Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 85
@sarahtaste287611 күн бұрын
Mnaomchukia diva mnamatatizo binafsi kwakweli she is an entertainer 😂
@jamilaathumani548111 күн бұрын
Ila abduli ndomwanaume pekee ambaye anamuwezea diva. Kiukwer abduli asimuache diva kwamana yeye abduli ndo mwanaume anayemuwezea diva ...hakuna mwingine kama abduli...ila abduli nadiva nawapenda Sana msiachane bwana..
@firdaussheikh481711 күн бұрын
These 2people are very different, wako tofauti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asante Abdul kwa diva . I love her , ako very open ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇬🇧
@zainabmohd652411 күн бұрын
Jishushe diva ujenge nyumba ya kifahari utaishi maisha unavyotaka,ufahari ukiwa kwako ni mzur zaidi
@gracekaboigora18911 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati atatenda ipo siku utatuonyesha nywele zako
@esthermakelemo286411 күн бұрын
Aki kila siku zinavyozidi najikuta naipenda hii couple na vituko vyake
@kampotkanangila964710 күн бұрын
😁😁😁 yani naskia tu cheko yani ata wa toto wadogo awakuwagi ivo
@Bashitetako6 күн бұрын
Kuna watu pale milembe wana waonea tu wehu wako huku mtaani huyu wangempeleka tu huko milembe
@aishakamundi498510 күн бұрын
That's stupid. When somebody told you I was in prayer and I needed to pray, but you are calling yet😮😢😊
@Oman-cd3zq11 күн бұрын
Nyie mrejeane mnapendeza sana mkiwa pamoja mntuchangamsha san😅😅
@jamilaathumani548111 күн бұрын
Ila abduli usimuache diva mnapendana Sana..na Abdul kashamjulia diva kabisa..na diva kakwama Kwa Abdul na hawawez achana... kiukwer napenda kapo yenu msiachane jaman mim nainjoy Sana kuwaona mkiwa pamoja
@LevinaMiteo11 күн бұрын
Uongo tu kusema ukweli Aaaaaahh 😂😂
@esterpaul585611 күн бұрын
Yaan Abdul tapel Dunian sijaona..unasema uliota ndoto ukiwa chuo unamiaka 22?hahh saiv uliowa na miaka 21..ww Abdul Acha kumdanganya diva..na dau lako la 50k..hlf kaaaa.v
@ikentertainment314511 күн бұрын
One thing about Diva is she delulu 😂😂
@user-iy7xy1np7c10 күн бұрын
Nimegundua kwamba Uyo Abduli ndie anaemvuumilia sana huyo diva..Mana jmn inahitajika m.mme wa kipekee kuishi na hicho kiumbe Diva
@AishaHaji-jn7sg10 күн бұрын
Diva:rafiki angu anatoka marekani namleta kwa jonijo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Elly jonijo:💀
@user-qq2oc4bt3i11 күн бұрын
Diva kuko nguoo Za kiislamu nzuri tunapenda siku moja uwe umevaliaa habaya Na jalabibu ujione utakavyopendeza
@sharifabahar990511 күн бұрын
Ukisha olewa kubari kuwa chini ya Mume wako tokea kwa wazee wetu mbaka leo
@AmanaHussein7 күн бұрын
Dini tofauti ndochangamoto hapa .kuwa chini tena😂😂😂yeye brand pia ni Beyonce's we huogopi😜
@hadijamshimbula761611 күн бұрын
Diva mi nakupenda sana lbda kwakua una umbo km languuu
@nancyg866411 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@belak9996 сағат бұрын
Pole kwa hilo umbo
@nancyg86646 сағат бұрын
@@belak999 😆😆😆😆😆
@JacklineMakule-id8hn11 күн бұрын
Alaf kumbe ww ndo unatafutaga kiugomv kwa abduli alaf akikuchenjia unaanza kusema ooh abduli nyooo nyooo kumbe wwndo nyooo nyooo unahic unamuweza sana mwanmme pole utachezea matukio mpk mai uite mma shenz type
@ramhuudulla892110 күн бұрын
Mwanaume usiidhihaki din i mfanye mkeo aiheshim na kuihofu dini. Mwanamke uache utoto kwa kujifanya mdekaji ubwabwa soma dini kisha uifate usidhihaki dini
@3Dshoez7 күн бұрын
Yan Abdul anamdanganya diva vibaya😊😊😊😊
@JacklineNamundengozi10 күн бұрын
I really enjoy watching diva and the husband ❤
@vickyitenyo.11 күн бұрын
Diva be AUTHENTIC you're such a good person but you're trying too hard to force the American accent.Just be yourself ongea tu Swahili you sound SO MUCH better!!!
Bitu mingi😂😂😂 milioni tano ukulele kauza milioni moja na nusu dash Uyu ss misifa yke ila naipenda
@sheikhaabbas868011 күн бұрын
Diva unadharauliwa sanaaaaaa, mm subutu mume wangu anikatie simu aone chamtema kuni
@Hajer-be2kh10 күн бұрын
Nampa Pole huyo mumeo mana Huna nidhamu kwake km mke..sasa mtu ameshasema anawatu na anataka kuswali afu ishu yenyew haina maana ni km kumsumbua tu kwaiyo mtu asifanye vtu vya muhimu asikilize ujinga??😂😂😂
@user-iy7xy1np7c10 күн бұрын
@@Hajer-be2khsawa sawa
@AishaHaji-jn7sg10 күн бұрын
Wamekatana waongo wote eti ndoto😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AmanaHussein11 күн бұрын
Wajua diva yeye kila kitu yuachukulia sawa iyo ndio shida yake punguza maneno mengi📻📻
@annajoseph995511 күн бұрын
Diva huna mtoto bhana kula Bata shoga angu inshi maisha mazuri maisha yenyewe mafupi haya ponda mali baby
@3Dshoez7 күн бұрын
Ma wig ya diva mabayaaaaaaa😅
@esterpaul585611 күн бұрын
Ila diva ungekua unamjua huyo Abdul ungezimia mwezi..
@AmanaHussein9 күн бұрын
Wacheni kuaribu ndoa za watu sio vizuri 😏
@Hajer-be2kh9 күн бұрын
Ww uliemjua umezimia kwa miezi mingapi
@bintalmasi23933 күн бұрын
@@Hajer-be2kh🙌🙌
@annajoseph995511 күн бұрын
Nywele milion ngapi vileee😂😂😂😂😂
@salisali373810 күн бұрын
😂
@gracekaboigora18911 күн бұрын
Tena hicho kifurushi ulichoijounga kitakutesa sana
@faridahalil445611 күн бұрын
Ikiwa Diva umesilimishwa iweje bado uwe na imani eti ya mchungaji. Ina maana bado hujaukubali uisilamu, mara wanunuwa mti wa Xmass unaupamba, usichezee dini za watu itakuja kukuweka mahali pabaya. Make up your decision what you want, muone huyo ABDUL hata umwambie vipi eti abadili dini yako Upon my dead body hatoweza bali ataihishimu dini yako but he will never convert!!!
@gracekaboigora18911 күн бұрын
Today is a day but Kuna siku nyingine zaidi ya leo
@RahmaRashid-lc6nw9 күн бұрын
Sasa sheikh Abdul hapo kwenye tendo unakosea sio chumbani tu popote Alimradi hamuonekani na mtu ukumbini jikoni hata juu ya dari Almradi mko Peke yenu wala hamuingiliani kwa nyuma ruhsa dini haijamfungia mtu .
@rizikikasongo43888 күн бұрын
Diva is so funny 😂
@mapishiyetumazuri23127 күн бұрын
Unataka kwenda America unapaspoti
@salmatuleteesehem71jmnmahm595 күн бұрын
Unalipa nyumba ml5 badala ujenge unaakili kweli wewe nyie wasanii mnapenda sana kufake life
@gracekaboigora18911 күн бұрын
Diva una shida ya mapenzi
@AishaHaji-jn7sg10 күн бұрын
Abdul anakoma 😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆🤣🤣🤣🤣
@naifathassan260711 күн бұрын
The wave ( Al murooj) Al khair
@witnessmlay741511 күн бұрын
Ila Diva😂😂
@jamilaathumani548111 күн бұрын
Tatizo jingine diva wewe upo kidunia Zaid na mwenzio abduli anahofu ya mungu ndomana mnashindana na mnapishana vitu vingi Yani wewe diva umarekan mwingi no dini no dini yakislam ndomana humuelew abdul
@mapishiyetumazuri23127 күн бұрын
Unataka kwenda America passport ya kwendea
@user-gi8zg7nc2j11 күн бұрын
Huyo kaka kapitia😂😂😂
@Zainab_salat11 күн бұрын
Yetu ni macho tu😅😅😅😅
@annajoseph995511 күн бұрын
Ila Diva eti MIM NIMEFANYA SANA MAPENZI🤣🤣🤣🤣🤣bora umesema ukweli
@AmanaHussein11 күн бұрын
Nimechoka Leo 🥴
@annajoseph995511 күн бұрын
@@AmanaHussein yan duh
@user-xl3cd6iq2u11 күн бұрын
Wewe dada ni malaya alafu Huna aibu atakidogo
@AmanaHussein11 күн бұрын
We huogopi😂😂😂
@4bod80110 күн бұрын
Guys 👦 your life is like judge ing each other
@Noor-qq9ut10 күн бұрын
Diva bhana 😂😂😂
@matridamwalyoyo17357 күн бұрын
Diva anachekaje
@gracekaboigora18911 күн бұрын
Labda urudi kwa yuleeee
@zawadichalale404710 күн бұрын
Hivi hii reality huwa wanapewa script au?
@latifam143611 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Rizikialiamechannel76311 күн бұрын
Kajala lini
@mutamurizajosephine834911 күн бұрын
Eti alikuwa 13 boyfriend 28😢
@AmanaHussein11 күн бұрын
Dua tuh kw wingii😭🤲
@Zainab_salat11 күн бұрын
Diva unataka kuishi😂 pazuri sijaona anavaa nguo na mawigi mazuri mtihani chukua wigi hata la 50000 ni nzuri, unalipa pa kuishi pesa ndefu si unanue kiwanja😮😮😮
@AfricaQueen10 күн бұрын
🙌🙌🙌🤝🤝
@kampotkanangila964710 күн бұрын
Jama mimi ni nataka kuhuliza tu ivi uu diva anakuaga muzima minafikiri ikonachenga kadogo kichwani ao yini sohelwi😁😁
@salisali373810 күн бұрын
Bora ume sema
@salisali373810 күн бұрын
Yaaani anavo jiona bions na hilo umbo lake kama baunsa
@kampotkanangila964710 күн бұрын
yani dada yangu utanihuwa na cheko ao ajuwagi kama nimutu muzima ukubwa mwengine mutu kama kachelewa kupata ana kuwa ana lala anahota kama amesha kuwa kama kina bionse nihatari😁😁😁😁😁😁😁😁