No video

BAKARI SHINGO NA JERRY SILAHA WALIVYO KUTANA LEO KWENYE UTATA WA ARDHI YA BAKARI SHINGO💔NA💔SERIKAR

  Рет қаралды 15,060

JL ONLINE TV

JL ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 8 ай бұрын
Kazi nzuri waziri wetu. Naomba ufanye hivyohivyo tanzania nzima ili tupate pesa halmashauri.
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 8 ай бұрын
Alha akufanyieni wepesi inshallah Kwenye uongozi wako
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 8 ай бұрын
Mueshimiwa Silaa na kupenda sana Mueshimiwa Raisi Samia suluu Amechagua jembe
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni jamba ziìiì
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Kwer nimeamini shule nayo hinasaidia mana shingo hana lopoka tu maskini😅😅hata hanaloliongea hamna
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 ай бұрын
Huyu ni Bwege anajiamini nini si Mkamtie Isanga Dodoma akachezee Kifungo...Bwege tu
@alexvenas2699
@alexvenas2699 8 ай бұрын
Huyo jamaa jeuri sana😅
@libeberu
@libeberu 2 ай бұрын
Kwenye hapa Mwanasheria Jerry Slaa, alinyooshwa na bwana shingo
@afandechanel1507
@afandechanel1507 5 ай бұрын
Helimu nikitu muhim yaani huyu jamaa anaropoka tu kama mwenye haki kweli huyu ndo shingo ngumu mwenyewe
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Hana akili timamu mdomana
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 7 ай бұрын
Much know
@amaniashery7762
@amaniashery7762 7 ай бұрын
Tapeli jeuri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 ай бұрын
Waziri Slaa njoo Mikocheni B barabara watu wanajenga na kuziba wanawekea alama ya kubomoa wanafuta na kupaka rangi tunapita na gari hata moja kwa shida ndivyo walivyo na k Viburi hawa wanaotoa hongo. Njoo Mikocheni B Ushindi street kuliko na kanida la wasabato.
@chogaissa1619
@chogaissa1619 8 ай бұрын
Kwani kumwita kunagharimu shingapi! Hapo Kuna kitu ndo maana wafanyabiashara wenxie wanampigia makofi mnalazinisha nnn
@kitomondo
@kitomondo 7 ай бұрын
😂😂 Hamna kitu hapo. Umiliki wa ardhi siyo siri. Umiliki wa ardhi ni public record.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 ай бұрын
Hao siyo wafanyaBiashara wenzie hao ni Kikundi chake alichokiandaa kinamsaidia kupiga Pesa..Mambo mengine muwe mnayang'amua on time
@user-ln5ci9mz8u
@user-ln5ci9mz8u Ай бұрын
Sema jamaa ata Kam ana haki ila anaongea sana
@upendokibuga1434
@upendokibuga1434 7 ай бұрын
MH.WAZIRI PITA TENA MAPINGA UTAPELI NA MATAPELI WA ARDHI NI MKUBWA
@absalomnamoyo7176
@absalomnamoyo7176 8 ай бұрын
Alafu anaongea bila heshima na adabu
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI FISADI PAPA WA NYUMBA ZA WATU
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 8 ай бұрын
Huyu mzee hazimtoshi aki😂😂😅
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 2 ай бұрын
Jeuri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 ай бұрын
Hqwa wakisha toa rushwa kwa wruhusa ya kufanya biashara isivyo halali . Ndiyo sababu wanakuwa jeuri kiasi hicho.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Mzee huyoooo ni tapel ndo maana maneno mengiiiiiiii n ujuaji mwigiiiiii sukuma ndani huyo mtu
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 8 ай бұрын
Huyu jama nihatari sana kama mtu wakawaida anakuuwa
@designdesign4426
@designdesign4426 8 ай бұрын
Umeonaeee anakuua kweli kauzu mbishi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 ай бұрын
Hao ni wengi hapa Dar wengine wanauza nyumba mara hata kumi. Na bado wanakuwa wababe na kwa kwa sababu tu wanauwezo wa pesa za kuwaonga kokote sasa ununuwe nyumba kukabidhi inakuwa matatizo kama hayo mikokononi mwa wajanja wa Dar.
@gabynation5406
@gabynation5406 8 ай бұрын
Tatzo lake anaongea sana
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 2 ай бұрын
Hata wee umekerwa kaa mie hapa 😢😢😢
@amalykibondei1644
@amalykibondei1644 8 ай бұрын
Mbona hili jambo si kubwa la wazir kuacha kazi za msingi hili no jambo la kumwita ofisin then mwisho kutoa uamuzi
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ntegrity277
@ntegrity277 7 ай бұрын
Mheshimiwa uko makini, huyo ni MTOTO WA MJINI TAPELI MZOEFU anaongea kama chiriku ondoka naye Tapeli huyu
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 2 ай бұрын
Hana adabu anaongea na Waziri kama vile anaongea na muhuni mwenzake
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
SILAA AMTAKA ALIYEJENGA NYUMBA KIWANJA CHA MJANE KUIBOMOA
2:46
Mwihava Entertainment.
Рет қаралды 1,3 М.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН