No video

Dunia Imani Imekwisha Marijan Rajabu

  Рет қаралды 713,156

Balantanda

Balantanda

12 жыл бұрын

Пікірлер: 209
@MafegiPesambili
@MafegiPesambili 18 күн бұрын
Namkumbuka baba yangu alikua anaimba sana huu wimbo 1993 mungu awapuzishe maana wote mko mbele yahaki
@lucashakili2719
@lucashakili2719 11 жыл бұрын
nyimbo za zamani kama hizi zina ujumbe ndani kila rika wanasikiliza
@janetwanjiru1491
@janetwanjiru1491 4 жыл бұрын
2020 kama una sikiliza marijani rajabu salute kwenu wote ,nasikiliza huku nikimwomba mungu Covid 19 aka Corona iishie mbali.
@fadhlaouifathi6026
@fadhlaouifathi6026 3 жыл бұрын
Km l
@user-qn1oc6st3h
@user-qn1oc6st3h 10 ай бұрын
Huyu mzee ni fundi
@josisaidi4419
@josisaidi4419 4 жыл бұрын
Tunaosikilz hi nyimbo 2020 tujuane hp
@happykulanga6696
@happykulanga6696 3 жыл бұрын
2021
@sangasam4163
@sangasam4163 3 жыл бұрын
Hapa ndipo
@saidmpondomoko4854
@saidmpondomoko4854 3 жыл бұрын
Tupo na bando LA kutosha vijana Wa as wajifunze kwa away magwiji nyimbo zinaishi sio zao mwezi zimesahaulika
@shevshenko5509
@shevshenko5509 2 жыл бұрын
Shev shenko
@juliusotucho4436
@juliusotucho4436 5 ай бұрын
2038
@kudramasoud2694
@kudramasoud2694 7 жыл бұрын
Salute kwako jabali la music rajab shabhani marijan bonge la ujumbe Allah akusamehe madhambi yako
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 10 ай бұрын
Ohh!kumbe fadhila ya binadamu ni ya muda!
@pascalilikecharles278
@pascalilikecharles278 8 жыл бұрын
gwiji la music Tanzania na Africa mashariki nzima mungu akulaze mahali pema peponi.
@josephabel7654
@josephabel7654 3 жыл бұрын
Hii ardhi imemeza watu muhimu sana,Mwenyezi Mungu awarehemu marehemu wote...Mziki mzuri utaishi milele 30/12/2020❤️❤️
@ogetoj6245
@ogetoj6245 3 жыл бұрын
Marijan Rajab and Mbarak Mwishehe top the class of the best composers and singers of the yester days, in Tanzania. By coincidence, the two come from Morogoro. We miss your wisdom! Dr. Ogeto International
@wamupepe120
@wamupepe120 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri can help someone who's disturbing about vitu vya dunia . Money, money , money utapoteza Mapendo , nikweli . Utauzisha nduguuuu ,utakosa adabu, utatukana watu wote ,utaji amini kwa jia ya UGONJWA mu Mutwe . Nisafi nyimbo oyo.
@amosjuliusrioba1064
@amosjuliusrioba1064 3 жыл бұрын
Ni 2021, nakupata vizur na nafurahia Kaz yako Marijan Rajab. Rest in peace Comrade. Your legacy is living, your sound is living, your message is living.
@nickayub5987
@nickayub5987 3 жыл бұрын
Advice for all ages! Thank you Marijan! Listening in Nairobi,April 2021 nikishangilia Rais Mama Suluhu.
@tomsticky3124
@tomsticky3124 2 жыл бұрын
Y
@ogetoj6245
@ogetoj6245 3 жыл бұрын
Marijani Rajab alikufa Bila hela. Sio kwamba hakuzitafuta hali ni dhuruma za walimwengu. Ubinafusi umezidi. Waliotangulia wako wapi? Hata waliokua nazo waliziwacha hapa duniani
@jimmymusti165
@jimmymusti165 7 жыл бұрын
ujumbe mubashara...!!! dunia hii ya sasa dah rest in peace mtaalam Marijan....,M/Mungu akurehemu
@mwanaidinakenya8364
@mwanaidinakenya8364 9 жыл бұрын
nyimbo zake zote zinaviwango
@aymankhadija619
@aymankhadija619 2 жыл бұрын
Kweli kabisa my
@jamesmwasambili381
@jamesmwasambili381 8 жыл бұрын
Kweli dunia sasa imani imekwisha,bora ukutane na mnyama porini lakini sio binadamu,utu hakuna Ee Mwenyezi tutee waja wako
@phillippetershayo9016
@phillippetershayo9016 7 жыл бұрын
Marijani Rajabu..Mungu akulaze mahali pema,Tutaendelea kukuenzi, Umetuachia mafundisho mengi kupitia nyimbo zako.
@dadawemkaliwakataewakubali4098
@dadawemkaliwakataewakubali4098 7 жыл бұрын
Phillip Peter Shayo mungu ilaze roho yamarijani rajabu mahali pema amina
@Imanikkk
@Imanikkk 2 жыл бұрын
👍 👍 👍 👍 👍
@magrethmkumbo6708
@magrethmkumbo6708 7 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za zamani hasa za marijani Rajab na mbaraka mwishee!! Nyimbo zazamani ni nzuri sana kwanza unapozisikiliza zinamahusia ya maisha yetu yakila cku! Mwenyezi MUNGU awalaze mahala pema peponi ameen
@allykillenga6146
@allykillenga6146 5 жыл бұрын
nice
@shevshenko3614
@shevshenko3614 Жыл бұрын
Dah kweli nimeamini ya kale ni dhahabu yaan usia mwanzo mwisho🙏🙏🙏🙏🙏
@gomberaathumani8891
@gomberaathumani8891 9 жыл бұрын
Nyimbo safi sana
@omaryamad364
@omaryamad364 7 жыл бұрын
aisee nyimbo za marijani Rajabu darasa sio nyimbo za sasa matusi wenyewe mavazi uchi mtupu
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 Жыл бұрын
Hizi jumbe kizazi kipya hawana kabisa... Sijajua ni watunzi wa simulizi kama hizi hakuna ama shida iko wapi sijajua.
@amourmtungo623
@amourmtungo623 8 жыл бұрын
Mungu amrehemu Marijani Rajabu. Alikuwa na upeo wa pekee kimuziki nchini Tanzania. Nyimbo zake kamwe hazishuki hadhi.👍❤️.
@merryjoseph8300
@merryjoseph8300 6 жыл бұрын
Amour Mtungo kabisa
@gosogoso5287
@gosogoso5287 6 жыл бұрын
jabali LA muziki mungu amrehemu nyimbo zake ni kielelezo kwa jamii
@allykillenga6146
@allykillenga6146 5 жыл бұрын
inapendeza sana
@SeifHassan-e3t
@SeifHassan-e3t Ай бұрын
Dah nakumbuka mbaliiiiiiiii sana Leo dah maisha ni kitabu
@charlesnyamu3753
@charlesnyamu3753 8 жыл бұрын
Bila shaka, huyu ni jabali, jana, leo, kesho.......Mola akulaze weeema!
@bupemwagomile6948
@bupemwagomile6948 3 жыл бұрын
Mbaraka mwishehe
@SharifaMkwangia-vc6tw
@SharifaMkwangia-vc6tw 2 ай бұрын
Shalifa yani zamani muziki ulikuwamoto san
@KakumbaKakumba
@KakumbaKakumba 4 ай бұрын
Yukon Sawa hata umbo alipewa mungu wa kweli ashukuliwe
@ernestmodest3192
@ernestmodest3192 6 жыл бұрын
Huu mziki utafikili umetoka Jana R.I.P Rajabu Marijan
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 2 жыл бұрын
Marijani Rajabu aliishi katika Mawazo yaliyo hai, ndio maana ingawa hatupo naye kimwili lkn mawazo yake yanaishi mpaka leo hii. Viva our Legendary.
