BARAZA LA WAZEE CCM ARUSHA WACHARUKA KUHUSU RC MAKONDA - "TUNAOMBA CHAMA KIMLINDE"

  Рет қаралды 62,000

Wasafi Media

Wasafi Media

27 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 59
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 21 күн бұрын
Mzee umeongea vizur sana point. Kweli kabisa wapo baadhi ya viongozi wana fitina na husda kwa Mh Makonda Safi sana mzee umeongea point Mungu akulinde
@ErasmusMakavery
@ErasmusMakavery 21 күн бұрын
kakaagu makonda hakika ww nichicho la uhongozi ss kama viongozi vijana tunamengi makubwa ya kujifunza kutoka kwako chapa kazi mungu u pamja nawe!🎉
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s 21 күн бұрын
KWELI mzeee nawapenda sana makonda one love 💕💕💕💕💕💕💕💕❤❤❤
@hamishassan6784
@hamishassan6784 21 күн бұрын
kwa kweli mzee wangu nashukuru pia hata kuunga mawazo yangu maana hata alipoitwa kuhojiwa na kamati kuu nilisema ni wakati wa wao kumpongeza na sio kumvunja mori kiukweli kila mwanadamu anakosea ila pale tunapo baini kuwa hilikuwa na nia njema ni kumuelekeza na kumfahamisha mbinu mbadala isiyoweza kuondoa nia na malengo ya utekelezaji. Makonda Nakuombea sana hata kama umepunguziwa eneo la kutoa huduma kwa kuwekwa Mkoa mmjoja tu naamini mama ana maana yake na ndio akaona msaidie Mkoa huo wa kistratejia kwenye kufikia alilojiwekea kwa manufaa ya Watanzania. AHSANTENI SANA BABU ZANGU
@DavidMwakila
@DavidMwakila 21 күн бұрын
Makonda ,Mungu akulinde ,aendelee kukuhekimisha ,kukuinua ili wakati wa Bwana utakapofika uje ukalie kile kiti
@pauloillakwahhi1802
@pauloillakwahhi1802 4 сағат бұрын
Mzee Gerald Gwaha,vzr sana
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 14 күн бұрын
Uhakika maneno mazima sana❤❤❤❤hana baya makonda
@sambulugu9988
@sambulugu9988 21 күн бұрын
Mzee kanena vema watu wanamuonea wivu sana Makonda!
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 21 күн бұрын
Hapo ndipo ccm inapovipiga bao hivi vyama vya 2-2-× 3..
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 21 күн бұрын
Mzee uko sawa kabisa
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 21 күн бұрын
Safi sana kiongozi Mungu amlinde kijana wetu
@jumasuleymani
@jumasuleymani 21 күн бұрын
Mwenyezi Mungu hata mlinda Mh:kw mema anayo ya tenda
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k 21 күн бұрын
Wazee warusha hongereni sana kwakuliona iloo
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Күн бұрын
Asante mzee alindwe
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 21 күн бұрын
Mzee ameona kura kwa CCM Arusha zimejaa mgongoni mwa Makonda kwa kazi zake watavaa sare za chama bila bughudha. Kwa kazi za Makonda Arusha akitoa agizo wanafuata wengi na anayebisha atanyoshwa siyo na pilisi bali raia wenzake
@FredyLazaro-us5mu
@FredyLazaro-us5mu 21 күн бұрын
Kwakweli naamini kama kuna aliempenda mwonaji mze magu hakika atakupenda makonda nahuyo ndo atarudisha chadeka ccm nampenda makonda mpaka nakufa mttezi wa wanyonge ingefaa aje daresalam
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 16 сағат бұрын
Asante Mzee wetu, Makonda Alindwe.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 21 күн бұрын
Mtu mzima dawa wazee hongereen Sana kwa kuona mbali
@mercyzakariah
@mercyzakariah 21 күн бұрын
Kweli Mzee , makonda oeeee Samia oeeeeee CCM oeee
@VivianMkumbo
@VivianMkumbo Күн бұрын
Mungu anawaona hao maadui wanaomchafua mtumishi wa Mungu Makonda.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 73 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
MAKUBWA! STAN BAKORA ANALITAKA PENZI LA DIDA, TAZAMA ANAVYOJIMALIZA
1:51
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН