd 13 күн бұрын
Toka nipatane na Aya Muhammad karogwa,, nikaepukana na jehanamu
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 13 күн бұрын
Shafi wewe muongo haujui Qurana soma 29:46 msikubali hao wasema eti mungu wetu ndiye mungu wao...
@kulwamsama1039
@kulwamsama1039 13 күн бұрын
Ngoma bado mbichi
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 11 күн бұрын
Ndacha NI muinjirist WA kawaida kabisa bado , hajaijua biblia kuna MTU mmoja anaitwa bishop ngonyani geneous fundi WA maandiko , uliza swali lotote atakujibu ,
@wakeshojana
@wakeshojana 13 күн бұрын
HUYO BWANA NI MUONGO DAIMA....ISAYA 1:13 NI KINYUME NA MADAI YAKE!! WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
@mwoso
@mwoso 6 күн бұрын
Wewe tafuta Christian Prince Kwa mtandao, mwarabu anae jua uisilamu na quran Kwa undani kabisa, akueleze ukweli wa mambo. Ni vizuri kuna waarabu ambao wamejitokeza kuelimisha walimwengu kua qurani na mtume Mohamed ni uongo mtupu kiimani. Hao wanachambua quran bila kuitetea kufurahisha waliopotea.
@bustedislam3578
@bustedislam3578 13 күн бұрын
Leo muislamu amekubali Mungu ni baba... Hii dini ya majini ni balaa kabisa... Kumfwata marehemu Muhammad ni balaa kabisa
@ahmedimakope
@ahmedimakope 12 күн бұрын
Wew Kumamako kuwa na heshima mkundu wa marehemu baba ako
@bustedislam3578
@bustedislam3578 12 күн бұрын
@@ahmedimakope Naona majini yamechemka sasa... Mungu akusamehe kabisa. Ukweli ni kwamba shehe amekubali Mungu ni baba.
@durangobasics6195
@durangobasics6195 12 күн бұрын
Maji. H20. Ni kitu kimoja.
@bustedislam3578
@bustedislam3578 12 күн бұрын
@@durangobasics6195 Barikiwa sana. Waislamu wakubali aliyekufa anaitwa marehemu. Kwahiyo sijakosea kusema Muhammad ni marehemu kwa sababu alikufa
@mwoso
@mwoso 13 күн бұрын
Kwanza yesu hakuvunja sabato. Mbona avunje sabato na huku amesema vizuri yeye ni bwana wa sabato? Marko 2:27. Yeye aliweka nguvu kwa sabato kwa kutupilia mbali Sheria za wafarisayi alipoponya mtu Siku ya sabato. Kwani kuponya mtu Siku ya sabato ni dhambi? Wengi hawaelewi kwa Nini yesu akafanya hivyo.
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 13 күн бұрын
Sheria za torati zilikuwa haziluhusu kuponya watu siku ya sabato wala kufanya shuguli yyte ile
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 7 күн бұрын
@@mwoso haikuruhusiwa kufanya chochote siku ya sabato , ndacha anadanganya watu
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 7 күн бұрын
Wasabato wamejitengenezea sabato yao halafu wanatumia vifungu vya Biblia kuwadanganya watu wajinga eti sabato Bado IPO, wakat sabato wanayoisisitiza wao Wala hata haiko kibiblia
@mwoso
@mwoso 7 күн бұрын
@@venancenkoronko9250 soma Neno uelewe kwanza! Ni nini yesu alitaka kuonyesha kwa kuponya mtu siku ya sabato? Toa andiko kwamba yesu alisema amevunja sabato au lile linalo sema mitume hawakutii sabato. Je, punda wako akianguka katika kisima siku ya sabato, utamtoa au utamuacha akufe? Hio haimanishi umevunja sabato ya Mungu.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 11 күн бұрын
Shafii una mtazamo chanya kuhusu wakristo na waislamu kupendana na kusaidiana katika mambo ya imani. Huu ni mtazamo mzuri lakini huo si uislamu! Siamini kama hujui hadithi za mtume kuwa waislamu wawachukulieje wakristo na wayahudi na yeye mwenyewe mtume aliwachukulia vipi na kuwatendea vipi! Hiyo aya ya Kur'ani uliyoinukuu inayosema kuwa wakristo ni marafiki wa karibu wa waislamu ni sawa lakini ndio Kur'ani yote inasema hivyo? uwe mkweli je hakuna aya zingine za Kur'ani zinazochochea uadui kati ya waislamu na wakristo?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