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Huyu jamaa sijui kavaa nguo ngapi gonga like yako Kama nawewe kwenye picha hiyo
@anthonykisogole3950
@anthonykisogole3950 4 жыл бұрын
Inategemea mazingira kama yupo Russia au Scandinavia unavaa zaidi ya hizo
@henrychaula1174
@henrychaula1174 Жыл бұрын
Marijani Rajabu hakuwa tu mtunzi na mwimbaji baali JIALIMU LA MAISHA kwa wanajamii
@mjombayai6888
@mjombayai6888 6 жыл бұрын
Hizi ngoma nazikubali mpaka nahisi kuumwa yaan ni tamu kupita maelezo yake, Naziombea zizidi kuwepo hapa Duniani.
@paschalkedmoni7484
@paschalkedmoni7484 7 жыл бұрын
I 👍 him coz z some1 special in ma life.he made me to passed easily in hard challenge until to arrived here Jah bless u every whr u passing ther.
@venancejohn7866
@venancejohn7866 8 жыл бұрын
Ningefurahi sana kama zingepewa kipaumbele.
@rashidothuman9923
@rashidothuman9923 6 жыл бұрын
Rip Jabari la music🎤🎼🎹🎶🎶🎶
@AllyMsita
@AllyMsita Ай бұрын
Hakika miziki ilikuwepo watu wa zaman mliinjoy sio sasa miziki ni kutamka matusi tup
@ogetoj6245
@ogetoj6245 3 жыл бұрын
Uduni wa imani, uzalendo na wingi wa ubinafusi umeongezeka duniani. Maulana twaomba utulehemu.
@omaryngaro5421
@omaryngaro5421 7 жыл бұрын
asee watu wa zamani mmekula raha asee duuu?
@charlesbonifacekamotha3171
@charlesbonifacekamotha3171 2 жыл бұрын
Natamani laiti ingekuwa inawezekana dunia tuiludishe nyuma japo kwa nusu Saa tu!
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 5 жыл бұрын
Nyimbo za zamani zilikuwa na mafundisho za leo ni mapenzi tu halafu mzuri jamani pumzika kwa Amani Baba
@aggreyoriema8914
@aggreyoriema8914 8 ай бұрын
Good vibes 🔥🔥🔥🥀🥀🌹🌹🌄🌄🌄💯💞💞💞
@tunumbungiro3884
@tunumbungiro3884 9 жыл бұрын
huu wimbo unagusa maisha ya kila siku haupitwi na wakat
@hajimbarouk2960
@hajimbarouk2960 8 жыл бұрын
Ilikuwa saafi sana, vijana wetu wa sasa inatakiwa wajifunze kupitia nyimbo za hawa wenzetu japo hawapo lakini hazina zao zipo.
@hajichungu9413
@hajichungu9413 5 жыл бұрын
Haji Mbarouk kweri kaka ujumbe murwa kabisa
@rashidmshindo1527
@rashidmshindo1527 2 жыл бұрын
Pamoja
@user-ws6wd5zr3z
@user-ws6wd5zr3z 9 ай бұрын
Mwenyez mungu akulaze mahalo pena
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 2 жыл бұрын
nakumbuka Enzi hizo kweli ya kale dhahabu
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Angelikuwepo sasa hivi ndio angeshangaa zaidi. Dah!
@pendopendo6600
@pendopendo6600 7 жыл бұрын
mi Nkijan mdog san ila nyimbo naipenda san mungu hakureemu uko uliko Amina
@jumanneshabani993
@jumanneshabani993 5 жыл бұрын
Tutaenderea kukumbuka nyimbo zako mungu akulrehemu mirere
@mohamednamnuma4074
@mohamednamnuma4074 7 жыл бұрын
Kiukweli zamani kulikuwa Na mziki hivi sasa kuna biashara tu
@pascalmayalla6869
@pascalmayalla6869 3 жыл бұрын
Mkuu @balantanda, thanks for this
@thomasathanas3957
@thomasathanas3957 3 жыл бұрын
Tupe uzoefu wako nyakati hizi ilikuwaje?
@jaksonsafiel7967
@jaksonsafiel7967 5 жыл бұрын
sautissa jaman ulale maalipema peponi
@beatriceshadrack9995
@beatriceshadrack9995 7 жыл бұрын
Nakumbuka nyuma sana, miaka hiyo iliyopita
@sangomamourice9425
@sangomamourice9425 4 жыл бұрын
Hakika
@gabmtenga3009
@gabmtenga3009 5 жыл бұрын
Nadhani tusiseme zilipendwa tuseme zinazopendwa tutakua sahihi.
