BAKING POWDER NA CHANGAMOTO

  Рет қаралды 9,835

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

2 жыл бұрын

‪@mziwandabakers8297‬
Umuhimu Wa Baking Powder
Changamoto Za Baking Powder
Uchaguzi Wa Baking Powder

Пікірлер: 40
@NKeys-tj9iz
@NKeys-tj9iz Жыл бұрын
Tunaomba utufundishe kila kipimoa cha carbonated soda kwenye kila kias cha keki pls tunapata tabu
@magrethchakudika2162
@magrethchakudika2162 9 ай бұрын
Mziwanda nazidi kujifinza sana kwako
@lydiaaspro2708
@lydiaaspro2708 2 жыл бұрын
Habari mziwanda asantee kwa masomo hakika unatusaidia, lakini sis shida yangu nimoja mbona nikipika cake haziumukii kua ndefu ivoo kama iyo ilowekwa baking p nakosea wapi mwee😢 plzz nisaidiee
@naimaothman6630
@naimaothman6630 Жыл бұрын
ni kweli hata hii changamoto mm inanipata sjui kwann😢
@hisgracesuffient6046
@hisgracesuffient6046 Жыл бұрын
Anagalia kama imeexpire.
@user-ig3xm1on4z
@user-ig3xm1on4z 3 ай бұрын
M napika ziree ndog ndog za kuuzaa napikia kweny pretii alaf nikiweka kwenye ovena zinaumuka zinamwagikaa kabisaa sjuh shidaa nn et😢😢😢 alafuu zinakuwaa kam zina mimafutaa iv
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah shukran da naomba utwafuze kipimo cha baking powder kwa kila kiac cha keki
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Sawa nitafundisha dear
@JanethSamwel-rj7vp
@JanethSamwel-rj7vp Жыл бұрын
Mziwanda naomba Kama unadarasa la kek niunge maana kek zinachangamoto nying naona utanisaidiasana mungu awe nawe
@yunispetro1822
@yunispetro1822 2 жыл бұрын
Naomba unisaidie dada je rangi ya chakula ya unga inafaa kwenye butter cream?
@clarelain1646
@clarelain1646 2 жыл бұрын
Nikitaka kujifunza kupka keki garama zake shilingi ngap na kwa muda gan
@JanethSamwel-rj7vp
@JanethSamwel-rj7vp Жыл бұрын
Mimi natumia chaps mandash vphaifai naomba unishaur
@beatricesawe2763
@beatricesawe2763 9 ай бұрын
Habari dada samaani naomba kuuliza Machine za Ice cream huwa zinapatikana Kwa bie gani natamani na Mimi niwe na Office yangu shida sina mashine yangu .Asante Kwa mafundisho yako
@elizalameck7943
@elizalameck7943 Жыл бұрын
Niungeni na darasa la upishi wa keki
@saidakunga2586
@saidakunga2586 2 жыл бұрын
ni kweli kuna siku nilisahau kuweka baking powder ikatoka nzito hivyo kila kitu kjna umuhimu wake asante dd allah akulipe inshallah
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Amiin kwetu sote
@juliettededieukanane9542
@juliettededieukanane9542 8 ай бұрын
Mimi nadhani niliweka baking powder nyingi cake yangu ikawa chungu
@hawagomba598
@hawagomba598 Жыл бұрын
Mwalim mi napata shida ninapopika keki haivimbi hasa pale katikati shida iko wapi
@sadikinaharuna9227
@sadikinaharuna9227 Жыл бұрын
Darasa la live unafundisha bei gn
@estherlazaro8293
@estherlazaro8293 9 ай бұрын
Vyombo vyako vya keki umenunulia wap
@AgapeGriady
@AgapeGriady 7 ай бұрын
Mimi iliumuka na kupasuka katikati
@ruthnyalagu3840
@ruthnyalagu3840 2 жыл бұрын
Nataka kujua vipimo vya banking pawder
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Nitaweka hilo darasa
@maureenmbinile1655
@maureenmbinile1655 2 жыл бұрын
Je baking powder ikizidi kitu gani kinatokea?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Ugwadu,kukauka sana keki inakosa ladha iliyopoa
@dorcasmwambogo2745
@dorcasmwambogo2745 2 жыл бұрын
Jinsi gani naweza kupata kifaa cha kutengenezea umbo la biscuit
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Maduka ya vifaa vya keki
@ibrahimkachenje3191
@ibrahimkachenje3191 2 жыл бұрын
Habari samahani nlikua naomba kujua kama microwave yangu unaweza ku beki cake
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Inategemea na uwezo wake ila sio kazi yake kubake labda ujaribu
@suzansue6283
@suzansue6283 2 жыл бұрын
Kma imeandikwa microwave oven inauwezo kma sio haiwezi
@evalineegesa2071
@evalineegesa2071 2 жыл бұрын
Yenye haina Bankig pia iko sawa test ama
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Ni nzito sana mdomoni sio nzuri
@rehemazuberi2425
@rehemazuberi2425 2 жыл бұрын
Water mark nibora uiweke pembn inatupashida kuona vzur
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Waziiba sana video
@yunispetro1822
@yunispetro1822 2 жыл бұрын
Mimi ata nikiweka haipandi sana na ninatumia jiko la mkaa jomon
@nulkhafahud
@nulkhafahud 2 жыл бұрын
Thanks
@nooratshariff5067
@nooratshariff5067 2 жыл бұрын
Mimi ilikua inavimba gafla ikashuka katikati sasa sijui ninini
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
1.Kimiminika kikiwa kingi zaidi 2.kutingisha oven 3.kufungua oven kabla keki haijajishika vizuri
@innocensiafaraja2920
@innocensiafaraja2920 2 жыл бұрын
Na mimi hiyo ilishanitokea
@user-jd5si8bi9x
@user-jd5si8bi9x 10 ай бұрын
Asante sana hata mm umenijibu ili swali japo sija uliza
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
RAHSIA Talam Durian LEMAK, LEMBUT GEDIK2‼️
9:22
Cikgu Rosmaini Abdullah
Рет қаралды 41
JINSI YA KUPIKA MUHOGO WA KUKAANGA
3:01
Faiza's Kitchen
Рет қаралды 8 М.
VIJUE VYOMBO NA INGREDIENTS ZAKE
7:07
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 19 М.
KEKI ZA BIASHARA UNGA KILO NA NUSU
11:57
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 154 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН