GUSANENI MAJERAHA By Quadri-V (Official Video-HD)

  Рет қаралды 746,520

Bernard Mukasa

Bernard Mukasa

3 жыл бұрын

Wimbo huu umetungwa na Bernard Mukasa.
umeimbwa na Familia yake "QUADRI V"
Audio: Rajo Productions
Video: Tanganyika Productions
wimbo upo katika Album ya 3 ya Quadri-V
ambayo ipo sokoni inauzwa sasa.

Пікірлер: 184
@ernestpilla9179
@ernestpilla9179 3 жыл бұрын
Mwalimu Mukasa kiukweli wewe ni Zaidi ya mwalimu wa Muziki mtamu .. Natamani nasi ututungie wimbo maalumu tuurekodi kwa heshima yako .. Naomba Muongozo wako.
@theresamasanja9925
@theresamasanja9925 3 жыл бұрын
Família ya kuigwa! !hongereni sana Mungu awebariki,,,,aonae ujumbee click
@VenanceSmith
@VenanceSmith 16 күн бұрын
Mungu ameweka kitu katika uumbaji wake hakika unastahili kutumiwa na mangu ktk kuinjilisha dunia
@Claudialoya-tf4sk
@Claudialoya-tf4sk Ай бұрын
Daaah yan hii nyimb ni sala na tafakar tosha jaman live you family of bernad mukasa
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 3 жыл бұрын
Mtoto Vinny daah mungu akubark sanaa KWA kipaji chakk
@danienagewo1875
@danienagewo1875 3 жыл бұрын
Hatimaye familia ya Mukasa mmenitimizia haja ya moyo wangu. Hongereni sana. Stay blessed🙏♥️
@sophiealex3967
@sophiealex3967 3 жыл бұрын
Familia hii inanigusa na kunifundisha kitu, kwa mifano yao mizuri, Mungu azid kuwapigania muttende kwa uaminifu Zaid, I pray for you ❣️💯🤝
@BRIANMAISIBA
@BRIANMAISIBA 4 ай бұрын
wimbo huu una ujumbe unaohitaji kufanyiwa kazi
@jessiewanjohi3300
@jessiewanjohi3300 3 жыл бұрын
Barikiweni sana Bi na bw mukasa kwa wimbo mzuri..nipo kenya mm n wa nyimbo zenu huwa zinanibariki
@rosemarycharles5893
@rosemarycharles5893 3 жыл бұрын
Familia iliyotukuka mbele ya mungu ktk roho na kwely, , hongeren sana nawapenda hadi nawapendelea
@gasparpaul2594
@gasparpaul2594 3 жыл бұрын
Huu wimbo daah! Itoshe tu kusema tumshukuru Mungu. 🙏🏾
@Gwidohitila22
@Gwidohitila22 3 жыл бұрын
Hongeren sana Mukasa's Family, namuona Mama Mukasa amependeza sana maana kapungua Unene, Mungu awazidishie Neema Mzidi Kumtumikia Maisha yenu yote
@joanecytoch3517
@joanecytoch3517 3 жыл бұрын
Hii nyimbo nimeitafuta sana, sasa nimeipata😋😋😋🥰, Barikikiwa sana mtumishi wa Mungu🙏🙏
@Your_Boy2006
@Your_Boy2006 3 жыл бұрын
Âmen
@patrickmkambilwa9932
@patrickmkambilwa9932 3 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
@isaacwamalwa4483
@isaacwamalwa4483 3 жыл бұрын
Wow! Wow! What a lovely song. I really love this family. May Almighty God continue blessing you more and more to continue evangelizing through singing.
@user-ok1nr9jl4w
@user-ok1nr9jl4w 4 ай бұрын
Mwalimu B.Mukasa hongera pamoja na familia Mungu Aliso kuwapa nguvu ya kumuimbia kila wakati 🎉🎉
@Happymushi-pi2yj
@Happymushi-pi2yj 2 ай бұрын
Nzuri sana
@jossie184
@jossie184 3 жыл бұрын
blessed so wonderful having a good family like this, God help me have a family like this.
@wivinamsebeni8293
@wivinamsebeni8293 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie kugusana majeraha kila wakati. Ubarikiwe kwa utunzi mzuri
@josephlucian1780
@josephlucian1780 3 жыл бұрын
Kwakweli unanifanya niwe najisikia faraja ninaposikiriza nyimbo zako. Kaka hongera kwa talanta hii ,
@paulinadaudi4615
@paulinadaudi4615 2 жыл бұрын
Tumuimbie bwana katika roho nakweli, nimeguswa na huu wimbo Gusa majeraha mmeimba vizuri sana Mungu awabarik.