@bigmzazee2961
@bigmzazee2961 3 жыл бұрын
Niko hapa 2021 mungu mkubwa tunaendelea kuona mambo ya dunia eeh mola tujalie mwsho mwema
@mariammirambo4619
@mariammirambo4619 9 жыл бұрын
Ujumbe murua
@georgeali1551
@georgeali1551 4 жыл бұрын
Kusema ukewli Sauti yake marehemu Rajab ilinoa Sana'a bado nikua shule wakati waa VOK
@kanjegenilongo1004
@kanjegenilongo1004 8 жыл бұрын
mungu weka busara za maneno haya katika akili za binadamu wa leo; ulikuwa jembe babu
@babarukaiyababarukaiay8295
@babarukaiyababarukaiay8295 4 жыл бұрын
I wish ungekuepo zama Izi @2019 RIP Jabali
@juntwantuli5404
@juntwantuli5404 8 жыл бұрын
ujumbe mzuri
@salehemauza9724
@salehemauza9724 Жыл бұрын
Huyu aliishi mbele ya muda sana
@monicapaulmarwa4546
@monicapaulmarwa4546 8 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Sana;unaelezea kabisa maisha tunayoishi sasa;Upumzike kwa Amani.
@merryjoseph8300
@merryjoseph8300 6 жыл бұрын
Monica Paul Marwa rip
@charlesally6028
@charlesally6028 5 жыл бұрын
Kweli kabisa duniani imani imekwisha
@emmanuelmbati2273
@emmanuelmbati2273 6 жыл бұрын
My school mate at Tambaza secondary school. He remains the best ever.
@rastokapunji7191
@rastokapunji7191 5 жыл бұрын
Ulimshuhudia vipi Marijani bwana Emmanuel.Nimejaribu kupata historia yake bila mafanikio huyu nyota wa Afrika mashariki na kati
@frbm1729
@frbm1729 6 жыл бұрын
Nakumbuka kifo cha baba yangu mzazi mzee Bulabo.
@paulmacheque6507
@paulmacheque6507 7 жыл бұрын
Kwa kweli huu ndio mziki.Unaweza kuusikiliza mahali popote na ukiwa na adhira yoyote maana ujumbe unapenya kote. R.I.P Jabali, nguli na mkongwe wa muziki Marijani bin Raajab.
@eliandelemani8465
@eliandelemani8465 6 жыл бұрын
Niko na miaka 24 rakin nazikubari sana
@merryjoseph8300
@merryjoseph8300 6 жыл бұрын
Paul Macheque rip kipenz cha watanzania
@selemanishomari1131
@selemanishomari1131 3 жыл бұрын
Mimi mars ft mwanafa
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 8 ай бұрын
Mwishoni kabisa wa 2023 bado nasikiliza yaliyo dhahabu mbele ya masikio yangu
@herryzidadu7658
@herryzidadu7658 6 жыл бұрын
28/12/2017 kwenye watu 10 binadamu mmoja
@martinmwombeki776
@martinmwombeki776 4 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo , mwenyezi mungu akuweke Mahalia pema
@wamupepe120
@wamupepe120 4 жыл бұрын
Umaskini ni mambo . Inabalula vichwa mbele ya FEZA .
@bezarelchilewa9336
@bezarelchilewa9336 5 жыл бұрын
Wataendelea kukumbukwa daima.
@khajiabdallah6489
@khajiabdallah6489 7 жыл бұрын
huu ndiyo muziki wa kusiliza
@mussapukey1104
@mussapukey1104 4 жыл бұрын
Hawa mzee wamekufa ila nyimbo zao zinaishi wakina diamond wanaishi nyimbo zao zimekufa hazina dili kabisa
@hesseinpengo8286
@hesseinpengo8286 Жыл бұрын
Jabal la music ayati marijan rajabu dahhhh mungu akulekhem
@allymdaki9630
@allymdaki9630 6 жыл бұрын
Nyimbo ya zamani ujmbe Wa sasa
@alfredokasololo4934
@alfredokasololo4934 6 жыл бұрын
Niko mweneji wa Congo-Kinshasa. Niliishi Dar-Es-Salaam, Tanzania. Nipo mupenzi wa muziki ya Marijan Rajabu na Mlimani Parking. Nimesikiya Marijabu yupo na damu ya kwetu Congo.
