DISCLAIMER: No copyright infringement intended. I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.
Пікірлер: 26
@noahb200910 ай бұрын
Kaka kaka kaka, Asante sana kwa hii ngoma yenye historia ya NGWAIR kwenda hewani kwa mara kwanza n the rest is history RIP NGWAIR BIG UP BAD BRAIN
@lusajo2 ай бұрын
Huu wimbo nimeutafuta sana na kuuomba redioni mara kadhaa, ila haukuwahi kuchezwa. Ahsante sana🔥👏🏿
@danielmatemu96982 ай бұрын
Aloo we jamaa unatisha,hizi ngoma unazotuwekea humu swadakta sana. Ahadi za Boss, Mangwea (RiP) enzi hizo kabla hajatoka. Thanks alot for the memory❤❤❤
@oldskuladimuzabongo88732 ай бұрын
Haha
@mzushed5027 Жыл бұрын
😢 Nobody can replace you Albert... Rip
@arlonmwaka80774 ай бұрын
Old is gold 😊
@jumakabota82776 ай бұрын
Hahaha hapa ndo nlipokuwa napatafuta sasa. Moja ya siku za mwanzo kuanza kumjua Albert. Tony Akili Mbaya mnyama sana.
@privernnorens231711 ай бұрын
No one like ngweàaaa
@sadiquemajuto6435 Жыл бұрын
Huo ndo wimbo wa kwanza wa hayati mangwea dah chakale ni dhahabu aisee keep rest in paradise king of freestyle na Asante sana kaka zidi kutuburudisha na oldschool maana dhaabu aijai Chakaa kaka
@oldskuladimuzabongo8873 Жыл бұрын
Naam ndo ngoma ya kwanza sauti yake kusikika redioni
@Codboy_g Жыл бұрын
bro inaonekana wewe ni shabiki sugu wa ngwea
@khamisramadhan513310 ай бұрын
Mara ya kwanza kuisikia
@raphaelkhaemba11559 ай бұрын
Kazi nzuri sana adimu za bongo naomba wimbo wa ghetto life style wake dataz ft squeezer nimetafuta sana
@zecassidy5 ай бұрын
Kama pini hili lipo basi itakuwa hata pini la dark master linaloitwa hivyo hivyo Dark master (ukiona mi napits
@hansonlz5 ай бұрын
Ngwair all day🎉
@jumakabota82775 ай бұрын
Tuletee wimbo wa MITINDO HURU from DOP Squad ft. Dark Master
@georgeanthony1547 Жыл бұрын
Old is Gold
@fadhilifantastic50327 ай бұрын
Bro tutafutuena wimbo wa Suma G.. "Demu Wa Wasanii"
@azizimaliki42539 ай бұрын
Hivii production ya nani jamani
@emmanuelmsumali92378 ай бұрын
p funk majani huyo
@jumakabota82776 ай бұрын
Beat ya majani kabisa hiyo... hata ukisikia sound tu.
@mtambogeof56485 ай бұрын
Nooooo ,hii ngoma ilirecordiwa studio flan ziko kanisan morogoro,nikipakumbuka nitawatajia
@emmanuelmsumali92375 ай бұрын
@@mtambogeof5648 sio ngoma ya tushikamane records.....hiyo ni production ya bongo records
@jumakabota8277Ай бұрын
@@mtambogeof5648 tuletee jina hiyo studeo mkuu tuongeze katika maktaba zetu.
@arlonmwaka8077 Жыл бұрын
Bro tupia ngoma ya Joslin inaitwa Maisha yangu 🙏
@phantyrhymes9536Ай бұрын
Wimbo wa Joslin unaitwa KWANZA. anaanza kwa kusema " Wazazi wangu wote wawili walipigiika, hawakuwa na maisha kabisa waliteseka, Tulisali sana tukimuomba rabuka, tukiamini ipo siki si tutazishika, n.k Mkali sana huuu.