@MARTINUS_DAVIE
@MARTINUS_DAVIE 3 жыл бұрын
I love it keep it up Bernard mukasa .may the almighty God bless you and your family
@clementinapaul9219
@clementinapaul9219 Жыл бұрын
my role model family all the time natamani nije kuwa na family ya kumucha Mungu kama hii 🙏
@josephinekatunzi1137
@josephinekatunzi1137 3 жыл бұрын
Blessed Family God be with you always as you keep inspiring others Nawapenda sana nasikiliza sana nyimbo zenu
@jacklinsholla1497
@jacklinsholla1497 3 жыл бұрын
Hongereni sana , hakika hii ni familia ya kuigwa
@mwanaharusali6996
@mwanaharusali6996 3 жыл бұрын
Kaka pamoja na familia yako aisee mmetisha hadi raha
@amanisimba9781
@amanisimba9781 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuilinda familia hii Mukusa unajua sana jamani uuuuuuuuuuuuwi
@Mwamba04205
@Mwamba04205 3 жыл бұрын
Mfano mzuri sana wa familia ya kikristo iliyo na umoja . MUNGU azidi kuwaangazia nuru yake mzidi kumtumikia.kwa njia hii ya uimbaji
@margaretnjenga3873
@margaretnjenga3873 3 жыл бұрын
What a beautiful family may God give you along life of happiness.....
@engelbertkilasara7894
@engelbertkilasara7894 2 жыл бұрын
Kazi nzuri, ujumbe mzuri, sauti nzuri, video nzuri, utume mzuri, familia nzuri. Mungu awabariki sana
@florahshirima369
@florahshirima369 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuibarikii kazi yenu na baraka katika familiaa yako baba mukasaaa
@aidanvincent708
@aidanvincent708 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Pokeeni baraka ya Mwenyezi Mungu katika maisha yenu.
@violethbasil6854
@violethbasil6854 3 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo .. Kiukwel Nyimbo zenu huwa zinanigusa na kunipa faraja xnaa
@kilimobiasharanufaika4606
@kilimobiasharanufaika4606 3 жыл бұрын
Amazing mnafanya vizuri sana mungu azidi kuwabariki
@prosperitykavishe4081
@prosperitykavishe4081 3 жыл бұрын
Wow nafurahi kumuona mama Matilda akiienzi na kuijenga familia yake Kama mwanamke mwenye busara. Keep it up Mamaaaaa Matilda
@onesmokihongo1042
@onesmokihongo1042 2 жыл бұрын
Upo vizur
@BenardOdhiambo
@BenardOdhiambo 3 жыл бұрын
God knows how much I have longed for the video of the song Gusaneni Majeraha! Thank you so much Bernard Mukasa and your family. May God continue blessing you and expanding your territory. What a beautiful way to celebrate Jumapili ya kwanza ya maajilio! You have made my Sunday. 🙏
@emanuelisulle8858
@emanuelisulle8858 3 жыл бұрын
Hongereni Sana mukasa's family mnanigusa sana
@jemimahkaari9789
@jemimahkaari9789 3 жыл бұрын
This is so nice,am admiring in future to have a family like this,i love your songs mkasa
@felicianholle3010
@felicianholle3010 3 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza nyimbo zenu maana zinasomo ndani yake big up sana kwa umoja wenu
@floridachepkorir-fp6wj
@floridachepkorir-fp6wj Ай бұрын
Hongera kwenu 🎉❤
@patrickmkambilwa9932
@patrickmkambilwa9932 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana iyo yenye mafunzo bora katika maisha yetu Mungu awabariki watumishi wa Bwana na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@manumbubujiba8610
@manumbubujiba8610 3 жыл бұрын
Safi Sana mbarikiwe
@elizahaonga726
@elizahaonga726 2 жыл бұрын
Asante kwa ui jilishaji mungu awape maarifa na ujuz zaid
@gideon...9516
@gideon...9516 3 жыл бұрын
Master and Best Composer of all the time!! Never fails....👏🏻👏🏻👏🏻
@selektahiannoh
@selektahiannoh 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako sana.... Daima mCatholiki
@ernestmageta6632
@ernestmageta6632 5 ай бұрын
Hakika mungu ni mkuu Bernard mukasaaaaaa unajuaa unawezaàaaa
@jameskaulule9092
@jameskaulule9092 3 жыл бұрын
Great Mr. Mukasa Bernard, may the Mighty God keep you alive to accomplish what you were assigned by our Lord!!