@masumbukoomari7276
@masumbukoomari7276 4 жыл бұрын
du kwel zaman kulikuwa na mziki asate jabali
@zamdaswaleh5410
@zamdaswaleh5410 4 жыл бұрын
No,Huyu wakwetu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Ni kweli marijani ni mmnyema asli yao kongo kigoma walitua dar alizaliwa..!
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn 2 жыл бұрын
Ni kweli alikuwa mmanyema kutoka kigoma lakini asili ya Congo.
@leahestony2723
@leahestony2723 Жыл бұрын
2022 tupo pamoja😍😍😍
@Georgemzuzuri-jz2ry
@Georgemzuzuri-jz2ry Жыл бұрын
Nakumbuka tip top bar manzese b dsm
@fredsengo4122
@fredsengo4122 2 жыл бұрын
nani yuko apa anasikiza 2022.01.01??
@ashacarzola6893
@ashacarzola6893 Жыл бұрын
2023 nasikiliza hapa ,nimekumbuka home sana jmn
@bigmzazee2961
@bigmzazee2961 Жыл бұрын
2022 December Niko apa utu umekwisha umebakia unyama
@jumajuma1518
@jumajuma1518 3 жыл бұрын
Namkubali sana huyu gwiji was music ukweli ujumbe wako unatufundisha sana
@hilalahmed2277
@hilalahmed2277 6 жыл бұрын
kweli mtupu
@shabanibumbolikassike20
@shabanibumbolikassike20 6 жыл бұрын
We acha tu sina la kusema juu ya huyu Jabali la muziki ila ni kumuombea dua tu. Kwani nyinbo zake zote alizotunga na kuimba zina msfundisho makubwa katika jamii yetu. Mm sisikilizi bongo fleva hata kidogo.
@omaryhussein1394
@omaryhussein1394 7 жыл бұрын
nyimbo zenye mafundisho
@yefthathanatas8325
@yefthathanatas8325 8 жыл бұрын
hii ni shule haswa
@dadawemkaliwakataewakubali4098
@dadawemkaliwakataewakubali4098 7 жыл бұрын
mungu ilaze roho yamalijani rajabu mahali pema peponi amina
@aggreyoriema8914
@aggreyoriema8914 3 жыл бұрын
Nani kweli dunia imeshakiwisha si uongo na penda Sana nyimbo zako
@aggreyoriema8914
@aggreyoriema8914 3 жыл бұрын
Mbinadamu wamengeuka wakakua wanyama
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 9 ай бұрын
Jamani hii nyimbo boomplay siipati
@peternyoni5844
@peternyoni5844 7 жыл бұрын
haya ndiyo mambo ya enzi zetu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Diamond 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
@Imanikkk
@Imanikkk 2 жыл бұрын
Mungu ampe kauli sabit good 👍
@othmanalsherem7313
@othmanalsherem7313 3 жыл бұрын
Mistari imesimama,Kama kipindi hicho dunia imekwisha je sasa hivi
@husseinramadhan3515
@husseinramadhan3515 2 жыл бұрын
Mziki mzuri haufi unaishi milele
@davidzacharia2373
@davidzacharia2373 7 жыл бұрын
uwa sichoki kusikiliza hizi nyimbo,marijani rajabu na mbaraka mwinshehe
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
jabali la muziki, lala salama
@nyungwajunior1301
@nyungwajunior1301 8 жыл бұрын
Wakat huo music ulipokuwa music sio siku hiz kazi matusi tu
@hassanmwinyi7046
@hassanmwinyi7046 4 жыл бұрын
Kiukweli sina lakusema Usiku wa Leo tareh:1/3/2020
@iddaraymond7396
@iddaraymond7396 3 жыл бұрын
Kweli kabisa dunia imani imekwisha Mungu baba tunusuru.pumnzika kwa amani marjani rajabu
@mohamedalamry7993
@mohamedalamry7993 8 жыл бұрын
yaani kama tutafuata nyao za wazee hawa ktk fani ya mziki,basi watu wangejifunza mengi .
