Bernard Mukasa - Niseme Nini (Official Video)

  Рет қаралды 1,481,642

Bernard Mukasa

Bernard Mukasa

6 жыл бұрын

Bernard Mukasa - Niseme Nini

Пікірлер: 357
@berychrys2678
@berychrys2678 3 жыл бұрын
Hadi huu mmeutunga nyie🙌🏽🙌🏽🙌🏽 God's manifestation in your family is tremendous.. Mlipewa talanta 5 na kwakweli mmepata maelfu zaidi.. God bless you mno nawapenda sana jaman😥 sio kwa kunigusa hivi na your songs😭
@eriminashayo1341
@eriminashayo1341 3 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana kama na ww upo kama mm shusha like hapo 🙏🙏🙏
@salomekamendi2458
@salomekamendi2458 Жыл бұрын
Huu wimbo umenikubusha mateso Nilitezwa na familiar ya mzee wakati aliponiacha 2002 lakini leo hii hakuna mwingine anapedwa kuliko mimi na kupitia rehema na neema zake Mungu..Barikiweni sana mr/ mrs mukasa kupitia nyimbo zenu hua tunafarijika ..Long life🙏
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 10 ай бұрын
Pole Sana ndugu
@gabrielnyambu8287
@gabrielnyambu8287 4 ай бұрын
Mwalimu Mukasa wewe ni neema inayoishi, tunzi zako hunibariki sana na nilifurahi sana kukuona jumapili ya matawi kwenye performance yako hapa Githurai Kenya. Barikiwa baba
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 4 ай бұрын
Bernado Mukasa kaka.
@divinajoseph2760
@divinajoseph2760 3 жыл бұрын
Ahsante Mungu nakushukuru kwa mema yote unayonijalia siku hadi siku. Nakuomba Mungu uilinde familia hii ya Bw & Bibi Mukasa wazidi kukutumikia wewe katika siku zote za maisha yao. Kwakweli wananibariki kwa nyimbo zao nzuri
@saraboniphace7670
@saraboniphace7670 2 жыл бұрын
Mekumbuka mwalimu wangu anapigana kutufundishwa huu wimbo iseee tulipoujua ulikuw mtamu Sana nazipenda nyimbo zako sinawahi kuona wimbo wako mbaya nzuri Sana mungu awalinde
@JohnmaryBirungi
@JohnmaryBirungi 3 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana unanikumbusha kushukulu kwa mema mengi ya mwenyezi mungu
@NeemaKiria-wz5gh
@NeemaKiria-wz5gh 2 ай бұрын
Wimbo huu umefanyika baraka Sana Moyoni mwangu❤❤
@avitbuchwa2353
@avitbuchwa2353 2 жыл бұрын
I wish Mr Bernard Mukasa had a chance to work together with the late Mwl Niwagila Mutongole. I listen to Muka's songs I get the same quality and talent I used to see from Mwl Mutongole. God bless you!
@anthonykimanthi2551
@anthonykimanthi2551 2 жыл бұрын
katikati ya safari maji yote yakamwagika lakini kwa wema wako ukayazoa yakajaa upya
@user-sz3kz2wf5n
@user-sz3kz2wf5n 4 ай бұрын
Ubarikiwe San
@valentinewamboi4490
@valentinewamboi4490 2 жыл бұрын
So emotional l do remember My mother, may the almighty God bless you
@clementmarandu2712
@clementmarandu2712 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana uliyojaa mafundisho makubwa kwamba tusikate tamaa na baada ya kufanikiwa tumshukuru Mungu na kumpa sifa tele
@stacykibutu365
@stacykibutu365 4 жыл бұрын
Huu wimbo wanifarijisha kweli kweli
@remigiusjuvenary3099
@remigiusjuvenary3099 2 жыл бұрын
One of the Swahili Catholic Anthems ...ahsante Bernard na Mama
@lucasmaro4172
@lucasmaro4172 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa Uinjishaji. Wonderful song.
@lutigardkomba1215
@lutigardkomba1215 2 жыл бұрын
Nikutukuze vipi Mungu wangu
@linahmadawe2823
@linahmadawe2823 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Mr&Mr's Mukasa nyimbo zenu zina tafakar nzuri sanaa,
@munlagloryzingwe6487
@munlagloryzingwe6487 Жыл бұрын
Event I don't understand this song but I really love it
@raymondmushi3310
@raymondmushi3310 4 жыл бұрын
Bernad Mukasa ubarikiwe sana. Wabarikiwe na wanakwaya wote wanaoziimba nota kama ulivyozipangilia kwani mnatubariki sana kwa njia ya uimbaji. Hakika tutamsifu Bwana duniani na mbinguni pia
@faridakibadu1213
@faridakibadu1213 3 жыл бұрын
Nan Kama Bernard mukasa namkubali sana
@mariamlote2183
@mariamlote2183 Жыл бұрын
Asante kwa utume Mungu azidi kukuzia kipaji chako
@bensonotieno7901
@bensonotieno7901 4 жыл бұрын
uu wimbo unanibariki sana
@awardngailo5233
@awardngailo5233 4 жыл бұрын
Nawakubali sana nyimbo zao zinaniimarisha sana kiroho kwakwel
@user-fn9mr3xe3k
@user-fn9mr3xe3k 8 ай бұрын
Nabarkiwa sana na wimbo huu
@josephinekieti4683
@josephinekieti4683 2 жыл бұрын
I can't get enough of this song, I keep on replaying it.
@totimusmodest8241
@totimusmodest8241 2 жыл бұрын
Mdogo wangu Mkasa na Familia yako wokovu u ndani ya nyumba yenu, kupitia wimbo huu familia zinatafakari na waliokata taamaa wanainuka, mubarikiwe sana
@christerkanyamala2996
@christerkanyamala2996 11 ай бұрын
Be blessed Mr& Mrs Mukasa,you are highly appreciated
@agripinaapolinary1362
@agripinaapolinary1362 9 ай бұрын
Mungu ibariki familia hii ninaipenda sana
@AgnesMwita-nb3cx
@AgnesMwita-nb3cx 8 ай бұрын
Aise ama kweli aliyepewa kapewa na Bernard umepewa kipaji Cha pekee
@sarahchiliko1060
@sarahchiliko1060 3 жыл бұрын
I love you my Roman Catholic gospel
@gertrudekopiyo
@gertrudekopiyo Жыл бұрын
Thank you, my Sister, my Brother. I am blessed fully. God bless you
@stevembuhilo2956
@stevembuhilo2956 4 ай бұрын
Asante kwa ujumbe wenye faraja,,unanifuuuutaaa mschoz
@upendoinaction4724
@upendoinaction4724 4 жыл бұрын
Asante sana Bw. Bernard Mukasa na familia yako kwa kutuzaidia kusali mara bili kila siku!
@josephirungu4011
@josephirungu4011 3 жыл бұрын
Nabalikiwa na wimbo huu nikiwa nimelazwa hospitalini
@levinamukandara6970
@levinamukandara6970 2 жыл бұрын
How gifted you are to praise the Lord as family. Blessed couple indeed! Big up
@jamespetro6773
@jamespetro6773 2 жыл бұрын
Mungu awarki kwa ujumbe mzuri
@gustavkunkuta6733
@gustavkunkuta6733 3 жыл бұрын
Hao 257 waliodislike walikosea wakabonyeza bila kukusudia. Hata kama si fan wa Benard, siwezi kuthubutu kudislike wimbo huo wa kumshukuru Mungu.
@muendoandrew
@muendoandrew 5 ай бұрын
I had been praying to God when He answered my prayers miraculously i was overwhelmed..that moment in the parking lot i made the sign of the cross and immeditely this song came to mind..i played it immediately..i live not to forget that day..thank you God..i don't know how to thank you..i will raise the cup of salvation..