Wewe majini mnaabudu nao msikitini na Kuna mashekh kibao wamekubali majini wanakuwepo misikitini na nyie mashekh hizo tiba zenu mnatashilikiana na majini
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 13 күн бұрын
Allah Wet2 Ameumba Majin na Bina Adam waje Kumuabudu Allah ,Wapo Mjin Wema Na Wapo Majin Waovu,na Bina Adam Wapo Waovu na Bina Adam Wapo Wemaa
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 13 күн бұрын
Kaka ,Hta Shetwan Wapo Makansan ndio Mana Kla Jumpl mnawatoa Mapepo Wakristo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
@@Nily-kz3db ndio tunatoa mapepo wachafu majini ya kiislamu yanawavamia watu mpaka majumbani mashuleni kwaiyo sio kanisani tu kuyatoa mpaka majumbani Hila msikitini hamuwezi kuyatoa maana huyo ni kwao msikitini wanamuabudu allah na mtume wao ni Muhammad
@prochesernest5439
@prochesernest5439 13 күн бұрын
@@Nily-kz3db kama majini ni wema basi kawaoe na kutolewa nayo na hakuna jini aliye na sura nzuri wote wanao weka picha za majini wanawachola wakiwa wanatisha nyie waislamu mnaroho ngumu Sana kuswali nayo na kula nayo hayo mashetani njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo 6:128 quruan Soma hapo makundi ya majini jehanamu
@BashirMahero
@BashirMahero 12 күн бұрын
We wacha una wivu na sule
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 13 күн бұрын
Shaffih mbona upo vizuri, mm mkristo ila wasabato wanapayuka tu hawaba maana?kwa maelezo haya nipo na SHAFFIH
@benjaminheadman8337
@benjaminheadman8337 13 күн бұрын
Silimu uitwe shafii
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Nakwambia mtawaunga mkono kwa kuwa dhehebu lako la tajwa kosa ...shuka kwa mti zakayo upate wokovu vua viatu vyako tumwabudu Mwanae wa Mungu
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Maktaba yenu hadithi zote wapinga kuwa ni zabarabara..Q72:1-14
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 13 күн бұрын
Maktaba yenu hadithi zote wapinga kuwa ni zabarabara..Q72:1-14
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 12 күн бұрын
Bible tamu umekubali shafii
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 12 күн бұрын
Waislam mpokee yesu yeye ndiye njia moja wachana kuwa watumwa wa waarabu
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 12 күн бұрын
@@JamesMoses-jd1yq na nyinyi pia acheni kufuata wazungu wanao wa letea ushoga na waka uhalalisha
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 13 күн бұрын
Shafi achana matusi eti akili ndogo mdahalo utakulemea sana ,Harakisha mdahalo wewe
@sosdododo5653
@sosdododo5653 11 күн бұрын
Ndacha musifanye nae mjadali ana chuki na waislamu alafu mdomo wake mchafu sana hana heshima kabisa ni matusi anajua ana chuki na uislamu sana tena wala hanaa elimu ama kama ana elimu basi anaikanyaga kwa ajili ya pesa hivyo ndivyo alivyo ndacha
@sosdododo5653
@sosdododo5653 11 күн бұрын
Mwanzo unasema waje wajadiliane kuhusu nini alafu kitabu gani wajadiliane nacho ikiwa muislamu anacho kitabu ambacho ni quran kiko kamili naamanisha kiarabu na translation yake ,,sasa njo kwa makristo ana kitabu gani poleni sana hana kitabu ila anao translation of translation of translation of translation of translation yani yeye ni translation tu sasa sinikupotezana time tu hapo hakuna kitu hapo kabisa ni waste of time kujadiliana na translation of a translation hakuna original kabisa wala hawana wala hawataiona hio original
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН
NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA
1:47:33
Situation in Nairobi: Nairobi CBD calm, heavy police presence
4:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 74 М.
Mtoto Aliyesahaulika na Jamii-Ustadh Shafii Shomari
20:58
Ustadh Shafii Online Tv
Рет қаралды 8 М.