@ChristineEuvina
@ChristineEuvina Жыл бұрын
Mbarikiwe sana and your family
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Bernard is Mukasa.
@ciirajohn5231
@ciirajohn5231 3 жыл бұрын
This song is really touching the greatest composer mwenyezi Mungu akuzidishie
@RenifaPetro
@RenifaPetro 3 ай бұрын
Nyimbo nzur na zina ujumbe mungu awabarik sana kwa uinjilixhaj
@kipondomselem4285
@kipondomselem4285 3 жыл бұрын
Hongereni Sana familia ya Mungu, Baba Mkasa Mungu awabariki
@Merbon_01
@Merbon_01 3 жыл бұрын
Kuna jeraha la mwili na la roho na yote yahitaji tiba.... May God bless you more.
@japhetandrea4533
@japhetandrea4533 3 жыл бұрын
God bless their life and help them to live long life!
@muzikimtamumtakatifu897
@muzikimtamumtakatifu897 3 жыл бұрын
Hongereni sana kwa utumeuliotukuka,
@ireneoduol8942
@ireneoduol8942 Жыл бұрын
Thanks for the nice song mukasa
@despinamdende9810
@despinamdende9810 2 жыл бұрын
Gusaneni majeraha mkahurumiane. Hongera sana.
@Mike-cg5cd
@Mike-cg5cd 3 жыл бұрын
Blessed family. So beautiful melodies 😍
@floraelias6458
@floraelias6458 3 жыл бұрын
Hongeren sana mungu awape nguvu ya kumtumikia vema
@alexandermalima9674
@alexandermalima9674 3 жыл бұрын
Ikopoa Sana pc
@boniventurepatrick7532
@boniventurepatrick7532 3 жыл бұрын
Hongera mwalimu
@FelisterFabian-qz3qq
@FelisterFabian-qz3qq 2 ай бұрын
Mungu awabark san
@emmaculateatieno9118
@emmaculateatieno9118 Жыл бұрын
Am always inspired with your songs may God continue blessing you with your family when you are serving Him I like your songs they contain a lot of teachings
@namanabuscholasticah
@namanabuscholasticah Жыл бұрын
May our heavenly father bless these family as is said singing is like praying twice
@LydiaJNjeri
@LydiaJNjeri 3 жыл бұрын
Such a lovely song. Gob bless you
@davidkobero6977
@davidkobero6977 3 жыл бұрын
asante sana...wimbo mzuri wenye zingatio kubwa
@peterbatambuze7415
@peterbatambuze7415 3 жыл бұрын
Nzuru sana good song I like it.god bleess
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Hadi raha
@Ribalzinho
@Ribalzinho 3 жыл бұрын
Makes me to go back to Tanzania 🇹🇿
@maliafrancisca1841
@maliafrancisca1841 2 жыл бұрын
So inspirational! Thanks so much the mukasa's
@christinakilegu2483
@christinakilegu2483 3 жыл бұрын
Nawapendasana munguawa bariki sikuzote apaduniani wapendwa.
@MangkaKalinga
@MangkaKalinga Ай бұрын
Mungu awabarik sana
@marynekesa542
@marynekesa542 Жыл бұрын
Inspired!!wish to have a family like this in future 🙏🙏
@brendashikala7729
@brendashikala7729 2 жыл бұрын
Haja na tamanio la Roho yangu limetimilika
@felistermuthoki6358
@felistermuthoki6358 3 жыл бұрын
Nyimbo zenu ni nzuri sana,,,barikiweni sana.
@arbogastpeter4391
@arbogastpeter4391 3 жыл бұрын
Muda mrefu nimekuwa nautafuta sana,,,ila kumbe leo umewekwa rasmi,,, Mungu akubariki sana pamoja na familia yako yote
@kiboko1920
@kiboko1920 3 жыл бұрын
I have been longing to see your recent release, your family has grown up,I treasure your talent,keepit up
@monicapaul6436
@monicapaul6436 3 жыл бұрын
Naomba nafasi yakimsumbua Mungu kwenu
@rispernyakaz1037
@rispernyakaz1037 3 жыл бұрын
Congratulations good song 💖 and GOD bless you 🙏🙏🙏
@mugishakashonda4800
@mugishakashonda4800 3 жыл бұрын
Wimbo mzr Sana
@evangelinekangai1517
@evangelinekangai1517 2 жыл бұрын
I this family,may God expand your wisdom as you proclaim his word through singing
@Spirit.23
@Spirit.23 3 жыл бұрын
This is my Christmas Gift on this day,thank you
@angelistayesuanawezaametur953
@angelistayesuanawezaametur953 2 жыл бұрын
Mungu awabariki wi
@muneneantony6570
@muneneantony6570 3 жыл бұрын
You are an inspiration to many,may God's grace and favor be upon you always.
@claudy2165
@claudy2165 2 жыл бұрын
Beautiful... just awesome...thumbs up keep the spirit guys and May God Bless this beautiful 🥰 family 😍
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 3 жыл бұрын
My favorite,, be blessed Mkasa family
@alexmutuma4411
@alexmutuma4411 2 жыл бұрын
This family is amazing and may God bless them as they continue composing more songs day by day. #kuimba ni kusali mara mbili..💖
@alexinahmogunde5276
@alexinahmogunde5276 3 жыл бұрын
God bless you abundantly you and your family for your time Amen
@olivernyakiage954
@olivernyakiage954 3 жыл бұрын
I admire your family Bernard, may our God bless you as you keep on blessing us with your songs mkatoliki damu
@loisendungu9061
@loisendungu9061 Жыл бұрын
Am always inspired by their songs, May God bless them and care for them always.
@joeljoseph785
@joeljoseph785 3 жыл бұрын
#Nzuri san
@MagdalenaMkenda
@MagdalenaMkenda 5 ай бұрын
Barikiwa kwa wimbo huu mzur
@bonifacenzota5828
@bonifacenzota5828 2 жыл бұрын
Naomba mumgu awabariki
@nathannbanda3345
@nathannbanda3345 3 жыл бұрын
Beautiful ❤️😻 song, Be blessed always
@bertinkalinda5999
@bertinkalinda5999 Жыл бұрын
Synodi ni safari...this song is not far from synodality spirit
@janetkambua8366
@janetkambua8366 2 жыл бұрын
Be blessed that alto singer like me and the family
@conniekisilu7273
@conniekisilu7273 3 жыл бұрын
A very nice song ,with a very nice message ,may God bless you .mr Mukasa with your family and give you strength to praise him ,I usually listen to your songs and they are very nice hongera sana🙏🙏🙏🙏
@kipngenokirui3756
@kipngenokirui3756 3 жыл бұрын
Wow the kids have really grown
@dorcilaaloka6303
@dorcilaaloka6303 2 жыл бұрын
Waoh what a beautiful song God bless this family abundantly.
@mwangikinyanjui3690
@mwangikinyanjui3690 2 жыл бұрын
Tusipitane shidani, thurumiane, tugusane majeraha ya mwili na ya roho. Maneno matamu na ya kufariji
@maliafrancisca1841
@maliafrancisca1841 2 жыл бұрын
Such a great evangelical mission
@anniemakau5115
@anniemakau5115 3 жыл бұрын
A family that prays together stays together..... God bless yu abundantly
MAISHA YANAISHA_QUADRI-V By Bernard Mukasa
7:17
Bernard Mukasa
Рет қаралды 1,2 МЛН
NAKWENDA KWA BABA-QUADRI V By Bernard Mukasa
6:27
Bernard Mukasa
Рет қаралды 500 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Anastacia Muema - Ni Mungu Tu (Official Video)
4:41
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,1 МЛН
YATOSHA-By QUADRI-V (Official Video-HD)
7:26
Bernard Mukasa
Рет қаралды 528 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI VIDEO  WORSHIP SONG NONSTOP 2024
57:16
NYIMBO ZA KUABUDU
Рет қаралды 126 М.
Bernard Mukasa - Niseme Nini (Official Video)
6:54
Bernard Mukasa
Рет қаралды 1,4 МЛН
MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI   J  MGANDU ( Official Video HD )
5:53
The Galaxy Pro
Рет қаралды 397 М.
Bernard Mukasa - Mwanzi Uliopondeka (Official Video)
5:48
Bernard Mukasa
Рет қаралды 5 МЛН
MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha
7:53
HILA ZIMEVUNJWA  Na Bernard Mukasa - QUADRI V
5:26
Bernard Mukasa
Рет қаралды 169 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
2:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 17 МЛН
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 794 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 856 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 246 М.