@leahburchard3738
@leahburchard3738 2 жыл бұрын
Mungu awabariki daima ktk utume huu wa uimbaji
@bahatimungundomteteziwetum4360
@bahatimungundomteteziwetum4360 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa! Umenigusa Sana wimbo huu. Big up!
@priscamsomba4224
@priscamsomba4224 2 жыл бұрын
Wimbo huu umenigusa.barikiwa sana watumishi wa mngu
@kamanzielias3585
@kamanzielias3585 Жыл бұрын
Mungu akutunze Ben tunajivunia sana
@katommbusa4559
@katommbusa4559 6 жыл бұрын
Familia Mukasa, mubariwe jamaani. Niusikiapo huo wimbo wenu najawa utulivu na kumshukuru Mungu kunusurika kifo mara nne. Jina la Mungu na lihimidiwe. Anicet Mbusa
@sarahsangija2913
@sarahsangija2913 6 жыл бұрын
Hakika hata mm hunikumbusha mbali sana, Mungu apewe Sifa daima
@user-tn2pg6xe2y
@user-tn2pg6xe2y Жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu
@orollahcharlse6488
@orollahcharlse6488 4 жыл бұрын
Niseme nini mim 😭 nitamke maneno gani kinywani nikushukuru jinsi gani nisimulie vipi mim. Aiseee nabarikiwa sanaaa
@maurusmwajombe492
@maurusmwajombe492 3 жыл бұрын
Hongereni sanaaaa familia ya mkasa
@hellenmnubi2851
@hellenmnubi2851 3 жыл бұрын
Hakika nafarijika Sana na huu
@Spirit.23
@Spirit.23 4 жыл бұрын
Sauti ya pendeza sana,mmbarikiwe milele
@ignasjosephmwinuka3666
@ignasjosephmwinuka3666 2 жыл бұрын
Bernad Mukasa, ni sala zetu Mungu azidi kukupigania na kukulinda family yako imekuwa mfano kwa namna halisi ya upendo, familia yako ni mfano unaoishi wa kumtukuza Mungu kwa kusali mara mbili (kuimba) kama alivyosema mtakatifu Augustino, tunashukuru Mungu kwa karama yako na familia yako
@dorischuwa3641
@dorischuwa3641 2 жыл бұрын
Niseme tu Bwan Mungu asante nakushukuru🙏🙏
@robertmahucha5715
@robertmahucha5715 3 жыл бұрын
magumu niliyo pitia yakataka kunikatisha tamaa lakini MUNGU alitaka niendelee na mwisho leo nimefahuru mitihani yangu, MUNGU nakushukuru
@kamukamasylvia9640
@kamukamasylvia9640 4 жыл бұрын
It was not by a mistake that God joined you together as a family. Thanks for maintaining your great gift. Be blessed
@achiecaren2908
@achiecaren2908 Жыл бұрын
Good job, sweet voice blessed family.
@skoraskora8093
@skoraskora8093 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume huo
@elizabethtreshory7776
@elizabethtreshory7776 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na nyimbo hii pia albamu nzima mungu awatunze daima
@njugunawjulius4412
@njugunawjulius4412 3 жыл бұрын
Baraka kila niuskiapo...
@josephinekieti4683
@josephinekieti4683 2 жыл бұрын
This song touches my life, thank you Mukasa, reminds me nishukuru Mungu.
@agustinotadeo8554
@agustinotadeo8554 4 жыл бұрын
Sina cha kusema Mungu wangu, umenitendea mm na familia yangu kadiri ya mapenzi yako. Ahsante Nashukuru
@leonardmwankemwa7223
@leonardmwankemwa7223 4 жыл бұрын
you are role models of most of us
@kathanjeable
@kathanjeable 3 жыл бұрын
tumebarikiwa hapa kamurima catholic church
@beatricejames7207
@beatricejames7207 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua
@johnedmundmachota7582
@johnedmundmachota7582 5 жыл бұрын
Ww ni mtunzi bora wa muda wote Bernard tangu nipo mdogo umekuwa ukininjilisha
@bonifacejohanes895
@bonifacejohanes895 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana huyu mwenye jina la shahidi wa Uganda. Tunamshukuru Mungu kwa kipaji hiki na ujumbe wa kutukumbusha makuu ambayo Mungu ametutendea
@angelinakemuma2748
@angelinakemuma2748 4 жыл бұрын
We are proud of you, Mukasa family. Thank you for helping us praise our God better
@raymondlaurent9403
@raymondlaurent9403 2 жыл бұрын
Hakika katikati ya safari maji yalimwagika lkn Bwana uliyazoa na kuyajaza upya.. Asante-Nakushukuru Baba..
@user-dg7vf1mx4m
@user-dg7vf1mx4m 6 ай бұрын
sauti tamu sana ,,,so blessing
@mgenileonora9717
@mgenileonora9717 2 жыл бұрын
Nisimulie vipi mimi,mapito niliyopita, kuja hapa.Asante Mungu wangu nakushukuru
@Spirit.23
@Spirit.23 3 жыл бұрын
I listen to this song every single day and any time I face a challenge and it gives me peace in my heart, it's a very special and powerful song to me,be blessed the Mukasa family and Merry Christmas in advance
@lutigardkomba1215
@lutigardkomba1215 2 жыл бұрын
Amen,,may the Lord comfort you
@JenistaFrancis-hw5fe
@JenistaFrancis-hw5fe 11 ай бұрын
Good song 👏👏👏
@BestinaJacob-dc3cb
@BestinaJacob-dc3cb 9 ай бұрын
@@JenistaFrancis-hw5fe wimbo wanibarik sana jamani na kujifariji katika magumu ,,
@stephenshio588
@stephenshio588 5 жыл бұрын
Hongera sana Ndugu Mukasa na wife, hiyo ni nyumba ya mziki mtakatifu, Mungu awabariki
@jeanpierrendayishimiye9454
@jeanpierrendayishimiye9454 3 жыл бұрын
This song is pleasant to the Ear. Bless my Brother. You have a good gift of singing Religious songs.
@kunguseconsumata5863
@kunguseconsumata5863 3 жыл бұрын
Safi sana Mungu atukuzwe
@josephinebiringanine7113
@josephinebiringanine7113 4 жыл бұрын
Niseme nn mm bwana😭....niseme tu asante Nakushukuru Baba 🙏😭 guys always be blessed I love you sooooooo much 🥰
@marianabachilula8756
@marianabachilula8756 11 ай бұрын
Mbarikiwe Sana, kwa Wimbo wenu, wenye Ujumbe Mkuu ktk Maisha yetu, tusisahau Kumshukuru Mungu kwa kila Jambo, nimebarikiwa sana!
@user-te1mo4hq4s
@user-te1mo4hq4s 9 ай бұрын
Yaan mm huu wimbo unanikumbusha mbali sana hasa mapito ya kupotelewa na wapendwa wang wazaz wang baba na mama yang 😢
@jamesbenjamin5969
@jamesbenjamin5969 5 жыл бұрын
Katikati ya safari maji yale yakamwagika chini lakin kwa wema wako ukayazoa yakajaaa upya.....
@schophimamandago9141
@schophimamandago9141 4 жыл бұрын
Amen hakuna Zaid ya axant
@alfredphantaleo4529
@alfredphantaleo4529 3 жыл бұрын
Kwakeli mkovizuri nafamilia mwenyezi mungu awape Manisha marefu muendelee kumtumikia muendelee pia kwenda kupanda mbegu kwingineko wanako hitaji huduma zenu
@gladysjebiwot6562
@gladysjebiwot6562 5 жыл бұрын
Anytime I listen to this song I feel that I have not done enough in my faith.....God bless you
@paskalinasalia8041
@paskalinasalia8041 3 жыл бұрын
Jamani MUNGU awabariki. Natamani Sana Nami MUNGU anipe mume mwimbaji🙏🙏🙏🙏
@fidesrwemera3710
@fidesrwemera3710 3 жыл бұрын
Nawapenda bure nyie watu, ahsante kwa kutulisha neno LA uzima
@susannyaguthii4713
@susannyaguthii4713 4 жыл бұрын
Even i lack a word to say . Only to say thanks God. Amen
@meypaulin6138
@meypaulin6138 3 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana nawapenda Sana nyimbo zenu uwa zinanibariki Sana
@Jonathan95311
@Jonathan95311 6 жыл бұрын
Wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana!!!!!!!!!
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp Ай бұрын
Wimbo mzur sana
@dominicmwanzia9919
@dominicmwanzia9919 5 жыл бұрын
Nafurahia nyimbo zako nikiwa hapa Kenya.Naomba nota za sikia sauti bwana
@angiemambo6192
@angiemambo6192 4 жыл бұрын
Am proud of you, mukasa family,hope one day i will meet you poeple you tell me the secret i like singing.
@thomshumbusho5446
@thomshumbusho5446 5 жыл бұрын
Wimbo huu umekuwa sala yangu ya kila Asubuhi. Mungu aendelee kuwabariki.
@bridgitmutuku4140
@bridgitmutuku4140 2 жыл бұрын
Very nice song na maneno nzuri ,,,congrats Bernard with your family napenda songs zako sana
@jamesbenjamin5969
@jamesbenjamin5969 5 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi zaidi ili tuweze kumjua Mungu kupitia nyimbo zako
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 2 жыл бұрын
Hongereni sana👏
@user-mn3ik1rx1e
@user-mn3ik1rx1e 9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@user-uw7nv9gj9q
@user-uw7nv9gj9q 5 ай бұрын
Ata mimi kunakitu nimekumbuka
@zawadiagape9762
@zawadiagape9762 3 жыл бұрын
Nisimulie VIP Mimi 🙏
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 жыл бұрын
Amina nimebarikia
@jamesbenjamin5969
@jamesbenjamin5969 5 жыл бұрын
Hakika ni zaidi ya Kipaji, Sifa na Utukufu vimrudie Mungu
@godefridamunyaga4605
@godefridamunyaga4605 4 жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana na nyimbo zenu haswa huu Niseme Nini. Asanteni Sana ndugu yangu na wifi yangu. Mbarikiwe Sana.
@yusterkonga6904
@yusterkonga6904 5 жыл бұрын
naupend sn huu wimbo .....sina cha kusema zaid ya kukushukuru mungu wang
@user-xw2ss1yi5w
@user-xw2ss1yi5w 9 ай бұрын
Sending love from Botswana🇧🇼🇧🇼
@patrickkambale777
@patrickkambale777 5 жыл бұрын
Hakika una zaidi ya kipaji,Mungu akujalie miaka 2000
@paschalnwanakulya3347
@paschalnwanakulya3347 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema kama ni vipaji mnavyo Endeleeni na uinjilishaji
@Jaycarls
@Jaycarls 5 жыл бұрын
🤲🤲🤲 Mungu aibariki kazi ya Mikono yako... Hongera kwa kutumia kipaji ulichopewa na Mungu kumrudishia sifa na Utukufu🤲 Binafsi natamani niimbe km wewe😥😥😥
@puritygakii2993
@puritygakii2993 4 жыл бұрын
You are a blessing to many Especially me... Your songs uplift me da day by day.... Be blessed 🙏
@gracesimpasa993
@gracesimpasa993 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapigania
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
Bernard Mukasa - Mwanzi Uliopondeka (Official Video)
5:48
Bernard Mukasa
Рет қаралды 6 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
GUSANENI MAJERAHA By Quadri-V (Official Video-HD)
5:42
Bernard Mukasa
Рет қаралды 753 М.
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 13 МЛН
Bernard Mukasa - Bwana Unifadhili (Official Video)
5:21
Bernard Mukasa
Рет қаралды 845 М.
NIMEUMALIZA MWENDO - Bernard Mukasa
13:32
Bernard Mukasa
Рет қаралды 580 М.
Bernard Mukasa - Mungu Nimekuita (Official Video)
11:38
Bernard Mukasa
Рет қаралды 849 М.