@omand1761
@omand1761 7 жыл бұрын
Mziki wa zamani unaoenda na wakati.Mimi binafsi mjomba'ngu kanidhulumu kama mwezi tu umepita.Kanambia ukiweza nenda mahakamani.Kumpeleka mahakamani nasita ukichukulia walizaliwa 2 tu yeye na mama.Na mama keshafariki.Kwa hiyo naona ni sawa kama vile ntampeleka mahakamani mama'ngu ingawa ndugi wengi wananambia tutakusaidia lkn namwachia hakimu wa haki Mungu
@mwinyiabasi8008
@mwinyiabasi8008 6 жыл бұрын
Mohamed Al Amry marijani
@merryjoseph8300
@merryjoseph8300 6 жыл бұрын
Mohamed Al Amry nimeipenda sana hii nyimbo ujumbe tosha
@abubakaryidd2748
@abubakaryidd2748 6 жыл бұрын
Old is gold l belive dat
@husnamohamed9448
@husnamohamed9448 5 жыл бұрын
Nilikukubali na nazidi kukukubali jabali.Wasione wivu kuiga kutoka kwako
@MROMMAH
@MROMMAH 3 жыл бұрын
Dah naisklza hii goma mwak 2021/05/18......dah asee zaman wamefaidi sana looooooooh........😁😁👏👏👏👏saiv kwetu zmebak kam historia unaicklza una ifeel yan
@ibrahimabdallah5371
@ibrahimabdallah5371 4 жыл бұрын
jabal wa muziki mungu amlaze mahala pema
@ifakaraenvironmentcdoorg2559
@ifakaraenvironmentcdoorg2559 5 жыл бұрын
niko shule hao tena darasa la tatu nakubuka walimu wangu du asante sana walimu na wazazi wangu hadi leo
@raskenneth1981
@raskenneth1981 9 жыл бұрын
wanawadhulumu hata watoto yatima,kwenye wa2 10 binadamu 1,si kwa wanaume,si wanawake,si wazee wala si vijana lol
@bashirushabani930
@bashirushabani930 4 жыл бұрын
Kabisa
@salummembi6381
@salummembi6381 3 жыл бұрын
Hatar sana ni ujumbe wakwel kabisa
@hajimbarouk2960
@hajimbarouk2960 4 жыл бұрын
Bado pengo lako halijazibwa Mzee baba
@shabanibumbo2515
@shabanibumbo2515 8 жыл бұрын
yani huyu mungu amlaze mahali pema peponi maana hizi nyimbo zake zinalenga jamii tu na jinsi ya kuishi kwali mm nimsikilizaji mzuri sana na hizi zilipendwa ingawaje co mtu mzima kivile lkn hua nakumbuka mengi sana.
Marijani Rajabu - Masudi
7:46
Power Nguzo
Рет қаралды 405 М.
mwajuma- MARIJANI RAJAB
6:29
jphamber
Рет қаралды 405 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 8 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 9 МЛН
TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
24:03
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН
Usia Wa Baba
7:06
Bongo Records
Рет қаралды 17 М.
DDC Mlimani Park - Barua Toka Kwa Mama
7:49
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 903 М.
MIMI SIKUTUSI MZEE  WACHENI KULOPOKWA
7:02
Ken kijana ndeke yamuthanga feima
Рет қаралды 12 М.
Zuwena - Marijani Rajabu
10:06
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 77 М.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 644 М.
MASOUD MASOUD : NGURUMO HAKUWA VILE / WATANGAZAJI HAWASOMI
23:15
Gangana Info Channel
Рет қаралды 83 М.
Tanzania - Marijani Raajab - Namsaka Mbaya Wangu
8:26
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 568 М.
Mbaraka Mwinshehe - Shida
7:54
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,3 МЛН
Si Wema
6:41
Dar International - Topic
Рет қаралды 14 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН