No video

BAADA YA MWIJAKU KUDAIWA BILIONI 5 DOTTO MAGARI AMCHANA UMEYATIMBA HIYO PESA HUNA NACHEZA MUZIKI....

  Рет қаралды 6,680

Msasa Media

Msasa Media

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@GeorgeMarcky-og6os
@GeorgeMarcky-og6os 2 ай бұрын
Kawaida sana hayo yanapita kesho tu nahisi Mwija anaendelea kutumia busara tu kuomba msamaha hayo yaishe lakn alichokisema probably anakijua fika amani itawale dotto Kwa step aibu itakukuta haya siku chache tu yakiisha utasodolewa vibaya kausha amini hamna ishu hapo
@user-zn2kx7uj3c
@user-zn2kx7uj3c 2 ай бұрын
Usimcheke sana huyo shoga mwijaku mropokaji mwenzio simmemzoea diamond Big dangote kwakuwa anawafugafuga kipuzi ira nyie wajarana machawa ma shoga nataman mkafie mbari 🙏🙏
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 2 ай бұрын
Cheken na hayaaaaaa😂😂😂😂😂
@rasheedseleman9779
@rasheedseleman9779 2 ай бұрын
Nimecheka San aseeee mwaija acha domooo
@Mzalendo14
@Mzalendo14 2 ай бұрын
Katika Haya Maisha ...chochote kinaweza kukukuta, wakati wowote...duniani Kuna utelezi mwingi sana Mzee Baba. Niamini mimi .."KUTELEZA NI KUANGUKA". 😂😂😂😂😂
@khamismasms6095
@khamismasms6095 2 ай бұрын
Kila mtu ana point yake y majaribu au mitihani
@oscartalljembemgonya3528
@oscartalljembemgonya3528 2 ай бұрын
Big up Dotto magari.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
Napenda nyumba ya huyu mtu..pazuri sana
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f 2 ай бұрын
Umezoea kuchafua wenzako sijui uwa unasali Nini kaka kumbe ukibanwa unakuwa mpole kama mtt
@goodluckkombe994
@goodluckkombe994 2 ай бұрын
Mwijk amekwisha na bado ana-gabbage nyingi kakusanya zitaibuka taratibu baadaye ...
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 ай бұрын
hahaha doto furaha imemjaa adi raha, for real nampenda mwijaku na baba levo
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y 2 ай бұрын
😅😅😅Doto😂
@gabapentin8070
@gabapentin8070 2 ай бұрын
😂😂😂😂ila doto bana
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 2 ай бұрын
Huyu lazima alipe tu hakuna namna yamemkuta kweli 😂
@Yassinseleman
@Yassinseleman 2 ай бұрын
Asisamehewe kwakweli afikishwe mahakamani
@khamisissa5673
@khamisissa5673 2 ай бұрын
Mm naona km wanachofanya ni comedy ya kufurahisha hamii ! Kumbe haiko hivyo
@IsaacKaziya
@IsaacKaziya 2 ай бұрын
😂😂😂 dotto
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 2 ай бұрын
Hahahaha😅
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН